Тёмный
No video :(

#EXCLUSIVE 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 34 тыс.
50% 1

#EXCLUSIVE: NELLY KAMWELU AVUNJA UKIMYA KUROGWA NA KUWA KICHAA - "DAWA ZA STRESS ZILININENEPESHA"
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@RizikiIssa-dr1cb
@RizikiIssa-dr1cb Год назад
Global mumefikia wapi kuhusu mtoto warda
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k Год назад
Huyu dada na hali aliyonayo akija kuachwa now ataumia sana jins anavosema anampenda😢😢❤❤inshaallah Allah awasimamie 🤲🙏💕
@vickydan2869
@vickydan2869 Год назад
Amen
@Fatma-wi2co
@Fatma-wi2co Год назад
Mashaallah nampenda Nelly ni mple
@fatmaomar1881
@fatmaomar1881 Год назад
Nampenda huyu dada ❤❤❤
@AcademicAchievement-d1y
@AcademicAchievement-d1y Месяц назад
Jmn we dada nkpnda ad bc♥️
@nellyLove-ws5cb
@nellyLove-ws5cb Год назад
Nampenda huyu sana tafuta fey nayeye umu hoji nawapenda sana ❤
@lujuomjanja2866
@lujuomjanja2866 Год назад
Ugonjwa huo upo sana huku europe pole sana
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 Год назад
Beautiful girl 😍👌🏽💕
@issafintan4255
@issafintan4255 Год назад
I miss nely mama she wos caind happy butyful happy person mkwe wangu enzi za vivica
@valentinamjindo5374
@valentinamjindo5374 Год назад
Nimuwaz sana huyu Dada nampenda sana
@gloriakoku2766
@gloriakoku2766 Год назад
I understand her very well..
@rhamlaally6930
@rhamlaally6930 11 месяцев назад
Hayo n magonjwa ya kizungu
@koletajeanne8824
@koletajeanne8824 Год назад
Wow understand my daughter she like that too
@RajatSharma-uq7pz
@RajatSharma-uq7pz Год назад
Nelly nimzur na hana jeuri,mm pia ni mamako WA kufikia nakupenda Sana, 4rm +254
@linda-vz4nw
@linda-vz4nw Год назад
Nelly I love so much 💗💗💗❤❤❤❤❤
@davidcurtis175
@davidcurtis175 Год назад
Tatizo ni kwamba kuchamganya damu ya Afrika na na ya nje hayo ndio madhara yake, mdogo wangu, binafsi nilikuwa hivyo na si pele yangu nyumbani walikuwepo wengine lakini imepungua kwa kiasi kikubwa sababu ya imani zaidi, alama nyingi za mwili wangu zimesababishwa na hasira.
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
Napenda anavyosema nam😆😆
@arbinuwamahoro7370
@arbinuwamahoro7370 Год назад
Pol my kumbe niuarisia umkosa mama pol my nakupenda unavyo cheza❤
@loulumony8519
@loulumony8519 Год назад
Nelly❤❤
@user-xz9si4xs9g
@user-xz9si4xs9g Год назад
Hi Nelly unaupendo kweny moyo wako
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Год назад
Ninamuelewa huyu dada nina ndgu yangu ako na hiyo shida.hizi dawa zinakufanya urelax usiwaze saana na ndio maana unajikuta mwili unapanuka.angalizo tu usiache dawa kabla hujapata ushauri wa dr.coz mambo mbelenj yanaweza ku double
@aliceudoba3672
@aliceudoba3672 Год назад
Kipindi natumia dawa ya maumivu ya mgongo nilikuwa natumia dawa za maumivu nilikuwa nakuwa nanguvu nikianza kumchamba mtu anakimbia kwa mara ya kwanza anti yangu alinipeleka kwa mjumbe nikameza kidonge kimoja tu nilimchamba hadi alikimbia😮😮😮😮😮😮😮😊😊😊😊😊😊😊😅😅😅😅😅😅😅😅
@aliceudoba3672
@aliceudoba3672 Год назад
Ila nampenda sana anti yangu mungu atuweke mamalove
@happynelson1180
@happynelson1180 11 месяцев назад
Nilitumiaga hizo dawa nilinenepa sana pia niliweza kulala usiku ila nilipoacha nilikosa usingizi maana nilikuwa nawaza sana nikaanza kunywa pombe ili nipate usingizi
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Год назад
Mashaallah mzuri bila make-up😘
@omytifa6403
@omytifa6403 Год назад
Napenda akicheka
@user-bi3nn7kk6q
@user-bi3nn7kk6q 7 месяцев назад
❤❤❤
@jairosdaka7328
@jairosdaka7328 Год назад
She's cute ❤
@sudyally6886
@sudyally6886 Год назад
Daa Nelly nimekumis san sijakuona mda kweli machoni mwang mdg wako
@JackMartin-002
@JackMartin-002 11 месяцев назад
🥰🥰🥰🥰
@user-pj5eq8go4e
@user-pj5eq8go4e Год назад
Napenda english yako na unavyo igiza
@user-bf8fg1jq2k
@user-bf8fg1jq2k Год назад
Ila Nelly nkajua n huba ndy showoff et ndoa itkuwa nje sio hp😂😂😂😂😂😂
@njmahn3262
@njmahn3262 Год назад
Hahaa ila huyu Nell nyie
Далее
Timings hated him #standoff #timing #meme
00:14
Просмотров 469 тыс.
Kwaheri Kizimkazi 2024
3:51
Просмотров 53
MREMBO NELLY KAMWELU AWEKA WAZI UGONJWA UNAOMTESA
2:20