Тёмный
No video :(

MKE WA DR MWAKA, WATOTO WANGU NALEA MWENYEWE ,SINA MPANGO NA NDOA KWA SASA , BIASHARA TU 

Lokoma Tv
Подписаться 40 тыс.
Просмотров 42 тыс.
50% 1

KWA HABARI , SIASA, MICHEZO NA BURUDANI USISAHAU KU SUBSCRIBE RU-vid CHANNEL YETU YA LOKOMATV HAPA
Follow Us On:
INSTAGRAM: shorturl.at/wFP67/ || shorturl.at/jwQSU
TWITTER: shorturl.at/luzLZ
FACEBOOK: shorturl.at/rCL12
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 Empire Lokoma Limited . 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#yanga #simba #yangasc #simbasc #simbavsyanga #tff #nbcpremeireleague #mwakinyo #samatta #zuchu #wizkid #Davido #nandy #wasafi #diamondplatnumz #alikiba #harmonize #instalive #youtubelive #mboso #lavalava #beyonce #Mariacare #mwijaku #babalevo #hbaba #kondeboy #afrima #notjustok #exclusive #lokomatv #trending #tanzania #marioo #mrpimbi #rickmedia #millardayo #ayotv #simulizinasauti #utamu #mpenjatv #globaltv #bonatv

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 77   
@asiamerey9081
@asiamerey9081 11 месяцев назад
Hasbiallah waneemal wakeel Bismillah Mashallaah yani wewe dada ni mzuri mpaka mzuri tena kama umetoroka peponi wallah
@aminajuma4743
@aminajuma4743 9 месяцев назад
@zawadidadzie2600nadhan hujamuelewa hajamaanisha kwamba kwa Dr mwaka ni peponi kasema urembo wake kama mrembo flan alietoroka peponi
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 9 месяцев назад
Background drums zimeharibu interview
@huldamichael4445
@huldamichael4445 9 месяцев назад
Nimeipenda hiyo "nice one".😂😂😂
@zulekhaal-mandhry757
@zulekhaal-mandhry757 7 месяцев назад
Masha Allah keep going lea watoto wako usirudi nyuma
@user-zd6lv4il1t
@user-zd6lv4il1t 9 месяцев назад
Yes Dada lazima uwe matured
@user-sj7fn1wt6d
@user-sj7fn1wt6d 9 месяцев назад
NEEMA YA MUNGU IKUTEMBELEE UMRUDIE YESU.
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 месяцев назад
Na sjui Kwa nn mnapenda kumtaja yesu kweny comment mhhh
@neemadaniel9209
@neemadaniel9209 9 месяцев назад
​@@nahlahassan-fd6lekwani Kuna ubaya
@agnessima5032
@agnessima5032 8 месяцев назад
​@@nahlahassan-fd6lehata watu hupenda kumtaja Allah sijui kwa nini?
@asiamerey9081
@asiamerey9081 11 месяцев назад
Mungu akuepushe na Hassad za walimwengu
@hawaomary1957
@hawaomary1957 9 месяцев назад
Kwa hapo Umekomaa kiakili my dear hasa upande wa dini hujaweza kuyumba kwenye dini umebaki na msimamo uleule wa kubaki kwenye uislam kwa ajili ya kuepuka kuyumbisha watoto kwenye dini allah akufanyie wepesi na atakulipa maana ameona moyo wako. Na usilazimishe mtu ajue moyo wako.akijua mungu inatosha
@vickytorry100
@vickytorry100 9 месяцев назад
Hongera rangi ya yellow unaipenda kwa nguo na ngozi yellow
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 8 месяцев назад
Kama kweli DR Mwaka alikuwa mbaya kihivyo mbona jina lake Ndo huwa kichwa cha habari? Dr Mwaka sio Malaika hukosea kama binadam wengine, kama kweli hamtumii nyota yake muwe mnamtaja mtalaka wake Kwa jina lake , namuombea kila la Kheri Ila asikubali mahojiano yanayohusi x wake , hata nyinyi waandishi msipende saana kuchonganisha, DR Mwaka kumuoa huyu binti imekuwa kama adhabu Sasa kwake , mwacheni dada apambane na Mungu Ndo mtoa rizk Ila msipende kuweka vichwa habari vya Dr Mwaka huku hapo hausiki tena
@christinamwangoc4779
@christinamwangoc4779 8 месяцев назад
Sasa anahojiwa kama mwanamke alie achana na shujaa, sijapata point
@user-rg8wj6tu1m
@user-rg8wj6tu1m 9 месяцев назад
Interview yenu inakelele sana haijatulia
@Mateen7912
@Mateen7912 9 месяцев назад
Jamani mjukuu wa bibi yangu Mama Masanja wa Kisosora Tanga Lulu Masanja RIP ndio mama yako kina Osca Masanja
@marabamasheku637
@marabamasheku637 8 месяцев назад
❤❤❤❤
@rukiaabdul7191
@rukiaabdul7191 2 месяца назад
Wewe huna uislam wowote.Mwanamke wa kiislam anajistiri.
@jyjang6155
@jyjang6155 9 месяцев назад
Waooo kijitonyama sekindari nimesoma pia❤
@ummuraw6372
@ummuraw6372 9 месяцев назад
Muonea huruma sana huyu dada hta kma alipta matatizo kwa mume hakutakiwa amkere na mola wake nahisi katangaza vita na Mola wake. Allah amuongoe hamkomoi dr mwaka anakomoa nafsi yke ikiwa hakubadilika atakuja kujuta
@jacqueli18
@jacqueli18 9 месяцев назад
Sawa mwaya😂😂😂😂😂njaa itakuua
@stellafurael2925
@stellafurael2925 8 месяцев назад
Dada queen sio muislam mwenzio alibadili dini kwaajili ya ndoa
@user-ix9rn5yh4l
@user-ix9rn5yh4l 3 месяца назад
hata iwe vipi usijekumdai matumizi ya watoto
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 8 месяцев назад
ELIMU KUBWA KWA BINADAMU KWANZA NI KUMTAMBUA MOLA WAKE UMEVUA MITANDIO UPO UCHI THEN UNAJISIFIA 😅😅
@user-ix9rn5yh4l
@user-ix9rn5yh4l 3 месяца назад
mpeni kichwa hio uzuri ina mwisho
@aminajuma4743
@aminajuma4743 9 месяцев назад
Sauti ya music ipoh jus hatak mtumba haskii.vzr ukiongeza Saudi keeler zinazid
@methodpeter1323
@methodpeter1323 4 месяца назад
mtangazaji nisaidie kumpata huyo hata kama anakataa Tena ndoa nisaidie
@samiramohamed5925
@samiramohamed5925 9 месяцев назад
The music is so loud
@liliantemu2709
@liliantemu2709 8 месяцев назад
Mshauri awe ba duka lake la nguo na urembo atatoboa
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 10 месяцев назад
Huna mpango wa ndoa lkn kuzini ndio mnapenda
@deboramartin8111
@deboramartin8111 10 месяцев назад
Tulia ww shoga wa kiume
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 9 месяцев назад
Unaongea tu kw avile. Aliopoitia we ujapitia
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 9 месяцев назад
​@@deboramartin8111Tena shogale😅
@annakbunga8377
@annakbunga8377 9 месяцев назад
Ujuwi mtu anapitia Nini akuna mwanamke asie taka kuolewa kaka
@agnessima5032
@agnessima5032 8 месяцев назад
Amekwambia anapenda uzinzi???😢
@methodpeter1323
@methodpeter1323 4 месяца назад
naomba unijb
@stellacosmacy4785
@stellacosmacy4785 9 месяцев назад
Nikuombee tufanye kazi wote
@user-ix9rn5yh4l
@user-ix9rn5yh4l 3 месяца назад
ndio maana
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 9 месяцев назад
Muislam gani ama muislam wa kisasa maana ujajisitiri sura
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Месяц назад
Huo ni Uislamu wa kisasa hujaona misikiti ya ulaya mtu anaingia msikitini kavaa kapelo akifika anaigeuza anasali kisha akimaliza ibada anarudi zake achana na uislamu wenu wa kizamani wa kiarabu wenye mashart mengi kama uganga wa kienyeji
@zuwenaabdallah7748
@zuwenaabdallah7748 9 месяцев назад
Mtangazaji akiri yake inasema daah bonge la lishangaziiii😀😀😀
@CatherineKabelege-te3yo
@CatherineKabelege-te3yo 10 месяцев назад
Uyu dada ana akili
@ashaali7154
@ashaali7154 9 месяцев назад
Uroho wa umaarufu una mwisho wake. Ndoa umeikataa mwenyewe na ukadai talaka kwa nguvu sasa kazana kulea watoto maana kila jambo zuri lina ubaya wake pia.
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 месяцев назад
Hayajakufika ila siku yakikufika ndo utaelewa, utatambua kama hakuna mwanamke anaekataa ndoa pasi na sabab za msingi, narudia Tena, hayajakufika na uombe yaskufike
@elimidakashumba2422
@elimidakashumba2422 9 месяцев назад
Mh!
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 9 месяцев назад
Km unaona kwako ndoa ndio maisha endelea nayo na acha kuyaangalia ya wengine
@pueblo148
@pueblo148 9 месяцев назад
Aliacha mwaka kulea watoto.mwaka mzima hatoi matumizi Sasa si Bora uwe huri ujipange badala ya kua na nfoabjiba?
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 9 месяцев назад
​@@nahlahassan-fd6leKweli umesema sawa.
@nailaomar4810
@nailaomar4810 10 месяцев назад
Peponi tena usinichekeshe😅😅
@awadhally1052
@awadhally1052 10 месяцев назад
Chiz huyo hajielew wana wake wa pepon ata mfano wake tu huku duniani hamna
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 10 месяцев назад
@@awadhally1052 Aache kufuru...wazuri hawajitembezi😃
@elizabethmuli5911
@elizabethmuli5911 9 месяцев назад
Karibu Kenya kwa pastor Ezekiel wa new life church,ufuguliwe kwa vile ulikuwa mchepuko kwa hio ndoa,kwa maana ulikuwa umeoleka mke wa pili,njoo uvunje Roho ya taraka na upate ndoa ya kwako peke yako iyo ya ku shere
@onlyonetztv610
@onlyonetztv610 9 месяцев назад
Acha utapeli wewe
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 9 месяцев назад
Hiyo ndoa ya mke mmoja lakini huyo mwanaume wa mke mmoja ana michepuko kila kona tofauti ipo wapi maana nawashangaa mimi nyinyi wenye ndoa moja lakini hamutulii na huyo mmoja bado munawaendea nje
@vailethmbulule8339
@vailethmbulule8339 9 месяцев назад
​@@FatimaAli-of4ghkuna baba ana wake watatu lkn anachepuka mpaka na mabint wadogo😂😂
@methodpeter1323
@methodpeter1323 4 месяца назад
mmeachana kwer ? nichk in Bobo bc
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 10 месяцев назад
Bui bui liko wapi Leo ?
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 9 месяцев назад
Buibui ndio nn na ww😂😂😂😂
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 9 месяцев назад
Ataonekana vipi nawadogozake mwaka Duniani😂😂
@agnessima5032
@agnessima5032 8 месяцев назад
​@@salamasaidi6620😂😂😂the
@asaadalbusaidi1870
@asaadalbusaidi1870 10 месяцев назад
Ndowa ya nini nawewe mzuri na tendo la ndowa au zinaa siunafanya freshi tu pesa ndokila kitu mungu aloamrisha watu waoane hana maana pumbavu zako
@user-ih9xy5vd5d
@user-ih9xy5vd5d 8 месяцев назад
Ebwana umesoma shule gani aisee? Hata kuandika kuwezi duuu😅😅
@TimciTanzania
@TimciTanzania 9 месяцев назад
Mwandishi mbona kama na wewe unamtamani mama wa watu
@BerthaModest
@BerthaModest 9 месяцев назад
Yani😂😂ila wangependezana ee
@jescajulius8023
@jescajulius8023 9 месяцев назад
@@BerthaModest San tu
@user-db2hi8jn3e
@user-db2hi8jn3e 9 месяцев назад
Yaani mtangazaji mroho huyo
@asiamerey9081
@asiamerey9081 11 месяцев назад
Hasbiallah waneemal wakeel Bismillah Mashallaah yani wewe dada ni mzuri mpaka mzuri tena kama umetoroka peponi wallah
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 9 месяцев назад
Subuhanallah...lntakillah
@elizabethmuli5911
@elizabethmuli5911 9 месяцев назад
Karibu Kenya kwa pastor Ezekiel wa new life church,ufuguliwe kwa vile ulikuwa mchepuko kwa hio ndoa,kwa maana ulikuwa umeoleka mke wa pili,njoo uvunje Roho ya taraka na upate ndoa ya kwako peke yako iyo ya ku shere
@onlyonetztv610
@onlyonetztv610 9 месяцев назад
Acha utapeli wewe Tapeli mchanga
@gonsalvamswaga6471
@gonsalvamswaga6471 9 месяцев назад
MMMHHHH
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 месяцев назад
​@@onlyonetztv610😂😂😂😂
@onlyonetztv610
@onlyonetztv610 9 месяцев назад
@@nahlahassan-fd6le 😂😂😂
Далее