Тёмный

EXCLUSIVE: HAJI MANARA AJIBU KURUDI SIMBA, UGOMVI NA VIONGOZI WA YANGA, ''KUONDOKA SIMBA CHANZO NI.. 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 113 тыс.
50% 1

HAJI MANARA: ALIE NIFANYA NIONDOKE SIMBA NI TRY AGAIN | NI NGUMU SANA MIMI KURUDI SIMBA

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 289   
@leonardmakwela5551
@leonardmakwela5551 6 дней назад
Masoud Kipanya nakukubali sana Mzee ! I never knew ww ni wa viwango vikubwa jinsi hii ! Akili kubwa na hekima ya hali ya juu sana! Big up
@MohamediMhedu
@MohamediMhedu 5 дней назад
Kwani baba ako yanga alikua anacheza Pekeake yanga wamechaza watu wengi nenda zako Simba hatukutaki huku mamluki ww tunakujua
@AbuujureyjKhaniy
@AbuujureyjKhaniy 3 дня назад
HAJI NIHAJI TUUU YUKO VERY SMART KAZI ZAKE😊
@gwejonoah1900
@gwejonoah1900 6 дней назад
well said
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 5 дней назад
Oyaaaaaa!
@batalingayachristopher-ry5lv
@batalingayachristopher-ry5lv 5 дней назад
Uko sawa
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 5 дней назад
Sio mwenzetu na hatumtaki manara
@mwakipundahenry5235
@mwakipundahenry5235 5 дней назад
CCM ingechangamka sana km Uenezi wangempa Manara, this guy anajua sana kujieleza
@charlesayubu6449
@charlesayubu6449 6 дней назад
Hiyo ndo sauti ya mpira, Haj anajuwa sana kuzungumza mpira😊
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 5 дней назад
Mpira upi?
@HAWANassoro-o2j
@HAWANassoro-o2j 5 дней назад
​@@fahadfaraj6474😂😂😂
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 5 дней назад
@@HAWANassoro-o2j maana hata ile yakiume nayo mipira hata mipira ya maji nayo mipira
@HAWANassoro-o2j
@HAWANassoro-o2j 5 дней назад
@@fahadfaraj6474 kweli kabisa
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 5 дней назад
@@HAWANassoro-o2j watz wanapenda sana uongo uongo Huyu bwana akiwa simba aliikashifu yanga nakuitukana kila tusi , leo wanajisahaulisha nakumsadiki mtu huyo huyo
@mosescalvinnyoha120
@mosescalvinnyoha120 6 дней назад
Fact kabisa tuna timu bora sio lig bora
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 5 дней назад
💚💚💚💚💚💚Penda sana Manara
@maxlattinokiki8105
@maxlattinokiki8105 5 дней назад
Masoud uko smart sana Big up
@umlaith5202
@umlaith5202 5 дней назад
Haji tunakupenda bila kiasi❤❤❤ wewe Yanga kinda kindaki❤❤❤
@paulopaulo3795
@paulopaulo3795 4 дня назад
Dah masikini kimanara jamani mbona kimekonda au kimeachwa?
@AndersonMokiwa-is5ch
@AndersonMokiwa-is5ch 5 дней назад
Manara wewe ni mtu wa Mungu mwenzako ally kamwe hakusifiagi na huwa hataki kabisa kukuzungumzia lakini wewe uko sahihi kabisa
@James-sz4ec
@James-sz4ec 5 дней назад
Manara uko vzr sana
@michaelmillinga5064
@michaelmillinga5064 6 дней назад
Nashukuru Kipanya kwa hii interview, watu wa Yanga mjue huyu sio mwenzetu
@IsmailAlly-u3l
@IsmailAlly-u3l 6 дней назад
Hii ni Kaz Mkuu sio lazma awe mshabiki wa tim husika...
@Mumewangu
@Mumewangu 5 дней назад
@@IsmailAlly-u3l unapokuwa msemaji inapendeza kuwa na ushabiki
@fimboonlinetv5282
@fimboonlinetv5282 5 дней назад
Haji ni simba toka utotoni
@fimboonlinetv5282
@fimboonlinetv5282 5 дней назад
Huko alipo ni ugali tuu
@allahisone6386
@allahisone6386 5 дней назад
​ KBSAAAAAAAAA 💯%🤝
@peterkiondo3420
@peterkiondo3420 3 дня назад
Kweli
@user-pb3ub3gl4q
@user-pb3ub3gl4q 6 дней назад
Manara 🔥🔥🔥
@SuleimanIddi-v3x
@SuleimanIddi-v3x 5 дней назад
Jamaa mnafiki sanaaaa na hatari sana
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 5 дней назад
Sasa kama ulikuwa na mapenzi na Yanga basi Try Again alikuwa sahihi
@mzumamganya6792
@mzumamganya6792 4 дня назад
Hajiii
@JumaKilyamanda
@JumaKilyamanda 5 дней назад
Huyo nimwandishi aliyokomaa jamaa anahakili sanaaa
@charleznicholas416
@charleznicholas416 4 дня назад
Apo kwenye kadi sasa 😂😂😂😂
@MudathirDunia-ht8hi
@MudathirDunia-ht8hi 4 дня назад
Huyu mzee mnafiki😂😂
@HassaniAlly-s1l
@HassaniAlly-s1l 5 дней назад
Huyu jamaa ni mwehu na anasahau anachokisema, cku anaondoka simba alisema chanzo ni babra leo anasema ni try again kwann asiwe muwaz tu kulko kuleta chuplichupli
@JUMANNESELEMANI-mg9ix
@JUMANNESELEMANI-mg9ix 6 дней назад
Jamaa ana factual and fundamental critics of football japo weekness is a part of life
@FaidhaKihiyo
@FaidhaKihiyo 4 дня назад
Uyu baba abajichanganya sana maana alishawahi kusema alikua simba tangu mtoto alikua anapiga mashabiki wa yanga hapindi yanga haya maneno tuyatunzi😂😂😂 kesho atakataa tena maana Ali ongea azam hiyo interview yake kusema hapendi yanga😂😂
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 5 дней назад
34:52 😂😂😂 ana kadi mbili ya Yanga na Simba, akabadili kwa kusema kadi ya CCM
@Zina-m2v
@Zina-m2v 6 дней назад
Manara 🔥 🔥🔰
@AdamCheze
@AdamCheze 6 дней назад
Interview nzr sana tena inafanywa na mtu ambaye sio wanamichezo leo nimekuelewa sana Masoud na Wote mliondesha interview hii
@Bboy-ek8vn
@Bboy-ek8vn 4 дня назад
Manara ni simba pure
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 3 дня назад
Kumbuka uliwahi kusema; Pale Yanga wenye akili ni watu wawili tu 1......2...... Waliobaki wote hamnazo😂 Unakumbuka ulipo wanyooshea kidole kimoja vilivyo kurudia ni vingapi? Pamoja na kwamba ulimaanisha kwa namna yoyote huwezi kuwa Yanga. Tengua kauli uanze upya😂
@PeterMuhina
@PeterMuhina 5 дней назад
Yan haji wanaoamin maneno yako bas ubongo wao hauko sawa😅
@BrightoneB2
@BrightoneB2 5 дней назад
Tangazaji muulizeni anacad ya timu gan
@KijaMaige
@KijaMaige 4 дня назад
Huyu manara ni Simba wananchi huyu sio mwenzetu
@MzansiDiski27
@MzansiDiski27 4 дня назад
Huyo kiazi ni Simba damu. Njaa tu inamsumbua
@ErickNguata
@ErickNguata 5 дней назад
Uyu jamaa yuko smart sana
@HadijaSalum-kf6gy
@HadijaSalum-kf6gy 5 дней назад
M nampenda haji anavyoongea yan Yuko wise
@barakawabuge5285
@barakawabuge5285 5 дней назад
Manara sauti ya dhahabu ..manara ni Yanga❤❤
@BrightoneB2
@BrightoneB2 5 дней назад
Huwezi Rudi maana huna nafasi hapo
@aminumengo2123
@aminumengo2123 2 дня назад
Acha urongo tunakujuwa kuliko unavyojijuwa , sema kweli usidanganye
@KosovoNaiiem
@KosovoNaiiem 5 дней назад
Wewe unapenda simba
@kevinalpha4716
@kevinalpha4716 5 дней назад
Huyu mwamba huwa anajua Sana kujieleza yaani Yuko vizuri mnoo , big up sana Bughati
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 2 дня назад
Kama wewe tu
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 6 дней назад
Kwa ufupi manara ni simba damu sema huku yanga amekuja kikazi😂
@NTM9320
@NTM9320 6 дней назад
kama kweli vile🤣
@jimmyhabarugira4232
@jimmyhabarugira4232 5 дней назад
Hizo nifikra zako wewe
@Simbasc-mw4zk
@Simbasc-mw4zk 5 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@KisarwaKisarwa
@KisarwaKisarwa 5 дней назад
Nie hivyo wakubali wakatae huyo simbaaaa😂😂😂
@PaulHuncho-v3u
@PaulHuncho-v3u 5 дней назад
🎉🎉🎉🎉🎉bughat mwananchiii
@Juliusbagasheki
@Juliusbagasheki 5 дней назад
Afisa habari sio kusemea na kuponda au kusifia tu mpira wa club bali ndani yake kuna components nyingi.
@Boaz22
@Boaz22 5 дней назад
Ukiona mtu kwenye maongezi anaweka neno nilivyokuwa, OGOPA SANA,KIMBIA😢
@dottokuhanga
@dottokuhanga 5 дней назад
Manaraaaaaaa
@ManizoTheboy-ko1hw
@ManizoTheboy-ko1hw 14 часов назад
Kipanya ntakifanya unachokifanya unaniamasisha kwamaahwali manayuko vizuri anavo jibu
@Tashmaorg
@Tashmaorg 4 дня назад
Yan hapa ndoanajiek waz km yy nimzabizabin😂😂😂😂😂
@Amirikoshuma-r6q
@Amirikoshuma-r6q 5 дней назад
Haaa msukule Mzee wa ugomvi😂😂😂😂😂😂😂
@4gfashion
@4gfashion 5 дней назад
Kiujumla we ni mdangaji manara😂😂😂
@kisesawapiliTv
@kisesawapiliTv 5 дней назад
Msikilizeni manara anavyojichanganya dakika ya 34:20😅 anasema hakuwahi kumiliki kadi ya simba wala hajawah kuwa mwanachama,badae anatoa kadi anasema ninakadi mbili moja ya YANGA moja SIMBA😂😂😂
@careenpatrick2759
@careenpatrick2759 5 дней назад
Kukosea c dhambi amerudia akasema kadi ya Ccm na yanga
@silivianjonh6851
@silivianjonh6851 4 дня назад
hana kadi ya simba kuweni makini ana kadi ya simba insurence sio ya uanachama
@rajabumdoe3527
@rajabumdoe3527 5 дней назад
NIKIKUMBUKA ALISHAWAHI KUWATOA AKIRI WANA YANGA WOTE KASORO BABA YAKE NA MZEE KIKWETE NIMELIA SANA😢😢😢😢😢
@BenezethMtepa
@BenezethMtepa 4 дня назад
Wanayanga mmesikia😅😅😅😅😅
@RichardKapesa-f2w
@RichardKapesa-f2w 5 дней назад
Mashabiki wenzangu wa simba Leo ndo nimeamini ili jamaa lilikuwa Duka Salim try Agen alimjua akamtimua Safi sana
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 5 дней назад
Tangu aondoke mlishinda wapi cha ajabu wachezaji wenu wote mushawaita maduka hakuna kolo mwenye akili😅😅😅😅
@hamisimtupa7327
@hamisimtupa7327 6 дней назад
Alama za mnafiki ni 3 anapozungumza anasema uongo anapoweka ahadi hatimizi na akiaminiwa hufanya hiana kwa hiyo haya yote kayafanya huyu jamaa
@iddmaeda5003
@iddmaeda5003 5 дней назад
You are Right
@James-sz4ec
@James-sz4ec 5 дней назад
Unamkosea manara muwe na utu huyu pia ni binadamu anamaitaji mbona wachezaji wanahama
@hamisimtupa7327
@hamisimtupa7327 5 дней назад
@@James-sz4ec kwani sisi ndio tuliokua tunamsemea yale maneno au alishesema hata apewe pesa za bank zote duniani hawezi kwenda yanga na akasema hata apigwe bisu la koromeo hawezi kwenda labda maiti yake
@JoshuaLeonard-lo3cs
@JoshuaLeonard-lo3cs 4 дня назад
Haji inabidi ujitathimin maana umepoteza vitu vingiii
@Sudy-y4j
@Sudy-y4j 3 дня назад
Chizi maneno manala
@sigisbertbaragomwa5275
@sigisbertbaragomwa5275 5 дней назад
Unasema kweli bwana haji
@salimdaraie2196
@salimdaraie2196 6 дней назад
Muongo uyo haji sana tena sana
@Luckydon_tz
@Luckydon_tz 4 дня назад
We zelu zelu tutakukata viungo utoe kelele
@MirajiKhamis-f7b
@MirajiKhamis-f7b 3 дня назад
😅
@molenicharles9107
@molenicharles9107 5 дней назад
Simba atizamwe sana Try Again...☹️☹️😠😠
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 5 дней назад
nenda huko kisa umemsikia huyu ...kesho atamsema mwingine tumesha mzoea
@almaarifonlinetv
@almaarifonlinetv 5 дней назад
Ila kakonda...
@NelsonMatambo-m3i
@NelsonMatambo-m3i 5 дней назад
Haji anawez
@SheikhYussuf-iv6lo
@SheikhYussuf-iv6lo 3 дня назад
Manara muongo sana tena sana mnafik mkubwa sana ww
@kassidpandu866
@kassidpandu866 6 дней назад
Nafasi ya Afisa habari kwenye club haina maana yeyote kwa club husika
@stefanontandu2041
@stefanontandu2041 5 дней назад
Mfalme wa wasemaji.....EL BUGGATTI THE KING.
@patisondidas6720
@patisondidas6720 5 дней назад
Mmmh
@billgatejuniour8797
@billgatejuniour8797 5 дней назад
Simba na Yanga wote tunakupenda haji manara.❤
@mwajumaseifu216
@mwajumaseifu216 4 дня назад
Acha huongo
@Beagasper
@Beagasper 5 дней назад
Yanga raha jamani, Yanga tunakupenda
@nichorasjeremiah8821
@nichorasjeremiah8821 5 дней назад
Wivuuuuu😂😂😂😂 ndiyo kaijibu akiwa siriaz😂😂😂
@hamadiayossy
@hamadiayossy 5 дней назад
Unafiq mbaya sana ,hata kwa mwenyezi Mungu una mtihani sana,yaani mimi naamini kutoka moyoni ushabiki na upenzi wa timu unaanzia utotoni,na ukishapenda umependa kweli,hauwezi kubadilika,acha Unafiq, mtu huwezi kubadili kabila.
@kivuswahilitv6833
@kivuswahilitv6833 6 дней назад
Hawa ndio watangazaji mahiri bila kuchelewa anamtwanga swali la kisaikolojia na Manara ameingia kwenye 18 za kipanya , Manara mtu wa tamaa sana
@EverlineJoramu
@EverlineJoramu 3 дня назад
Kwaiyo mmeamua kutukatia mitambo watu wa ruvuma jaman
@SuleimanIddi-v3x
@SuleimanIddi-v3x 5 дней назад
Huyu ni mnafiki
@Sudy-y4j
@Sudy-y4j 3 дня назад
Fanya kz na gsm yang yanni sasa acha usenge
@HajiIddy-k9f
@HajiIddy-k9f 5 дней назад
😢😢😢😢
@DeusiKasusu
@DeusiKasusu 4 дня назад
Haji sikudai
@nichorasjeremiah8821
@nichorasjeremiah8821 5 дней назад
Timu ya magoma😂😂
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 5 дней назад
haji kwenye mpira Yuko vizuli sana ila shida yake anajisahau kujiona bila yeye mambo hayaend ww Nani kwani ukifa leo mpira Ndio mwisho au
@KabungaKalla-fw4pp
@KabungaKalla-fw4pp 5 дней назад
Chuki zako hazikusaidii interview Haina uhusiano na hoja zako Kila mtu ana tabia zake .
@KosovoNaiiem
@KosovoNaiiem 5 дней назад
Mbona unaenda kuomba kwa mo
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 4 дня назад
fetty yup clouds tena 😢
@KosovoNaiiem
@KosovoNaiiem 5 дней назад
Unajuwaje kama anakupenda
@nyamgarurijaphet4003
@nyamgarurijaphet4003 6 дней назад
Huyu jamaa huyu jamaa naishia hapo
@melissa_garden
@melissa_garden 5 дней назад
Wala hatumtaki
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 6 дней назад
Mpuuzi NI MTU wa kupuuzwa
@AmosiPeter-z3g
@AmosiPeter-z3g 5 дней назад
Sio mazingira nafas hiyo huna tena nahuna uwezo kama unaweza jalibu tuone kama utaweza huna nafasi hiyo kuwa mkweli labda ukawasemee geita
@SaidMkome-q5t
@SaidMkome-q5t 5 дней назад
Haji Ata ukisikia kafa paka uone maiti mana maneno yke mwenyewe baade yanajijibu
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j 6 дней назад
Sijui kwanini namaliza bando langu kumsikiliza huyu muongo, huyu jamaa bado nikolo wakufa mtu
@careenpatrick2759
@careenpatrick2759 5 дней назад
Chai wewe ndyo kolo acha kelele
@mckobatz5861
@mckobatz5861 5 дней назад
Ni vigumu sana kubadili au kutofautisha ushabiki na mapenzi kama yapo kwa dhati sio rahisi kubadilsha unless uwe mnafiki
@KosovoNaiiem
@KosovoNaiiem 5 дней назад
UchaguziAtukupi uongozi
@IIbrahimAhmedKassa
@IIbrahimAhmedKassa 6 дней назад
Huyu Yanga Africans pure
@kilianmeja4277
@kilianmeja4277 5 дней назад
Msanii
@ShedrackFaustin
@ShedrackFaustin 2 дня назад
Mh
@shadrackmwasabwite-hl4ru
@shadrackmwasabwite-hl4ru 5 дней назад
Haji anaakili Sana'a ila so wakumwamini sana ila mungu kamsaidia kuwa na kipawa cha mvuto kwa maneno yake... Ila kwangu haji ndo msemaji bora kuwahi kutokea nchi hii na barani Africa mkubali mkatae. Kikubwa tumpe heshima yake bila kujali ushabiki... By Rais wa yanga na masela mikoani
@bongotvonline4883
@bongotvonline4883 5 дней назад
Moja kati ya watangazaji ambao najifunza kupitia wao, ni MASOUD KIPANYA.
@ThekraJanga
@ThekraJanga 5 дней назад
Mjini ni akili tu!
@AmosSniper
@AmosSniper 6 дней назад
Manara muongo sana! Had ukajikuta anataja Mo ni Simba, Simba ni Mo😮😮😮! Hikinkijamaa kinafk sana
@AllyNalinga
@AllyNalinga 5 дней назад
Bugatti mmoja 2
@LucasRuben-x1t
@LucasRuben-x1t 4 дня назад
Amesema akiwa kazin anavaa uhusika kuweki makin na neno uhusika
@yussufmohammed9299
@yussufmohammed9299 5 дней назад
Nyieee semeni lkn Haji amefany Vijana wengi kupenda mpira w Tz hyo mengne ynayo mtekea ndy mfumo w maisha n hawez kukwepaaa ata mtu yoyteee
Далее
#kikakim
00:17
Просмотров 7 млн
DIY Pump Solutions
00:18
Просмотров 1,3 млн
SHUGHULI ILIANZIA HAPA/ DKT.TULIA AKITOA MSIMAMO WAKE.
12:54