Тёмный

EXCLUSIVE: HAMISA MOBETTO AKIRI DIAMOND & MAJIZZO KUMNUNULIA MAGARI 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 179 тыс.
50% 1

EXCLUSIVE: HAMISA MOBETTO AFUNGUKA DIAMOND & MAJIZZO KUMNUNULIA MAGARI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

1 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 225   
@berthatz
@berthatz Год назад
Hamisa wewe ni mrembo mdogo wangu..Maneno hayo hata kwenye kanga yapo..Tatizo ni wivu tu na wanataka sana wakutoe kwenye mstari ..Songa mbele..Tingisha tingisha mama..Wanakufa midomo wazi..💪🏾
@diamondplatnumz9250
@diamondplatnumz9250 Год назад
This lady has something special aki mtu mwenye akili timamu huchoki kumsikiliza🙌Ana akili, anajitambua na anajiamini ndo maana anazidi kupiga hatua kila siku May God protect u🙏
@remmyg252
@remmyg252 Год назад
Go baby missa kila mabaya wanayokuombea walimwengu na yawarudie kwa jina la Yesu...Tuliopo nyuma yako ni wengi na huwa hatukusahau kwenye maombi yetu 🙏
@tausikoko8671
@tausikoko8671 Год назад
Hamisa mobeto , she’s very beautiful and gorgeous too.. talk of her inner beauty.. girl got a very good heart.. she’s so young but very mature in how she answers questions! If Diamond wanna treat some of his kids like they are less humans, that’s on him. Good thing is, Hamisa is a very good mom!
@Faith_joseph
@Faith_joseph Год назад
❤️😍📌
@Faith_joseph
@Faith_joseph Год назад
Wabongo tujifunze kumpongeza mtu ambaye katuzidi okay let's say kanunua mwenyew bei ya range ni 50M je, wanaoponda uwezo wenu unawaruhusu kununua nini wengne hata baiskel hawawez nunua😂😂😂😂Hongera mobetto nyota kaliii🔥
@barakaamani8657
@barakaamani8657 Год назад
Hovyo
@Faith_joseph
@Faith_joseph Год назад
She's very beautiful✨❤️
@bonymigbo4526
@bonymigbo4526 Год назад
Ooow...she talks so sweets and cutiie🥰🥰
@shakiramuhammad8790
@shakiramuhammad8790 Год назад
I love this woman so much,Hamise
@joycejohn493
@joycejohn493 Год назад
This lady is something else 😍😍. Always humble and lovely.. keep minding your own business.. you'll make it 🥂
@bahatibushiri1610
@bahatibushiri1610 Год назад
Mobetto me nakupenda Sanaa yaan❤️❤️
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Nakupenda tu Mobetto wangu, Mungu akuweke inshallah 🙏
@mouzaseif1099
@mouzaseif1099 Год назад
Sihabba hamisa kua unajua kua hiyo unayoifanya nizinaa Allah akuongoe ishaAllah
@christopherkaganyanjogubom776
I love this lady,she is brilliant 😘
@Nikita_8017
@Nikita_8017 Год назад
Super brilliant
@tausikoko8671
@tausikoko8671 Год назад
Very!
@mohamedshaaban9740
@mohamedshaaban9740 Год назад
I am your fan from today...Unaongea vizuri dadangu.
@sheylaomar2864
@sheylaomar2864 Год назад
I just love her
@lulumalima1739
@lulumalima1739 Год назад
Hamisa mcute girl friend you rock mama. We love you!
@febinmokeira
@febinmokeira Год назад
Beauty with brain 🥰
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 Год назад
Kiukweli unapendeza Sana maana unarudi utoto. Thanks 👍 Hamisa
@kamumjoy756
@kamumjoy756 Год назад
I just love this gal🥰
@prencesnaah4063
@prencesnaah4063 Год назад
Nakupenda hupendi unafiki 🥰🥰🥰
@salimriziki2660
@salimriziki2660 Год назад
Nampenda hamisa huwa hakosi kumtaja mungu kwa maongezi yake
@ashaabdallah9729
@ashaabdallah9729 Год назад
I love her 💕
@charlesstephen9668
@charlesstephen9668 Год назад
Moral of the story "Danga kwa Faida"
@florencekafeero220
@florencekafeero220 Год назад
That’s a good girl
@shelanassoro9419
@shelanassoro9419 Год назад
She's very beautiful 😍🥰😍
@dottohamis4427
@dottohamis4427 Год назад
Masha Allha ww nzuri sana ❤️
@Mummysworldke
@Mummysworldke Год назад
I love this lady
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Год назад
Atuliyeee tu kwenye mitindoooo Uko kungineee badooo sanaaa🥱🥱🥱
@aminaanab1071
@aminaanab1071 Год назад
Yani hamisa nakupenda sana yani ninge kua na uwezo ninge ua madui wako wate..nakuombea mungu wamalize wote na husda yao
@rahmamollely5296
@rahmamollely5296 Год назад
Ungeanza kuuwa maadui zako kwanza ungekua unaakili cn
@aminaanab1071
@aminaanab1071 Год назад
Sina ma adui Labda ukue wewe adui wa hamisa
@noorynmohammedy6063
@noorynmohammedy6063 Год назад
@@rahmamollely5296 🤣🤣🤣🤣
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 Год назад
😂😂😂
@adejoahjoah9155
@adejoahjoah9155 Год назад
Hata mimi aiseee
@bamitaonlinetv9672
@bamitaonlinetv9672 Год назад
HII IKUFIKIE HAMISA. SASA PENDEZA PIA KWA MOLA WAKO UTAKUA MWANAMKE MWEMA , FANYA IBADA NA WATOTO WAKO WAFUNDISHE MILA YA MTUME MUHAMMAD. SAW. HAMISA MTOTO WA KIISILAMU. ALLAH AKULINDE NA AKUONGOE UTETE DINI YAKO UVAE STARA USIVAE UTUPU. UTAJIRI WA DUNIA HAUDUMU. UFUNGE NDOA USITEMBEE NA WANAUME . NAKUPENDA MUISILAMU MWENZANGU NAKUKUMBUSHA .
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 Год назад
Mi mkristo, yote sibishani na wewe, lakini mwanamke anatafuta wa kumuoa? Naskia unamwambia aolewe
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 Год назад
Naka penda ❣️❣️❣️❣️💖💖💖🌹
@kaykay4629
@kaykay4629 Год назад
Love you so much
@subirajohn728
@subirajohn728 5 месяцев назад
Nimependa leo ulivyoongea Misa❤️
@anniehamza225
@anniehamza225 Год назад
Wanaosema amejinunulia na nyie jinunulieni kama rahisi na wale vishikwambi wengine wanaosema la kurushia watu roho na nyie kakodisheni muwarushe watu wengine roho kama rahisi😂😂😂
@dianajoseph6673
@dianajoseph6673 Год назад
Watu hawataki kukubali matokeo
@mayrose9772
@mayrose9772 Год назад
Tatzo watu walimzarau sana hamisa kwhy saiv haaawamini wanachokiona
@janethphilip8778
@janethphilip8778 Год назад
Lov u mobetto 🥰🥰
@pilikhamis7830
@pilikhamis7830 Год назад
Mmmh sio kubadilik kwaivy bhnaa wee
@richlymo
@richlymo Год назад
Shabiki wa harmonize wakwanza kumpenda hamissa
@hellenrichard187
@hellenrichard187 Год назад
Mimi nakupenda sana Hamisa ❤️
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili Год назад
🔥
@masikalagatrude6618
@masikalagatrude6618 Год назад
Rick Ross thanks 😊
@shelanassoro9419
@shelanassoro9419 Год назад
♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥 penda sana dada
@ashaissa8813
@ashaissa8813 Год назад
We love you❤❤❤❤❤
@zuleikhaahmed7220
@zuleikhaahmed7220 Год назад
❤❤❤
@DonathaFundi-zb2ik
@DonathaFundi-zb2ik Год назад
Super women congrat
@anniehamza225
@anniehamza225 Год назад
Congratulations babes missa
@Nikita_8017
@Nikita_8017 Год назад
Talk of super woman, she's the one, why lie
@gracepeter7307
@gracepeter7307 Год назад
Yaani nakupenda sana
@janethedwin8068
@janethedwin8068 Год назад
Amisa nampenda kwanza anapambana na watoto wako
@perisamina6978
@perisamina6978 Год назад
🥰🥰
@davidoscar5115
@davidoscar5115 Год назад
🤣🥰🥰🥰anaekulaa hapoo ana rahaa sanaa
@hono1232
@hono1232 Год назад
Ni wewe basi una raha
@ashamshona9321
@ashamshona9321 5 месяцев назад
Mrembo sanaa
@irenenyauhule6017
@irenenyauhule6017 Год назад
Binafsi nakupenda ti
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Год назад
Misa 💕💕
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Год назад
Huyu dada anapenda Sana wanaume wenye mafanikio ,, Yawezekana hana mapenz ya kweli, Ukanjanja wake anaufany ki international 😄😄
@salmamkota2882
@salmamkota2882 Год назад
Kanagawa kwa future 🤣
@roselynngallo1872
@roselynngallo1872 Год назад
Ndio vizuri sasa aichoshe papuchi yake bure? 😅
@salmamkota2882
@salmamkota2882 Год назад
@@roselynngallo1872 atuinspire kwakweli
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Год назад
hahahah we jamaa umejua kunichekesha
@nuruosward8161
@nuruosward8161 Год назад
Ninge kuwa mm ndo hamisa nisinge thubut Kuwapa airtime yangu wasafi abadan hasiran kwa roho mbaya wanayokufanyia noooo nooooooo
@kishakisha730
@kishakisha730 Год назад
Mwanaume sio wa kumlia amin
@omanmct135
@omanmct135 Год назад
Misa
@ModextaModexta-on7mi
@ModextaModexta-on7mi 5 месяцев назад
💪🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️
@issakamangila4143
@issakamangila4143 Год назад
Hamisa anakuwa na tako jamani
@purityangle
@purityangle Год назад
Inner beauty en outer beauty one in million
@inearclassictz1233
@inearclassictz1233 Год назад
Yeees kuadvite zinaa ni sawa kabisa
@ritaeliass8971
@ritaeliass8971 Год назад
Umetulia sana my acha ucharuko tulia my
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 Год назад
Kuna kitu katika haya matako ya kutengeneza. Yanakuwa kama mzigo mzito kwenye mwili wa binadamu.
@tabithajohn8254
@tabithajohn8254 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣umenichekesha sana
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 Год назад
😂😂😂😂
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 Год назад
Niko njian Nada mm😁😁😂
@alhabsi6430
@alhabsi6430 Год назад
Kweli kweli
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 Год назад
Yamakalio sema butt augmentation #implants ,ya maziwa ni breast implants na silicone . Sasa Kuna Dada zetu wengine huwekwa size kubwa mpaka inaudhi.
@fridahkagendo8779
@fridahkagendo8779 Год назад
Diamond
@shadyaloaf8694
@shadyaloaf8694 Год назад
Ila mm nakupenda mzuri sifa yko nakupa lkn Shepu kubwa mm nakumbuka kipindi kile ni hyo wema na ww ulikuwa nayo lkn ndogo ya kawaida tu
@jacklinewilliam3547
@jacklinewilliam3547 Год назад
Kabla ya majiz na dai ahaaaa
@husnawright3554
@husnawright3554 Год назад
Tunaokaa nje tunajua, operesheni huwekwi more than 3 days its very expensive, only one day second day usharuhusiwa hardy 3 days.
@Faith_joseph
@Faith_joseph Год назад
Hv huyu binti ameishia 4m 4 tuu mbn anaongea kingereza kizuri hv❤️
@edwinekatundu6844
@edwinekatundu6844 Год назад
😀😀Kwan waliomaliza 4 hwajui kingereza,,
@remmyg252
@remmyg252 Год назад
Aiseee huwez amini anaongea vizur sana nmependa
@Faith_joseph
@Faith_joseph Год назад
@@edwinekatundu6844 Wanaongea ila cha kuunga unga sana😂
@Faith_joseph
@Faith_joseph Год назад
@@remmyg252 Mtu kama humjui unawez dhani ana elimu kubwa kumbe kamaliz pale tandika😂
@mcback4384
@mcback4384 Год назад
Mimi nikiwa form 4 naongea kama muingereza, mdogo wangu wa darasa la 5 Anaongea fluent English
@estermathias8354
@estermathias8354 Год назад
Hahaaaa et nilikua na Shep kubwa😄😄😄misa bana .ulilitoa wap tako wewe dada mbona ulikua flat scrn
@zahratahmad7990
@zahratahmad7990 Год назад
Mwenzangu
@Blckurban
@Blckurban Год назад
The internet never forgets huyu mdada jamani she lies with a straight face daaaah hata hana aibu
@edwinekatundu6844
@edwinekatundu6844 Год назад
Ayo magar yote uliokuwa unapewa,yako wp kwa Sasa,misa kwel una nyota,ngoja na mm nijitoe BBY wng nimnunulie hata IST
@nacebamr4722
@nacebamr4722 Год назад
Demu wa kawaidaa sanaaaaa! Ila wa bongo kwa ushambaa mmh
@diamondplatnumz9250
@diamondplatnumz9250 Год назад
Ts not about ushamba tunazungumzia confidence na self esteem aliyonayo atafika mbali sana
@barakaamani8657
@barakaamani8657 Год назад
Kweli kabisa ndoooo,najiuliza diamond anaujua uchi wake na majuto pia anaujua uchi wake kwa hiyo anaona fahari kufanywa kwenye uchi wake na wanaume wawili tofauti(USHAURI WANGU WADADA WA KITANZANIA VIPO VITU VERY POSITIVE VYA KUJISIFIA Ila sio """"""KUTOMBWA hovyohovyohata kama unataka I kuwa cerebrity,,,,,,narudia ni aibuuuuu huyu MOBETO ni malaya sema anaufunika na umitindo wake hana kitu"""""anayoyafanya siyo MILA ZETU DADA ZANGU
@josephinenyangi9484
@josephinenyangi9484 Год назад
Ana uzuri gani tako la kubumba
@christinemangaza6303
@christinemangaza6303 Год назад
Wallh
@minjesha
@minjesha Год назад
@@josephinenyangi9484 hao unaowaona wazuri kina beyonce, Kardashians, jlo na wengine wengi wote wametengeneza shape mara mia zaidi kina zari wote hao lakini unawaona wazuri..japo hamisa hajatengeneza...ni kitu wivu tu hakuna kingine..au labda useme tu una sababu zako za kumchukia ila uzuri anao sana tu
@perfumewise
@perfumewise Год назад
Huyu mwanamke ndie ninae mpenda baada ya Beyonce wa Marekani dah
@mayrose9772
@mayrose9772 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@munam7104
@munam7104 Год назад
Yee baba mobeto hoyee
@angelwamiye8727
@angelwamiye8727 Год назад
Uwongo 😂😂😂😂
@rukiamzee8621
@rukiamzee8621 Год назад
Yaani Misa anajega gorofa kubwa lakini yuko kimya mpaka akamilishe
@irenechris5418
@irenechris5418 Год назад
Vzr penda maendeleo Kwa hamisa
@J.G7088
@J.G7088 Год назад
I really hate women who intentionally help heartless men to cheat on women in their relationships. Why not tell the man to leave the woman she's with and be with you alone if you are so special? No matter how hard I try all I see is a cleaned up loose woman with loose Morals. But as long as her conscience is clear her generation is safe.
@kammie8174
@kammie8174 Год назад
Heal......there is always 3 sides to a story why would you think you know the whole truth???
@didam1884
@didam1884 Год назад
sasa unataka kulia??😂😂😂😂😂, jaji mwenyewe, We hujui the whole story na uko hapa passing judgement left right centre, abeg, please rest.
@sammaisak7503
@sammaisak7503 Год назад
I think you missed the part where Hamisa was with Diamond way before Zari 🤷‍♀️ just that their relationship was on the down low.. Diamond years back was known to date more than 1 woman at the same time
@J.G7088
@J.G7088 Год назад
@@didam1884 I know what she said herself on air. How she had miscarriages while being hidden kama Bangi yet she still stayed with the guy. By the way Only fools use that kulia statements because they have been cornered and can’t think anymore, be better.
@J.G7088
@J.G7088 Год назад
@@kammie8174 Actually you and everyone who thinks a woman who is hidden while a man shows another woman and keeps sleeping with the guy and miscarries but doesn’t demand more is the one who needs healing and divine intervention. By the way this were her words on air so yes I know enough. To make it worse you are hidden by every one you date and the only one who could atleast accept you for a few months is a man who parades himself with naked women in clubs. Ah naah. Be better then maybe you will be treated better.
@joypot3730
@joypot3730 Год назад
Jamani make up zinafica mengi sana huyo bibi bila make up nicura
@masika.zubeda.430
@masika.zubeda.430 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️
@thekennedy2002
@thekennedy2002 Год назад
oyaa mchaga wajua hamissa ni boss wako uyo
@faiththawe4371
@faiththawe4371 Год назад
Wizard
@marymwaluko3364
@marymwaluko3364 Год назад
Hapo kwenye shepu kubwa hapooo😂😂😂 hebu tuoneshe picha za zamani basi bebi🤭
@kishakisha730
@kishakisha730 Год назад
Anatumia mafuta ya kupaka yanaongeza matako.
@rehemanelson8366
@rehemanelson8366 Год назад
Heeeeyyyy dadaaa, WTF Kumbe ulikuwa unamshapeeee kubwaaa wakati unaanzaa modelling wenzako walikuwa wembambaa, Acha uongoooo 😂🤣🤣 Liaaaar Liaaaarrr, Na shape umeongeza umekuwaa mbayaaaaaa jamanii kama Nickminaj vileee umekuwaa wa ajabuuu 😁😁😁 Tako haliendani na Pajaaa Kabisaa... UNAPENDA MASHINDANO WEWE... You are cute on your way ila you're too much acting
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Год назад
Bora na wewe umwambie
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 Год назад
Kumbe mnajuwa kama mnazini na kuzaa watoto wa zinaa🫢
@harrunaally8869
@harrunaally8869 Год назад
Kwan lazim uongee kingerez
@jacklinewilliam3547
@jacklinewilliam3547 Год назад
Na wale wengine ahaaa
@aikaM74
@aikaM74 10 месяцев назад
Hiki kitoto kizuri bana, na Nyota imekaa IMEWAKA
@diajames4380
@diajames4380 Год назад
hata akinunua mwenyew si mlisemaga ela hana
@khadijaamur6032
@khadijaamur6032 Год назад
Ukiwa independent baby daddy hatakubali kukusaidia. Lazima ujipendekeze tu 😀 sie wengine tunakula jeuri zetu 😀
@faiththawe4371
@faiththawe4371 Год назад
Pugiii mitayaaaa
@faiththawe4371
@faiththawe4371 Год назад
Mabox
@anniehamza225
@anniehamza225 Год назад
😂😂😂Ndo hvyo sijui wapoje na wanavyomuona anazid kupiga hatua hv hawapend
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy Год назад
07:24 kama kangaroo au chura??
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm Год назад
mtangazaji ukiwa unawaoji awa wasani waoji kwa kizungu sasa akisema lugha yake atapigwa usha ukiwa mwingi tabu yani mtu unakua kama kizungu ndo anaona ndo kila kitu alafu wasani wa tz wakishaonekana kwenye tz basi wananza kujifanya uzungu Aya sasa kama kweli unanunua gar alafu nyumba badae yani😂😂😂😂😂😂
@shadyaloaf8694
@shadyaloaf8694 Год назад
Mh mm hupenda kusema ukweli shepu kubwa ww hukuwa nayo ht hpo ulipokua unaigiza mtu mwenye shepu kubwa Alie kuwa anaonekan ni wema sepeto n.k
@elipendoseth4412
@elipendoseth4412 Год назад
Ahaaaahaaa acha bwana amisa shepu kubwa wapi mdada ila wewe ni mrembo tu unajiharibiaga tu kubebelea aume za watu tafuta wako u enjoy usiishi kwa kuumia umia bila 7babu
@helenmasele1943
@helenmasele1943 Год назад
Kuanzia dk ya 9:47 ameongea point kubwa sana
@ModextaModexta-on7mi
@ModextaModexta-on7mi 5 месяцев назад
❤❤❤❤😂😂
@tonygee5680
@tonygee5680 Год назад
Range Rover bongo ni kama watu wamechelewa saana kuijua hizi gari mbona nchi jirani zimekua karibu 30 yrs ago 👏
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 Год назад
I among of luxurious car in the world
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 Год назад
Hapo kwenye kubadilika maumbile umetupiga na kitu kizito kichwani tako limekua mzigo had linaenda kukulemea na kuuhusu mahusiano yako ushazoeaga kumegwa kimya kimya kwa kufichwa km madawa ya kulevya hiyo tushakuzoe
@user-fx5gu6xs5o
@user-fx5gu6xs5o 10 месяцев назад
HAKUNA MSANII HAPO danga international UNAKUMBUKA YA RICK ROSE😂😂😂😂😂😂
@BigZhumbe
@BigZhumbe Год назад
Hamisa ulikua na mahips yako kweli ama hilo shepu limekuja kuja tu
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Год назад
Subutuuuu hio shape sio yako wadanganye vipofu wema peke yake na masongange ndio mizigo yao original
@shikoshania953
@shikoshania953 Год назад
Wema alijaliwa kiuno yule Dada💕hata kajala shepu yake natural
@johannahakim8470
@johannahakim8470 Год назад
Acha wongo kama weye Hamida iyo siyo chape Yako yangu zamani
@aminashoo7923
@aminashoo7923 Год назад
Ngoja na mimi ni zae tako langu liwe kubwa kama lako
@allysalim8478
@allysalim8478 Год назад
Yaani nA mimi
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 Год назад
Huyu dada ni manipulator na anataka kushindana na baby mamas wenzie bila kuonyesha kuwa anataka kuwaumiza. Kuna haja gani aongelee jinsi ambavo wote alozaa nao walimnunulia magari? ni kutaka tu kuwaumiza Lulu na Zari pamoja na wanawake wengine waliozaa na Majizo na Mondi. Kinamama huwa wana vimbinu fulani vya kuwaumiza wenzie bila watu kugundua
@tausikoko8671
@tausikoko8671 Год назад
Please stop, she was asked and she answered. She praised the fathers of her children cause she’s not bitter!
@Salma_malkia
@Salma_malkia Год назад
@@tausikoko8671 true babe
@vailethpaschal5846
@vailethpaschal5846 Год назад
@@tausikoko8671 Thank you for this
@khamysamursally5932
@khamysamursally5932 Год назад
Kanye soda naanapenda toka zamani wanaomjua nimtu wa namnagani mungu atusamehe
Далее
HAIER
1:00
Просмотров 42 тыс.
Good deed #standoff #meme
00:15
Просмотров 651 тыс.
MOBETTO KICHEKO CHAKE KIZURI BAADA YA KUTAJWA  AZIZI KI
2:30
BILL NASS AVUNJA UKIMYA Kuhusu MTOTO wa HAMISA MOBETTO
4:53
Как без этого..😂
0:15
Просмотров 3,5 млн
БАТЯ И ТЁЩА😂#shorts
0:58
Просмотров 6 млн
Дымооок.. как альтернатива🤭
0:38