Тёмный

EXCLUSIVE:JAMAA ALIYEPIGWA KOFI KWA LOWASA, AONGEA KWA UCHUNGU "NILIANGUKA,KOFI SIMBA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 262 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 636   
@ConfusedMountainLandscap-cw3vj
@ConfusedMountainLandscap-cw3vj 7 месяцев назад
😅😅😅 kama umependa hii interview gonga like
@judyngowi391
@judyngowi391 7 месяцев назад
Intavyuu ya mwaka
@estakapufi7582
@estakapufi7582 7 месяцев назад
Awajafanya vizuri kuwapiga bwana sio sawa
@ahz6907
@ahz6907 7 месяцев назад
Kuna Askari huwaga wapuuzi sana
@OmarOmar-vf9dv
@OmarOmar-vf9dv 7 месяцев назад
Pale watu wako kazini na hakuna aliyeonewaa
@pcpoint1224
@pcpoint1224 7 месяцев назад
@@OmarOmar-vf9dv jielewe wew acha ukumama ww
@OmarOmar-vf9dv
@OmarOmar-vf9dv 7 месяцев назад
@@pcpoint1224 kwahyo wewe uliyejielewe ukaona matusi ndo sawaa
@judnesstemba7252
@judnesstemba7252 7 месяцев назад
Angekuwa baba ako ungesema ni sawa?!
@mzalendotv2316
@mzalendotv2316 7 месяцев назад
Ma sniper wote like hapa
@leonisaacmushi4386
@leonisaacmushi4386 7 месяцев назад
😢to z.l
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 7 месяцев назад
Awa Jamaa Mwana Habari Anaenda Nao Sawa Bila Ivo Hata Maiki Wangeshaichukua Iyo Bila Kujali Kazi Yake Na Faida Yake Kibao Sio Sawa Alikosea Uyo Kamanda Sema Nao Walizidi Kutumia Madawa Wenda Kibao Kilimfanya Auzunike
@godfreythomas6623
@godfreythomas6623 7 месяцев назад
😂
@maryjames7438
@maryjames7438 7 месяцев назад
😂😂😂
@furahahappe
@furahahappe 7 месяцев назад
😂😂 tuacheni na chuga yetu, snaipa wanawapiga kelebu siyo poa😢
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 7 месяцев назад
Arusha Mwenyezi Mungu anaitajika sana. Hiki kizazi kinaangamia
@mamachris6811
@mamachris6811 7 месяцев назад
Na nabii mkuu yuko huko 😳😳😳😳😳
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 7 месяцев назад
​@@mamachris6811😂😂😂😂😂ww huna akil ujue
@cbegram6161
@cbegram6161 7 месяцев назад
@@mamachris6811😅😅
@ElizabethKilumbo-r1s
@ElizabethKilumbo-r1s 7 месяцев назад
Nabii mkuu mwenyewe ni zamwamwa ​@@mamachris6811
@mcback4384
@mcback4384 7 месяцев назад
Huwezi amini toka nikiwa mtoto wapo hivyo na mpaka sasa nina miaka 30 bado wapo hivyo sio kama wanaangamia ndio maisha yao na sio wote wanaongea hivyo ni wavuta bangi
@HumphreykirutuKirutu
@HumphreykirutuKirutu 7 месяцев назад
Bangi ya Arusha
@robertphilip385
@robertphilip385 7 месяцев назад
Haaaa haaaaa
@evajulius251
@evajulius251 7 месяцев назад
sasa ilikua ina maaana gani kuwaambia watu wajitokeze kuaga mwili sasa munapiga watu
@gwaluganotende1245
@gwaluganotende1245 7 месяцев назад
Kitu Cha Rchuga
@Munshid_Rajab
@Munshid_Rajab 7 месяцев назад
yani ad mumempata😀😀😀...kweli nyi mnabidii kazi nzuri..mungu awasimamie millard ayo
@marymwasiga
@marymwasiga 7 месяцев назад
😂😂😂😂
@HamisMberwa
@HamisMberwa 7 месяцев назад
Pole sana Ndugu yangu Mimi sijapenda
@mercyassy5469
@mercyassy5469 7 месяцев назад
😂😂😂machaliii ya R ni kwereeeee😂😂😂🤣
@naomikisaba5785
@naomikisaba5785 7 месяцев назад
Masniper gonga like apa😂😂
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj 7 месяцев назад
Daaaah unauma sanah jmni
@StephenMassawe-tx3uv
@StephenMassawe-tx3uv 7 месяцев назад
Watu wa Arusha si wa nchi hii.
@AbdallahMkone
@AbdallahMkone 7 месяцев назад
Kweli unaweza kuwa na upendo na kiongozi. Wako lakin cyo sawa kuingilia msafara wa kiserikali
@Jose-ut5hg
@Jose-ut5hg 7 месяцев назад
Kwa hiyo ni Sawa raia kupigwa?
@ChikuIbrahim-ly1zz
@ChikuIbrahim-ly1zz 7 месяцев назад
Kofi simba Kofi jiwe ukipigwa lazima uzime😊😊😊
@Sharefa-v6n
@Sharefa-v6n 7 месяцев назад
Nami hapo ndio wamenifanya tu nicheke nilkua naisubria
@GloryWerema
@GloryWerema 7 месяцев назад
😂😂😂
@yusuphpaulwaryoba8316
@yusuphpaulwaryoba8316 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@akileisostheness8689
@akileisostheness8689 7 месяцев назад
😂😂
@LovenessDaud
@LovenessDaud 7 месяцев назад
Nacheka hata sijui nacheka nini😂😂
@dannyndemo2554
@dannyndemo2554 7 месяцев назад
Kumbe Kwenye msiba Kuna masineipaaaaa🤣🤣🤣🤣
@HasaniShija-ye5xg
@HasaniShija-ye5xg 7 месяцев назад
Huenda warizinguwa maana kunautaratibu wakuuona mwiri
@ahz6907
@ahz6907 7 месяцев назад
​@@HasaniShija-ye5xghakukuwa na utaratibu.
@YusufuMwamlengaMwamlenga
@YusufuMwamlengaMwamlenga 7 месяцев назад
Huyu mwamba yupo sawa kweli😅😅😅
@doktamathew
@doktamathew 7 месяцев назад
mwamba yupi sasa
@daudjames1793
@daudjames1793 7 месяцев назад
Aiseee ila Arusha 🙌🙌🙌
@MngwaliAllykizangwa
@MngwaliAllykizangwa 7 месяцев назад
Askari kumbe alikuwa sahihi,unadhani watu wa sampuli hii ungefanyaje.
@ahz6907
@ahz6907 7 месяцев назад
Hakukuwa na ulazima kupiga makofi na mateke!
@mcback4384
@mcback4384 7 месяцев назад
Wanhewaacha dakika 3 Mbona kwenye msiba wa magufuli hakukuwa na huu upumbavu na watu walikua kwa mamilioni
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 7 месяцев назад
​@@ahz6907wewe ujui tabia ya walevi. Mlevi ukimpa uhuru wote anakuvuruga
@AihmAli-d8x
@AihmAli-d8x 7 месяцев назад
Pole sana kaka kwa mm sijapanda kabisa
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 7 месяцев назад
Duuuh.ameshaamka
@MashauriNgambabujimile
@MashauriNgambabujimile 7 месяцев назад
so fresh kumpiga kof mtanzania mwenzako bila kosa au kisa wew niasikari au ndio unalinda kibarua chako daah polen xana
@Tarzanveve001
@Tarzanveve001 7 месяцев назад
Unaongea ovyo tu
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 7 месяцев назад
Kwa unywaji wa visungura na ndumu huwezi himili kofi la simba
@MeckMsea-cx1ct
@MeckMsea-cx1ct 7 месяцев назад
Wahuni nyie mabangi hayo yakusumbua
@kiondojuma5798
@kiondojuma5798 7 месяцев назад
Brooo we ni nomaaaa sana kwa kuwahoji hawa waduduuuu aseeew jombaaaa maua yako chukuaaaa brooooo🎉🎉🎉
@godfreythomas6623
@godfreythomas6623 7 месяцев назад
Shukrani sana
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 7 месяцев назад
😂😂😂 Nashukur Ayo tv kwa kulet hii interview
@malikzafarani172
@malikzafarani172 7 месяцев назад
Daah jamaa wa chuga wanajikubali sn 🇶🇦
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 7 месяцев назад
Ashukuru kofi alilopigwa,amepata umaarufu,ila punguzeni majani
@user-lz6kh7xj2v
@user-lz6kh7xj2v 7 месяцев назад
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@EzzyEddy-il3ce
@EzzyEddy-il3ce 7 месяцев назад
Hiyo siyo majan yaan inaonesha unga kabisa daaa vijana wanagaribika jaman uko Arusha daaa inabid patrol ya maana yaan
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 7 месяцев назад
Hawa ni wadudu.
@user-jo1zp7fj7r
@user-jo1zp7fj7r 7 месяцев назад
Achen usenge hkn Sawa mapenz ya kiongoz wao
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 7 месяцев назад
Huyu jamaa alikosea sana kumpiga msiban unapiga watu kwl sjapenda pole Bro
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 7 месяцев назад
Yeye kaona ipo sawa wewe unalalamika hiyo vurugu ingetokea pale ungelaumu serikali.
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 7 месяцев назад
Halikuwa kofi lile ni ngumi
@tmunuo
@tmunuo 7 месяцев назад
Sure! Lile sio kofi, ni ngumi au konde.
@ramyramso
@ramyramso 7 месяцев назад
Sio ngumi lile ni gumi yan dude so poa mpaka channel zilipotea
@HumphreykirutuKirutu
@HumphreykirutuKirutu 7 месяцев назад
Ahsante mallard ayo
@AminaLibisa
@AminaLibisa 7 месяцев назад
Pole sana baba mungu atakulipia Inshallah 🙏
@aman1leonard914
@aman1leonard914 7 месяцев назад
So fun😊 but loving ❤
@patisondidas6720
@patisondidas6720 7 месяцев назад
Kumbe ni huyu mla unga da nimecheka sana😂😂😂😂😂😂
@naujuma4875
@naujuma4875 7 месяцев назад
Nyie si mlisema askar achukuliwe sheria 😅
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 7 месяцев назад
Shida ilikua nini mpaka ampige?. Siyo sana.
@michaelmulokozi1512
@michaelmulokozi1512 7 месяцев назад
Kwenye msiba kuna ma sniper 😂😂
@JacobSimfukwe-gy7fb
@JacobSimfukwe-gy7fb 7 месяцев назад
😂😂😂 umezingua mwamba
@user-nh9bs7xl9w
@user-nh9bs7xl9w 7 месяцев назад
Punzika kwa amani baba yetu❤❤
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps 7 месяцев назад
Ulevi au bangi
@HasaniShija-ye5xg
@HasaniShija-ye5xg 7 месяцев назад
bangi hiyo inawasumbuwa harali kupigwa kofi
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@RamadhanMbura
@RamadhanMbura 7 месяцев назад
Hivi Kwani Chuga ni Nchi Nyingine?
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 7 месяцев назад
USA
@ahz6907
@ahz6907 7 месяцев назад
United states of arusha😅
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 7 месяцев назад
Sijapenda kabisa😢😢
@engribertinnocent7536
@engribertinnocent7536 7 месяцев назад
Arusha bangi saana
@salmaramadhan2725
@salmaramadhan2725 7 месяцев назад
Polis mmezidi Sasa makofi YA Nini...Sasa,ndio maana mnastafu hamuna kila kitu
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 7 месяцев назад
Ngumi hiyo 😂
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 7 месяцев назад
Acha ujinga na wew.... Umeona Kuna polisi hapo?
@jescadeogratias5292
@jescadeogratias5292 7 месяцев назад
Umeona Ni polisi yule! Yupo kikazi zaidi.
@reginaleonard9409
@reginaleonard9409 7 месяцев назад
Walikuwa pilisi wa Zamani waliostafu bila kitu Cyo wa sasa alafu Kofi na kustafu bila kitu vinaingiliana vipi wa Tanzania tuwe na akili siku police wakigoma kufanya kazi ndo utajua umuhimu wao ata ilo Banda lako ulilojenga au kupanga hautaishi kwa raha yupo kazini na katimiza wajibu kama wote wangefanya ivyo uo ungekuwa msafara au fujo tuache kutetea upumbavu.
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 7 месяцев назад
Vijana wamepinda😂😂 ila kweli walimpenda sana Mh. Lowassa
@Kabwela776
@Kabwela776 7 месяцев назад
The lost generation yaani CCM imewafanya vijana loosers wakati nchi ina kila aina ya rasilimali
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 7 месяцев назад
Kila Mmoja Achunge Nakukitazama Vyedi Kizazi Chake. Watoto Tumewaacha Wajilee Wenyewe Kisha Tunabakia Kuilaumu Serikali
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 7 месяцев назад
Wamelelewa na Lema ,! Lawama zimwendee Lema kwa model huu !
@trifoniambilo2400
@trifoniambilo2400 7 месяцев назад
Pole ,sjui alilewa pia duuu
@Saripa234-u7g
@Saripa234-u7g 7 месяцев назад
Poleni cn kwa kipigo ndugu zangu
@immaculateen3841
@immaculateen3841 7 месяцев назад
Nimecheka mie😂😂😂 eti Kofi simba
@amonpilimo
@amonpilimo 7 месяцев назад
Duhh hiyo ndio arushaaa😂
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 7 месяцев назад
😂😂😂wameoza kwapombe
@HelenaNkwera
@HelenaNkwera 7 месяцев назад
Big up ayo tv❤
@mussajp8612
@mussajp8612 7 месяцев назад
Ni kweli Bablai kura zetu sjui ziliendaga aje ila tuna shukuru mungu tulipewa jiwe pia RiP Mh John pombe magufuli 🙏🏾🫶🏽❤️
@edwintouches
@edwintouches 7 месяцев назад
Hii taarifa ya mabanzi ni yakuhuzunisha, ila nimejikuta nacheka maana hata waliokula mabanzi hawana habari 😂 🙌
@ynawtyynot1261
@ynawtyynot1261 7 месяцев назад
Hapa hakuna ujanja vijana wa Arusha wanahitaji msaada, serikali ifanye kazi, madawa yanawaharibu..
@mwasitishonasho2154
@mwasitishonasho2154 7 месяцев назад
Kwani wamekuibia Tuache na chuga yetu ndo maisha yetu.wala hakuna msaada
@ynawtyynot1261
@ynawtyynot1261 7 месяцев назад
@@mwasitishonasho2154 ni maisha yenu sawa lakin serikali iwaangalie kwa jicho la tatu, maana siyo maisha ya mwanadamu wa kawaida, ni umaskini ndiyo umewafikisha Huko..
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 7 месяцев назад
Ila jamani😢😢😢😢😢
@thomassenga2526
@thomassenga2526 7 месяцев назад
Kumbe ndoo maana ni wavuta bangi Hawa alikuwa sahihi kumtandika wangevuruga msafara wanafikili ni Kenya hapa wasiko kuwa na adabu Kwa viyongozi wao
@atupelejohnmwakangale3226
@atupelejohnmwakangale3226 7 месяцев назад
Mlinzi alikuwa sahihi kabisa. Hao watu shida kubwa
@2116-n
@2116-n 7 месяцев назад
Hata Mimi mwanzoni nilikereka, lkn kwa hii hali waliyoionyesha, ni sawa tu kupigwa
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 7 месяцев назад
Hawa wangeachwa wangeangusha jeneza mait ife mara 2
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 7 месяцев назад
Ngumi pwaaaass😂😂😂😂😂😂😂 kapata alichokuwa anakitaka😅😅😅😅😅😅
@HasaniShija-ye5xg
@HasaniShija-ye5xg 7 месяцев назад
Kweri wanazinguwa
@user-nh9pp8xe2g
@user-nh9pp8xe2g 7 месяцев назад
Ni sahihi kupigwa maana ya usalama ndiyo hiyo walevi wa bangi unarusu kuzuia msafara.wangesababisha madhara mengine hayo hayatoki rohoni bangi inasumbua
@irenemacha5661
@irenemacha5661 7 месяцев назад
Laiti.angepigwa baba yko au ndugu yko usengesema huu ujinga wako
@fidelischarles4545
@fidelischarles4545 7 месяцев назад
Kwani wakati anapigwa kulikuwa na ushahidi kama amelewa? Sio sahihi kwa askari kupiga mwananchi kwa kuwa haujui hata kiafya yupoje.
@abellshayo6952
@abellshayo6952 7 месяцев назад
Acha kushadadia ujinga, una vipimo au ushahidi kuwa ni mlevi?
@user-hw4qp5kv6m
@user-hw4qp5kv6m 7 месяцев назад
Duh lnaumixa sanaaa
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 7 месяцев назад
Babalevo alikabwa akaenda kuchukua PF3 na hospitali ... Sasa huyo mchizi Lile kofi alilopigwa mpaka kuanguka chini... Yaani Anahitaji PF5 na yule askari aende jela bila kesi... Maana lile kofi simba nomaaa😂😂😂
@williamkeita1519
@williamkeita1519 7 месяцев назад
Yule alikua kwenye utaratibu wa kuhakikisha usalama wa msafara hivyo jela c rahisi kufunga labda angetumia maximum force risasi
@charlesnassary6689
@charlesnassary6689 7 месяцев назад
😢
@felixmganga2121
@felixmganga2121 7 месяцев назад
Ndumu mbayaaa😂😂😂
@Zubaiba
@Zubaiba 7 месяцев назад
Kofi Simba jamani waarusha nyie noma kwelikweli
@judyngowi391
@judyngowi391 7 месяцев назад
Chuga wamepinda kinoma
@catherinekisasila2196
@catherinekisasila2196 7 месяцев назад
'ndio maana tumekaa kinyonge' 😂😂😂😂😂
@JosephChala-d3k
@JosephChala-d3k 7 месяцев назад
Ameenda chini lakin ni kamanda
@paschalnkuba
@paschalnkuba 7 месяцев назад
Hivi Arusha ni nchi nyingine au😢
@franknzowa22
@franknzowa22 7 месяцев назад
Katika mambo ya msingi tupunguze masihara
@HusseinKalamba
@HusseinKalamba 7 месяцев назад
Ungevunjwa meno pumbavu kiherehere chanini uyo bodyguard ajakupiga vizuri
@beingericzitatu9462
@beingericzitatu9462 7 месяцев назад
MNA UHAKIKA ARUSHA NI TANZANIA?😅😅
@Saripa234-u7g
@Saripa234-u7g 7 месяцев назад
Ndio Utujuze wewe kama Arusha ni tz au?!😅😅😅😅😅
@RaymondMahundi
@RaymondMahundi 7 месяцев назад
Yule afisa aliepiga watu utazani yeye ndiyo mtt wa lowassa awajibishwe watu wengi wamechukia
@engribertinnocent7536
@engribertinnocent7536 7 месяцев назад
Akili hauna,
@sniper93999
@sniper93999 7 месяцев назад
​@@engribertinnocent7536hakika😂😂😂😂
@winniejokakuu1551
@winniejokakuu1551 5 месяцев назад
hana hata kidogo
@ForodhaniZanzibar
@ForodhaniZanzibar 7 месяцев назад
Bwana Edward goyai niaje?😂😂😂😂😂
@Saripa234-u7g
@Saripa234-u7g 7 месяцев назад
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@AminaLibisa
@AminaLibisa 7 месяцев назад
Wallah imeniuma sana mpaka tumbo lilistuka tena mungu ampe mtihani katika kazi yake alicho kufanya ata mungu hapendi 😢😢
@majutomusegu
@majutomusegu 7 месяцев назад
Wengi sana wameumia na kitendo cha yule mchenzi
@AminaLibisa
@AminaLibisa 7 месяцев назад
@@majutomusegu hawakufanya poa kabisa
@seurykaaya1089
@seurykaaya1089 7 месяцев назад
Punguzen majan chalii zangu wa chuga 😂😂
@musamsangi1610
@musamsangi1610 7 месяцев назад
Vijana nao wapunguze bangi.Anagusa gari la nini
@AminaLibisa
@AminaLibisa 7 месяцев назад
@@seurykaaya1089 ila inauma so Kwa ngumi lile kama la mandonga mtu kazi 😄
@janethjonas1700
@janethjonas1700 7 месяцев назад
Haikua sawa sheria uchukue mkondo wake
@Mwigaa95
@Mwigaa95 7 месяцев назад
Usha ambiwa ukilewa usinde kwenye mikusanyiko mikubwa kitacho kukuta ndio utajua haujui 🙆🏻😄
@RogatheGabriel
@RogatheGabriel 7 месяцев назад
Wapumbavu hao maaskari
@estermathias8354
@estermathias8354 7 месяцев назад
Hpn hio ni kaz ya asikari.we unawaona hao wakopombe muda.hata jpm walisimama ni kwasababu alikufa akiwa madarakan.asikari hana kosa huwez jua mtu amepanga nn
@ahz6907
@ahz6907 7 месяцев назад
​@@estermathias8354hao wamepanga nini..acheni udwanzi. Ni watu wenye mapenzi na mzee wao hao sio boko haram au alqaeda eti 😅
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 7 месяцев назад
Wanaume wa Dar bana wanaume wachuga wanasema hawana noma wao ndio waliingilia msafara kwa lazima wanaume wa Dar wanaumia. Wale ni pombe nyingi siku hiyo.
@muzneali4747
@muzneali4747 7 месяцев назад
Mbona Walevi??
@mpajibinaisa7238
@mpajibinaisa7238 7 месяцев назад
Hao sio walevi inchini Arusha wako ivyo ivyo
@pambasr2345
@pambasr2345 7 месяцев назад
Yaani hamna watu kabisa huko
@muzneali4747
@muzneali4747 7 месяцев назад
@@pambasr2345 SERIKALI ingeanza kufatilia Hilo NI bomu JINGINE NI kama BODA walivyoanza si dharau bodaboda ILA kwenye msafara WA mamba na KENGE wamo HAO SIO Sawa kabisa
@edwinregnald5826
@edwinregnald5826 7 месяцев назад
Hyo MIC baada ya mahojiano ifutwe
@revmsamilaofficial6607
@revmsamilaofficial6607 7 месяцев назад
Hiyo ndio nguvu kazi ya Taifa, wamechoka na wamepinda.
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 7 месяцев назад
Wadudu hao.
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 7 месяцев назад
Mbali Na upendo Haikuwa sahihi kuingilia msafara wa kiserikali mbali Kuwa upo chini ya USIMAMIZI wa kijeshi
@kutailass6671
@kutailass6671 7 месяцев назад
Kwa maguful Dr watu walilala barabaran mbona hamkusema🤔
@zuhurakibwana493
@zuhurakibwana493 7 месяцев назад
Dah😂😂 sijui hata nacheka nini... Mungu wangu asipigwe ata buti ya tumbo aiseee hamna kwereeeee🙌🙌
@AliceMtinangi
@AliceMtinangi 7 месяцев назад
Ma sneip like zeni 😅😅😅😅😅😅😅😅
@KulwaGuga
@KulwaGuga 7 месяцев назад
Sio makofi hao wamepigwa Mambata😂
@paulinazebedayo8524
@paulinazebedayo8524 7 месяцев назад
Pole sana ndugu zangu ❤
@jeffmasapala4194
@jeffmasapala4194 7 месяцев назад
Alikura ambakati lazima akae
@MirajiSuleiman-c7u
@MirajiSuleiman-c7u 7 месяцев назад
@gazzomaster9462
@gazzomaster9462 7 месяцев назад
Apo kwenye ma sneipa sasa 😂😂
@daudysanga8492
@daudysanga8492 7 месяцев назад
Jamaa kuongea kweli
@josephmtenga3009
@josephmtenga3009 7 месяцев назад
Naitwa josefu
@ukhtyrehemaabdy2830
@ukhtyrehemaabdy2830 7 месяцев назад
Jaman Arusha kuna masela hatar yaan machiz kichiz nawapenda sanaaaa asili ya mzee wangu niganiga
@romimwalu
@romimwalu 7 месяцев назад
Kazi nzuri,
@eagleeyes4449
@eagleeyes4449 7 месяцев назад
Arusha, muh!
@mariachannel2047
@mariachannel2047 7 месяцев назад
Jamani hawa vijana nawapenda. Wanaongea kwa uchungu. Ila lafudhi yao inanichekesha. Walimpenda babu yao maskini. Poleni vijana ila huwezi jua kwa nini mambo haya hutokea. Labda ni kwa sababu za kiusalama.
@JofreyBartazal
@JofreyBartazal 7 месяцев назад
Duh
@sikudhanishabani-yd5ir
@sikudhanishabani-yd5ir 7 месяцев назад
Ila Arusha 🙌🏿🙌🏿 mbona sehemu zngne hawajapigwa
@yahyamoshi2468
@yahyamoshi2468 7 месяцев назад
Nimekuwa wakwanza na mm leo like kwangu jamani
@aminisambo345
@aminisambo345 7 месяцев назад
😅۴۴
@abednego3876
@abednego3876 7 месяцев назад
Mavi kbs
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 7 месяцев назад
Kwahyo
@dannyismael2613
@dannyismael2613 7 месяцев назад
Peleka ushoga huko maaluni
@momosaid6193
@momosaid6193 7 месяцев назад
​@@dannyismael2613 Mm majitu yanayoomba like yananiudhi kla sehem yanataka like had kwenye huzun sijui madude mengne yakoje jmn wanaboaa hzo like znawasaidia nn sijuiiiiii
@ASMAFTAAH
@ASMAFTAAH 7 месяцев назад
ASKARI KAKOSEA NIN MANA YA USALAM WA TAIFA....? JAMAN ANGEMTOA KIUSTAARABH SHAME ON THAT COP SHAME ON HIM
@peterntora5041
@peterntora5041 7 месяцев назад
Kwa hoji mwenyewe anacheka
@MultiSeptember28
@MultiSeptember28 7 месяцев назад
Matunda ya uhuru haya😢😢
@deokessy6596
@deokessy6596 7 месяцев назад
Ungekufa
@EstomihUrassa
@EstomihUrassa 7 месяцев назад
Sijapenda hata kidogo tunaomboleza Kwa Mzee wetu Bado tunapata kifinyo Sheria ifanye kazi. Sii haki.
@OmaryRamadan-oo4td
@OmaryRamadan-oo4td 7 месяцев назад
Kapigwa kofi jiwee au kofi simbaaaaaaaa ataliiiii
@linkreuben3108
@linkreuben3108 7 месяцев назад
Msiba sio ugomvi!
Далее
СМЕЛОЕ РЕШЕНИЕ #shorts
00:14
Просмотров 18 тыс.