I'm such a fan of big brother Kanyumba, I have my heart with him, you were inspired by this beautiful song for me, really big thank you, this beautiful song gives me another power to live, at home my great hits the only one you know sung, come in Congo
Hakuna binadamu mwenye kupenda mafanikio yakweli kutoka moyoni mwake kama mama yako mzazi,,, ilaaaaaaaaa zingatia nachokwambia ikitokea ameingia katka dunia yawatu wabaya wa usiku basi anakuwa mtu wa kwanza asopenda maendeleo yako na adui yako namba moja duniani nyoka anasubilia tena black mamba yule 👹👹👹