Heshima kwenye kazi ya mtu win win situation kwenye mambo ya pesa kwa mafanikio ya mtu ni muhimu hasa kwa wasanii Big up show kali sanaa More love in Tanzania✌✌✌
Interview nzuri sana una girlfriend? hiko chini ya carpet Hatuta kuliza jina lake 😂😂😂 Ndio ninaye 😂😂😂 Anaitwa nani? 😂😂😂 Vidox na Millard 😂😂 nyie Ni ma professor kweli kweli Hasa vidox Mbeya nyieee😂😂😂
Ila siyo nzuri kumtumia mtoto wa mwenzio,kama ningekuwa mim ningekushtaki mana umemchafua Kwajili yakupata maslahi yako,,jay usingeongea ukwer kuhusu ilo swali,,mana limealibu kama Paula angekushtaki ungemlipa,,,bongo bwana