Тёмный

EXCLUSIVE: MAISHA YA WAHDZABE WANAVYOKULA NYANI "AKIFARIKI MTU ANALIWA NA FISI" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 61 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 129   
@anordjoseph6644
@anordjoseph6644 Год назад
Jamaa kaongea vizuri sana kiswahili
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Год назад
Maisha haya niya hatari Sana...Bora serikali ingesimamia swala hili waweze kutoka uku maporini waishi. Kama watu wa kawaida ..hivi NI mateso ...
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Subuhanallah.. Mtihani Allah awalinde maana hatadini. Hamjui hapo
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Год назад
Serikali muache kuwafanya vibonzo kwa kigezo cha kuonesha watalii wafanyeni wastaarabike hii sio sawa kabisa nao ni binadamu kama sisi muwasaidie hao watu waishi kibinadamu ndo maana wazungu bado wanatuona waafrika kama nyani ni kwa mambo kama haya …
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Год назад
Daah umeongea kwa uchungu sana ingekuwa hizi comments zinazingatiwa nadhani hii ingeangalia zaidi
@robathcarlos8068
@robathcarlos8068 Год назад
Daah kweli aisee
@DENISLEMA
@DENISLEMA Год назад
Asili ni asiliii brooo ikifika stage watabadilika
@allymasubi9404
@allymasubi9404 Год назад
Serikali imewapa Hadi maeneo wamekataa ila wao ni alama ya culture unaelewa Hilo ko usicoment usichofaham.zimefanyika Hadi documentary kubwa duniani kuwahusu kifupi ni Moja ya alama muhimu ya utamaduni wa wa tanzania we must be proud of them the way they are.
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Год назад
@@allymasubi9404 Usenge mtupu hata mm ningekataa unampa eneo Hadzabe ajenge na pumbu na hana shughuli yeyote yakumuingizia kipato mbona ww hauendi kujiunga na hiyo Culture.
@KhamisNasoro
@KhamisNasoro 4 месяца назад
Mbona wa maasai waishio ngorongoro wametafutiwa makazi handeni wilaya ya msomera serekali wasaidiwe hao wenzetu
@raphaelkaswahili323
@raphaelkaswahili323 Год назад
Baada ya miaka 15 mbele tutakutana na wadzabe wengi wakiongea kingeleza na tutegemee kukutana na vijana wasomi na walowezi
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Месяц назад
haya mfalme njozi
@victorjames3730
@victorjames3730 Год назад
Nawaza tuu kama kuna siku watafurushwa kama wale wamasai
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 Год назад
Aaaah kumbe wanakula ugali ila hawapati sasa wanakosaje mashamba wakati wanaishi porini ila bora msilime maana mkilima tu mwajanyang'anywa lakini tuiombe Serikali yetu iwafikirie hawa watu hii nikarne nyengine jamani daaah inauma sana
@user-or8zx1wv3n
@user-or8zx1wv3n Год назад
Hivi wanajua hal ya nchi kwel 😂😂😂
@Eliya-vv1jp
@Eliya-vv1jp 2 месяца назад
hawajui ata rais ni nan!!
@frankazalia5985
@frankazalia5985 Месяц назад
Wanajua nyerere yupo
@ayubumwangi7517
@ayubumwangi7517 10 дней назад
Yenyewe haiwahusu
@zulehaabubakar3574
@zulehaabubakar3574 Год назад
Sasa je wakimuona mtu kabila tofaut hawamuuwi
@Juke995
@Juke995 Год назад
Huyo ndo mjanja wasichimbe kijiji Ila sasa ndo wasichimbe makaburi mtu akitoloka 😂 hadi uliwe na fisi jamani 😂nilitaka kuhamia Ila nimegaili. Serikal iwapatie majembe I can imagine hicho kipindi watalii wangekuwa wanakimbizana kila kona mtu katoloka kaachwa fisi wanajilia
@user-mn4cm5mf3r
@user-mn4cm5mf3r 26 дней назад
Serikali ya watu wakujilimbikizia mali na kugombania madakaka huku wakiuwana kusaidia binadamu kaa hawa wahaoni wamesha wafanya kaa utalii
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 Год назад
Duh kazi kweli kweli 🤔
@isakajoseph9926
@isakajoseph9926 Год назад
Dah afadhali ata wanajua kiswahili mana kuna wengine ukiwakuta ukiongelesha kiswahili wanakushambulia
@erastoerasto898
@erastoerasto898 Год назад
Mtu mmoja arudie jina la dada tafadhari sijalipata vizurii😁😂🤣🤣🤣
@hamedahameed148
@hamedahameed148 Год назад
😃😃😃😃😃😂😂😂
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 Год назад
Shumu nokoonoko
@erastoerasto898
@erastoerasto898 Год назад
@@zainabumbondei8635 😁😁😁😁😁😁
@erastoerasto898
@erastoerasto898 Год назад
@@hamedahameed148 😁😁😁😁
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 3 месяца назад
​@@zainabumbondei8635😂e
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 Год назад
Maskini uwa nawapenda Sana awa watu uwa Kuna ata adithi zao tumekua tunaadithiwa.
@IdrisaTuppa
@IdrisaTuppa Месяц назад
Hivi Hawa Hawawezi Kubadilishwa Maisha Yao
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 Год назад
Twiga je hamuwindi ?
@frankmare1708
@frankmare1708 3 дня назад
Mwanamke wa Kihadzabe ana rafudhi kama msukuma
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 Год назад
Vime niuma sana kuona serekali zetu kube wanzungu kwe watu wetu wakiasili sio vizuri jamani, Mme lipwa nini? na aho mapink?
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 месяца назад
Hawa watu wamezoea haya maisha tulisha wasaidia na shirika linaitwa cuso tukawaleta wengine mjini kuwasomesha bt wakawa wanatoroka wanarudi huku
@salomewandya7257
@salomewandya7257 10 дней назад
Wanatakiwa walime maana mashamba wanayo
@trecygohy7847
@trecygohy7847 4 дня назад
Umeongea kitu cha msingi ila wao wamezoea kuwinda na kula matunda ya porini ila kama kuna wataalamu wa kilimo na ufugaji wangewapa mafunzo ya kilimo na ufugaji ili watoke kwenye kuwinda waende kwenye kilimo na ufugaji na biashara ndogondogo
@yusuphswai6851
@yusuphswai6851 15 дней назад
Uko akuna kisukari wala presha
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Kwn mmekatazwa kuishi mjini 😣😣, bc msafishe meno
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 Год назад
Haondowanalipa kodiii afuuu niajila
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
@@liberatusjackson5045 hayo meno au
@heyumi2340
@heyumi2340 Год назад
😄🤣😂😆😄🤣😂😆😄🤣😂etii wasafi she meno dah
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
@@heyumi2340 ndy 😊😊
@heyumi2340
@heyumi2340 Год назад
@@khadijahali4837 umenifurahisha
@jonathanjackson6123
@jonathanjackson6123 29 дней назад
Mnakula mizizi wakt tunawaona mkila mpka ugari
@salimumohammedsalimu1720
@salimumohammedsalimu1720 2 месяца назад
😂😂😂huyo dada amejipindia
@BaliseleElias
@BaliseleElias Месяц назад
Mwanamke anaitwa Shumunegono😂😂😂😂
@KhamisHassan-ql5ut
@KhamisHassan-ql5ut Месяц назад
SERIKAL IWASAIDIE MAISHA HAYA YAMEPITA NA WAKATI ELIMU WAPEWE
@user-ui1qs9yl1n
@user-ui1qs9yl1n 2 месяца назад
HUYU JAMAA ANAONGEA KAMA WILLIAM RUTO RAIS WA KENYA
@user-xw9wo7nh6c
@user-xw9wo7nh6c 4 месяца назад
masikini wezetu bd kabisa wanadumisha mila lakini serikali msiwafanye kama maonyesho
@benjo_brighter
@benjo_brighter Год назад
Kumbe kiswahili kipo kipo 😲
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 3 месяца назад
Hawa jamaa wanaishi maisha ya kishenzi...wana Dhalilishwa sana...wanaonekana kama sio binadamu wa kawaida...mbona wanosoma wakipata elimu hawarudi tena kuishi polini kama wanapenda maisha haya?...hatuwaonei huruma watoto zao....tunawaona kama kivutio cha watalii...mbona kuo Hamuwaondoi 🎉kama walivyowaondoa wamasai kwa kisingizio cha kuishi polini...hawa wanaachwa ni wanyama gani wanaitwa?
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 Год назад
Wanaongea vizuri kiswahili kuliko Wachaga 😢
@dianacornely4600
@dianacornely4600 Год назад
😏😏
@hechihans8309
@hechihans8309 Год назад
​😢😊i😊😊
@user-kn9ng6lg4j
@user-kn9ng6lg4j 10 месяцев назад
😅😅😅😅😅
@jenivajacob7460
@jenivajacob7460 3 месяца назад
😂😂
@mbunah255
@mbunah255 Год назад
Ndomana kanye alisema waafrica utumwa wali jitakia wenyewe
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Год назад
Wanahitaji elimu ya dini kwa hiyo watalii wanakuja kutizama munavyo ishi kama wanyama na ndiyo nyie kunawafanya Waafrika wote waonekane hawana elimu wala akili ni sokwe nyie ndio chanzo.hebu serikali wapelekee mahitaji ya kibinaadamu nguo.ujenzi na vyakula
@Fredrick-tl5gl
@Fredrick-tl5gl 23 дня назад
Hawa jamaa ni wazeembe itakuwa
@user-gc2bk4rq9k
@user-gc2bk4rq9k 4 месяца назад
Elimu inahitajika..
@chidybwax8080
@chidybwax8080 Год назад
Limeni mbona inawezekan
@nelykaaya6503
@nelykaaya6503 Год назад
Daa ninomasana🤣💥💥💥💥
@kaayakitomary1233
@kaayakitomary1233 Год назад
Wazungu kwao hawaonyesh barabara hata moja mbovu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Месяц назад
Watu wema sana hao hawana fitna kama tulizoja nazo uku mjini.
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 месяца назад
Serikali iwawezeshe waanze kulima hii sio poa
@user-vy8of1cy5n
@user-vy8of1cy5n 4 месяца назад
wana abudu nini?
@amanimusa5744
@amanimusa5744 Год назад
Serikali iwasaidie wasiwafanye vituko kwa watalii.
@MohamedAli-ho5fq
@MohamedAli-ho5fq Год назад
Serekala yatu tukufu tuwawasaidie a wa watanzania wenzetu serekali wejengeeni ata vibanda vya kuisha .mvue ikinjesha wanakimbilia kwenje mapango ya mawe? Serekala waoneeni uruma .
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 Год назад
Watu awa badowapo duuh nilikua zamazakaletu
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 3 месяца назад
Kumbe wanaongea kiswahili kizuri tuhh wanyama hawa😢
@Gersah
@Gersah 3 месяца назад
Ww mdudu
@aash4145
@aash4145 Год назад
Jina la dadaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Prince0fald
@Prince0fald Год назад
Wabadilike, wawe kama binadamu wengine. Ustaarabu ni jambo zuri
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Год назад
Safi sana hii ila tatizo kwa serikali yetu wameshafanya vibonzo vya kuwaonesha watalii .
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 Год назад
Kwa nn msijenge polini miti mingi khaa🤔
@ayubumwaipopo8203
@ayubumwaipopo8203 Год назад
..lakn haw ni hadzbe wa kisasa...wanjua had kxwahil 😂
@betyjoseph6812
@betyjoseph6812 Год назад
Kweli kabisa 😂😂 siyo hadzabe wa kienyeji
@ayubumwaipopo8203
@ayubumwaipopo8203 Год назад
@@betyjoseph6812 balaa kwa kwelii 😂
@ayubumwaipopo8203
@ayubumwaipopo8203 Год назад
@@betyjoseph6812 balaa kwa kwelii 😂
@godfreykarata3710
@godfreykarata3710 4 месяца назад
Shumunekoono watoto 8 na bafo
@alenyema
@alenyema Год назад
Akunku kukuuu
@escobar2111
@escobar2111 Год назад
Awaa jamaa sio binadam kwa kweriii
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 Год назад
Una mawazo ya hovyoo sanaa!!Kiufupi wewe ni kijana wa hovyoo hapa Tz!!
@victorjames3730
@victorjames3730 Год назад
Kwanini?
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 Год назад
Hapo ni tumbili
@heyumi2340
@heyumi2340 Год назад
@@reubenkissinga5802 waty gani wanakula wanyama ambao hawafai kuliwa hawa hawachekan na wazungu wachina waphilipono wanakula wadudu wote
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 Год назад
Chimbuko lao ni ethiopia na zudan kuna kabila linaitwa nyangatom wapo ethiopia wakatili hatari
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 Год назад
Sasa nyie sere kali zetu za Ki Africa mkoje nyie mnaogopa wanzungu? hizo ndo asili zetu za Ki Afrika kwa hiyo chenye mna takiwa kufanya muheshimu mila zetu. Wanzungu siokitu nirangi tu ata huku kwao wana hisha kwa magumu nibasi tu.from 🇨🇩🇸🇪
@bosskimaro
@bosskimaro Год назад
BAKI MWEUSI UKICHEPUKA HUONEKANI! ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-FRqEIylZ9Qg.html
@user-mc1ll4py3f
@user-mc1ll4py3f 4 месяца назад
Awo watu wawe wanaenda shule
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 Год назад
Sasa km hamna mlango munapigana vp miti ?
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 Год назад
Usiku wa manane
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Год назад
Na wakigongana miti hao inaonekana kuna purukushani sio ya kawaida kama wanaua simba hiyo miguno
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 Год назад
@@RobbyDejan1234 wewe Robby
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 Год назад
@@RobbyDejan1234 wasema?????
@iddymemba8795
@iddymemba8795 Год назад
😅😅
@altaphonebypassofficial
@altaphonebypassofficial Год назад
hivi hao watu bado wapo ??
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 Год назад
Wamekufaa wote jana!!!
@aminamohammed7946
@aminamohammed7946 Год назад
@@reubenkissinga5802 🤣🤣🤣
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
@@reubenkissinga5802 🤣🤣
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Год назад
😂😂😂😂
@altaphonebypassofficial
@altaphonebypassofficial Год назад
@@reubenkissinga5802 nyoko zako ww 😀😀😀
Далее
The Most Elite Chefs Ever!
00:35
Просмотров 3,9 млн
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
Просмотров 80 млн
Hadzabe  | Tanzania
13:00
Просмотров 1,5 млн
Kabila la Wairaq - Kaskazini mwa Tanzania
15:11
Просмотров 34 тыс.
UTALII WA NDANI - ARUSHA:WYOMMY 16 PLN WAHADZABE 3
20:29
The Most Elite Chefs Ever!
00:35
Просмотров 3,9 млн