Тёмный

#EXCLUSIVE 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 72 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

6 фев 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 71   
@hajiameir3733
@hajiameir3733 2 года назад
Hii ya kuona mabaya na kuyafananisha au kunasibisha na weusi ndio vipi.????mabaya ni mabaya...rangi nyeusi imehusikaje???acheni kuiona rangi nyeusi inawiana na ubaya
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 года назад
Usililie uzuri lilia bahati huu msemo unamvaa vema huyu bint she s very beautiful ila ndo hanaga bahati na asiye na bahati habahatish😪😪😪 kapo kama malaika ila bahati bahat daaaaah
@eddietaz710
@eddietaz710 2 года назад
sio hana bahati, hana akili
@rosechami5637
@rosechami5637 2 года назад
This woman hakufanyiwa vizuri Ila yeye pia alikosea kutembea na mume wa mtu pia was so bad
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Pole sana kipenzi
@seifsungura6936
@seifsungura6936 2 года назад
Shangingi tu nyie ..wote mashetani ..mungu gani mnaabudi nyie......
@ladsonmshana9920
@ladsonmshana9920 2 года назад
Sema kweli wadada kuweni makin Sasa mtu kama mwijaku kweli!!!
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 2 года назад
Big mistake, hakujua kama Mwijaku ni taahira.
@gookagooka8933
@gookagooka8933 2 года назад
Mzenzi Yule
@estermathias8354
@estermathias8354 2 года назад
Hahaaaa
@MrNdanguza
@MrNdanguza 2 года назад
@@unclepwechnov1381 hahahha aisee 😁😁😁😁
@jabarmalid5393
@jabarmalid5393 2 года назад
Sio mtu, Lijitu lile
@joshuaclement6775
@joshuaclement6775 2 года назад
Diva your professional🙌
@simoncharles6475
@simoncharles6475 2 года назад
menina hujielewi ww ulijirecord mwenyewe na makalio yako ya dimpozzz sasa mwijaku c ni choko tu yule kam choko wengin
@draaonline7923
@draaonline7923 2 года назад
Ni vibaya kuchukua clip wacha kudanganya watu
@jabarmalid5393
@jabarmalid5393 2 года назад
We mdogo wangu lile lijamaa Liboya lile dah!!! Wadada mnahuruma sana.
@bakariyusufujuma
@bakariyusufujuma 2 года назад
Wote ni mafala mkiambiwa acheni zinaa inaleta ufakili na yani kwenye kuzini uliona ni vizuri nankiri kuwa kuchukua video sio vibaya vibaya ni kusambaza na kama unasubiri aadhirike mmeshaadhirika wote kikubwa omba toba acha zinaa kama bado unafanya na bado unaalani wazinifu wenzako linaweza kukuta kubwa kuliko inawezekana mwenzako kaomba toba tubia dadayangu kabla punzi haijakata hata mambo ya kesi achana nayo haitakusaidia chochote omba toba mrudie mungu wako tumia uzuri wako kumtukuza mungu na kumshukuru utafaulu kuliko hayo unayo yategemea
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 2 года назад
MashaAllah good advice barakallahu fiiq
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Unamtisha huyu dada? 🤣🤣🤣 Umechelewa! Hatishiki!
@williamkeita1519
@williamkeita1519 2 года назад
Mungu Mungu Mungu × atakulipa × marakibao haikusaidii dada ALLAH kawapa onyo wengi walio na tabia hiyo kupitia wewe. Ukubwa wa dhambi ya dhinaa ukiunganisha na kuisambaza mitandaon n kubwa mno.next time ukihojiwa kubali ww ndio mkosaji mkuu na iombe sana msamaha jamii na hasa wanawake.
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 2 года назад
Anakuwa vipi mkosaji mkuu wakati baada ya yeye kulewa(stupidly of course) Mwijaku akatumia opportunity kurekodi ile clip na akawa akimtisha nayo(which is pure blackmail and a grievous criminal offense) na baadaye akaisambaza, the outcome of this case before the court of law will reveal all the hidden facts.
@williamkeita1519
@williamkeita1519 2 года назад
@@unclepwechnov1381 Kulewa kwake kupigwa picha n msg tosha kwa wadada wengne wanao fakamia mipombe ya watu wasiowajua tabia.inshot mi ninamlaumu menina coz jukum la kulinda utu na thaman yake n lake mwenyewe. Mahakama itatoa adhabu kwa huyo pimbi mweusi wa kigoma but haitorudisha utu wala thaman ya menina ndio hivyo tunamuona kiaina yaan wadada wajipendao wajifunze kwake
@tousihhhh6765
@tousihhhh6765 2 года назад
mbwa mwijaku ndomaan kalaaniwa yule njaa muha yule inamsumbua fala yule
@mjuvemjuve7847
@mjuvemjuve7847 2 года назад
Linaongea sana lile mwijaku kumbe mshenzi yake aongei
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 2 года назад
Kumbe ni mwijaku kweli 😢😢yn leo hii ndio naamini km ndio yy baada ya menina kusema 😢😢ile menina na ww ulikuwa umelewa sn ile whisky 😢
@TheBlkk100mk
@TheBlkk100mk 2 года назад
Hawa watoto mahabithi hujifanya wanajuwa sana dini pale wanapotaka kujisafisha. Huyu ame wadhalilisha wazee wake vibaya sana sana. Nafahamiana na baba yake, ulikuwa unahisi kwamba kaumizwa vibaya sana. Menina umeuvaa ulimwengu na bado mdogo sana. Utakushind
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 года назад
Ila mtoto huyu anakunya kama BATA BUKINI ...!...Dah hatari sana..!
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 года назад
Mwijaku libaba litahaira lisilojielewaa kenge kbsaa.AMEDHALILISHA WANAWAKE WOTE AKIWEMO MAMAKE.pua imemfunuka ka kikaango cha chapat
@kingbyaro6016
@kingbyaro6016 2 года назад
Ile video ina nisaidia kisabuni Asante mwijaku 😘😘
@aminamnyaruge8574
@aminamnyaruge8574 2 года назад
😂😂😂Yaani wewe jmn 😂😂
@mishwanwanmish8803
@mishwanwanmish8803 2 года назад
Mm pia uwa naiba dezine
@adamally6
@adamally6 2 года назад
😅😅😅😅
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 2 года назад
Bado unayo wewe nae mzinzi 🤣🤣🤣🤣
@oyay2821
@oyay2821 2 года назад
Duhhh🤫
@eddietaz710
@eddietaz710 2 года назад
Yaani video unajichukua mwenyewe na ukamtumia mwenyewe and then unatafuta mtu wa kumlaumu, and act as if you are innocent.....lack of education,
@isacklaurent8948
@isacklaurent8948 2 года назад
yani diva anajua kungang,aniz san huyu ndo mtangazaj anaetakiw
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 2 года назад
Sana, amemuingia professionally mpaka kafunguka kitu ambacho hakuwa akitaka kukifanya, kongole kwake Diva.
@amidushaban8081
@amidushaban8081 2 года назад
Mwijaku ni murundi sio hata mukongo
@bjzee1981
@bjzee1981 2 года назад
Mkome. Unatembeaje na mtu kama mwijaku
@rushurikarashid3018
@rushurikarashid3018 2 года назад
Hakuna malipo ya upumbavu achen ushenzi. Malipo ya zinaaa et mungu atamlipa hapahapa? Wote washenzi si menina Wala mwijaku. Hadi unakubal kurekodiwa akili yako ulikuwa umeiazima sehm au
@eddietaz710
@eddietaz710 2 года назад
very true,
@cidewashington670
@cidewashington670 2 года назад
Muuza papa na mnunuzi wamegeukana
@omarhamad4844
@omarhamad4844 2 года назад
0
@kuluthumkaguna9174
@kuluthumkaguna9174 2 года назад
Halafu.saizi.linakazi.yakuona mabaya.yawenzake hilo limwijaku shetani sana
@jumatingi2047
@jumatingi2047 2 года назад
Umalaya wa menina kukubali kurekodiwa ndio sabab...
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
Mwijaku shenzi sana...
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 2 года назад
Akome kbsa pumbavu
@abbyadams8691
@abbyadams8691 2 года назад
Mwijaku ni noma maana niliiona ile video duu jamaa lilimpelekea moto huyu mtoto kinoma.
@angelageofrey9756
@angelageofrey9756 2 года назад
Daa
@eshahassan7682
@eshahassan7682 2 года назад
Hahaha
@salmyhussein6255
@salmyhussein6255 2 года назад
Achaneni na abbygal
@amidushaban8081
@amidushaban8081 2 года назад
Yani wale warundi , wa 1972 wakajifanya watanzania 🥶
@MrNdanguza
@MrNdanguza 2 года назад
Babu usianze hizo ,wengi sana wabongo ni wageni yani tukianzia miaka ya kale tutawakomba wengi mno wengi sanaaaaa .
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 года назад
Vimburu
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 2 года назад
Ongea kiswahili wewe kwani ukiongea utafukuzwa mnanikera na vingereza vyetu vya ubabai
@abuusufian6506
@abuusufian6506 2 года назад
😀
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 2 года назад
Tena vingereza vya ukoko 🤣🤣🤣diva na hiyo miwani km mchomelea mageti 🤣🤣
@eshahassan7682
@eshahassan7682 2 года назад
Hahaha😂😂
@laurentnkomole2818
@laurentnkomole2818 2 года назад
go back to school
@yohanachilemeji5413
@yohanachilemeji5413 2 года назад
@@laurentnkomole2818 😂😂😂umenena✅✅
@bahatihassan5413
@bahatihassan5413 2 года назад
Kiukweli akili huna menina na sio ww tuu wte wanajirikod wakati wakuliwa mzigo matahira tupishe sie usijinasue nakuona mwin'jaku anamakosa kusambaza uchafu wenu ,km ulikataa kuchukuliwa video yakuliwa mzigo tungejua ss akili huna nakwambia tena
@mulikaujoseph9971
@mulikaujoseph9971 2 года назад
Sasa wewe wafanya interview ama unajenga team ati ndo #mwijaku aonekane mbaya jamani
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 2 года назад
Ingekuwa ndugu yako ndiyo amesambaziwa video yake ya faragha usingeyasema uyasemayo, hakuna binadamu aliye perfect lakini kwanini mtu mwenye akili timamu uvujishe clip ya faragha kumdhalilisha mwenza wako😳🤷‍♂️?
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 года назад
Kwan mwijaku ana uzuri gani?uzuri kuvujishaa mambo ya faragha mitandaoni hyo akili ?au matopee?ndo mana akapewa pua imemfunuka ka chepeo la mavi.tena mshenzi kbsaa
@deniserick6115
@deniserick6115 2 года назад
Kapangwa na wasafi
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 2 года назад
Usitafute haueni ya makosa yako kwa kutafuta ya wengine. Umekosea limetikea just admit . Watu wanaweza kuwa wanafanya mistake Ila Kama so yako ama za kawaida sana ambazo hazidhalilishi.
Далее
Jua kali leo usiku jumapili 21-7-2024         4k
19:14
Просмотров 44 тыс.
MENINA AFUNGUKA MAHUSIANO YAKE NA MWIJAKU KWA SASA
3:41
Утро в Нью Йорке
0:16
Просмотров 7 млн