Kwakweli kajala hata maongez yake Bado anampenda harmo napia kajala sikawaida sana vile kupungua kwasai nikama anamaswal mengi anajiliza kwakuachana na harmo
Bongo wanahabari na watu mnapenda sana personal life ya mtu kiundani sana hamna issue za maana kabisa daily the same things zero zero wanahabari hamna mpya
Tatizo la wanawake ni mmoja tuu jeuri na kiburi mwanamke unaweza mtendea wema kika kitu ila huyo uasili wakibinafsia wakike unawasumbua saana ,ila ninacho kiuona kajala anaguswa kutuko kushikilia vizuri penzi alilopewa na harmo ika harmo unampenda ila kilacho haribu kajala uyo ubinafsi wajinsia lakike lilimsumbua saana hara sasa lina msumbua ila kiukweli anaumia ndanindani kua hayupo ndani tena ya mapenzi ya harmo ,asili yakika mwanamke hupenda kudekeswa na kumpelekesha mpenzi wake inapo tokea hivo sometimes mme hayupo tayari kupelekeshwa kutoelewa kua ndio dizaini ya moenzake anavio taka ili penzi lawo lidumu sasa unapo paniki mmoja kwa mmoja mwamke anachikulia kama hupendi tena alafu anakuzira kutokana na usongo wake moyoni na ubungoni mwake ila badaye anajikemea hila hakubali kujishusha ila aishi fresh na mpenzi kutokana na uyo uzwaifu wao wakuto jielewa.ila wanaumia saana wanapo chukua uamuzi wakuzira mapenzi baasi jeuri ndio inayo watunza ila baala😮😢
Ya Nini kubeshana 💔 inaomba kajala anamueshemu harmoniz ame jitaide sn Ku pambania maisha yake💪🙏🏾sn yani mwamuke hâta umupe Nini harizike mapenzi ni Nini 🤦mimi ni mcongo 🇨🇩💪
Wewe wakwanza kujulikana lakini ulisha potea kwenye maskio ya watu hamo ndio kakurudisha mjini na kakufanya ujulikane zaidi mwanzo walikuwa wanakujua wa tz tu sasa ivi unajulikana kimatafa shenzi we uwe na shukrani
We love Tanzania news and music 🇹🇿 but the big problem we have is that we dont understand Swahili so iam asking if you can help us by putting english subtitles on some of your interviews so that the whole world will understand...
Tafadhali Harmonize, wachana na maisha ya mwanamke Kajala, ulimkosea akuamuomba hata dunia nzima ikusaidie ili mrudiane, akakusamehe na baadaye ukamfanyia maajabu ya firauni!, Sio vizuri wewe kayajenge maisha yako upya! Lakini ujue kuna chenye kinaitwa "KARMA"!
We dada wa hizo pads, ata siku moja kwenye biashara usiseme kidogokidogo, mmechukua msanii mkubwa kufanya nae kazi halafu mnakuja kuongea upuuzi, hujafundishwa marketig wewe?? Eti mzigo kidogokidogo, mnaua biashara zenu wenyewe shenz wahedddd