Bismillah mashallah. Hata maskini unaouwezo wa kuwa rubani na ukarusha ndege. Kuna wadhamini Kuna mikopo Kuna bahati Na kuna mungu Kwaiyo usikate tamaa kikubwa ni uhai tu.
alafu awo family zao sio kama wewe usitegemee family yako kama itaweza kukulipia milion 100 awo utakuta baba zao au mama zao viongozi mzee ila watu wa uswailini wataishia kariakoo tu
Jambo mhimu ni kuhakikisha tayari familia inamiliki ndege ndiyo ukasomee. Sio utegemee kwenda kusoma alafu uanze kuzunguka na bahasha na soli ikae upande utakuwa una tatizo kwenye medula.