Тёмный
No video :(

Exclusive na Mrembo aliezaa na Ibraah alalamika Harmonize anajua huyu ni mtoto wa msanii wake 

Bongo Touch
Подписаться 740 тыс.
Просмотров 55 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 121   
@simonballu1124
@simonballu1124 2 года назад
yaani kama hiki kitoto cha watu mnakitumia kupata trending washenzi nyinyi mlaaniwe. sasa kama ulisema utamlea shida nini si umlee.
@fuadshell5188
@fuadshell5188 2 года назад
The best to check DNA for both Babt/ Ibra
@angejeanboscohakizimana2402
@angejeanboscohakizimana2402 2 года назад
KONDE GANG FOR EVERYBODY,ACAA WOGOOO WEEE
@hamisilally4727
@hamisilally4727 2 года назад
Kinacho muhukumu huyu ni kua na wanaume wawili hatakama ni mimi ningefunga break we pambana na hali yako tu IBRAAH ashaotea mchongo
@mziziwabahariahmad980
@mziziwabahariahmad980 2 года назад
Naona kunawatu hawatamuelewa huyu mwana dada alichokieleza kuhusu alikuwa na mambo mengi mambo mengi alio kuwa nayo ni kuhusiana na mikakati za kimaisha sio mambo mingi sisi binadu tunaojijadji tu
@zou7470
@zou7470 2 года назад
Yani sisi wanawake kuipa pepo ya Allah tutaipata kwa huruma wake tu mana yani demu mwenyewe amesema ety alikuwa na mambo mengi ibraa mwenyewe ataminije kama ni mtoto wake
@jackmatola8199
@jackmatola8199 2 года назад
Sahiiii nakusapot Kwa ilo ✌️✌️
@user-hn3km9ex5r
@user-hn3km9ex5r 2 года назад
Huyu dada ni kicheche mno at the same time alikua na wanaume wawili ndio maana Ibraah kaamua kumfungia vioo
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 2 года назад
DAAH kumbe ana liwa huku na huko hawa madem mafala
@abdallahmbonde1316
@abdallahmbonde1316 2 года назад
hongera dada karibu sana mtwara pia
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 года назад
😂😂😂😂😂😂
@hemedyawadhi2935
@hemedyawadhi2935 2 года назад
Hapo dada ujajenga zaid tu unazidi kubomoa kabisa kama ulisema utalea mwenyewe alivyosema hayupo tayar mwanzo basi endelea mana ulivyokua unamjib sheet ulijua msanii uyo mkubwa atakua anakusaport akakukimbia
@chmsengelwanondo9788
@chmsengelwanondo9788 11 месяцев назад
Ndo wasanii hao dada yangu. Cha msingi ni kumfuatilia kusheria. He must pay a ciild support
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 2 года назад
baadhi ya wanawake Kwa kuto kujitambua mtaziniwa na kuzalishwa mpaka mnazeeka,Ebu badilikeni wacheni tamaa.
@SamirBSam
@SamirBSam 2 года назад
Ibra ni mzee Abdul🤣🤣😂
@hemedyawadhi2935
@hemedyawadhi2935 2 года назад
Yaan kikubwa kuongea kuelewana ata ukisema ufate sheria uyo cyomwizi nakuna sababu tu yamtu kukataa na dada anaonekana mambo mengi mtu uwez kukulupuka
@charlesjoseph222
@charlesjoseph222 2 года назад
Iyo noma sana ibrah
@king-size8114
@king-size8114 2 года назад
Wanaume tuna tabia mbovu sana kukataa damu zetu ni laaana kubwa sana hatujui tuu
@charlesjoseph222
@charlesjoseph222 2 года назад
Ilooh
@christopherbillypapa3612
@christopherbillypapa3612 2 года назад
Karibu Shem kweny kond Gung ila Uwe mkweli kwa mwanetu chingaaa
@starlife3550
@starlife3550 2 года назад
Watu wawili hapo noma Ibrah usikubali
@kpsaidi7911
@kpsaidi7911 2 года назад
Good
@hannanommy302
@hannanommy302 2 года назад
Na nyinyi wadada ni mtihani mkubwa?binti mzuri kama wewe kwenda kushoboka kwa ibra kisa msanii mkubwa wa Harmonize?angalieni mnavyoteseka na vijanaume chupi? Mtateseka sanaaa kwa tamaa zenu,wewe unakwenda mpk Dubai kweli umekosa mwanaume wa maana huko Dubai???Sorry uko Desperate mnooo mdogo wsngu,mlee tu mtoto wako atakusaidia
@fatmaali4921
@fatmaali4921 2 года назад
my dear fanya kazi km unavofanya hakuna mtoto wa baba kuna mtoto wa mama coz mama ndo mzaaji maamivu ww ndo uloyapata muhimu ajue km kuna mtoto wake mengine atajua mwenyewe bana akileta pokea ila usimuombe
@hadijaabdul8765
@hadijaabdul8765 2 года назад
Kabisaaa
@sylviah9666
@sylviah9666 2 года назад
Ibraah mwenyewe kasema hana mtoto
@maryaika9645
@maryaika9645 2 года назад
My baby is beautiful intelligent older working and graduate Not looking for fame is not on these levels
@maryaika9645
@maryaika9645 2 года назад
Utamlia now una shida so why are you looking for him now or is it because of Miriam odemba
@calvenycachelu9778
@calvenycachelu9778 11 месяцев назад
😢
@abdallahmbonde1316
@abdallahmbonde1316 2 года назад
uyo kweri mtoto wa ibrah
@maryaika9645
@maryaika9645 2 года назад
Woman if you give birth you should take care because you have grownup
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 2 года назад
Wewe ni mjinga sana tafuta baba muache ibrah
@ashaomari7972
@ashaomari7972 2 года назад
Upuuzi huu🙌
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 2 года назад
Ati wamlaumu anko hahaaa Kunawatu hawako serious namaisha yao
@user-gc3ec9wx6z
@user-gc3ec9wx6z 2 месяца назад
Vina kuwa na hashuo hiv vikiona wasanii
@settinyomwongozo5645
@settinyomwongozo5645 2 года назад
Mh nigune tuh hizi kiki za kutrend mitandaoni watu wataingia motoni wengi yani kwamm mwanasakorojia unaona kbsa nimuongo tutafute kiki ya mambo mazuri Dada yanini yanini kutafta kiki
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 года назад
SHUKURU ULIPATA MIMBA JE UNGE PATA UKIMI UNGETANGAZA KOMAA AKILI BADALA YA KUKOMAA MWILI.
@abdoulazizalimohamed7995
@abdoulazizalimohamed7995 2 года назад
Hhhh
@samsonlazaro2840
@samsonlazaro2840 2 года назад
Mbona haeleweki huyu dada
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 2 года назад
Pengine umetoka nayo Dubai kapime DNA ulikuwa unawanaume wawili kalee mwanao usimwambie Ibra.
@mwanajumasaid1983
@mwanajumasaid1983 2 года назад
😂😂😂😂😂
@evamlay8997
@evamlay8997 2 года назад
Wengine wanatafuta mtoto wengine wanawakataa watõto
@tonnymasizi3331
@tonnymasizi3331 2 года назад
🙏🙏🙏🙏🐘🐘🐘
@sululuzungu9587
@sululuzungu9587 2 года назад
We uy sio mtt wetu bn we unamambo mengi so huy ni mtoto wa wote usituzalilixhe bn
@roddyfawaz8167
@roddyfawaz8167 2 года назад
Ety walikua wanagonga wawili maana ulikua na mtu wako mwingine?!!! 🙄😁
@chockmaumba471
@chockmaumba471 2 года назад
Njoo kwangu mrembo mbn mzr sn. Achana na ibla me namlea tu huyu kiroho saf
@salimmohammad3627
@salimmohammad3627 2 года назад
Sister mimi na binafsi nakupenda sana uko mzuri sana kama imbra anakuletea ujinga mimi niko tayari akukusaidia wewe na Mtoto wako tena mimi tanjiri usiwe na tatizo takupe kila kitu takuuzia nyumba zuri takuuzia ngari zuri takupa pesa zuri unaaza biashara mimi niko tayari ata leo iii karibu sana Tena mimi sina mkee na sina Mtoto
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 года назад
🤣😂
@user-wr6lc3jz6g
@user-wr6lc3jz6g 2 года назад
Hata ibra alimwambia ivo ivo😂😂
@modestersalmon7764
@modestersalmon7764 2 года назад
Kumtukana ni Hali ya mimba jamani ndo maana kamzaa mwanaume
@ramazecha8862
@ramazecha8862 2 года назад
Hyu ni Malaya tu anamsingizia dogo ibrah
@sponsor7882
@sponsor7882 2 года назад
True
@_suregraphy
@_suregraphy 2 года назад
Just land in Kenya you got covered...
@deodorantdeodorant6309
@deodorantdeodorant6309 2 года назад
Namuomba huyo mtoto usimpe IBRA naomba nimlee mm
@munam7104
@munam7104 2 года назад
Jamaa muna kimbia majukumu
@rukaiya86
@rukaiya86 2 года назад
Jaman ninamwezi sasa sijatombwa ninahamu yakutombwa
@hamisilally4727
@hamisilally4727 2 года назад
Sasa kwann usimpeleke kwa huyo mwingine sisi hatumtaki wewe unawatu 2 mpelekwe kwingine shenzi time
@streetconatv100k
@streetconatv100k 2 года назад
Muongo huyo dada maelezo yake tu hayana ukweli
@swalehemalombe3916
@swalehemalombe3916 2 года назад
Me hata sikuekew
@hellenpaul2149
@hellenpaul2149 2 года назад
Ungekua binti mwenye busara basi mgemalizana huko huko na Familia afu ingekua mimi nisingekubali mwanangu awe nabinti mjinga kama huyu itafika hatua utatoa mambo ya ndani nje huo ni ujinga
@abdallahmbonde1316
@abdallahmbonde1316 2 года назад
watanzania tumsimamie uyu dada tumwambie ibrah amlee mtoto wetu kawani ibrah aoni aibu
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 2 года назад
Mutasimamoa wengi
@ziadaakida2743
@ziadaakida2743 2 года назад
Huyu dada Malaya tu unaona anavyo jikanyaka alikuwa Ana mahusiano mengine huku ibra akijua sasa huyo si Malaya tu
@ndayijeanclaude5094
@ndayijeanclaude5094 2 года назад
Hapo sisemi kitu maana sikujui ukweli wao wote
@dianasamson9311
@dianasamson9311 2 года назад
Quoting.... ulikuwa na mambo mambo flulani... mwanamke wewe. Bongo siami.🤣🤣🤣
@daroumouayadi1378
@daroumouayadi1378 2 года назад
Ety alikua na mtu mwengine yaan wadada 😢😢😢
@ednahumazi777
@ednahumazi777 2 года назад
Sasa unamuhushisha konde.yanini.
@Kobe_254
@Kobe_254 2 года назад
Huyo msanii mkubwa haikosi anatokea WCB..... ama ni Rayvanny hhahahhah. iko wakati alikua na kinyongo saana na WCB..... Ibra alishakataa hana mtoto
@angejeanboscohakizimana2402
@angejeanboscohakizimana2402 2 года назад
BONGO TOUCH,?''?'''''
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 года назад
Wametumwa
@drdavidomuswahiliofficiel8645
@drdavidomuswahiliofficiel8645 2 года назад
Diamond platnumz azi kubali kazi anazo zifanya Harmonize tembo Embu na ww bonyeza hapachini 😁 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-T5okytwgSLo.html&feature=share
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 2 года назад
Sasa uyu wa pili au maana kuna mungine
@ZawadiBirya
@ZawadiBirya 2 года назад
Yani dada zangu kwanini mnakubali kuwazalia hawa.
@helenamwanansoga1800
@helenamwanansoga1800 2 года назад
Mbona hataki mtoto achezeshe kichwa anambana sura asionekane uso
@lagustabeachbarrestaurant9475
@lagustabeachbarrestaurant9475 2 года назад
Awa machizi yani ilikua kigeu geu ako na wazeewangipi uyu mchipoko apo nakataa ata awe wangu
@augustomanga8395
@augustomanga8395 2 года назад
Umessa mwenhewe camba ulikua na untu muenguine sasa ibra atamiaje camba cueli muanawe?
@fatmamansour676
@fatmamansour676 2 года назад
Huyu bada kumuona ibra alikuwa na yule Miriam a kaamua kujitokeza
@babahairatykonfebabahairat5458
@babahairatykonfebabahairat5458 2 года назад
Video iliyopta ulisema mlikutana 2016 video hii inasema 2020 pumbafuu
@mwanajumasaid1983
@mwanajumasaid1983 2 года назад
😂😂😂😂😂
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 2 года назад
Ww Mdada unajidhalilisha kuzunguka kwenye Mitandao. Umesema una Biashara zako, sasa unashindwaje kumlea Mtoto? Usituchoshe. Kwanza ww si mwaminifu pamoja kuwa Ibra ulituambia wakati huo huo ulikuwa na Mwanaume mwingine, huoni aibu kwa hayo matendo yako? Hukupaswa kututangazia mambo ya kuudhi hivyo. Unajidhalilisha.
@prettydollcindy1124
@prettydollcindy1124 2 года назад
Hahaha kumekucha!!!!! Ibraah akawa mashine wa mbolea Kila kukicha
@modestersalmon7764
@modestersalmon7764 2 года назад
Mama akisema mtoto ni wa fulan hakosei walimwengu kumbuka anae jua baba mtoto ni Mama
@warrensantana1570
@warrensantana1570 2 года назад
Nyange alitokea wapi?
@mbarakismail5020
@mbarakismail5020 2 года назад
We njaa zitakuuwa makuz
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 года назад
Ibrahim alikanudha ayisingizie
@dianasamson9311
@dianasamson9311 2 года назад
Ibra kaxhukue dna... ili uwe free... huyu dada kicheche. Sio kosa lako...malizeni mzizi wa fitina
@irakozeahmed2784
@irakozeahmed2784 2 года назад
Yani wa dada wengine hakili zao nikama tope
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 2 года назад
Mbona mtoto Chotara acheni kiki
@sponsor7882
@sponsor7882 2 года назад
Bongo vicheche wengi sna
@dianasamson9311
@dianasamson9311 2 года назад
Atuache....
@issarafim4458
@issarafim4458 2 года назад
Dubai portapotty
@ngupiliofficial9858
@ngupiliofficial9858 2 года назад
Damu ya Ibraah hii
@baoussenesombair8007
@baoussenesombair8007 2 года назад
We njo kwamgu. Ntito nipe
@martinkam6792
@martinkam6792 2 года назад
Tuoneshe messages ya Ibraah na wewe.
@dianasamson9311
@dianasamson9311 2 года назад
Kwani huyo baba mwingine anasemaje
@pascofrancisco9349
@pascofrancisco9349 2 года назад
Ibraah njoo utuchukulie jiko hukuu
@frankjonasi2103
@frankjonasi2103 2 года назад
Sio poa
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 года назад
Tafuta kazi yakufanya hakuna mtu anae kuelewa ata kidogo achakujizalilixha
@hellenpaul2149
@hellenpaul2149 2 года назад
Kiki za kutafuta wanaume star yatakushinda wewe Dada ulisema ulikua na mwanaume star wa nje ndo maana ukawa unamzingua baada ya huyo kuyeyuka ukaamua kumrudia ibrah ujinga Sana huo chefu + chefu= na uchafuzi wa cv za watu pumbavuuuu wewe khaa MUNGU nisamehe bure
@ashaally6993
@ashaally6993 2 года назад
mtoto unambemenda yani hana afya ya kutosha nenda kalee mtoto mpe lishe wakati unatanua ulitumwa pumbavu yani watu kama nyie mnanikera mungu kawapa afya bure akili ila hamuwezi kutumia!!!
@sharmilarashid6270
@sharmilarashid6270 2 года назад
Zinaa haimuachagi mtu salama
@nicksonkavishe7076
@nicksonkavishe7076 2 года назад
Kama uko na biashara shida nin una taka au unataka ustar
@hellenpaul2149
@hellenpaul2149 2 года назад
Malizana na mwaume wako huko tusichoshane maana hata mlivyokua mnapendana hatujakuepo sisi acheni drama acha ujinga wewe mdada
@hellenpaul2149
@hellenpaul2149 2 года назад
Wadada Mara nyingi hatuna adabu kweli yaani hembu tumia akili ya kuzaliwa msichana mrembo afu hovyo tumia akili ya umama siyo ya udada pumbavu
@hamisiissa8628
@hamisiissa8628 2 года назад
Huyu dem hajielewii
@frankjonasi2103
@frankjonasi2103 2 года назад
😂😂😂
@flavourjellmaxofficiel3822
@flavourjellmaxofficiel3822 2 года назад
🤣😂diamond platnumz ka cheka sana baada yaku ona hii video😂 Ebu jionee nawe u cheke sanaaa🕵🏻‍♀️🤣🤣🤣😛👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻🤣 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-W1vRjh9DbPI.html
@dianasamson9311
@dianasamson9311 2 года назад
Ila wadada wa bongo mko vicheche sana. Tuletee uncle mtandaoni...
@carolynembithi6629
@carolynembithi6629 2 года назад
🤣🤣
@hellenpaul2149
@hellenpaul2149 2 года назад
Basi mwaka huu atasingiziwa Sana huyo Ibrahmaana tushaona interview ya mdada mmoja akisema anamtoto na Ibrah so what???
@tonnymasizi3331
@tonnymasizi3331 2 года назад
🙏🙏🙏🙏🐘🐘🐘
@msafirisalum6245
@msafirisalum6245 2 года назад
karogwa huyo, kiki za kishamba
@thierrybisimwa3312
@thierrybisimwa3312 2 года назад
Jina yenyewe inatsha eti suger🤣
Далее
The Making Of Nitachelewa
10:25
Просмотров 131 тыс.