Тёмный

#EXCLUSIVE 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 21 тыс.
50% 1

#EXCLUSIVE: PACHA wa DORA ASIMULIA ALIVYOMFUMANIA BOYFRIEND WAKE-"NILIVUNJA MLANGO NIKACHOMA GODORO"...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@globaltv_online
@globaltv_online 3 месяца назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 3 месяца назад
Mashallah una macho mazuri umrembo
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 3 месяца назад
Ila huyu ana maziwa na shepu ya kikubwa ni tofauti na dorah😊😊😊
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 3 месяца назад
Kawaida watu wafupi wabishi mnoo😅
@GfgGgh-v5z
@GfgGgh-v5z 3 месяца назад
Maa Shaa Allah karembo haswaa
@SalmaSheha
@SalmaSheha 3 месяца назад
Huyu ddanimzur sanaaa macho yakichokoz umejaaliw nayo nakupenda mdogo wng
@halimaally5349
@halimaally5349 3 месяца назад
Mrembo mashallah
@agathajuma4827
@agathajuma4827 3 месяца назад
she is so cute i like her specially her cheko interview her more
@FatmaF-ob8fc
@FatmaF-ob8fc 3 месяца назад
Akikisha ukijiita pacha unakuwa mzuri ameutendea kazi upacha
@keziakisaka4212
@keziakisaka4212 3 месяца назад
Rose umenishinda alie kujashuhudia tukio ni mimi shangazi bwanaa sio bibi
@julianasamwel9089
@julianasamwel9089 3 месяца назад
Mpaka kuongea kama dorah❤
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 3 месяца назад
Hawajui hao. Wangekukamata wakakupandishq juu ya kabati tu. 😂
@Doreen-er9xs
@Doreen-er9xs 3 месяца назад
😂😂😂😂
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 месяца назад
Mashaallah ni mrembo aswaaaaaa❤
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 месяца назад
Duh kumbe Dora ana pacha wake😮😮
@KhadijaMohammed-jq8pz
@KhadijaMohammed-jq8pz 3 месяца назад
Sio pacha wake kweli dora ana miaka 30 uyo 24
@ChristinaPhilip-j8t
@ChristinaPhilip-j8t 3 месяца назад
Sio Pacha wake huyu ni rose mwinuka from makambako
@wadantz123
@wadantz123 3 месяца назад
​@@KhadijaMohammed-jq8pzweeee yule ana 30😢
@aboudijaaboudija
@aboudijaaboudija 3 месяца назад
dora ana 29 wew mwakan ndo 30​@@KhadijaMohammed-jq8pz
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 месяца назад
Shafiii
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 3 месяца назад
😮😮😮kweli nimekumbuka shulen kulikuwa na mwanafunzi mfupi tulikuwaga tunamshaangaa sana mm nilikuwaga madara ya mbele sna kumbe ndio hyu dah tulikuwaga tunakashangaa atari alaf kalikuwa kajanjaa
@patriciaboniface9975
@patriciaboniface9975 3 месяца назад
Mrembooo
@salmaomar7979
@salmaomar7979 3 месяца назад
Sura ya kipevu
@MadinaAbduKyabazinga
@MadinaAbduKyabazinga 3 месяца назад
Nimecheka jmn🤣🤣🤣
@aishajuma439
@aishajuma439 3 месяца назад
Mashaallah n mremb sna
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 3 месяца назад
😂😂😂😂😂 Shafii weee 🤣🤣 Ila mrembo
@reginamluviji9405
@reginamluviji9405 3 месяца назад
ndo maan nasema niliwah mwona wap kumbe nimemwacha anasoma la tano maendeleo primary school
@Maichampiongirl
@Maichampiongirl 3 месяца назад
Much loveeee❤❤
@gracewilliam4102
@gracewilliam4102 3 месяца назад
Dedi siyo dady
@rajabumrope8732
@rajabumrope8732 3 месяца назад
inafeli mitihani au wewe
@avitusmichael5
@avitusmichael5 3 месяца назад
Kambilikimo kanajikubal kinoma
@Awatee
@Awatee 3 месяца назад
Astaghfurullah 🙄
Далее
When Khabib dropped Conor McGregor 👀 #nocommentary
00:59
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 870 тыс.
JIFUNZE HAPA:Maskini anaweza kufanikiwa.
12:45
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
When Khabib dropped Conor McGregor 👀 #nocommentary
00:59