Тёмный

EXCLUSIVE: SIKU TALE ALIPOJUA DIAMOND NA ZUCHU NI WAPENZI "NILIUMIA SIKUTAKA ZUCHU APANDE STAGE" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 239 тыс.
50% 1

#DiamondPlatnumz #Zuchu #Babutale #Interview

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 347   
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Год назад
Babu tale unaakili nyingi sana na una ongea kwa busara tuwaombee Mungu akupe mke mwema na wewe kaka yetu
@jumayussuf7746
@jumayussuf7746 Год назад
Sn love
@jumayussuf7746
@jumayussuf7746 Год назад
🙏🙏🙏🙏
@daudichengula1413
@daudichengula1413 Год назад
Millad ayo ni mtu pekee dunia hii ambaye unaniispire Sanaa.. Ishi sanaaa brooo
@erastomwakalukwa3946
@erastomwakalukwa3946 Год назад
😂😂😂alimfanyia interview mpaka MUNGU wa usukumani aka bi zuu,Zumaridi ,harafu hacheki😂😂😂
@alymaryam2331
@alymaryam2331 Год назад
Mungu akujaalie mwisho mwema tale na akutilie wepesi kwa kila ulifanyalo🙏🙏🙏🥰
@daudimazengo7772
@daudimazengo7772 Год назад
I salute Babu Tale. Hakika hata mie naombea hii couple idumu. Hi Diamond, this time take action to this cute and humble girl Zuchu.
@FatmaSaid-j9o
@FatmaSaid-j9o Год назад
MashaAllah he is so kandy i really like him my Allah protect u ❤i wish i can have hubby like him ❤❤
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Год назад
Nimependa Sana Babu tale ulivyofunguka kuhusu mahusiano ya zuchu na diamond,,,nawatakia Kila la heri,,waoane inshallah,,
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Ameen Yarabb 🙏
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Год назад
Amen
@annickkipisa6761
@annickkipisa6761 Год назад
Ni mependa
@jacklyneotieno1564
@jacklyneotieno1564 Год назад
Maybe kwa ndoto
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 Год назад
@@jacklyneotieno1564 Mmm! acha uchawi
@sureiamboo
@sureiamboo 11 месяцев назад
I love Tale now ❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Год назад
Nimependa Sana Babu tale umekuwa muwazi na umefunguka hongera Kwa Hilo,,
@channyanjen9047
@channyanjen9047 Год назад
Nasikiya raha Sana kwakweli, Allah aweke wepesi 🙏
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Год назад
Kweli kabisaa Mungu awabariki tunawapenda aa Sana Hao wawili zechu na daimond
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh Год назад
Mashaallah Zuch Mungu Akufanyie Wepes Kweny Maisha Yako
@marycelestin6586
@marycelestin6586 Год назад
Ameen
@mapendosafi3429
@mapendosafi3429 Год назад
BABU tale nakupenda sana baba unaja helkima sana Tena sana
@marthamushi9390
@marthamushi9390 Год назад
Mungu awajaalie na awafanyie wepesi waje wafunge ndoa🙏 Pia huyu babu tale ni anaonekana mpole jamanii anaongea kiustaraabu hadi raha🥰
@mariammsumi7783
@mariammsumi7783 Год назад
Babu tale👍
@Mimy_keys
@Mimy_keys Год назад
Napenda Babu Tale Anavyo Ongeaga na Busara Sana 😊 MashaaAllah Tunawaombea Kheir InshaAllah 🤗👌
@FatumaDogo
@FatumaDogo Год назад
😂
@wisperfect5320
@wisperfect5320 Год назад
Vipi ukiwa mke wake😂
@khadijahali6856
@khadijahali6856 3 месяца назад
Babu Tale ni mtaratibu kweli Ma shaa Allah.........
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Год назад
Diamond na Zuchu ni couple nzr sana KULIKO hao wazungu weusi
@godsdaughter2820
@godsdaughter2820 Год назад
Alafu zari anajidai eti Diamond loves her🥱🥱😩😆😆😆🏃🏃🏃
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Год назад
Tale uwa nampenda sana uwa aongei Sana
@dijerbhai8388
@dijerbhai8388 Год назад
Aaah huyu mzee nampenda jmn khaaaa❤😢
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
Wakati wanafuraha basi jambo jema ❤❤❤ tunawaombea kwenye hii dunia ya leo kupata furaha sio jambo rahisi maana wengine watajia pesa tu
@barakadaprince3742
@barakadaprince3742 Год назад
Millard mtu makini sana🙌🏿🙌🏿🔥🔥
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Год назад
Subhanallah!!!' mpole ana dini'!! innalillaih Wainnaillaih rajiuun
@saadabakar7750
@saadabakar7750 Год назад
Salama nikuulize hivi wewe ni mkamilifu,unajua kesho yako. Hapa kakusudia ana hofu ya M.mungu,ndio tunavyotakiwa binadaam haijalishi uko na Imani gani ya dini,Acha kuhukumu muomble dua hofu yake izidi kwa M.mungu.
@hawasaid7151
@hawasaid7151 Год назад
​@@saadabakar7750 yan hata sielewi kimemshangaza nn hapo.
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Год назад
@@saadabakar7750 sijamaanisha Mimi ni mkamilifu' huyo babu tale bora asingesema ana hofu ya MUNGU' Mwenye hofu ya MUNGU' hawezi kukaa Uchi hadharani Kama tunavyo muona
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Год назад
@@hawasaid7151 na uelewe ili iweje???
@catherinekiwipa9271
@catherinekiwipa9271 Год назад
@@salamanauthar5261 🤣🤣🤣🤣🤣🤣unafikir Mungu awez kuwauwa wote wanaokaa uchi ili abaki na wema wanaovaa stara hofu ya Mungu ni mavazi bas enderea kujifunika
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Ila Leo ndio nimeamini, nacheka peke yangu, nilikuwa siamini wambea, ila nimeipenda hii interview, part2 please, Millard Ayo.
@neemamayco1051
@neemamayco1051 Год назад
Hata mm jaman nlikua siamin kbs leo ndio nimeamini mm pia
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Год назад
Allah awajalie wafunge ndoa watatufurahisha sana maana tunawapenda
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
Mheshimiwa mjengoni🎉 Kaongea,diamond kafika...ndo furaha yake.
@Nimah_qubo
@Nimah_qubo Год назад
MashaAllah Tale anaongea na sauti ya unyenyekevu sana 😊
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz Год назад
Babu tale you're the best broo
@rajwaseif7735
@rajwaseif7735 Год назад
Hata Millard is wise The way anauliza maswali. Namkubali ni professional.
@hawababy120
@hawababy120 Год назад
Asante babu tale kutujua zaidi.❤
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Год назад
Nimeipenda Sana interview hii,,naomba pati 2
@breezybabilon5797
@breezybabilon5797 Год назад
Millard Ayo respect sana
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Год назад
Babu tale unamtetea hapo mondy hawezi muoa zuchu zuchu anapotezewa muda tu
@lulumalima1739
@lulumalima1739 Год назад
Mr. Tale you are a sensible man busara. Tunaomba Susi ndoa iwe watakuwa power couple. Diamond hajalitambuwa it's sad. Zuu $ Do, yeeeeeeeh
@user-wz5dz7io8x
@user-wz5dz7io8x Год назад
Mungu hawabariki wawe pamoja milele amen
@lucymtuka3199
@lucymtuka3199 Год назад
Zuchu na Diamond nawapenda sana owaneni jamani
@pengefeza2563
@pengefeza2563 Год назад
Mi nawaombeaga neema ya Mungu kila siku.
@shafiiwajad457
@shafiiwajad457 Год назад
Iv mnajua hii ndo mara ya ya kwanza uhusiano wa Zuchu na Diamond kuwa Confirmed kwenye media na source ambayo tunaiamimi na inatoka ndani kabisa😂😂😂😂 Millard 👍👍👍
@lifeofyuri4020
@lifeofyuri4020 Год назад
I was looking for this comment una akili nyingi sana 😂
@esthermutabuzi4582
@esthermutabuzi4582 Год назад
Na sasa tunasubiri Diamond mwenyewe atuambie...let him confirm by his own mouth! The last time he opened his mouth, he said he didn't have a girlfriend🙈🤣
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 Год назад
Confirmed
@shafiiwajad457
@shafiiwajad457 Год назад
@@lifeofyuri4020 pamoja na wewe mama Sema tuna akili nyingi ❤️
@blessmimi
@blessmimi Год назад
@@esthermutabuzi4582 Diamond was Jux listening party and told whole crowd Zuchu is his wife ..I bet you forgot about that ? . What about the 10 slides bday post on his instagram on her birthday for the world to see all the videos of them kissing intimately?
@vumbakingvumbaking9571
@vumbakingvumbaking9571 Год назад
Dua mwenyezi mungu akuongoze boss talle update mke mwema amini Simba nae mungu akuongoze umuoe zuhura Amin 🤲
@kimah9855
@kimah9855 11 месяцев назад
I pray them to marry🙌🙌🙌🙌🙌
@gracewairimu800
@gracewairimu800 Год назад
Yani nnavo mpenda babu tale mtu muwazi sana na Ana maneno ya busara sana mungu am bariki na Mke mzuri apate furaha na amani moyoni
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
Zuhura & Nasib👰🤵Aya.. Hongera sana
@SalmaSalma-wz1xv
@SalmaSalma-wz1xv Год назад
Kweli unaweza kutembea hata nawanawake kumi lkn bado ukakosa furaha ni jambo la kheri sana wamalize tofauti zao
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv Год назад
Mashallha nimefurahi sana allha awazidishie lnshallha nimefurahi
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Год назад
Babu Tale Asante sana kwa kufunguka ndio watu wanao mdhihaki watu hawajaoea upendo wa kweli! Zuchu is being submissive kwa diamond but watu wanamchukulia anampenda diamond kushinda diamond anavyo mpenda...... Let me tell you my people, diamond loves zuchu more than anything in this world! From Sandra to Zuchu!!!!!? Na ukumbuke Mondi katoboa mwenyewe!!!!!
@jacklyneotieno1564
@jacklyneotieno1564 Год назад
😂😂😂ati more than anything????wacha kudanganya mwenzako.....anakanwa kipetero ki yesu then unasema anapendwa..... wanawake wengine wanapigwa busu tena live inasambazwa kwenye media halafu unasema anapendwa weee.... thubutu....dai yupo single
@naillanalphanairakoze3880
@naillanalphanairakoze3880 Год назад
Leo sasa ndo kuamini kama niwapendanao.Juu @MillardAyo kasema😂.I really love this guy. Hujawapi kuni disappointed kwa maswali yako kwenye interview ❤
@chttostrugglinglady
@chttostrugglinglady Год назад
Mwenyezi Mungu awajalie wafunge ndoa salama🙏
@MamaMama-xp4nk
@MamaMama-xp4nk Год назад
Nampenda babu tale kafanana na ba mdogo wangu
@nyawamwero587
@nyawamwero587 Год назад
Acha umalaya wewe
@MamaMama-xp4nk
@MamaMama-xp4nk Год назад
@@nyawamwero587 mwambie mama ako aache kwanza yeye
@nyawamwero587
@nyawamwero587 Год назад
@@MamaMama-xp4nk Umalaya utakumaliza, mtu hata humjui wasema kafanana na bamdogo wako!! Si umalaya ni nini!!
@mbaraksaary5750
@mbaraksaary5750 Год назад
Diamond kumbe anaswalia kiwango cha pesa inamaana anamuekea mungu vigezo babu usitupake mafuta bana amna kitu
@maryamjey6340
@maryamjey6340 Год назад
😂 astafirullah
@user-xf3wm6vx9m
@user-xf3wm6vx9m 4 месяца назад
Mungu akulindie Watoto wako😢
@user-yl4sr8gw7f
@user-yl4sr8gw7f Год назад
Kweli
@jumayussuf7746
@jumayussuf7746 Год назад
Babu tale nikikuon nakumbukag mbali sn nakuoneag hurum sn mpak sasa hv hujaoa dah ulikuwa unampend sn mke wako hv nasisi waume zetu tutangulie km leo watakaaa mda mrefu hivi🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
@judithsijaona9875
@judithsijaona9875 Год назад
Juma afu unamume😢
@subirajohn728
@subirajohn728 Год назад
Mond&Zuchu❤️❤️❤️
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 Год назад
Inshallah ikawe heri kwao, nawapenda mno zuchu na diamond mpaka naumwa pia huwa nawaombea usiku na mchana wawe mke na mume kiukweli kabisa hii ni kutoka ndani ya moyo wangu.
@salumunsabimana6502
@salumunsabimana6502 Год назад
Babu tale na kuombeya duwa upate mke mwema mshee kuleya wa toto inshaalaah.
@julianajoseph783
@julianajoseph783 Год назад
Kwa upole huu wa Babutale ananimalizanga tuu
@productivityprogressprince5156
Mi mwenzenu nampenda saaana babutale😊😊😊
@noswingofficial9624
@noswingofficial9624 5 месяцев назад
This men is loyal
@josephmolle
@josephmolle Год назад
@ezronhussen5401
@ezronhussen5401 Год назад
Likes zenu jaman
@godsdaughter2820
@godsdaughter2820 Год назад
Yani nimefurahiii I wish waowane kweli😮😢🙌🙌🙌
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 Год назад
MashaAllah babu Tale
@ElisianaGidion
@ElisianaGidion Год назад
Safi sana Babu tale uko na uwazi
@IsaacJames-sv3zk
@IsaacJames-sv3zk Год назад
💯💯💯
@catherinejullu6615
@catherinejullu6615 Год назад
Kaka yangu unaakili sana ❤❤
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Год назад
Dada zuu hata ukiolewa kwa Ukoo ule na bwana ni samaki hapishi chambo uandae moyo mwengine wa spare😂 mara hii umetaka kuchoma nyumba kisa fantana
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
Ile familia co😅😅😅😅😅😅
@rich.kizza10
@rich.kizza10 Год назад
Millard why huweki music background?
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
Leo ndo naamin kumbe kwel hawa wapenz😳😳😳😳yaan me nilikuwa nadhan km porojo za mitandaoni tu
@rajumrecords711
@rajumrecords711 Год назад
Hofu ya Zuchu kutoka WCB ni kubwa. WCB itakufa. Lazima Tale amsifie Zuchu ili Asitoke WCB
@safariadrien5348
@safariadrien5348 Год назад
Mulisema ivyo tena mmakonde alipoondoka. Hakuna player mkubwa kuzidi team no matter how big you are
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Год назад
Hayo maoni yako tu
@ikouwasi7644
@ikouwasi7644 Год назад
pole sana
@rajumrecords711
@rajumrecords711 Год назад
@@safariadrien5348 so wewe Kwa unavyoona WCB bado iko na nguvu? Kwa Msanii yupi?
@giztony2009
@giztony2009 Год назад
Kuna watu wanafikilia kupitia miguu yani wcb ianguke kupitia zuchu wakati imekuwepo( wcb) kabla ya zuchu
@dorinekwizera1483
@dorinekwizera1483 Год назад
Mbarikiwe sana
@mashiassenga8849
@mashiassenga8849 Год назад
Ayo umetisha sana bro 😅😅😅
@RaheliBeda-ho2ii
@RaheliBeda-ho2ii Год назад
Allah akujaalie kila lililo jema
@rachelnyale2984
@rachelnyale2984 Год назад
WOW good news ❤❤
@allaboutnandy9288
@allaboutnandy9288 Год назад
Damage control
@omanmct135
@omanmct135 Год назад
Kweli kabisa babutale❤❤❤
@aishabrondi236
@aishabrondi236 Год назад
Kumbe nikweli niwapenzi 😂😂😂😂 eti kufunga ndoa haaaa acheni kiki hamna ndoa wala Nini
@masimangolouis4730
@masimangolouis4730 Год назад
Tena wana mda sana
@jacklyneotieno1564
@jacklyneotieno1564 Год назад
​@@masimangolouis4730 wapi??dai aowi leo wala kesho
@abdillahomar4541
@abdillahomar4541 Год назад
Kumbe unajua leo
@ismailykazumal
@ismailykazumal Год назад
Mmeshaambiwa ndoa ni riziki lakini bado tu mnabisha Mungu ndo anapanga ndoa jamaniii
@ismailykazumal
@ismailykazumal Год назад
@@jacklyneotieno1564 Sawa Mungu tumekusikia wala hatukupingi, Kwasababu wewe ndo Mungu 🤔
@user-sp9px6ov8e
@user-sp9px6ov8e Год назад
Njoo unioe Mimi Babu tale
@IsaacJames-sv3zk
@IsaacJames-sv3zk Год назад
Pyeeeeee
@azizaidd1998
@azizaidd1998 Год назад
😂😂😂😂😂wewe uko sure?
@IsaacJames-sv3zk
@IsaacJames-sv3zk Год назад
@@azizaidd1998 nn?
@catherinebarasa4467
@catherinebarasa4467 Год назад
Babutela nilikuomba unioe nikulelea watoto.
@NextoHunter-rm3cs
@NextoHunter-rm3cs Год назад
Ayo TV 📺ni 🔥 🔥 🔥
@issasaad3403
@issasaad3403 Год назад
ALLAH akujaalie mke mwema babu tale yan hauchoshi kusikilizwa unaongea kwa busara sana
@abdoulkarim7123
@abdoulkarim7123 Год назад
Wemukubwabro Millard
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
😮😮
@Tabiatz
@Tabiatz 9 месяцев назад
Nice
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Год назад
Babu tale umeongea point
@hopefully7090
@hopefully7090 Год назад
Huyu amekwenda kusafisha hali ya hewa hana lolote kwanini Leo?baada ya zuchu.kufanya vurugu.
@mozuu1260
@mozuu1260 Год назад
Han ww akklizako kama zangu yeye na juma wamekuja kutuzuga
@thelight-ur3oi
@thelight-ur3oi Год назад
Lakn tale hatukuekewi 🎉
@shishgal2274
@shishgal2274 Год назад
❤❤❤
@erasmusmlay3284
@erasmusmlay3284 Год назад
Mzee hajaoa kumb😂😂
@ghadaalzuhari2739
@ghadaalzuhari2739 Год назад
Kwenye ndowa tuache bwana 😂😂
@sakinaamani1486
@sakinaamani1486 Год назад
Mmmmm ssa hayaaa
@majidkhatibu6738
@majidkhatibu6738 Год назад
Naomba kuuliza swali Dini Ipi inaruhusu Kuingiliana kinyume n maumbile Eet Zuchu ana Dini tuambie Dini Gani?
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 Год назад
Haya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂fantana
@SuleimanKhamis-vk7cm
@SuleimanKhamis-vk7cm Год назад
Niko pale
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Год назад
😂😂😂tukae wotee palee my maana si kwa hiz vunjq vunjq za juz puuuh paaah puuuh paaah 😂😂😂hakuna ndoano Wala
@azizaissa4010
@azizaissa4010 Год назад
@@mariamkibindo1741 polee Kwa kulishwa matango pori 😜😜😜😜😜
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Год назад
Hamna ndoa pale wapo tu kibiashara nothing more kiukweli
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Год назад
@@azizaissa4010 hahaha halooooo 🤣🤣🤣
@saidsalum9587
@saidsalum9587 Год назад
Swala 5 mzeee
@vickykapama8386
@vickykapama8386 Год назад
Wahanga walisema MTAKA CHA UVUNGUNI SHARTI AINAME!! Lzm Zuhura ajishushe na amti Chibu na vurugu zk na FANTANA😅😅😅😂😂
@STAVOO_WIZZIE
@STAVOO_WIZZIE Год назад
Holla
@anicyaedward6257
@anicyaedward6257 Год назад
I love Babutale kwa interview zake ila Daimond kumuona zuchu that will never happen.....babu tale ata zari ulisema hvyo hvyo still Mapenz ya kaisha yan Daimond angekuwa anapenda hasingekuwa anasema yup single everywhere yan hakuna love pale mmoja wapo anatumika ....i love zuchu ila kwa mond kapotea
@mubuyafrancis3979
@mubuyafrancis3979 Год назад
Kwahiyo unataka aseme Nini sasa.
@mohdchuma78
@mohdchuma78 Год назад
Wanatumiana kila mmoja anapt faida kiupande wke hakuna wakulaumiwa zuchu sio mtt istoshe ana wazazi wake kamili sasa apo hakuna upande wa hasara ht mmoja.
@pengefeza2563
@pengefeza2563 Год назад
​@@mohdchuma78 Hata Babu Tale humuamini?
@masimangolouis4730
@masimangolouis4730 Год назад
Wewe ni Mungu mpana rizki?
@mandelaismael5036
@mandelaismael5036 Год назад
Assallam walkum wallah Matulah wabarkatuh,Tale kwli ndoa?kitu hicho hakipo mnafanya biashara tu mi Mandela tokea Burundi na chatting tokea Oman Muscat nawafwatilia Miladi
@hadijandenga6222
@hadijandenga6222 Год назад
Nawaombea sanaaaa
@bwanabrainex433
@bwanabrainex433 Год назад
Kwaiyo amekion kiac cha pesa ss eeenh😂😂😂Diamond kichwa kibov
@ashnaom2270
@ashnaom2270 Год назад
MUNGU ALISHA TUPA MWISHO MWEMA ni ibada tu, ila kiukwel minaona d na zuchu wanaendana na mdada safar hii kampata mvumilivu sana, ila kaka d ujatulia hufai hata kwaku lumaingia, ila zuchu AKUPE mda utabadilika taratibu, we babu tale Lea watoto tu, sababu mapenz yapo nawema wapo utapata uhataka
@modernbeauty5309
@modernbeauty5309 Год назад
Yes, the Lion got full or it's just me. I won't mind if It's just me
Далее