Тёмный
No video :(

BABUTALE KUHUSU MILIONI 500 WANAZOTOZWA WASANII WCB "ZUCHU AKITAKA KUONDOKA BILIONI 5"  

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 108 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

6 июн 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 141   
@ChristineKatana-rk8mu
@ChristineKatana-rk8mu Год назад
Babutale napenda vile unaongealea wasanii waliotoka wasafi, huna kinyongo hats, that is a sign of maturity and a good leader, soft spoken person, keep up the good work muheshimiwa all the way from kenya
@khamisbk8569
@khamisbk8569 Год назад
Taleeeeeee..... Is talented one...
@shedrackdamian2870
@shedrackdamian2870 Год назад
Mzee Ana ponti nzurii Sana 🙏🙏🇹🇿🇰🇪🇺🇬
@dalalizanzibar9583
@dalalizanzibar9583 Год назад
Kwa hiyo dada yetu Zuu mnamuoa kwa mission 😢
@mimifineliving2022
@mimifineliving2022 Год назад
Dai alisema zuu atalipa zaidi ya bilion
@chizashungu1236
@chizashungu1236 Год назад
NICE ONE BABU TALE.WCB THE BEST MUSIC LABEL IN ALL EAST AFRICA.
@innocentboykid2442
@innocentboykid2442 Год назад
Rich hajalipa lakn akaunt yake imezuiliwa na video zimwfutwa
@shariffsuleiman2889
@shariffsuleiman2889 9 месяцев назад
I like this guy soo much from 254🇰🇪 Babuu
@abdulrahimmohamed7066
@abdulrahimmohamed7066 Год назад
babu tale look like a good guy and father
@josephmwita996
@josephmwita996 Год назад
😀😀😀😀 eti bora Zuchu tumuweke ndani
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
Kwa kweli Africa haswa hizi nchi zetu East Africa tunahitaji zaidi Uelewa kuhusu Mambo ya mikataba wengi ni kelele Tu ooh kaonewa ooh kanyanyaswa daah 😂😂😂
@mlangaliromwenda6945
@mlangaliromwenda6945 Год назад
Kipi ww unacho kielea kuhusu mikataba ya Africa na outside Africa. Mkataba nilazima uwe na mwisho. (Eg: 5 yrs or 30 yrs contract) f 🇦🇺
@diamondplatnumz.148kviews5
@diamondplatnumz.148kviews5 Год назад
Sahihi
@suzyjoseph6706
@suzyjoseph6706 Год назад
Uko sahihi, niko ulaya mzungu kila issue ya pesa wanataka 80% rafiki yangu aliondoka akasema yeye ni maskini jeuri hawezi, mie nikapigakazi nikaongeza shift mbili nimekuwa mtumwa kwa miaka miwili ila sasa nina office yangu account zinasoma vizuri, sasa Leo jamaa yangu aliyekuwa maskini jeuri nikija Tanzania nampa elfu 30 ya kula hali ngumu, jamani tuheshimu mabosi tutafika mbali
@safariadrien5348
@safariadrien5348 Год назад
Tatizo unashabikia mtu mpaka unaona akidaiwa anaonewa
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Mambo mengi huwa tunayaongelea kishabiki tu.tuna safari ndefu.
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Год назад
Nakubaliii manager
@charlesmatesorehani5012
@charlesmatesorehani5012 Год назад
Uyo kweri kabsa Yvan apa Holland 🇳🇱 tunamuskiya saana
@Amaxkey1
@Amaxkey1 Год назад
Good
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Год назад
Na kweli mboso Oman Muscat ❤❤
@subirajohn728
@subirajohn728 Год назад
Babu T👍👍👍
@juliennenzeyimana3274
@juliennenzeyimana3274 Год назад
Babu tale nimstarabu kwakweri anajibu kwa heshima?
@javanindosi9332
@javanindosi9332 11 месяцев назад
Jamn tunaomba tisht za Africa n boy tuzipat huku bulundi🇧🇮🇧🇮 tunazipenda sn
@davidmsia4322
@davidmsia4322 Год назад
Millard! Nice interview, reasonable questions! Informative... I wish, interviews zote za wasanii zingekua na ubora huu!
@saidndaro6630
@saidndaro6630 Год назад
Respect man tale along side MILLA
@youngjamaica5099
@youngjamaica5099 Год назад
Mpemba kafunga Duka🤗
@wahidamaulid9527
@wahidamaulid9527 Год назад
na kwa zuchu anavouwasha 🔥🔥 kiasi alipe ivoo mkali kuliko dmond
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
Unaumwa nini
@diamondplatnumz.148kviews5
@diamondplatnumz.148kviews5 Год назад
Unaota wew
@Swahili14
@Swahili14 Год назад
Mkubwa kwa sagarumba au? 💀
@wahidamaulid9527
@wahidamaulid9527 Год назад
@@Swahili14 nimesema ukweli mmeumia napitaaa
@Bob-kz2ql
@Bob-kz2ql Год назад
Kwamb utalipishwa hela kama watakuona wewe ni lulu tu😂😂😂😂kina mavoko tokea kaja hadi kaondoka alikuwa anaingiza hasara asa amlipishe kisa nn
@odaxcontawa
@odaxcontawa Год назад
Tale big brain
@user-zj9er4us6n
@user-zj9er4us6n Год назад
🎉 miziki nikama pumzi
@kutokaughaibuni
@kutokaughaibuni Год назад
Anaitwa Raymond Shabani
@ChocllatteMedia
@ChocllatteMedia Год назад
🔥🔥🔥
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
Mboni bilioni 5😂😂😂😂
@hajimgwami5224
@hajimgwami5224 Год назад
NI SAWA KWA YANGA NA FEI, HAIWEIKANA YANGA WAMLEE WAMTANGAZE ZEN AZAM WAJE WAMCHUKUE TU KWA MILIONI 100 NI UJINGA SANAAA
@singidaone5628
@singidaone5628 Год назад
Kuondoka kwa rayvany ilikua kazi ngumu sana kumzuia kwa kua ni ndugu yenu wewe tale na madee
@tabithadaniel7364
@tabithadaniel7364 Год назад
Babu tale toka awe Mh. amekuwa mstaarabu sana
@bonabonala5559
@bonabonala5559 11 месяцев назад
babu tale ni moja ya majambazi kwa inchi inayo chipukia kama tz nimajizi mnaua kipaji cha richi mavoko mnakataza media zisipigwe ngoma zake mnadiriki haa
@edsonsizoki9693
@edsonsizoki9693 Год назад
rich mavoko munasema kama hakulipa chocote hamukumunyanganya acount zake
@chancepascalkifula3970
@chancepascalkifula3970 Год назад
Si akuA napesa wamfanyaj na akuingiza pesa
@vangraphixvan8320
@vangraphixvan8320 Год назад
Ww ulikuwshaid
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Год назад
@@chancepascalkifula3970 Rich alikuwa mvivu wa kutoa nyimbo ndio maana mapato yake yakawa madogo
@mussataliye7815
@mussataliye7815 Год назад
Rich kaja wasaf amesha tengeneza jina tunataka utaje msanii mlio mtoa nyinyi kisha akaondoka bule
@AmelbergaKempanju-uf1zh
@AmelbergaKempanju-uf1zh Год назад
Ila akuondoka kama alivyokuwa mwanzo ni vile kapotea
@oceahkabika8652
@oceahkabika8652 Год назад
Ndio wamekwambia hawawezi kuchonga kinyago aafu wakigawe bure
@nurumwakisu3335
@nurumwakisu3335 Год назад
Nawe akili kisoda kwaiy yy anafany biashar ya hasara
@AbdallahJambia-fo1tn
@AbdallahJambia-fo1tn 4 месяца назад
Elewa kitu mikataba ya kazi pia
@kutokaughaibuni
@kutokaughaibuni Год назад
Hahahah mzeee Kamaliza hahaha Katoa Code zote Hahhaa Google Ads Ukiweka Dola 3000 tu Basi Kila Kitu kina panda Hahaha Kim Mashavu anasema anamarobot hahaha
@amalone0
@amalone0 Год назад
Rayvanny msanii mpendwa WCB kwel tale hujakosea
@chalesmapua5115
@chalesmapua5115 11 месяцев назад
Kwann apo ndooo ujue jeshiiiiiii sio mtu mzulii wivuuu ndo tatizo lenuuu mulijua mondi ata kua mungu aina iyooo kulaaa chumaiyo watu wap mtwra kila mtu kondekonde way kondeeee
@magejuliani5293
@magejuliani5293 Год назад
Uko sahihi huwezi Lima usivune
@kutokaughaibuni
@kutokaughaibuni Год назад
B ni KWELI Huyu Mzee ni Jau
@mungaieve796
@mungaieve796 7 месяцев назад
yes
@westcijosh
@westcijosh Год назад
Rich sawa akulipa ila platforms zake mmezishikilia ikiwemo youtube
@AmelbergaKempanju-uf1zh
@AmelbergaKempanju-uf1zh Год назад
Hakuwa hata na iyo milioni mia tano kwenye platforms
@FurahaEliya-df5fo
@FurahaEliya-df5fo Год назад
BABUTALE kumbe wewe naye mwongo hivi! Eti tunachukua kidogo kuliko tulizowekeza ni "UONGO HUO"
@fabianiemmanuel6630
@fabianiemmanuel6630 Год назад
Haya tuambie ukweli ww hua diamond awekeza kias gan😃😃
@safariadrien5348
@safariadrien5348 Год назад
Umeshawahi kumusimamia musani?
@eliashibundabalinze2754
@eliashibundabalinze2754 Год назад
Unajua maana ya brand???
@FurahaEliya-df5fo
@FurahaEliya-df5fo Год назад
@@fabianiemmanuel6630 Ukweli ni kwamba huwezi kuwekeza pesa nyingi halafu uchukue kidogo ya ulichowekeza. "Wewe inakuingia akilini unanunua embe 200k halafu uuze 200k h Iyo hiyo bila faida? Au uuze 100k?" Mimi kusema ni mwongo sijamaanisha hawajawekeza ninachomaanisha hawezi kuwekeza kwa msanii pesa nyingi halafu waziache tu zipotee eti wanachukua kidogo tu. Au nyie hamjamsikiliza vizuri BABUTALE alichojibu? Kuchukua pesa kwa msanii uliyeekeza nguvu kubwa kwake sio dhambi kwa sababu tayari umemfanya kuwa wa "Thamani" kuliko alivyokuwa mwanzo.
@FurahaEliya-df5fo
@FurahaEliya-df5fo Год назад
@@safariadrien5348 rejea comment yangu tafakari kwanza nahisi hujaelewa maana yangu umeenda moja kwa moja kwenye mihemuko yako "hisia siku zote haikupi uwelewa sahihi wa jambo Ila tafakari ndio msingi pekee unaoweza kukupa kuelewa jambo" TAFAKARI KWANZA..........
@njarubakiarie2235
@njarubakiarie2235 Год назад
wizi mtupu
@nurumwakisu3335
@nurumwakisu3335 Год назад
Tatizo hujui maana ya biashara na mkataba
@bama9271
@bama9271 Год назад
Sasa kama mavoko ilikuwa hivo,kwanini nyimbo zake zishikiliwe na wasafi? Acha uongo mzee
@vanemmy6043
@vanemmy6043 Год назад
Mkataba broh..... labda yeye siyo wakulipa pesa but nyimbo zake
@ikouwasi7644
@ikouwasi7644 Год назад
C angeenda kushtaki hiyo biashara
@saidseif9645
@saidseif9645 Год назад
ajalipa mkwanja
@izack9191
@izack9191 Год назад
Zinapigwa nje wapi?
@jasjoesalam9382
@jasjoesalam9382 Год назад
Nyimbo zote za mavoko zinashikiliwa na WASAFI hana access na nyimbo za zamani mpaka leo.
@suntzu8959
@suntzu8959 Год назад
Nyimbo ziligharimiwa na WCB. Nipe nikupe
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Ungeuliza ni kwanini hivyo? Kuna mkataba? Je unasemaje huo mkataba?
@ikouwasi7644
@ikouwasi7644 Год назад
swali kwa nini ziwe chini ya wcb mpk leo?
@suntzu8959
@suntzu8959 Год назад
@@ikouwasi7644 hajazilipia.
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
@@ikouwasi7644 makubaliano ktk mkataba yanasemaje...mikataba ipo kulinda pande zote mbili.
@cooler3263
@cooler3263 Год назад
I got some
@miniveronline
@miniveronline Год назад
Asambona channel yake ya rich mavoko bado mpo nayo
@DiorMabaril-qy6yp
@DiorMabaril-qy6yp Месяц назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌍
@jamesvmusic2677
@jamesvmusic2677 Год назад
🔥🔥🔥🔥
@alphalungele-479
@alphalungele-479 Год назад
Rich alilipishwa akaamua kuacha RU-vid,Instagram, kwa Wafasi
@madcity5933
@madcity5933 Год назад
500 million tz Kenya ni 30 M , nikipata hizo nishafunga mchezo , thats alot of money, pesa nzuri sana , nikishika hizo sai huku wataniita illuminati 😅😅
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 11 месяцев назад
Kwahyo tufanyaje? Wakenya kama pesa yenu kubwa mbona munanjaaa had munajiua
@nyahingathadeo826
@nyahingathadeo826 11 месяцев назад
Ndo maana uko Kenya mie Niko tz,lakin bado unavaa nguo za juma jux wa tz😀😀😀
@madcity5933
@madcity5933 11 месяцев назад
@@nyahingathadeo826 😂😂😂
@dijahmriri523
@dijahmriri523 Год назад
Sio kwa ubaya ila ongea ya babu tale sijaielewa
@dalalizanzibar9583
@dalalizanzibar9583 Год назад
Sio kwa ubaya, me sijakuelewa umemaanisha nini ili nikueleweshe
@dijahmriri523
@dijahmriri523 Год назад
@@dalalizanzibar9583 😂😂😂😂😂Kwa nin anafanya mapozi Kama mwanamke
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Huenda kazaliwa Mwaume peke yake huenda hana mambo Yale lakini ameathiriwa na Dada zake
@daviddaudi964
@daviddaudi964 Год назад
​​@@dijahmriri523 kumbe na mimi nimemuomba kama wewe. Ila wanaume wcb wote wanamapozi za kike, wa kike wanamapozi za kihuni
@becare2300
@becare2300 11 месяцев назад
Tambooo za tale
@daviddaudi964
@daviddaudi964 Год назад
Mbona mapozi kama za kike vile, au ndo uhalisia wa wcb?
@AmelbergaKempanju-uf1zh
@AmelbergaKempanju-uf1zh Год назад
Chuki tu una lolote
@saidiwakufuta
@saidiwakufuta Год назад
Rich hakutoa hela saw Ila si mlichukuwa akaunt zake ndo maana Hadi Leo Hana akaunt zake
@AmelbergaKempanju-uf1zh
@AmelbergaKempanju-uf1zh Год назад
Acha uwongo si alifungua akaunti mpya na isitoshe kwenye hizo platforms haifikii hata million tano
@oyay2821
@oyay2821 Год назад
Rich mavoko alitoka WCB ndio mukamzima kabisa
@jairosdaka7328
@jairosdaka7328 11 месяцев назад
Ray is not yet out from wasafi b live me or not
@user-hn3km9ex5r
@user-hn3km9ex5r Год назад
Waache kujitetea mikataba yao mibovu fyuuuuu
@AmelbergaKempanju-uf1zh
@AmelbergaKempanju-uf1zh Год назад
Ni vile ujui biashara
@aishaally1111
@aishaally1111 Год назад
Kama mibovu mbn wanasain ivo ivo si waache kwan wanalazimishwa
@makanjicharles9860
@makanjicharles9860 Год назад
we io mizur unayo??
@Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
Hapo kwenye Naseeb kujaza France mara mbili ya wizkid umetulisha Matango pori Mjomba
@nasrasalumu7005
@nasrasalumu7005 11 месяцев назад
Sema wewe mzee moro uitendei haki miradi haiendi migogoro kibao alafu nduguyetu wadamu ni aibu kubwa
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 10 месяцев назад
Huyu bwana sauti yake ni hiyo?
@user-nf7yn8pt5d
@user-nf7yn8pt5d 11 месяцев назад
you can't carve a mask and then others come and take its interpretatio,even it the sons are recorded or.or what is thesignificance of this statement
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 Год назад
Eti zuchu all over African? Your not serious my friend,do your research please
@ericklyatuu1301
@ericklyatuu1301 Год назад
Kakwambia east Africa
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 Год назад
@@ericklyatuu1301 I'm not idiot my friend I understand what he said
@amalone0
@amalone0 Год назад
Kasema east Africa sio unakurupuka
@amalone0
@amalone0 Год назад
Kasema east Africa sio unakurupuka
@mrs2918
@mrs2918 Год назад
rich mavoko mlichukua you tube yake na jina lake acha uongo kocho wewe
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 Год назад
million 500 za bongo ni 30milions Kenya money kama sijakosea😂😂😂😂
@abubakarimsere
@abubakarimsere Год назад
Unazo!!??
@barakachalres9316
@barakachalres9316 Год назад
Ila Kenya ndio nchi yenye njaa sana na maandamano kila siku
@abubakarimsere
@abubakarimsere Год назад
@@barakachalres9316 mwamba hajielewi😄😄😄😄
@___19965
@___19965 Год назад
Do you have it?
@adamelly6051
@adamelly6051 Год назад
Bro wanakucheka ila uko sawa ni ksh 30million kenya
@nasrasalumu7005
@nasrasalumu7005 11 месяцев назад
Mavoko mmemuua kipaji nyie niwanyonyaji muongo we mzee
@shariffsuleiman2889
@shariffsuleiman2889 9 месяцев назад
I like this guy soo much from 254🇰🇪 Babuu
@shariffsuleiman2889
@shariffsuleiman2889 9 месяцев назад
I like this guy soo much from 254🇰🇪 Babuu
@shariffsuleiman2889
@shariffsuleiman2889 9 месяцев назад
I like this guy soo much from 254🇰🇪 Babuu
Далее
Diamond na Zuchu Walivyoondoka Usiku Wa Manane
8:13
Просмотров 14 тыс.