Тёмный

EXLUSIVE : MKE WA MOMO ATOA SABABU ZA ESMA KUSEMA ANATEMBEA NA MSIZWA 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 118 тыс.
50% 1

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 176   
@kimwerionlinetv5574
@kimwerionlinetv5574 3 года назад
Daaaah dunia hii bhana Mungu endelea kunipa namba niendelee kuyaona mengi ila nisikukosee tu.
@emmymtambo2874
@emmymtambo2874 3 года назад
Itakuwa kweli,maana nyie wakina dada,mnapenda ela,ulijua msizwa anapesa
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 3 года назад
Hii familia ya kisenge sana hiii
@naimanurdin1354
@naimanurdin1354 3 года назад
Dini inasisitiza tufichiane aibu zetu haya mambo yanakuwajee jamaniii
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 года назад
Siku hizi hakuna hata haja ya kuangalia bongo move interview za hawa watu zinatosha
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 года назад
Kumbe eee 😂😂😂😂
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 года назад
@@khdigahk4246 😃😃😃😃Ndioo hivyo
@shabanbuchu2130
@shabanbuchu2130 3 года назад
Media za tanzania zinaendeshwa na umbea tu.Nchi zima inazungushwa na umbea wa familia moja na maceleb nkt!
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 3 года назад
Ni upumbavu kabisa
@Bongo_vibe
@Bongo_vibe 3 года назад
We kwendraaaaaa si uangalie Tbc huku unafanya nn umbea tu na ww
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Uko sahihi
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 3 года назад
kumamake huu ukoo...!! Dah 😅😅😅
@tresiakaovela9109
@tresiakaovela9109 3 года назад
Ukiwa na mawazo ingia wasafi kwasababu kunamambo yajabu hayo nimambo kifamily inakuwaje mnaweka kwenye mtandao
@lovemyselflovemyself954
@lovemyselflovemyself954 3 года назад
Iyi familia ya mama dangote ima mambo mengi Sana ambaye ina fichwa. kwa Zamaradi Esma alisema akukuwa na mimba. Apa Inasemekana alikuwa na mimba 😩 sasa ukweli uko wapi?
@kinggaming928
@kinggaming928 3 года назад
Mana yake esma ni muongo kweli ila iwe Mama mtoto ni sawa ana atake Diamond dad Sasa sikia ana atake wifi zake ni mambo Esma ni primary kicuani shame on her
@mwatumudogo3948
@mwatumudogo3948 3 года назад
Yaaani ni mkorogo kabisa
@beatricemshiu2816
@beatricemshiu2816 3 года назад
Mwenye ukweli wa mimba ni mbeba mimba mwenyew
@littlelloyd3930
@littlelloyd3930 3 года назад
Swali: Huko Tanzania hakuna hospitali za kufanya DNA?
@lovemyselflovemyself954
@lovemyselflovemyself954 3 года назад
@@littlelloyd3930 ziko nyingi Sana 2
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 3 года назад
Hii wasafi sasa haina maana kabisa, haina faida kwa watanzania
@superstuwart2434
@superstuwart2434 3 года назад
Yani wanataka kufanya familia ya diamond iwe ina trend huu ni ushamba wanazingua
@mnubimnubi4081
@mnubimnubi4081 3 года назад
@@superstuwart2434 chuki binafsi itawauwa nyie suseni kwani ukiwa na Tv ndio nyie msiwe na haki ya kuhojiwa kisa watazamaji watachukia
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 3 года назад
Peke yako,,wengine tunapenda,,,,hata radio za abroad kuna vipindi km hivi na vinapendwa
@maujanjatv24h41
@maujanjatv24h41 3 года назад
Kwendraaaaaaa tuachie wasafi yetu
@bongomstv6517
@bongomstv6517 3 года назад
Pita kureeeeeeeerrrre
@KaskasTHEfinderCLIP
@KaskasTHEfinderCLIP 3 года назад
Ni mwongo tuu na huyo ricardo anajua kabisa
@aishaabdul1712
@aishaabdul1712 3 года назад
Esma siyo chizi eti halafu huyu ni wifi ake haya mambo yangekuwa hayana uhakika asingesema huyo msizwa ndo hana adabu
@ibrahimsurvive3311
@ibrahimsurvive3311 3 года назад
nikweli dada angu uko sahihi
@nasmasalim2352
@nasmasalim2352 3 года назад
Pole mamy 💕💕💕
@janatahmad7048
@janatahmad7048 3 года назад
huo esma ni malay tu na tabia mbaya jamani yani ndoa imemshinda sasa anataka kuhalibia wengune dooo ewe mungu njo maana siwezi wifi mimi siwezi kua karibu na ma wifi
@Agnes-qq4np
@Agnes-qq4np 3 года назад
Wifi wa mtu nimbanda yake ulikua aujuwi ilo ka mbali na mawifi
@razmuhammad7223
@razmuhammad7223 3 года назад
Wee momo huna akili... Mwanamume mzim waenda kweny media kuzungumz mambo yko na mkeo?
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 года назад
Kwelii upuuzi sijui wanawazaga nn hawa watu
@benjaminmaganga7402
@benjaminmaganga7402 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Si kila anaevaa suruali ni mwanaume halisi,,,,
@robertmolila7545
@robertmolila7545 3 года назад
Wasafi media Ni habari za familia ya mond tuuuu
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 Год назад
😂😂😂😂😂 Media ya Familia habari za familia 😂😂😂
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 3 года назад
Hamna janga kubwa maishani kama kutokuwa na elimu ni bora uwe masikini au kipato cha kawaida ila umeenda shule . Madada wengi wa mjini kama hawa shule ndogo na ndio thinking capacity yao hii
@amanimanase5794
@amanimanase5794 3 года назад
Ulimbukeni wa kipato broo ndomaana wanahisi Tz yao
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 3 года назад
@@amanimanase5794 Yaani ni shida haswa na ukiwa na bahati mbaya ukioa mke kama huyo umekwisha.
@amanimanase5794
@amanimanase5794 3 года назад
@@kabwelasutiviraka4765 daah si mchezo broo ingekuwa wanawake wote wako kama ivi walahi acha nikose bahat ya kuwa na mke kabisa
@nishaabias5694
@nishaabias5694 3 года назад
Ni radio ya familia hii
@charotelimo5026
@charotelimo5026 3 года назад
TCRA Si waifunge na hii redio wasitusumbue
@ikouwasi7644
@ikouwasi7644 3 года назад
Sasa waifungie kwa kosa gani mbona we unafuatilia 😂 habari c uende TCRA ukatoe malalamiko
@ahmadishaibufataha1481
@ahmadishaibufataha1481 3 года назад
Hii wasafi imekuwa ni redio.ya familia na tv.yao na unafiki tuu washamba wamaisha sana
@beatricemshiu2816
@beatricemshiu2816 3 года назад
Yan wifi yako anaumwa, kupata muda kwenda kumuona ulikosa ila kufuatilia ela nyumban uliweza.. Aiseee wifi wenza kazi
@mamyamin1885
@mamyamin1885 3 года назад
Muongo ulishindwa kuniona mgonjwa kwenye pesa uende ww sema kweli
@adamsaga6700
@adamsaga6700 3 года назад
Sasa aache pesa zake kisa Kuna mgonjwa na ameambiwa hela ziko home
@Nufaila442
@Nufaila442 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 2021 mwaka wa wawasafi
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 3 года назад
Redio hz zinazungumzia umbea tu Watanzania sijui wanapenda
@kamtandeabdala3271
@kamtandeabdala3271 3 года назад
Mashamsham NI umbea maana yake
@nurukhalifa9413
@nurukhalifa9413 3 года назад
Wasizwa na wanyange mnatuvurugaaa huku dai nyange huku msizwa eeeeh
@zahrasulaiman8827
@zahrasulaiman8827 3 года назад
Hii familia nishida hahahaa ESMA kakataa haja toa mimba Leo Maraika anasibitisha umetoa mimba mungu awalaani mtt na mama ake Kwa kuishi Maisha feki uku mnajisifu sio feki mko kimasilahi zaidi
@ramak.9587
@ramak.9587 3 года назад
Ulishindwa kuenda kumuona akiumwa lakini ulienda kufata pesa? Mbna Msizwa asijiandae kuja na hela ama achague azieke alete pesa atwae instead ya kuandamana nae kwake kufata hela ukijua aumwa na hukua umemtembelea kumjulia hali? Apa mnatucheza aisee.
@ed3ezekiel388
@ed3ezekiel388 Год назад
Kumbe momo nae yupo 😂😂😂😂😂😂 dah .... mapenzi ya tz ya michoreshano na ukiangilia wote ni wasaka tonge wakina bill gates wanaachika sembuse nyie wenzangu na mm
@victoriashiko7172
@victoriashiko7172 3 года назад
Wasafi hii Miwani Miwani kwa TV imezindii 😁🤣
@aisharamadhani9438
@aisharamadhani9438 3 года назад
Jmn dunia cmama nishuke mmetuchosha Hali ngumu mnaleta Kiki za ovyo
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 3 года назад
😁😁😁
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 года назад
Unashuka kituogani
@بنمفازي
@بنمفازي 3 года назад
😂😂😂
@abdalahmjomba471
@abdalahmjomba471 3 года назад
Mmejipanga ila konde nyimbo itawaka tuh. Mara cyo baba yke mara esma nae na wifi yke mmmmh kiki
@simonitaagesti3657
@simonitaagesti3657 3 года назад
Dah mji mzito huu
@safiyamohamudadan6526
@safiyamohamudadan6526 3 года назад
Anataka kumharibia ndoa yake imemshinda
@dktnandulenandule4970
@dktnandulenandule4970 3 года назад
Esma gani Tena jamani?😂
@selemanmayala9374
@selemanmayala9374 3 года назад
Ukoo wa kimjinimjini ni shida tu Bora uku bush tunaenjoy life tukikosana baadhi ya ndu wazee wambanga wanayamaliza
@amourdelicieuse2961
@amourdelicieuse2961 3 года назад
Tokaa pala we kahaba momo ana lolote Esma ni yuda ila kaongea point
@jayfadhil8404
@jayfadhil8404 3 года назад
Dunia simama nishuke ninunue njugu
@leonidamatungwa5328
@leonidamatungwa5328 3 года назад
Hivi hamna aibu na mambo ya familia kwenye radio
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 года назад
Sheytwan akikushika kakushika
@estermathias8354
@estermathias8354 3 года назад
Kwn lazima uwasikilize.famly inamigogoro iyo
@mr.pilipili5289
@mr.pilipili5289 3 года назад
esma muuaji kashaua kiumbe anataka wenzie waliotulia nao wawe kama yey malayaa wa mbugan
@naimanurdin1354
@naimanurdin1354 3 года назад
Na alisema live istagramu kweli alitoa mimba alafu zamaradi alivyomuuliza anasema hapana aliongea kwa hasiraa hii familia jamanii tuiombee tu iwe na khofu ya Mungu
@mr.pilipili5289
@mr.pilipili5289 3 года назад
Familia ya hovyoo sanaa lakin yoote ji kwa sababu ya shule shule ni msaaada snaaa pesa sio kila kitu Aibu kila mtu anajieka uchi kuanzia mama adi watoto dah
@karimhamisi4627
@karimhamisi4627 Месяц назад
Likado momo alipuuzia hii leo kimemramba
@FatimaFatima-fy7yv
@FatimaFatima-fy7yv 3 года назад
Duuuuuu family hii ina matatizo daaaaah ujinga kira siku
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 года назад
Afuu me nashangaa kitu kidg hadi mtandaon sijui nini
@ikouwasi7644
@ikouwasi7644 3 года назад
Sasa we unafuatilia nini
@moriscollins4494
@moriscollins4494 3 года назад
Hii media ingeitwa ukahaba Media
@KaskasTHEfinderCLIP
@KaskasTHEfinderCLIP 3 года назад
MALAIKA huyo anajiuza huku uarabuni ni malaya tu atashindwaje kutembea na mume wa mtu
@sponsor7882
@sponsor7882 3 года назад
Freemason wameanza kuvuruga family.
@zachariamduma3411
@zachariamduma3411 3 года назад
Lkn hyo familia ina balaa gni jmni,mama zero,watoto zero.
@connortripp9304
@connortripp9304 3 года назад
I guess it's quite off topic but does anyone know of a good website to watch new series online ?
@huxleyaydin6562
@huxleyaydin6562 3 года назад
@Connor Tripp Lately I have been using Flixzone. Just google for it :)
@ernestojayson3652
@ernestojayson3652 3 года назад
@Huxley Aydin Yea, have been watching on flixzone for months myself :D
@connortripp9304
@connortripp9304 3 года назад
@Huxley Aydin thanks, I signed up and it seems like they got a lot of movies there :D I appreciate it !
@huxleyaydin6562
@huxleyaydin6562 3 года назад
@Connor Tripp you are welcome xD
@nastehamuktar50
@nastehamuktar50 3 года назад
This family I can't 🤦🤦🤦
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 3 года назад
🙅hata mimi nimechoka kabisa
@venstonvedasto
@venstonvedasto 3 года назад
WANAWAKE WAKUOGOPA NA KUKAA MBALI NAO. WABAYAAA KINOMA HAO NDANI
@brainsngaugula6075
@brainsngaugula6075 3 года назад
Ukiona manyoya... Niliacha kuamini wanawake kitambo!
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 года назад
Aaaaaaa Tutake radhi bwana
@bmbnndailylife2096
@bmbnndailylife2096 3 года назад
Kumbe wewe ndo uliye muambia msizwa hesma atatoa mimba
@safiyamohamudadan6526
@safiyamohamudadan6526 3 года назад
Ni muongo mbona haja screen shot?
@iflamusa7645
@iflamusa7645 3 года назад
Hio sio kiki ya kufunika wimbo wa hamo
@erickkisindja2670
@erickkisindja2670 3 года назад
Kilicho nifiraisha kuona mwislam kuongelea Mambo ya Yesu kristo kuliko Muhammad akika biblia ndio Neno la kweli lsbMungu.
@rhodajames8912
@rhodajames8912 3 года назад
Huyu Dada nimuhongo
@YOBOYSADIO
@YOBOYSADIO 3 года назад
Kwa wale wapenzi wetu wanaopenda ku angalia the Story Book hii ndio account mpya ya the story book basi fanya ku subscribe video tunapost kila ijumaa asanteni
@dorisjessy5960
@dorisjessy5960 3 года назад
Lakini inaonyesha malaika humshirikisha momo kila kitu chake ambapo ni vizuri hawatofautiani kwenye kauli
@rafiamasoud9166
@rafiamasoud9166 3 года назад
Dar hii familia kiukweli ni pasua kichwa Yan baada ya kufungiwa tv yao Sasa Kila kukicha wanatuibulia vioja ili kusudi tu wasisahaulike vichwan mwa watu
@lusePro
@lusePro 3 года назад
Yani nyie hamnaga habari zingine? Kila cku ni mambo ya familia tu!
@goodmarkjulius8806
@goodmarkjulius8806 3 года назад
Na radio ifungwe tuuuuuh haina inachofundisha kwa jamii naomba tcra tuonane chapu🤺🤺
@beatricemshiu2816
@beatricemshiu2816 Год назад
Muda wa kufuata ela ulikuwa nao ila kwenda kumuona ulishindww
@aishamusumba8469
@aishamusumba8469 3 года назад
Sasa hawa watu ni madui na esma iweje wakubali kaka yako diamond kuwa makini hawa watu wana mipango mbaya kwako
@afrobongobeats1686
@afrobongobeats1686 3 года назад
Familia ina drama hii khaaa😂😂 Nyange family
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 года назад
😃😃😃😃😃Etiii nyange family
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 3 года назад
Interview short
@mosekombo3657
@mosekombo3657 3 года назад
Iko full pia
@allynama5247
@allynama5247 3 года назад
Msizwa kala mzigo
@TwalibuMussa-i3m
@TwalibuMussa-i3m 5 месяцев назад
Kwnn mambo ya familia mnaleta kwenye media make ukuna patanisho ni umbea tyu media baada ya kuleta suruhu ni umbea na nyie wanandoa mnaoleta mambo yenu humu nyote amna akili sawa sawa kila mtu ana changamoto kwenye ndoa yake wanakaa wanamaliza tofauti zao
@benjaminmahenge313
@benjaminmahenge313 3 года назад
no problem na dada ni hviiiii
@OmanOman-sm6dv
@OmanOman-sm6dv 3 года назад
Momo sauti kama mondi
@Bongo_vibe
@Bongo_vibe 3 года назад
Kweli
@amourdelicieuse2961
@amourdelicieuse2961 3 года назад
Malaika uko mrembo ila uko Mnafki mume wa Esma anakutombaa sana malaya wewe momo ana mke muna leta haya nyinyi family ya dangote
@fredymassawe6125
@fredymassawe6125 3 года назад
Malaika
@mariamakungwa5391
@mariamakungwa5391 3 года назад
Kwani uwifi umeisha?mbona kazi ipo
@mubamuba3450
@mubamuba3450 3 года назад
Walana wenyew kwa wenyew mimba nyingine izo
@mubamuba3450
@mubamuba3450 3 года назад
Zinakuja utaona
@goodvibetv4065
@goodvibetv4065 3 года назад
Toka mmetangaziwa kufungiwa basi mnahangaika na kuzalilishana ndan ya familia zenu ili tu kupata attention
@lamzashedu9825
@lamzashedu9825 3 года назад
Mbona media mambo ya familia daily
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 3 года назад
Mmsameh bure nae hamjui baba yake anabandikizwatu eti nimwarabu wakati niwawahindi wa kariakoo 😂😂😂
@dinahshirima6356
@dinahshirima6356 3 года назад
Nacheka comet yako
@asinatikarim5401
@asinatikarim5401 3 года назад
Aloo haha
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 года назад
😃😃😃😃😃😃
@shuweynalove3622
@shuweynalove3622 3 года назад
Uyo Malaika atoe miwani tuone anavo babaika
@lareineminah1353
@lareineminah1353 3 года назад
Umeona eeh
@fatmakhalid9176
@fatmakhalid9176 3 года назад
Kweli ana sema urongo
@venerandamasunga6789
@venerandamasunga6789 3 года назад
ndugu wa diamond ni matahira tena hamnazo kabisa kinachowastiri ni pesa tu tena kwasasa siwezi kumshabikia diamond tena hawajielewi kabisa
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 года назад
Wewe ni shabiki mandazi... kwani unashabikia kazi zake au unashabikia drama za familia yake?
@anitaerasto5482
@anitaerasto5482 3 года назад
haaaaaaah usinichekeshe mie
@josewillson1813
@josewillson1813 3 года назад
Kwan umemwona diamond apo au aliyeongea ujinga ni mond
@venerandamasunga6789
@venerandamasunga6789 3 года назад
@@BigZhumbe tangu wamwmkataa mzee Abdul siwakubali kwa mziki wala drama unazozungumzia
@kalufunyangenyakinyungu5087
@kalufunyangenyakinyungu5087 3 года назад
Hata kabla hukuwa shabiki wa Mondi Unajinafikia mwenyewe
@bmbnndailylife2096
@bmbnndailylife2096 3 года назад
Ulijua msizwa anapesa malaya tu wewe
@Queen-by6ei
@Queen-by6ei 3 года назад
Mjamzito gani tena ??!
@issabakari1916
@issabakari1916 3 года назад
Uyo msizwa na wewe muke WA mutu, wote mazwazwa,, we umemwambia mwezio upo busy, amekuomba ukamjulie Hali anaumwa, we ungesema upo busy, harafu unaenda home kwake,!🤔
@Vince-kw9hu
@Vince-kw9hu 3 года назад
Kwani wasafi imekua patanisho Useless kabisaaa
@flavianwilliams2888
@flavianwilliams2888 3 года назад
Hapa na pale dukani maneno yamepishana
@vero57
@vero57 3 года назад
Vua miwani dada
@goldenfoot1102
@goldenfoot1102 3 года назад
Hawa jamaaa wanahatari Sana
@amaningonyani2775
@amaningonyani2775 3 года назад
Hii TV saiv ni ya ukoo maana interview zote za ndugu tu mnataka ukoo mzima uwe maharufu
@neemadeo7803
@neemadeo7803 3 года назад
Alikuwa mjamzito hahaha makubwa
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 года назад
Dah kazi kweli kweli
@kijahnikwelinyalinga1740
@kijahnikwelinyalinga1740 3 года назад
Dada una fanan na bikidude 😂 alikua mama yako?
@kijahnikwelinyalinga1740
@kijahnikwelinyalinga1740 3 года назад
Dida una fanana na bikidude ni mama yako😂
@sarahtaste2876
@sarahtaste2876 3 года назад
Ww mbingu utaisikia tu😂😂😂
@H-moneybags
@H-moneybags 3 года назад
Ricardo momo wenu kachapiwa
@dasilvajunior3016
@dasilvajunior3016 3 года назад
😁😁😁
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 года назад
😃😃😃😃
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 3 года назад
KUNA LAANA KATIKA FAMILIA YA MAMA D.MAMBO YAO NI MATUKIO YA AJABU AJABU.WANAHITAJI MAOMBI
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 3 года назад
Sanaaa
@mutalemwagabrie9791
@mutalemwagabrie9791 3 года назад
Momo ametoa mahari lakini?😂😂😂😂😂
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 3 года назад
Mahari si swalaaa tuu😃😃
@adamismailly1784
@adamismailly1784 3 года назад
Acheni drama mikundu nyie mwataka muwatoe watu kwenye inshu ya ma dangote ya ukahaba mwatuketea mambo ya msinzwa
@yusramohamed111
@yusramohamed111 3 года назад
mambo mengiiii daah , family imejaa balaa, im losing interest.
@subirangellah8779
@subirangellah8779 3 года назад
Mjamzito??
@subirangellah8779
@subirangellah8779 3 года назад
Si amesema hakuwahi kua na mimba ya msizwa
@thisiszai2045
@thisiszai2045 3 года назад
Hicho ndo kino ni changanya mie pia, kwenye interview na zamaradi kasema haku wahi kushika mimba
@H-moneybags
@H-moneybags 3 года назад
Upuzi mtupu
@samonaukiro4391
@samonaukiro4391 3 года назад
Redio ya kipuuzi sana hii ....ujingaaaa mtupu
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 года назад
Sam onaukiro acha uchoko wewe icho ni kipindi na wapo wenye interest nacho kukifatilia ivyo Kama unaona hakikupi Mambo unayotaka wewe pita kushoto kasikilize tbc mbona ipo unafata Nini uku punguza shobo
@samonaukiro4391
@samonaukiro4391 3 года назад
@@albertkadyanji9722 sawa shoga la wasafi nimekuelewa matako ww na redio ya famil
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 3 года назад
@@samonaukiro4391 choko wewe unaonekana mwanaume sio ridhiki wewe wanaume wa shoka hatuna kodi hizo choko fresh wewe
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 3 года назад
FAMILIA YOTE MALAYA😆😆😆😅
@frenchygigi
@frenchygigi 3 года назад
Kiki za ujinga..
@gresitimoth4142
@gresitimoth4142 3 года назад
E
Далее
Mkasi - S02E01 with Dida Wa G
26:13
Просмотров 375 тыс.