Тёмный

FAHAMU KAZI ZA MFUNIKO WA REJETA (RADIATOR CAP) KWENYE MFUMO WA UPOOZAJI WA INJINI 

KYANDO MOTORS TV
Подписаться 8 тыс.
Просмотров 970
50% 1

Mfumo wa upoozaji wa injini unafanya kazi muhimu sana na katika mfumo huo kuna kifaa kinaitwa mfuniko wa rejeta (radiator cap). Mara nyingi kifaa hiki huchukuliwa poa na mafundi na hata watumiaji wa magari. Sasa chukua nafasi na pata muda kidogo sikiliza na kuangalia umuhimu na namna invyofanya kazi. Karibuni Kyando Motors TV

Опубликовано:

 

5 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@petrohaonga4353
@petrohaonga4353 Месяц назад
Nazipenda kazi zako kaka
@rajabumohamed5606
@rajabumohamed5606 27 дней назад
Teacher kyandoo
@busiga.
@busiga. 18 дней назад
Nikienda safari, nikipaki reserve tank huwa limeliwana coolant kwa nje, na taratibu ujazo huwa unapungua. Leakage huwa wapi na inasababishwa na nini? Hii haitaniletea madhara kwenye injini?
@ringojunior-t1k
@ringojunior-t1k 3 дня назад
nawezaje kujua kwamba namba hii ni sahihi kwenye rejeta ya aina hii??
@gideongoodluck3176
@gideongoodluck3176 2 месяца назад
Gari yangu coolant ipo juu kidogo ya minimum kwenye reservoir tank.lakini nikitembea umbali kama wa km Tano maji yanajaa kwenye reservoir tank mpaka maxim mum je? Gari inakuwa na tatizo....nipo makete kata ya Matamba lakini gari haichemshi na milima ni mikari balaa
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Huenda ukawa na tabia ya kuongeza maji kila asubuhi au kila unapowasha gari. Hatahivyo, sio dalili nzuri maji kujaa mpaka yamwagike. Mtafute fundi afanye ukaguzi wa kina
@abilahnamnungu1819
@abilahnamnungu1819 2 месяца назад
gali ndogo tutumie vifuniko namba ngapi?
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
soma namba ziliandikwa juu ya mfiniko husika. Hata injini ya za gari ndogo hazifanani/hazilingani
@filbertnyoni2352
@filbertnyoni2352 2 месяца назад
Shida ukipigiwa simu tuje kwenye workshop yako hutoi majibu sahihi,sasa unaongea matatizo tu msaada hutoi
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Pole sana, naomba tuwasiliane mkuu. Huenda nilikuwa kwenye ratiba za mikoani
Далее
Ouch.. 🤕
00:30
Просмотров 4,5 млн
Radiator Cap Overview by MotoRad
2:58
Просмотров 107 тыс.
USIPOFANYA HIVI GARI LAKO LITACHEMSHA/UTAUA INJINI
15:13
UCHAMBUZI WA MITIHANI YA UDEREVA
7:49
Просмотров 22 тыс.
How to Solder and Repair a Leaking Radiator
10:56
Просмотров 111 тыс.
UCHAGUZI WA GARI KWA KIGEZO CHA CC
13:25
Просмотров 37 тыс.
USAFIRI WANGU
11:59
Просмотров 25 тыс.
Ouch.. 🤕
00:30
Просмотров 4,5 млн