Тёмный
KYANDO MOTORS TV
KYANDO MOTORS TV
KYANDO MOTORS TV
Подписаться
Karibu Kyando Motors TV, kwa elimu kuhusu gari lako.
🔴Usisahau Ku-Subscribe na kuruhusu kengere ili kupata notification kila tunapoweka video zetu.
NAMNA YA KUTUNZA GARI LAKO WAKATI MVUA INANYESHA
10:00
7 месяцев назад
JINSI YA KUENDESHA GARI WAKATI WA MVUA
15:10
7 месяцев назад
TUNARUDI KWA NGUVU
1:16
8 месяцев назад
USAFIRI WANGU
11:59
3 года назад
ZIJUE ALAMA ZA USALAMA KWENYE GARI LAKO
14:55
3 года назад
UCHAGUZI WA GARI KWA KIGEZO CHA CC
13:25
4 года назад
Usafiri Wangu TV
0:34
4 года назад
Комментарии
@agustinohinjo-zo9cb
@agustinohinjo-zo9cb 4 дня назад
Asante Mwl Ally kwa kutuelimisha
@juliemetanoia1650
@juliemetanoia1650 7 дней назад
International instructor
@rajabumohamed5606
@rajabumohamed5606 8 дней назад
Mwalimu wetu Ally ni mtu na nusu asee🙏🙏🙏🙏🙏,,.
@rajabumohamed5606
@rajabumohamed5606 8 дней назад
Teacher kyandoo
@user-hy7op6tr8p
@user-hy7op6tr8p 26 дней назад
Gari yngu yngu kuna wakati inawaka injini light ya manjano kwa mfano nikitembea zaid ya speed 80 lkn nikipunguza mwendo inaondoka. Naomba ushauri wko fundi
@petrohaonga4353
@petrohaonga4353 Месяц назад
Nazipenda kazi zako kaka
@stevenhassan269
@stevenhassan269 Месяц назад
Video ina makelele
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani Месяц назад
Jamaa yuko vizuri saana tumtumie huyu kama nchi kwa mafunzo mtandao kwa ajili ya vijana wetu.
@victorkahangwa679
@victorkahangwa679 Месяц назад
Ahsante sana Engineer Kyando
@user-xr7or6ts7y
@user-xr7or6ts7y Месяц назад
Unaweza mzee
@jacquilinejustine7227
@jacquilinejustine7227 Месяц назад
Je? Kama imewaka na nikaendelea kuendesha gari kwa siku mbili kuna shida?
@suleimaninassoro
@suleimaninassoro Месяц назад
Safi sana ubalikiwe kiongozi kwa dalasa
@stancreezzy5500
@stancreezzy5500 Месяц назад
Safi
@sebastiankatalle2732
@sebastiankatalle2732 2 месяца назад
Naomba namba
@abilahnamnungu1819
@abilahnamnungu1819 2 месяца назад
gali ndogo tutumie vifuniko namba ngapi?
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
soma namba ziliandikwa juu ya mfiniko husika. Hata injini ya za gari ndogo hazifanani/hazilingani
@gideongoodluck3176
@gideongoodluck3176 2 месяца назад
Gari yangu coolant ipo juu kidogo ya minimum kwenye reservoir tank.lakini nikitembea umbali kama wa km Tano maji yanajaa kwenye reservoir tank mpaka maxim mum je? Gari inakuwa na tatizo....nipo makete kata ya Matamba lakini gari haichemshi na milima ni mikari balaa
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Huenda ukawa na tabia ya kuongeza maji kila asubuhi au kila unapowasha gari. Hatahivyo, sio dalili nzuri maji kujaa mpaka yamwagike. Mtafute fundi afanye ukaguzi wa kina
@filbertnyoni2352
@filbertnyoni2352 2 месяца назад
Shida ukipigiwa simu tuje kwenye workshop yako hutoi majibu sahihi,sasa unaongea matatizo tu msaada hutoi
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Pole sana, naomba tuwasiliane mkuu. Huenda nilikuwa kwenye ratiba za mikoani
@mudimkagila5252
@mudimkagila5252 2 месяца назад
wewe kwangu umekuwa ni mwalimu wangu
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Karibu sana
@user-dh7yg6dl5e
@user-dh7yg6dl5e 2 месяца назад
Yaan napata Elimu 😂kubwa naanza kuelewa ata sijui lini nitashika steringi ya gari 😅ila mpk kuja kuishika nimeshajua mengi 😅
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Karibu sana
@user-dh7yg6dl5e
@user-dh7yg6dl5e 2 месяца назад
Asante sana baba yangu yaan hatimae nimepata mwalimu wa kunifundisha kuendesha gar hivi baba MTU kuja kwako kumfundisha kuendesha mpk KUJUA inachukua mda gan mpk MTU KUJUA kuendesha gar na kujua Sheria zote za balabalan samahani baba naomba kujua
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Tafuta chuo kilichokaribu na tumia mafunzo haya kwenye kuongeza elimu yako
@IdrisJuma-xp4ru
@IdrisJuma-xp4ru 2 месяца назад
Asante kwa elimu,na bado naendelea kujifunza kutoka kwenu
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Karibu sana
@YusuphJuma-li8wy
@YusuphJuma-li8wy 2 месяца назад
Baba nikija NIT nakutafuta
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Karibu sana
@mariamuchechenga
@mariamuchechenga 3 месяца назад
Sound Iko juu
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Pole na samahani sana, tutarekebisha
@reginaldtarimo-kf1ye
@reginaldtarimo-kf1ye 3 месяца назад
Barikiwa sana baba.
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Amina
@alphoncengoza1433
@alphoncengoza1433 3 месяца назад
Nimekuelewa mkufumzi
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Karibu sana
@machanohaji9841
@machanohaji9841 3 месяца назад
Mm nataka nije unifunze kabisa ntalipia mafuta
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Karibu sana
@SHABANIMGOMI
@SHABANIMGOMI 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@treyvissy9854
@treyvissy9854 3 месяца назад
Asante sana Engineer
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Karibu sana tu
@mimosapudica1894
@mimosapudica1894 3 месяца назад
Elimu kubwa sana...🙏
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Karibu sana
@mimosapudica1894
@mimosapudica1894 3 месяца назад
Safi sana.. tunashukuru kwa darasa
@reginaldtarimo-kf1ye
@reginaldtarimo-kf1ye 3 месяца назад
Ahsante sana baba kwa darasa la bure..ubarikiwe sana.
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Karibu sana
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Karibu sana
@mimosapudica1894
@mimosapudica1894 2 месяца назад
@@kyandotv1468 Tunalo group la Whatsapp ambalo tuko wadau na Wamiliki wa Magari..Nilikuwa naomba kama hutojali tukuunge huko ili tupate faida zaidi kutokana na changamoto wanazokutana nazo Wengine na pia itakuwa fursa nzuri kwako kujitanua na kupata Wafuasi. Natanguliza Shukran
@innocentswai6239
@innocentswai6239 4 месяца назад
Over drive button kweny Toyota vitz inapatikan uapnde gani muhandisi
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
nimekupata, nitafanya kipindi muda sio mrefu
@drmonasser1332
@drmonasser1332 4 месяца назад
Weka opt ya kudownload,, ili tuweze kupakua masomo yako for revising
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
nimekupata
@joeledson3862
@joeledson3862 4 месяца назад
Mm taainawaka nikipima oil IMO
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
inatakiwa kufanyiwa inspection kwenye lubrication system
@mbokaicon5507
@mbokaicon5507 4 месяца назад
Asante kwa elimu
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Karibu sana
@ahmedislam2828
@ahmedislam2828 4 месяца назад
Uko sawa sana mwalimu
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
welcome
@user-tk3sm8vn9m
@user-tk3sm8vn9m 4 месяца назад
✊🏿✊🏿
@kyandotv1468
@kyandotv1468 2 месяца назад
Karibu sana
@user-uv2lf6yk4q
@user-uv2lf6yk4q 4 месяца назад
Nimekupata vizuri engineer kyando
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
welcome
@elikiakyando2814
@elikiakyando2814 4 месяца назад
Tunakuelewa sana mkuu
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
welcome sana
@justineprims618
@justineprims618 4 месяца назад
ahasante muadisi
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
welcome
@aaqmagerq1e726
@aaqmagerq1e726 4 месяца назад
Asante sana engineer kwa somo zuri
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
welcome
@deuskalinga2449
@deuskalinga2449 4 месяца назад
Kazi nzuri Mr Kyando
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
welcome
@agustinohinjo-zo9cb
@agustinohinjo-zo9cb 5 месяцев назад
Big up teacher Ally nakupata vizur
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
welcome
@oswardbeatus8707
@oswardbeatus8707 5 месяцев назад
Safi sana kwa somo ili
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
welcome indeed
@elikiakyando2814
@elikiakyando2814 5 месяцев назад
Tunakuelewa sana Engineer Mungu akubariki pamoja sana
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
welcome dada yake
@muhsinmuhsein4484
@muhsinmuhsein4484 5 месяцев назад
Asante Engineer tunaelewa somo
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
welcome
@oswardbeatus8707
@oswardbeatus8707 5 месяцев назад
👌
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
karibu kaka
@fadhiliswidhun6606
@fadhiliswidhun6606 5 месяцев назад
Asante engineer kwa elimu ,ABS mfumo tupe elimu nao tuujue, tunauskia kwa mafund gereji tu
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
it is coming soon
@benjamimmyaya5907
@benjamimmyaya5907 5 месяцев назад
Saaaf sana Mkuuuu nakuelewa sana eng.
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
welcome Benja
@oswardbeatus8707
@oswardbeatus8707 5 месяцев назад
Asante kaa shule hii
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
karibu kaka
@muhsinmuhsein4484
@muhsinmuhsein4484 5 месяцев назад
Tupo pamoja engineer, masoma yanachelewa sana
@kyandotv1468
@kyandotv1468 4 месяца назад
twende kazi hapo