Тёмный
No video :(

USIOGOPE HII VIDEO JINI LILIVYOITWA LIVE NA SHEKHE MWENYE UWEZO KULIKO DR SULLE 

Bongo Touch
Подписаться 741 тыс.
Просмотров 127 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 590   
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 месяца назад
Mnautia madoa uislamu, wakati uislamu ni safi. Subhanallah. Mnaacha mafundisho ya Mwenyezi Mungu na Mtume mnafuata matundisho ambayo hayamo ndani ndani ya Qur'an. Hayo ni matunda ya sheitwani. Mnaitukanisha Dini ya Mwenyezi Mungu.
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 3 месяца назад
Hakuna dosari bali ni kweli kabisa uislam na majini ni kama samaki na maji
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 3 месяца назад
@@ebenezerchurchsupremetv9490 Hao si hawaelewi yaani ukizaliwa muislam kiuharisia wewe teyari una majini upo connected nayo (ndio maana wanakuwa na roho ya mpinga Kristo kafiri) na ukisilimu pia upo pamoja nayo.
@whajavfsb5154
@whajavfsb5154 3 месяца назад
😂😂yan waislam wengi hawajui dini yao wanakua wanaona kama hawa ni waongo
@gabrielphabian4439
@gabrielphabian4439 3 месяца назад
Ushawahi waza katka moyo wako,je kama waafrika tungejaaliwa tecnologia nzuri ya kutengeneza siraha Bora na majeshi bora ya kujilinda,kabla ya wazungu je wangetutawala vp na dini zao wangeziingiza vp Africa,je zisingekuja hizi dini hatma yetu ungekuw nn, jiulize xna then Leta majibu
@SaidiAmiri-qv5ed
@SaidiAmiri-qv5ed 3 месяца назад
​@@ebenezerchurchsupremetv9490musicho kijua nikwamba Qur'an nikitabu ambacho hakijaacha kitu,wenzetu wa upande wa pili munaamini uislam ni dini isiyo yakweli,na waislam wanafuga majini,kwanza mufaamu majini ni viumbe kama ssi Mungu aliwaumba wanadamu na majini ili wamuabudu,lakini majini haya kuna majini mema na majini mahovu kama ssi binadamu.kwahiyo basi narudi kwenye qu'ani nikitabu ambacho wazungu wanakitumia sana ili kujifaidisha kwasababu nikibu ambaho hakijaacha kitu,hivyo enyi wakristo uislam ni dini ya kweli na haina mashaka ndani yake,hawa wanaofanya hivi ni miongoni mwa wale wanaomkufuru Mungu.
@adamkassim-ts2ds
@adamkassim-ts2ds 3 месяца назад
Subhanallah huu ni ushirikina...mtume sws alisema Akbar kabahir madhambi makubwa kuliko yote ya Kwanza ni kumshirikisha mwenyezi mungu dini yetu ya kiislam mwaifanya ni ya ki sheitwan... sheikh umevaa vazi la heshima ila unaongea mambo ya shirki mwenyezi mungu akusameh na akuongoze njia ya swa
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 3 месяца назад
Usionge kitu hujui huyu sio mshirikina akueleza hajasema uwite majini huyu amesomea hayo mambo ww ukirogwa anao ilimu ya kukutibu waona nabii suleiman alikua akiwatumia kwa njia ya sawa hata ww waeza kumtumia jini ili kufanyia mtu dawa apone makosa Nepalese wataka utajiri utumie majini kua kutoa kafara ziko njia nyingi sasa ustadh yuwakueleza sio kwamba yy mchawi huyu ni mtabibu
@adamkassim-ts2ds
@adamkassim-ts2ds 3 месяца назад
@@saba-gv3mj wew ndo ujui kitu sisi ni umma wa mtume Muhammad sws twafata Sunnah zke we uliskia historia ya mtume akifanya tiba na kushirikisha majini
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 3 месяца назад
@@adamkassim-ts2ds kushirikisha majini vp soma boss wacha kukurupukwa sawa mtume s a w amefundisha kila kitu mana ya rukia ni nn kushirikisha mungu ni kutumia jini kuroga sawa na mengineo tafauti tafauti ambayo kumdhuru binadamu mwenzako na waeza kutumia jini kisheria jini waeza kumtumia ukifanyia watu dawa kama kumtuma kutafuta miti shamba na kuna dawa zengine majini wazijua ambao ni waisilamu na kunao majini wengine wakiristo ambao kazi zao kukupa ww binadamu ugonjwa ama ukitaka akufanyie mambo yako atakwambia umshirikishe Allah ndio ufanikiwe kama kua umtoe mamako ama umtoe mtoto wako sawa soma mwanzo kabla kuropokwa tumeumbwa majini na binadamu tumuabudu Allah basi na wengine wanamusi Allah
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 3 месяца назад
@adamkassim-ts2ds sasa kama hunui hata mtume s a w alikutana na majini tena wakamuamini soma suratul jin usikurupukwe sawa na kila binadamu anae shitwani na malaika sawa mtume s a w pia alikua nae ila wa mtume s a w alimsilimisha akawa mwema soma baba
@adamkassim-ts2ds
@adamkassim-ts2ds 3 месяца назад
@@saba-gv3mj ngoja nikuulize swali...kwahio mtume aliita majini usku
@Hassannoor254
@Hassannoor254 3 месяца назад
Dhambi kubwa lisilosamehewa ni ushirikina.Umepoteza watu wengi sasa subiri siku roho itachukuliwa na mwenyewe ndio utapata mavuno ya unayoyafanya.Hao majini unatumia watu wanamjua mwenye aliwaumba,wewe mjanja sana unapotosha watu katika njia ya Mwenyezi Mungu Ilhali Mwenyezi Mungu amesema aliwaumba majini na binadamu ili wamwabudu yeye tu.Lilia Mwenyezi Mungu na utubu,
@omarmzaham7248
@omarmzaham7248 3 месяца назад
Swadaqta huu ni ushirikina hapo nakuunga mkono kabisa, wapi mtume Muhammad (s.a.w) na sahaba zake au Tābiʿū al-Tābin wakafanya zaidi ya Quran na sunnah? huu ni ushirikina mtupu muombeni mungu pasipo na washiriki majini ni viumbe tu hata malaika ni viumbe tu hakuna anae uwezo illa Allah(s.w.t)
@Mudhihiri_Hakika
@Mudhihiri_Hakika 3 месяца назад
Subhana'Allah... Kwa hakika Tunatumia Vibaya sana hii elimu ya Allah s.w...!!
@jaynelpro1492
@jaynelpro1492 3 месяца назад
Kumbe hiyo ni Elimu ya Allah😮 basi hajafanya makosa kuieleza elimu ya Allah wenu
@rachelmaina3476
@rachelmaina3476 3 месяца назад
Wacha waongee mwaswma wakristo to ndo wanavituko.Wacha tuone waislamu wanavo fanya ushirikina kutafuta pesa pia. Mola arehemu watu wake.
@YusufuMusani
@YusufuMusani 2 месяца назад
Namiminataka utajjiri'
@idrissmutinda6243
@idrissmutinda6243 3 месяца назад
Nakumbuka nikislim niliambiwa,nisifuate WAISLAMU,nifuate UISLAM.Ila sina imani asilimia Mia kuwa huyu ni muislam ,pengine kalipwa ayaseme hayo.Subhanallah.
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 3 месяца назад
Karibu ktk uislam ila huyu kijana hana adabu na dini
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 месяца назад
Ni muislamu mi namfahamu na ni mganga anatibu
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 месяца назад
We nae utapata dhambi za bure kalipwa na nani?Huyu ni ustazi na anatibu
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 3 месяца назад
Nimuisilamu huyu huyu kazi yake nikukusaidia kama ww ukirongwa akupe dawa huyu amesomea haya mambo ila hawa watu wanakua na taa kama wazee wazamani wakikutibu atakwambia nipe chochote ila hawa watakwambia toa laki milioni yani wafanya kwa manufaa yao watu wingi hawafanyi kwa ajili ya Allah
@Grataaaaa
@Grataaaaa 3 месяца назад
Washirikina aoooo
@English-SomaliTranslationHub
@English-SomaliTranslationHub 3 месяца назад
HasbunaAllah, wachawi pia wanatumia jina ya Mungu kutekeleza uchawi yao...may Allah protect us
@teslasamsimao3324
@teslasamsimao3324 3 месяца назад
Ameen
@willdomy1078
@willdomy1078 3 месяца назад
Right ungejua usingewaita wachawi, hao ndio walioshika dini hasa.. soma uislam sana, utakua mganga mzuri. Hukusoma kua Muhammad alisilimisha majini na majini yana sura yao kwenye Quran. Nina mengi ya kukwambia, siri ni nyingi. Haujiulizi kwanini majini yanaitwa Kwa lugha ya kiarabu tu.
@GibsonKangethe
@GibsonKangethe 3 месяца назад
Yesu Kristo ndiye Njia, Ukweli Na Uzima,Bila yeye uko njia potevu,Bila yeye Umendanganyika,Bila yeye Uko katika Mauti.
@mosesmutharimi5837
@mosesmutharimi5837 3 месяца назад
Amini yesu ,mengine ni adithi za kichawi na wazee wa zamini ,yesu ndio kila kitu
@SuleimanDastan-ro2zy
@SuleimanDastan-ro2zy 3 месяца назад
😂😂😂 bado hujasema..... Na yesu wenu
@jimmymaingi7593
@jimmymaingi7593 3 месяца назад
Kweli
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 месяца назад
Wazee wa zamani ndio kina nani?Wahenga au ?😆😆
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 дня назад
@@mosesmutharimi5837 Elimu ya shetani ndiyo inayo sisitiza kuwa Yesu ni Mungu lakini ki uhalisia Yesu hakuwa Mungu wala si Mungu. Kla kwa shinikizo la shetani watu wengi wataingia motoni. Na huo moto ni uji wa chuma unasiribwa nao
@Ostica..Omie..junior
@Ostica..Omie..junior 3 месяца назад
Tuwekee..clip inayo onesha Dr sule ameongea kuwa jini aitwi au akuna mtu anaye weza kumwita jini..tuoneshe sasahivi..mtangazaji ni muongo sana..anapeleka maneno nyuma na mbele..anachanganya changanya...sule alisema kuwa inabidi uwe na elimu ya kutosha ndio umwite jini..rakini wengi wao ni waongo wanasema wanaweza kumwita jini aje pia atoe utajiri..ila kwanini wao wanaweza kumwita jini mbona bado masikini..pia maisha yao sio mazuri..si wangekuwa matajiri kwanza..ndio wafundishe wengine kuita majini..ndivyo alivyo ongea Dr sule..sasa uyu mtangazaji ni muongo arafu mgombanishi pia anataka kuchafua dini za watu
@evansomwaita3872
@evansomwaita3872 3 месяца назад
Yesu ndie utajiri tosha!!
@user-ye7eq7ox7u
@user-ye7eq7ox7u 2 месяца назад
Umeona ety wanaita jini alooh Mungu tuhurumie ☹️☹️☹️
@SadamAbdulkarim
@SadamAbdulkarim 2 месяца назад
Soma uislam kwanza na sio ubishane kwa kitu usicho na ELIMU nacho tafadhali usije ukajutia SIKU ya mwisho
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 3 месяца назад
Subhanaallah huyu kaka sio mwislamu ila anatumia dini kuweka madoa wakati vitu hivi tujaambiwa ndani ya msaafu huyu mnafiki kabisa Allah atusamehe 😢
@malietamaliet
@malietamaliet 3 месяца назад
we ndo mnafiki Mwenyezi Mungu akusamehe unataka kusem ni dini Gani mfano we Mungu
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 3 месяца назад
Acha zako majini ni wageni ndani ya uislamu hamfundishwi
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 3 месяца назад
@@audifansisafari5587 hizo anafanya ni shirki kabisa someni Quran MWACHE kudanganywa me mnafiki au nyie😏😏
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 3 месяца назад
@@zahraabdul9652 Quran si Kuna sura nzima ni majini tu inaelezea Nikuambie tu rafiki yangu Dini yako ukiisoma nakuelewa lazima uwe na uhusiano na majini usikatae
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 3 месяца назад
Huyo ni muislamu kabisa mnamkataa msio na elimu ya uislamu wenye elimu zao dk sule na mazinge wanamuelewa mbona
@omarbinjaa2801
@omarbinjaa2801 3 месяца назад
Inna li llah wainna ilayhi raajiun Elimu za kupotoa hizi watu wamtegemee Allah pekee waache manen y hawa wanaolingania elimu za kijini n kutegmea majini
@ragedama7476
@ragedama7476 3 месяца назад
Kweli kabisa
@M.A.AMfinanga
@M.A.AMfinanga 3 месяца назад
Jielimishe vizuri kwanza kabla ya kulaumu, elimu mbaya ni uchawi elimu inayokuweka karibu na Allah sio mbaya kwasababu utajua utukufu wake vilivyo na utakuwa na ihlaswi ya kweli.
@hasnaissah8500
@hasnaissah8500 3 месяца назад
Kaka hii ni Dunia tuu kisho utaingizwa kabrini wafundisha watu uchawi live subhana Allah
@user-gu2yc2ki4u
@user-gu2yc2ki4u 3 месяца назад
Huyu mungu amsameye sana
@karimudzekotz
@karimudzekotz 3 месяца назад
Hakukufuru suleimani. Hizi njaa mmnamuambatanisha mungu na shirki
@myself4128
@myself4128 3 месяца назад
Nani kakudanganya?suleiman alipotezwa na wakeze
@BenjaminWakhungu-oo7ug
@BenjaminWakhungu-oo7ug 3 месяца назад
Asante Yesu wewe ni mwema
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 3 месяца назад
Sema mungu kimya ww yesu ni Issa na Nabii
@msaleveri
@msaleveri 3 месяца назад
We bila yesu kristo mbingu huna
@bare-gj2mu
@bare-gj2mu 2 месяца назад
Nauliza nyie wakristo yesu vipi a nawza kuw Mungu? Yni akili zenu xjui ah yni dah. Hebu njooni ktk Quran Mwenyezi Mungu hakuzaa wala hakuzaliwaaaaa. Heeee nyie kwani vipiiii
@chachamturi259
@chachamturi259 3 месяца назад
Kweli huyu YESU nampenda sana, hana masharti kama ya waislam.. aisee waislam poleni sana. Yani kiufipi nyie mnatumika na shetani
@salumawadhi2745
@salumawadhi2745 3 месяца назад
Hujui unachokiongea.kaa kimya
@animamichael3968
@animamichael3968 3 месяца назад
Yesu pia ni muislam safi hata ukikataa kataa tu lkn yeye si mshirikina km huyu jamaa na hajapotea kama wewe
@saidamir1035
@saidamir1035 3 месяца назад
Wewe ulikuwa uangalie na kuckiliza na sio kucomment usicho kijuwa kwenye imani, ukwel ni muumba wa vyote ndio atakae toa jibu na amesha yatoa. Endelea kumpenda mtu asiekuweko kwenye msaada kwako, Nabii Issa alikuja kwa wana kondoo wewe punda unahusu nini, huko Israel hata kukujuwa hukujui ni mswahili hujiulizi jambo tu, kweli unakiza machoni.
@user-si3vo1tc1u
@user-si3vo1tc1u 3 месяца назад
Sio wasilam pekeake ata wa christo nao niwa shirikina kwaiyi washirikina wako pahali pote
@BarakaMissana
@BarakaMissana 2 месяца назад
Hujui ulisemalo mungu akusamehe
@omaryfiqh2906
@omaryfiqh2906 22 часа назад
Mushiriki....hyooo Afu uatafta kikiiii ..... Hamna ufunguo wa kuzimu ......
@yousirsports7482
@yousirsports7482 3 месяца назад
Nihatar mnooo kuna wachungaji ile lugha wanazungumzaga naanza kuelewaaa sasa
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 месяца назад
Wachungaji, lugha wanayo isema wao wenyewe hawaielewi na wala si lugha, naweza kusema ni ubabaishaji Lugha isiyo tafasirika hiyo siyo lugha. Kama ni Malaika, tuba elewa Malaika alimtokea Maryam akampa ujumbe wenye kueleweka tena SOFT LANGUAGE ila hawa wa chungaji ni sehemu ya upigaji na wenyewe wanajuwa ila ni siri yao. Lazima tuelewe, Maana kubsa ya uwepo wa makatazo.
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 месяца назад
​@@ismailsoud3634Ila hata mm kwenye hiyo lugha ya wachungaji nakubaliana na wewe
@AbduliKombo
@AbduliKombo 3 месяца назад
Jamani Allah Allah tumuogope na siku ambayo tutasimamishwa tuache kuutia doa uislam tusimkufuru Allah s.w
@user-dq1lm2be2u
@user-dq1lm2be2u 3 месяца назад
Wewe ni mchawi pambana upate pesa ya halali mwendawazim usimshirikishe Mungu
@LuckBoy-qs6ls
@LuckBoy-qs6ls 6 дней назад
Atalikueli nimuonbe mungu ili mungu azidi kunibaliki nisitoke kua yesu.
@Kanyawela
@Kanyawela 3 месяца назад
Ni kweli maana Uislamu bila Uchawi hauendi ndio maana kuna surati jini pia majini yalisikia Quran yakasilimu ,Sasa hii ndio dini eti ya myazi mungu Allha asiye Mungu muumbaji
@AthumaniAthumani-no2oc
@AthumaniAthumani-no2oc 3 месяца назад
Ndio uislam ni dini ya haki na ndo maana hata majin wanatubu wakiisikia kwasabb nao ni viumbe wa Allah kama unakataa leta ushahd kwanza kama majin hawakuumbwa na Allah ili tuendelee
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 2 месяца назад
Mbona yesu kazungumza na majini na kuywekwa kwenye nguruwe mnaokula 😂
@devisshirima6780
@devisshirima6780 3 месяца назад
Muombe Mungu, fanya kazi pesa zinakuja. Ukitaka pesa bila kufanya kazi huo ni uvivu na uvivu utakusababisha ufanye mambo ambayo hayampendezi Mungu !!
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 Месяц назад
Mimi ni mslamu na mpenda na mtume swa mwenye kuumba bingu sasa na ardhi
@hurulaainmalkiaaisha1508
@hurulaainmalkiaaisha1508 3 месяца назад
Yaa rabb tunusuru,maana walimu zetu wanazidi kutupoteza,hatujui tutapokea wapi iilmu yako yaa ALLAH
@niolaussdavid
@niolaussdavid 3 месяца назад
mungu hana urafiki na majin
@mkapojer
@mkapojer 3 месяца назад
Kuna tofauti kati ya jini na sheitan, jini ni kumbe kama wewe TU ambaye kaumbwa amuabudu mungu, ispkuwa anakuwa sheitan pale anapo muasi mungu nikikumbuka mafundisho Kuna majini wanafanya Ibada vizuri TU je, hawa hawapendwi na mungu??
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
​@@mkapojerna Muhammad aliwasilimisha wakawa waislam
@paulojohn5504
@paulojohn5504 3 месяца назад
Najivunia kuwa na YESU
@ayoubshaibu8123
@ayoubshaibu8123 3 месяца назад
Huyo anayezungumza sio mtume ni binadamu, kasome quran ujue ukweli halisi, bado ukristo ni mkenge
@SAM_163
@SAM_163 3 месяца назад
​​@ayoubshaibu8123 WEWE NI MODERN ISLAMIC MNATUMIA MAWAZO YENU KUJIBU HOJA SIO VITABU VYENU BUT VITABU VYAKO VINAKUELEKEZA HADI USALI NAO IJUMAA. DINI YA MAJINI NA UCHAWI😂
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 3 месяца назад
Hawa watu wataangamia kwa kukosa maalifa na kuamini majini na mashetani katika mafanikio,wakati Yesu Kristo mmoja majini yooote dunia nzima yanamshidwa kwa nini msimuamini, yeye ndio njia ya kweli na uzima?
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 3 месяца назад
​@@ayoubshaibu8123nguruwe wewe hujui lolote,kama umemsikia mwanadini mwenzio anaelezea Uganga ndani ya dini
@diagfinamix1861
@diagfinamix1861 3 месяца назад
Wa kristo ndo hamu muamini Yesu sababu na huyo ukubwa wake mnao mpandikiza mathubutu kuhakikisha kama amekufa , sasa na Mungu wa waislam Yupo milele Hafi , haja zaliwa , haja zaa , na hafanane na kiumbe chochote. Huyo ndo Allah Alie umba na huyo Yesu .
@Neclar-wn3yp
@Neclar-wn3yp 2 месяца назад
Mkunduo wewe pamoja nahuo mchoro wangu falaa wewe from Kenya
@MwijakaSwalehe-dg4hw
@MwijakaSwalehe-dg4hw 3 месяца назад
Wengi wanaokoment hawamwelewi huyu bwana,ameanza kusisitiza kwanza elimu hizi ni hatari na zinaenda kinyume na mafundisho ya Allah, huyu anajaribu kutoa ilimu tu
@usrahismail3196
@usrahismail3196 3 месяца назад
Ni kweli ila na yeye anaamini mengine na kukufuru mengine kama hayo ya pete anayo ,nu ya kishirikina Pili ,kujifunza elimu hii ni ushirikina hata kama utajufunza kutengua uchawi
@nurumwinyi796
@nurumwinyi796 3 месяца назад
Yaph ni kweli,hii ni elimu au ni kipaji alichojaaliwa nabii suleiman,alikua akiongea na majini na wanyama
@lilyrose7983
@lilyrose7983 3 месяца назад
Huyu ni ustazi anatibu mi namfahamu
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
​@@nurumwinyi796Labda Suleiman wa kiislamu lakini suleman mwana wa David mhayudi hakufanya upumbavu huo
@paulgitaukinuthia3916
@paulgitaukinuthia3916 3 месяца назад
Ametaja Azazel na Samyaza, lakini hawa wawili ni malaika waliobanwa kwa minyororo na Archangel Michael Kufuatia maagizo ya Mwenyezi Mungu, kisha wakatoswa kwenye shimo jangwani lililo mvunguni mwa River Euphrates. Maandishi matakatifu yanasema ipo wakati huo mto utakauka na wataachiliwa huru kwa muda mfupi.
@glorykazungu4281
@glorykazungu4281 7 дней назад
Uisilam siyo dini, ila nielim ya uchawi tu, okoken mmfuate yesu alien njia kweli na uzima
@rachelmaina3476
@rachelmaina3476 2 месяца назад
Kwani hamujui mashekh wanatumia jini msikitini.Kuna msichana aliye nieleaza kwamba kuna jini wazuri na jini wabaya.Najivunia kua mkriso.
@user-bp4kz9py7z
@user-bp4kz9py7z 3 месяца назад
Naona waisilamu mnakataana
@AthumaniAthumani-no2oc
@AthumaniAthumani-no2oc 3 месяца назад
Nawe unapotoa komenti fikiria usiropoke kuna waisilam na waumin,,hat wewe hapo kwenye dini yako hiv vitu vipo kwa wachungaj wenu sisi hatumkatai ila tunamuelewesha asipotoshe wengne
@arafathswaleh
@arafathswaleh 3 месяца назад
Kwani hata wakristo siwapo kama hivyo
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
​@@arafathswalehtuwekee ushahidi wa hayo
@jacobclement-wc5pb
@jacobclement-wc5pb 3 месяца назад
Daah kundi litakalo Kaa Motoni milele no washirikina subehanallah. Tumtegemee Allah pekee
@anointedking6960
@anointedking6960 2 месяца назад
Wewe huo moto ushauona?😅😅😅😅
@saidabdurahman9631
@saidabdurahman9631 3 месяца назад
Mtume gan kafundisha hayo anayoyasema Huo ni uchawi mbwa wew
@kherimakame5743
@kherimakame5743 3 месяца назад
Unapomwita mwenzio mbwa unakosea kaka
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 3 месяца назад
Acha ubishi wewe
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 3 месяца назад
Salaam kwa wakristo iyo ndiyo tofauti kati ya ukristo na uislam.
@user-zk3ql9th2c
@user-zk3ql9th2c 3 месяца назад
Huu ni ushirikina jamani mungu hajafundisha haya
@user-rt8ff3dm2o
@user-rt8ff3dm2o 3 месяца назад
Hii dunia ina mambo mengi sàana
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 3 месяца назад
Wewe huijui Dini ya kiislamu ukijua nakuelewa utakuwa kama huyo shehe
@Fadhila-xk2sw
@Fadhila-xk2sw 2 месяца назад
Waislamu haya hayatufai kwa kweli unapoba muombe Mwenyezimungu na unapotaka msaafa mtake Mwenyezimungu
@AbelCharles-co6qb
@AbelCharles-co6qb 2 месяца назад
Kwann yapo kweny vitabu vyenu
@MohamedabdallahKilimo
@MohamedabdallahKilimo 3 месяца назад
Hiyo ni elm dunia ni ushirikina uislam haujafundisha hayo munautia doa uislam mutaulizwa na allah kwa kuwatoa watu ktk Imani na utajir ni qadar ya Allah mwenyewe acheni Mambo yenu hayo Allah awaongoze
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
Kama wewe hujafundishwa wenzako wamefundishwa
@AshilatAbas-qe4fh
@AshilatAbas-qe4fh 2 месяца назад
Mmeanza kufichuka tutawapiga kwa jina la Yesu
@dronemiguel2230
@dronemiguel2230 3 месяца назад
Yaan hujaipanga vzr hii interview unaenda mbele mara inarud nyuma kifupi umefel mwanang uwe una arrange vzr interview zako jamaa amejitahd kuelezea ila ww ndo mwandish ndo miyeyusho
@safaringaku5040
@safaringaku5040 3 месяца назад
Ndio maana mnapigania kupinga ukristo kila mara. Sasa unaslim alafu mwishowe unakuwa mganga ukijiita we dakrari, kila badae unakua mchawi na unakufa.
@IsmailKitundu
@IsmailKitundu 3 месяца назад
Hasante kwakutumalizia bando umeongeza like ongera sana
@rachelmaina3476
@rachelmaina3476 3 месяца назад
Afadhali tapeli kuliko uzinifu ilhali wajiita sheikh.Huoni wapotosha watu.Mungu akurehemu.
@henrykairo1849
@henrykairo1849 3 месяца назад
🎉Uislam shinda tupu Imani za kishirikina shinda matatizo
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 3 месяца назад
NJOONI KWA YESU WAISLAMU, KAMA MNATUMAINI KUMUONA MUNGU WA KWELI.
@MicahSalah
@MicahSalah 3 месяца назад
Aki tena yesu die usima
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 3 месяца назад
huyo mshirikina TU kama nyinyi washirikina wakubwa nyiee
@JerusaMkuyu-pw1zo
@JerusaMkuyu-pw1zo 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤
@FarouqMasha
@FarouqMasha 2 дня назад
Muogope mungu acha na na dini hata wanaomuita yesu hawajui Nini wanakiabu yupo yesu mtume na yesu mwingine pole pambana kivyako usichafue Imani za watu sio wote wanao muita baba atakaouona ufalume wa mungu😂 kuvaa kanzu na kikofia ni waisila Isilamu ni dini ya khaki
@FarouqMasha
@FarouqMasha 2 дня назад
Muogope mungu acha na na dini hata wanaomuita yesu hawajui Nini wanakiabu yupo yesu mtume na yesu mwingine pole pambana kivyako usichafue Imani za watu sio wote wanao muita baba atakaouona ufalume wa mungu😂 kuvaa kanzu na kikofia ni waisila Isilamu ni dini ya khaki Haina mungu watatu ni mungu mumoja elewa
@adennurahuka402
@adennurahuka402 3 месяца назад
Huu sio uislamu,,huu ni uchawi,, Allah atuepushe nayo
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
Huu ndiyo uislam haswa
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb 3 месяца назад
SUBHAANA ALLAH NATAMAN KULIA JUU YAHUU UPUUZI ANAOZUNGUMZA HUYU KIJANA MPUUUUUZI MWENYE AKILI ZAAKIDUNIA
@safaringaku5040
@safaringaku5040 3 месяца назад
MI HAMUEZI NIBADILISHA NIWE MUISLAMU. Nilikuwa huko na nkajua unakoelekeza watu.
@user-xr5lf6pe1n
@user-xr5lf6pe1n 3 месяца назад
Uyu hajasoma mafundish ya kur-ani ndio mana mana mtume hakufundish ivo mtu atafute rizki namna iyo wala maswahaba zake hakuwafundish zaid ya duwa nakusimama usiku kumuelekea Allah sw wamuombe yeye na wasitegeme kwengine .awa wanachangany iman munasahau mashekh kama kunasuratul ikhlas aya ya 2 inasemaje eeeee subhanallah yarabbi tuongoze na vizazi vyetu ktk mamb ya kher nakufata muongozo wa kurani na sunnah
@Riamaproduct
@Riamaproduct 6 дней назад
Mnatuharibia dini Jamani mnaipakaza sifa mbaya Kwa ushirikina wenu
@aishaomary230
@aishaomary230 3 месяца назад
Sawa mnajua dini lakin mna mambo ya shirki sana ndani yake,, wewe pamoja NA huyo sulle wako mnatamaa sana NA maisha ya dunia
@rogatimushi689
@rogatimushi689 3 месяца назад
Njia pekee ya kumwona mungu ni yesu kristo hizi dini ni ushirikina mtupu
@QassimEbraheem
@QassimEbraheem 3 месяца назад
SubahanaAllah ,sijui waitwa nani wewe mushrik lakini namuomba Allah Akuongoze uujue uislam.ki ukweli hauna hata nuru ya uislam Wala hukai muislam.Jaribu sana utubie kabla ya wakati wako kufika
@coolvoices6608
@coolvoices6608 3 месяца назад
Yaani maana halisi ya ushirikina ni kuchanganya mafundisho sahihi ya Mungu na yale ya shetani kwa nia ya Kumuudhi Allah na kumtumikia Shetani. Washirikina wote motoni
@fraviusfulgence7346
@fraviusfulgence7346 3 месяца назад
Yesu ni jibu
@EmilyTembo-pg6tg
@EmilyTembo-pg6tg 2 месяца назад
Mungu anawaona mnavyo dhalilisha uislam ambao kachaguwa kama njia yakufikiya pepo
@user-vm2fu3nm3s
@user-vm2fu3nm3s 3 месяца назад
ALLAH AWA ADHIBU NA HAWA HAWA ,MAJININ, MNAYOWAITA...MNA TIA DOSARI KWA DONINYETU SAFI
@omaryfiqh2906
@omaryfiqh2906 22 часа назад
Azazil ..ni miongoni mwa majina ya mungo wa freemasonry..... Vipi sasa tunashaka nawe....
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 3 месяца назад
Huyu cy shaikh acheni kutukana UISLAM.........HUYU NI MWANGA....KIGAGULA.....MGANGA NJAAA....UISLAM NI MSAFI KABISA.....HUYU NI MUSHRIK SUFI HUYU........
@sadikiissa7756
@sadikiissa7756 3 месяца назад
Hapo uliposema kuwa Elimu ya kuita majini ipo nje ya dini ndo umeeleweka kwa maana itawasaidia Waislam wenye elimu ndogo kujiepusha na Shirk.
@MrKaya3
@MrKaya3 3 месяца назад
Tatizo elimu watu hawana,uislam,majini, uchawi ni vitu tofauti... Anachoongelea ni elimu kama elimu nyingine sio uislam msiuchafue uislam na mueleweshe sio mnakurupuka tu.shule muhim sana wakati mwingine... Some jamani
@AminaHafswa
@AminaHafswa 3 месяца назад
Allah akusamehe unaharibia dini ya kislamu wakati ni dini safi
@jumahili8121
@jumahili8121 3 месяца назад
Dini yetu na majini tu wamoja. Sheikh unaongea ukweli. Dini yetu ni mwanga na giza pamoja.
@IbrahimIdrisa-tl6wm
@IbrahimIdrisa-tl6wm 3 месяца назад
Sio kweli uislamu upo mbalu na shirki kama umeisoma dini na Ukasoma qur-an vizuri utafahamu Kuwa uislamu uko mbali na shirki
@naafirvincent5715
@naafirvincent5715 2 месяца назад
le problème avec ce Pays vous savez c'est qu'il est bâti sur de la sorcellerie depuis le VI ème siècle a peu près sauf qu'il a été habité bien avant . le peuplement a commencé avec les Africains , les Malgaches et les Arabes . la majorité était des sorciers et pour eux s'était une tradition même si ça allait a l'encontre du Créateur . ils on continués sur ce chemin et vous savez tous comme moi que les Africains et les Malgaches beaucoup il ne jurent que par ça . Alors moi je penses que tous leurs problèmes vient de là .
@ibrahimmzungu3849
@ibrahimmzungu3849 3 месяца назад
Huyu wa interview hajitaidi kupanga content yaani mtu anajibu vizuri lakini bongo touch unafeli
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 3 месяца назад
Tukiwaambia uislamu dini ya majini hamuelewi wenye elimu zao wanawafumbua macho lkn bado hamuoni wala hamskii
@DakorTrony
@DakorTrony 3 месяца назад
Uislamu dini ya majini kweli. Waislamu wachawi sana
@fatimaabassymashalla9130
@fatimaabassymashalla9130 3 месяца назад
Siyo waislam, ni yeye mwenyewe na nafsi take waislm haupo hivi wanajichafua wenyewe so dini
@RamadhaniMkulunga
@RamadhaniMkulunga 3 месяца назад
Kaka soma kwa watu sahihi, uislam ni safi na hauna hata doa la uchafu hata kidogo
@SaidSaid-wh4ky
@SaidSaid-wh4ky 3 месяца назад
Uislam ni dini ya kweli na haki wala haina shaka kabisa
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 месяца назад
Ndiyo maana washilikina wanachinja kumbe wanachinjia majini
@isayacharles2850
@isayacharles2850 Месяц назад
Hukuna shetani , wala jini mzuri wote ni wabaya, na kufanya ubaya ndio masilai yao. Kwahio akikupa utajili,.ujue anajambo kwako: hivyo ukiwafuata ujue unaangamiaa;? Mfuate yesu roho yako itaisj u HB cm
@zuhuramwaniki6138
@zuhuramwaniki6138 2 месяца назад
Naomba dua ya kulinda nyumba nisiibiwe wezi
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 месяца назад
Inalillahi wainailahi rajuun .. hayote.binaadam anaangaika kwaajiliya pesatu kwaniukikaakitako kusema na Allah atokupa nibasitu wanaangaika na kukufuru. .Allah yupo anatoa
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 3 месяца назад
Kweli Mtihani, Allah atuongoze
@baenaj4007
@baenaj4007 3 месяца назад
Only evil jinn come if summoned ,Good jinns can’t go against the teaching ,they fear Allah and they know it’s forbidden so keep summoning the evil jinn and later wait for the consequences
@SaidSaid-wh4ky
@SaidSaid-wh4ky 3 месяца назад
Sio yote mnayoyaona au yanayosemwa na hawa mkaamini kua yanatokana na uislam hapana
@user-ye7eq7ox7u
@user-ye7eq7ox7u 2 месяца назад
Huyu anamanisha jini lina nguvu kuliko mungu wake dawa yenu iko mtapingwa na moto hadi mjuwe 😢😢😢
@abdullahiramadhan5779
@abdullahiramadhan5779 3 месяца назад
Hasbuna Allah wani'mal wakeel
@josphinenduta2011
@josphinenduta2011 3 месяца назад
Shekhe, jini, dini, aaaai!!! Yatatiza
@hawrajehan2398
@hawrajehan2398 3 месяца назад
Elim au ushirikina tu!hawa washirikina wakubwa wamebobea kweny ushirikina na wana kaz ya kusambaz ukhafidhina wao
@Ibrahim-vo5pz
@Ibrahim-vo5pz 3 месяца назад
Mwenyezi-Mungu amekataza mambo hayo
@abulfidaassalafiyyah
@abulfidaassalafiyyah 3 месяца назад
HUU NI USHIRIKINA WA WAZI KABISA NA UKIFA HIVI WALLAH UTAINGIA MOTONI..!! ALLAH AKUONGOZE.
@user-en7bs2xr3t
@user-en7bs2xr3t 3 месяца назад
Sema tu,maji wamebenzi kwenye uislam,nakwanini majini wanapenda uislamu,nikwasababu uislamu ni usafi na majini wanapenda usafi,nasi usafi mnaoujua nyie wakuoga nakupaka mafuta ukapendeza lahasha niusafi wakujisafisha namaji ambayo utatouchafu naikosi pamoja na majanaba ambayo unayo kwenye mwili wako hivyo,kwahiyo hapo ndipo utakapoona uislam na ukristo unapo tofautian na ndipo utakapojua nikwanini majini wanapenda miskiti kuliko makanisa.
@lilhydon452
@lilhydon452 3 месяца назад
Uislam ni ushirikina unao halalishwa kwa kuufanya kuwa wa Mungu
@MunezeroHabiba-td3mv
@MunezeroHabiba-td3mv 3 месяца назад
Acheni udjinga hakuna dini inayo mruhusu yeyote kutenda shirki
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i 3 месяца назад
Hauan lakusema si unyamaze tu
@SAM_163
@SAM_163 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@SAM_163
@SAM_163 3 месяца назад
MASHEHE WAO WANAKUWA NA MAJINI VIFUANI MWAO MWINGINE ANAYO MAJINI 70 WENGINE 136 DUHHHHHH 😢😢
@SoudShuraim
@SoudShuraim 3 месяца назад
Uislamu sio ushirikina bali ukafiri ndio ushirikina bwege weye..nenda kwa mwamposa kaibiwe ndo utajua kua anatumia majini
@HassaniSaidi-ly3dg
@HassaniSaidi-ly3dg 3 месяца назад
Duh shekhe mche Allah
@MuhammadWesonga
@MuhammadWesonga 3 месяца назад
Ushirikina huu,huyu sio mwislamu,maana mwislamu huruhusiwi
@YusuphHabibu-hy9mj
@YusuphHabibu-hy9mj 3 месяца назад
UISLAMU UNAHARAMISHA KUMILIKI MAJINI NA PETE ZA BAHATI.
@M.A.AMfinanga
@M.A.AMfinanga 3 месяца назад
Kujua ni vizuri na imani iongezeke watu waelewe mambo wasitoe tu povu bila faida yote.
@DuliBrillant-mr8er
@DuliBrillant-mr8er 3 месяца назад
Nenda mbugan halaf bana izo pumzi zako halaf ukutane na uyo diamond
@user-mt4sd6cj5y
@user-mt4sd6cj5y 3 месяца назад
Haya mambo mbona yanazidi Tanzania nini mbaya .hakuna kadhis..cort..wakinyang'anywa license wasipotoshe watu.ikiwezekana wasionekana mitandaonidoooh too much.
@NibonaIdrissa
@NibonaIdrissa 3 месяца назад
Dini inachafuliwa nawatu kwakuacha sunna za mtume صلى الله عليه وسلم
@salongoomutaka9708
@salongoomutaka9708 3 месяца назад
Huu uchawi watanzania mnao ufanya kwa kutumia jina la uislamu ndo unao watorosha watu kwenye dini ACHENI NA MUMUOGOPE ALLAH
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 3 месяца назад
Wachungaji wanao jifanya kunenakwslugha. Nao nihaohao Enendeni nanjia zenu. Wamwabuduo halisi. Watamwabudu MUNGU kwa loho na kweli
@animamichael3968
@animamichael3968 3 месяца назад
Wanaovaa msalaba si waislam msihukumu uislam kwa kosa la muislam mjinga
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 3 месяца назад
Huyu anatoa elimu ya kichawi, wachawi hawafanikiwi😊
@wardahshabani7326
@wardahshabani7326 Месяц назад
Baadhi mashekhe wetu mbona mnatatiza na elimu zenu za majini tuelekezeni yaliyo meme
@DakorTrony
@DakorTrony 3 месяца назад
Kwa hiyo waislamu ni wachawi tuu na majini. Yesu kristo kweli ndio nuru. Kumbe waislamu majini pekee yake hawana ukweli bali majini . Uislamu dini ya siri na majini na uchawi. Damu ya mnyama ni uchawi. Sasa kama dua zenu ni uchawi mnaomumba Allah gani wachawi nyie
@ashaali1343
@ashaali1343 3 месяца назад
Wamuita Wakazi Gani wee jini hio ni shirik
@eliashibundabalinze2754
@eliashibundabalinze2754 3 месяца назад
Hawa ndo waislamu sasa yaani wanaweka wazi uislamu wao kuwa majini kwao ni kama kaka na dada
@user-en7bs2xr3t
@user-en7bs2xr3t 3 месяца назад
Jamani msikazanie niuislam,mnamuelewa huyo kijana lakini,amewaambai na anasisitiza kila wakati,kwamba ni ilimu nyingine na si waislamu,na katika mambo hayo hata wakristo wanafanya hayo.
@yusuframadhan8927
@yusuframadhan8927 3 месяца назад
@ bongo touch Nyie watanzania jifunzeni namna ya ku creat headline of your content you look ambiguous with what you present
@aminabdalla7824
@aminabdalla7824 3 месяца назад
Sheikh twakuomba uweze kurudi kwa allah na utubie uwachee kupotosha watu .....kisha ww uko na imani za ushirikina ....vua hio kufia na kanzu vua vyote....muone vile muogope Allah na ulimi wako mchafu huo.....
Далее
Cute kitty gadgets 💛
00:24
Просмотров 15 млн