Тёмный

FAIDA 10 ZA MAJANI YA MGOMBA KWA KUKU 

AGALUS  TV
Подписаться 91 тыс.
Просмотров 32 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 67   
@JOSEPHINAJOSEPHATH-f2o
@JOSEPHINAJOSEPHATH-f2o 3 месяца назад
Mimi niwapongeze sana Hakika masomo yenu yana tija
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 месяца назад
Barikiwa pia kutufuatilia
@mosesjairo3248
@mosesjairo3248 Год назад
Kazi nzur Bro umeeleweka ipasavyo
@AGALUSTV
@AGALUSTV Год назад
Tupo pamoja ndugu
@RoyalvillageSaunakatavi
@RoyalvillageSaunakatavi 3 месяца назад
Great we appriciate
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 месяца назад
Thank you for that
@shelternimzihirwa3583
@shelternimzihirwa3583 2 года назад
Ubarikiwe
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Amina bt nawe pia
@AishaMaulid-i7t
@AishaMaulid-i7t Месяц назад
Unaweza kuwapa vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV Месяц назад
Sawa TU
@joycebruno312
@joycebruno312 2 года назад
Thanks very much napenda sana kupunga kuku napenda sana sana nyama ya kuku aki so sweet asante mwalimu wetu much love from mombasa Kenya
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Thnx too
@bensonndhere6207
@bensonndhere6207 Год назад
good
@AGALUSTV
@AGALUSTV Год назад
Welcome 🙏🏿
@georgetumbo9818
@georgetumbo9818 6 месяцев назад
Nimependa somo hili mara moja nitaanza zoezi la ufugaji kuku wa kienyeji.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 месяцев назад
Karibu Sana ndugu
@khaldn7409
@khaldn7409 2 года назад
Thank you for sharing
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Welcome
@restutastephano8748
@restutastephano8748 7 месяцев назад
Asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 месяцев назад
Barikiwa sana
@asiakinyaga4694
@asiakinyaga4694 2 года назад
Asante kwa somo zur
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Barikiwa pia
@monicampokwa441
@monicampokwa441 2 года назад
Ok sante sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Barikiwa
@elibarikishukya-lf3sk
@elibarikishukya-lf3sk 4 месяца назад
Very goood
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 месяца назад
Be blessed
@paschalmagubo6337
@paschalmagubo6337 2 года назад
Asante sana kwa somo zuri Vp kuhusu majani ya mwarobaini?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Sawa ngoja tutaleta somo lake🤝✍️
@paschalmagubo6337
@paschalmagubo6337 2 года назад
@@AGALUSTV sawa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
🤝✍️
@viomum3704
@viomum3704 2 года назад
Boss naomba namba yako
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Wasap +255765467484
@jullysylvester88
@jullysylvester88 2 года назад
Sawa niona
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Pamoja ndugu
@mabuagachu1878
@mabuagachu1878 2 года назад
Asante sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
🤝
@hudhudisonline2040
@hudhudisonline2040 2 года назад
Jambo kaka. Niliwapa kuku wangu majani haya na hawajui .naweza blendi na kuwapa kwa maji?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Yes KWENYE Maji kdogo
@JsMuyalla
@JsMuyalla 4 месяца назад
Naitwa John kuku wangu wanashambuliwa sana ugonjwa wa macho na ndui, nifanyeje kuondokana na tatizo hili?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 месяца назад
Ni chanjo ya ndui uwape kabla hawajaugua yaani zingatia ratiba sahahii
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 2 месяца назад
Ukitwanga ukampa kwenye maji hapo vipi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 месяца назад
Ni njia nzuri pia
@LameckNicolao
@LameckNicolao Год назад
Ha mafunzo Yana umuhimu mkubwa Sana mna vitabu mlivyoandaa tununue tupate kunufaika zaidi?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Год назад
Vitabu inaendelea kuandaliwa ndugu 🙏🏿
@ShaameIshaka-pf8lx
@ShaameIshaka-pf8lx Год назад
Nifundishe jinsi ya kufuga saso naukuwaji wake kuanzia kifaranga cha siku moja mpaka kuuzws
@AGALUSTV
@AGALUSTV Год назад
Masomo yote yapo kwenye Chanel hii ni wewe kutafuta tu kwa kuandika. Mfano uleaji wa vifaranga, vyakula vya kuku, magonjwa ya kuku, tiba za asili za kuku kwa kila kimoja utamalizia na neno by agalus TV. KWA LEO Anza na video za vifaranga ru-vid.com/group/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b
@AGALUSTV
@AGALUSTV Год назад
Ukiwa na swali zaidi utakua unauliza ukiona bado unahitaji msaada zaidi wa mawasiliano basi tutapeana mawasiliano
@bennyalberty5305
@bennyalberty5305 2 года назад
Naomba mnisaidie namba zenu za simu kwaajili ya mawasiliano
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Only wasap +255765467484
@lestherusitukanesanasomaam1339
Unapatikana wapi Mbeya
@AGALUSTV
@AGALUSTV Год назад
Karibu tukuyu. Ndugu japo hii ni team kubwa @Agalus tv
@AGALUSTV
@AGALUSTV Год назад
Karibu tukuyu. Ndugu japo hii ni team kubwa @Agalus tv
@lestherusitukanesanasomaam1339
@@AGALUSTV NIKO Mbeya mjini Kadege nyuma ya BEACO
@AGALUSTV
@AGALUSTV Год назад
Sawa ndugu tutazidi wasiliana
@festinakibutu6941
@festinakibutu6941 6 месяцев назад
Je nikitwanga /brendi wanywe kwenye maji je
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 месяцев назад
Sawa tu
@celestinermantenga2463
@celestinermantenga2463 4 месяца назад
Kusaga ni nzur zaidi.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 месяца назад
Hakika ndugu
@ashrathswaibu3990
@ashrathswaibu3990 Год назад
Nina kuku wana miezi 7 lakini hawakatetea,tatozo ni nn?
@AGALUSTV
@AGALUSTV Год назад
Wa Aina gani? Na unawapa chakula kwa sahihi?
@HassanMkwende-xm8jl
@HassanMkwende-xm8jl Год назад
Mimi nataka kujiunga na changamkia fursa nitumie mamba gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV Год назад
Hii haiusiani na iyo ndugu
@nanubob1969
@nanubob1969 8 месяцев назад
Naweza kuwapa majani haya kila siku?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 8 месяцев назад
Sawa tu ila usisahau chakula
@nanubob1969
@nanubob1969 8 месяцев назад
@@AGALUSTV asante kunijali na kunijibu
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 года назад
Asante
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 года назад
Pamoja ndugu
Далее
FAIDA 8 ZA TANGAWIZI KWA KUKU
8:05
Просмотров 37 тыс.
Jinsi ya Kutunza Vifaranga vya Kuku wa Kienyeji
8:19
Просмотров 268 тыс.
FAIDA ZA MAJANI YA MPAPAI KWA KUKU WAKO
5:36
Просмотров 15 тыс.
MITI 10 BORA  AMBAYO NI TIBA KWA KUKU
8:19
Просмотров 12 тыс.
SHAMBALULU: UFUGAJI KUKU WA MAYAI KISASA.
28:07
Просмотров 24 тыс.