Тёмный

FAIDA ZA AJABU ZA KUFUNGA 

MAHUBIRI TV
Подписаться 214 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 81   
@phylislumumba4815
@phylislumumba4815 2 года назад
Asante sana pastor, nilianza kula mara mbili kwa siku, asubuhi na mapema jioni. Uzito umepungua, uchungu magotini ukaisha, kiungulia kikaisha kabisa, nafurahi
@davidmisiwa4622
@davidmisiwa4622 2 года назад
Hongera sn
@jeskadoto5002
@jeskadoto5002 2 года назад
Pasta asant kwa somo zur maana at a Mimi nmeonafaida sake sanatu barkiwa pasta
@angel-y
@angel-y 2 года назад
Mama mzazi alikuwa na shida ya miguu kuuma sana kwa miaka mingi. Ikawa kutembea, kusimama na kukunja miguu ni shida. Pia kulala ilikuwa taabu. Akatembelea hospitali nyingi na kufanyiwa vipimo vingi ambavyo matokeo yalikuwa mengi na tofauti. Mwisho tukaamua kufunga na kufanya maombi pamoja na yeye (wore tulikuwa sehemu tofauti) kwa ratiba ya pamoja. Baada ya muda mfupi mama alipona mpaka sasa hivi. Yeye Ana umri wa zaidi ya 70yrs lakini hivi sasa Ana mazoea ya kufunga siku 3 kavu bila shida yoyote na anafanya mazoezi Kila siku. Mwili wake umerudi ujana kiasi kwamba watu waliomuona akiwa mgonjwa na sasa hivi hawamtambui.
@shukranjulius5910
@shukranjulius5910 2 года назад
Amina Bwana azidi kuwabariki nyote hakika Mungu husikia na kujibu
@wilsonyohana1480
@wilsonyohana1480 2 года назад
Amen
@mariamwambene6785
@mariamwambene6785 2 года назад
yhģgýtwGggggggggyyyuùuuttttguyýýþþþ⅚ßďvf🦍🐵🐩🐒🦍🦊🦧🐶🐕🦮🍏🍉🍇🥦🥑🥒🥥🍅🍎🍐🍊🥑🥑🥑🥑🍓🍒🍑🍌🏟🏟🏞🌋🏟🌋🧭🧱🥦🎋🗺🏖🍑🍒
@lucasgeorge9212
@lucasgeorge9212 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-I8QGxEhEaYk.html
@silvesterryaga7365
@silvesterryaga7365 2 года назад
Hakika! Leo nimetambua umuhimu wa kufunga. Nitaiweka katika matumizi yangu. Mungu akubariki kwa somo zuri Pastor.
@barack2692
@barack2692 8 месяцев назад
Na mimi nitaenda kufunga mlimani mchungaji
@vickylupemba6055
@vickylupemba6055 2 года назад
Asante pastor Mmbaga, unatufundisha kwa ufasaha sana, bila shaka hiyo ni neema ya Mungu. Zidi kupokea baraka toka juu mbinguni🙏🏾
@lucasgeorge9212
@lucasgeorge9212 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-I8QGxEhEaYk.html
@maureenkemei9254
@maureenkemei9254 2 года назад
Kiroho 1.Saidia kuwa mnyenyekevu, mpole, 2.kusikia sauti ya Mungu 3.inasaidia kutanguliza wengine 4.kuweza kujua nini cha kufanya kabla ya kufanya maamuzi fulani kama ndoa. Kiafya I. Ongeza hormone ya kukua. 2.inazuia uwezekano wa kupata type 2 diabetes. (kisugari) 3.inasaidia mwili kujikinga na tumors zinazoleta cancer. 4.inaongeza uwezo wa ufahamu na kupunguza obesity(uzito uliopitiliza) . 5.inasaidia mcharuko wa mwili. 6.inasaidia kupunguza pressure. 7.inaondoa seli zilizokufa.
@robartmwangomalecharnel7860
@robartmwangomalecharnel7860 2 года назад
Mmmmh fafanua ,,,vzr alafu sisi watanzania ebu weka vzr kwa kiswahili ili tuelewa
@mariahmweni7110
@mariahmweni7110 2 года назад
Mtu kama unameza dawa vipi nifunge msaa mangapi
@damah8431
@damah8431 2 года назад
pastor kwa hili leo nakubaliana na wewe! mimi ni binti nafanya kazi ya nyumba hapa warabuni qatar, miezi 2iliyopita nipata kazi kwenye nyumba moja hapa ambapo nafanya kazi, kwa hii nyumba mambo na mlo ni tofauti kabisa na nyumba zingine apo awali! mlo ni mara moja kwa siku, na mimi naona kama ni mbaya kwa sababu kwetu nyumbani ni mlotatu kwa siku,💪 mjungaji nakwambia juzi nikipima weights nimejipata nimepunguza uzito from 64kg to 54kg in 2months 😏😏 najisikia vibaya kwa vile mimi naona kama ni kukonda na konda, lakini vile nimesikia hii clip yako nitendelea na huu mfumo kwa ajili ya afya yangu asante.
@susanotambo9544
@susanotambo9544 Год назад
Asante kwa Neno
@joycemunisi5431
@joycemunisi5431 2 года назад
Kweli kufunga ni dawa ya kimwili na kiroho.Barikiwa mtoa mada
@shaniachanceline2751
@shaniachanceline2751 2 года назад
Thanks a lot pastor David God bless you 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💖😍🥰💗
@lucasgeorge9212
@lucasgeorge9212 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-I8QGxEhEaYk.html
@estershayo4794
@estershayo4794 2 года назад
Asante kwa elimu Pastor. Mungu akubariki
@scolasimiyu171
@scolasimiyu171 2 года назад
Asante sana mtumishi wa MUNGU kwa kunisaidia
@rodahadhiambo3637
@rodahadhiambo3637 Год назад
Amen ,God bless you and may the name of God be glorified.
@rosemnzava4696
@rosemnzava4696 2 года назад
Ubarikiwe sana pastor, maana mafundisho yako mawili kuhusu kufunga nimeyasikiliza kwa makini, na nimeanza kuyafanyia kazi. Nimefunga mara mbili kwa wiki tatu na matokeo ni kuwa, nilikuwa navimba miguu, sasa naona miguu nimeanza kusinyaa. Nitaendelea mpaka kieleweke. Bwana Mungu azidi kukubariki pamoja na uzao wako.
@lucasgeorge9212
@lucasgeorge9212 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-I8QGxEhEaYk.html
@anisajumanne7673
@anisajumanne7673 2 года назад
Barikiwa sana kwa mafundisho yako.
@msafirimfyagichi5942
@msafirimfyagichi5942 2 года назад
Amen
@emmanuelmasoko1013
@emmanuelmasoko1013 2 года назад
Pastor mbaga nikianzisha ratiba ya kupata mlo wangu asubuhi, halafu kwa Yale masaa ya mchana badala ya kupata lunch niwe natumia kunywa maji tuu mpaka mida ya dinner, vp ntakuwa nipo sahihi katika mfungo?
@jacintasyombua7512
@jacintasyombua7512 2 года назад
Amen Amen 🙏....barikiwa sana pastor
@lucasgeorge9212
@lucasgeorge9212 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-I8QGxEhEaYk.html
@isaiahstadius2383
@isaiahstadius2383 2 года назад
Mungu anisaidie sana nami niweze kufunga, maana napenda sana kula😥.
@elizabethgodfreytondo3052
@elizabethgodfreytondo3052 2 года назад
Pastor Mungu akubariki kwa kutupa elimu khs kufunga,siyo siri umenibariki
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 года назад
AMINA🙏
@saumhamisi7320
@saumhamisi7320 2 года назад
Mungu azidi kukubariki zaidi
@VicentiGordianigabriel-vj6iv
@VicentiGordianigabriel-vj6iv 5 месяцев назад
Asante sana
@caroopiyo7405
@caroopiyo7405 2 года назад
I'm so blessed 🙏🙏🙏
@lucasgeorge9212
@lucasgeorge9212 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-I8QGxEhEaYk.html
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 2 года назад
Ubarikiwe sana baba nimepata kitu endelea kutuelimisha.
@kitulohenry2393
@kitulohenry2393 2 года назад
Asantee pastor
@zablonbakari1200
@zablonbakari1200 2 года назад
Nikweli kufunga kula na kunywa kunafaida kiafya,Mimi si mnene ila nilikua na kitumbo kama nanyemelewa na kitambi ivi ila sikuelewa ilikua ni nini,Nilianza kufunga lakini sio kwa jambo hilo ni kwa jambo tofauti, baada ya muda kama mwezi na nusu ivi icho kitumbo kikapungua sasa nikapata faida ya ziada kwa mfungo wa jambo tofauti,Nina mshukuru MUNGU kwa kuningoza kufunga.
@josephjohn8530
@josephjohn8530 2 года назад
Koo kitambi koliishA
@zablonbakari1200
@zablonbakari1200 2 года назад
@@josephjohn8530 kimeisha kabisa
@mossesjoseph2202
@mossesjoseph2202 2 года назад
Barikiwa sana mtumishi.
@user-fu7ep9tr1b
@user-fu7ep9tr1b 6 месяцев назад
Pastor niombee Mimi Emanuel John Anthony natafuta Mchumba
@lilianlima8609
@lilianlima8609 2 года назад
Amen, BWANA akubariki
@alexmboya5850
@alexmboya5850 2 года назад
Mungu akubariki
@lilianlima8609
@lilianlima8609 2 года назад
Amen🙏🙏 kwetu sote
@user-fy5fu6wl8l
@user-fy5fu6wl8l 9 месяцев назад
Nitaanza kufunga nayaweza mambo yote kwa yeye anitiaye nguvu
@alicesidi9601
@alicesidi9601 2 года назад
Amen 🙏🙏
@lucasgeorge9212
@lucasgeorge9212 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-I8QGxEhEaYk.html
@shegashega2421
@shegashega2421 2 года назад
Barikiwa sana mtumshi
@faraja7833
@faraja7833 2 года назад
Amen sana
@rogerskaluta1608
@rogerskaluta1608 2 года назад
Happy Sabbath pastor
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 2 года назад
Asante sana Mutumishi
@elizabethsarange5064
@elizabethsarange5064 2 года назад
Amen be blessed
@amosiasheri554
@amosiasheri554 2 года назад
Amina pastor
@anaaanick4187
@anaaanick4187 2 года назад
Asant BABA 🙏🙏🙏
@shegashega2421
@shegashega2421 2 года назад
Mimi nikiona mwili wangu siuelewi huwa narejea kufunga tu kisha nakuwa vizuri sana
@jumskibona3261
@jumskibona3261 2 года назад
Ubarikiwe
@jonacemanyama4858
@jonacemanyama4858 2 года назад
Amina pr ninatatizo la kwikwi kwa muda wa miaka 6 sasa nisaidie mtumishsi wa BABA nifanyeje.
@joyjilien5432
@joyjilien5432 2 года назад
Jaribu kwanza kunywa maji kwenye shoka Yaani yanakuwa yanatiririka kupitia shoka Sio mpini Shoka yenyewe yaani kile chuma
@jonacemanyama4858
@jonacemanyama4858 2 года назад
@@joyjilien5432 sawa joy shoka jipya au hata kukuu
@Mjita
@Mjita 2 года назад
Fatilia somo linavyoshauri uone matokeo, ila pia ungekuwa Mwanza ningekuelekeza kwa Mzee wangu akupe dawa iliyomtibu yeye kwikwi na wengine wengi
@joyjilien5432
@joyjilien5432 2 года назад
@@jonacemanyama4858 shoka yoyote ile lkn iwe imeshatumika
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 2 года назад
Kweli uwarabuni
@NizaLuka-gi8hf
@NizaLuka-gi8hf 6 месяцев назад
❤❤❤
@fatumanassoro155
@fatumanassoro155 Год назад
❤ naomba namba yko dkt
@mutalemwapastoly4158
@mutalemwapastoly4158 2 года назад
Amina
@marykerubo5592
@marykerubo5592 2 года назад
Najua mungu yupo na sitachoka kufunga mpaka mtoto wangu akae na atembe
@violethswai8061
@violethswai8061 2 года назад
@sananethobias2060
@sananethobias2060 2 года назад
Inasaidia kukua kiroho
@geraldmwangira.4978
@geraldmwangira.4978 2 года назад
Kufuga kwa kwel kuna faida!! Me binafsi sasa nmechukua muda wgu na fuga bt me hua nafunga ivi nikila kama sa tatu ucku ndo sili tena mpk sakumi na mbili jioni cku nyigine, na pia nmeona faida kwa mwili wgu. Ila naomba kuuliza kufunga mfungo huu ni saw au laah??
@plankalkimly4811
@plankalkimly4811 2 года назад
Fatilia somo la aina za mfungo utaelewa
@esthermsely3537
@esthermsely3537 2 года назад
Amen
@saumhamisi7320
@saumhamisi7320 2 года назад
Amina pastor
@puritychogoro
@puritychogoro 2 года назад
Amen
@damaslukando8592
@damaslukando8592 2 года назад
Amen
@lucasgeorge9212
@lucasgeorge9212 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-I8QGxEhEaYk.html
@esterlugalie
@esterlugalie Год назад
Mungu akubariki sana paster uzid kutupatia mafundisho haya
@samuelwanjau9448
@samuelwanjau9448 Год назад
Amen
Далее
AINA 7 ZA KUFUNGA
26:12
Просмотров 55 тыс.
KUOMBA KATIKA ROHO MTAKATIFU(SEH A)
30:46
Просмотров 20 тыс.
Я ЖЕ БЕРЕМЕННА#cat
00:13
Просмотров 422 тыс.
▼ЮТУБ ВСЁ, Я НА ЗАВОД 🚧⛔
30:49
Просмотров 291 тыс.
AINA TATU ZA MFUNGO
6:24
Просмотров 9 тыс.
KUTEMBEA KATIKA ROHO YA HEKIMA.[PART 1]
51:42
Просмотров 14 тыс.
SIRI YA KUFUNGA NA KUOMBA SEHEMU YA I
14:31
Просмотров 18 тыс.
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA NA WAKATI WA MFUNGO WAKO
9:25
HATUA TANO ILI KUWA NA MFUNGO WENYE MATOKEO
38:52
Просмотров 215 тыс.
KWANINI VIJANA WENGI WANAANGUKIA KWENYE SHIDA
41:37
Просмотров 13 тыс.