Тёмный
No video :(

' FALSAFA' YA KOCHA FADLU NDANI YA SIMBA | SIMBA IJAYO ITAKUWA HIVI... 

SoccerData
Подписаться 196 тыс.
Просмотров 61 тыс.
50% 1

#KochaMpyaSimba #FadloDavids #FalsafaYake
Falsafa ndio Roho ya Timu, Roho ya Kocha na ndio tumaini LA Mashabiki kwa Timu yao.
Je kocha mpya wa Simba FADLU DAVIDS ni MUUMINI wa Falsafa Gani; Jibuhili hapa...
------------------------------------------------------------------------------------------------------
TUMEDHAMINIWA NA PELEGRINO SANITARIUM CLINIC
Hawa ni mabingwa wa kutibu Magonjwa Sugu kama; Kisukari, Kansa, Ukimwi, Presha, Tezi Dume na magonjwa yote Yanayokusumbua..
Kwa mawasiliano zaidi piga simu Namba...
0747 805 550.
------------------------------------------------------------------------------------------------------
JE UNAZIFAHAMU VIDEO ZANGU BORA ZAIDI? TAZAMA HIZI HAPA..
1. Yanga Baada ya Usajili: Kikosi chake cha Kwanza Hatari zaidi. • BAADA YA USAJILI: "KIK...
2. Baada ya Usajili: Huu ndio Usajili Bora zaidi kwa Simba. • KIUFUNDI: USAJILI BORA...
3. Kabla ya Pre - Season: Simba wanatakiwa Kufanya Jambo hili Muhimu. • KABLA YA PRE-SEASON: S...
4. UKWELI: KUHUSU KIWANGO HALISI CHA STEVEN MUKWALA | MSHAMBULIAJI MPYA SIMBA. • UKWELI: KUHUSU KIWANGO...
5. USAJILI WA CHAMA YANGA: UNA 'MAANA KUU 7' | TAZAMA KWA UMAKINI VIDEO HII. • USAJILI WA CHAMA YANGA...
6. KIUFUNDI: MAENEO 8 YA USAJILI SIMBA | MO AMEAMUA...
• KIUFUNDI: MAENEO 8 YA ...
------------------------------------------------------------------------------------------------------
JE UNGEPENDA KUTANGAZA BIASHARA YAKO SOCCERDATA KWA BEI NAFUU? KUWA SEHEMU YA WADHAMINI WETU TUKUTANGAZIE BIASHARA YAKO NA IWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
(MAWASILIANO)
0710 679 388
0627 532 401
Email: soccerdata01@gmail.com
------------------------------------------------------------------------------------------------------
KAMA MDAU, TUNAKUOMBA UCHANGIE UNUNUZI WA VIFAA VYA UZALISHAJI.
Saidia Ununuzi wa Vifaa vya Uzalishaji vitakavyorahisisha Kazi na kuongeza Ubora wa Uchambuzi.
SoccerData inahitaji Vifaa VITATU vya kuanzia Vinavyogharimu Shilingi 4.7 M ambavyo Ni;
1. Video Camera
2. Computer
3. Condenser Microphone.
Changia Kiasi chochote Ulichonacho kupitia;
TIGOPESA: 0710 679 388
HALOPESA: 0627 532 401
(Jina : Sekwao Mwendi)
BANK ACCOUNT.
CRDB BANK.
SEKWAO MOHAMEDI MWENDI
0152235925700
Lakini pia kwa Mawasiliano zaidi, Wapigie SoccerData kwa Namba hizo.
------------------------------------------------------------------------------------------------------
KARIBU KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII;
FACEBOOK: / soccerdata
INSTAGRAM: / soccerdata_tz
JE UNGEPENDA KUWA SEHEMU HALISI YA SOCCERDATA? JISAJILI KAMA MEMBERSHIP LEO UPATE ZIADA YA UCHAMBUZI...
/ @soccerdata.
SOCCERDATA KARIBUNI SANA...

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@JacksonMgeta
@JacksonMgeta Месяц назад
Wakwaza mm nipe like zagu
@stanleymwaselela1849
@stanleymwaselela1849 Месяц назад
Kula makofi wakwanza
@famaramedia
@famaramedia Месяц назад
Uchambuzi mzuri sana. Napenda analysis kama hizi ambazo zina add value kwenye akili yangu.
@qualitymediaproduction
@qualitymediaproduction Месяц назад
Nina Miaka 2 Na Zaidi Nakusikiliza Soccee Data Hakuna Siku Niliwahi Sema Leo Umezingua Umekua Bora Kila Nyakati Hakika Wewe Ni Champipn Guru Mchambuzi Sijui Kwanini Hauko Kwwnyw Tv Ila Naamini Ni Kwasababu Umewazidi Uwezo Level Zako Hazishikiki Ombi Ningeomba Kwa Heshima Yako Usiache Kazi Hii Kwa Ajili Yetu MUNGU na Akubariki Ukawe Bora Zaidi 🎉
@SoccerData.
@SoccerData. Месяц назад
Aaaahhh... Maneno yakutia moyo kabisa....shukran,shukran....asante sana
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 Месяц назад
Amina Amina, umeongea kwa upendo na hisia wa team yako❤️❤️❤️❤️❤️
@HAKIMRASHID-pf8rb
@HAKIMRASHID-pf8rb Месяц назад
Nakufuatilia sana kaka KAZI nzr 🎉🎉​@@SoccerData.
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv Месяц назад
Soccer ⚽ Data 💪💯
@JacksonMgeta
@JacksonMgeta Месяц назад
Alfu 2mpe na uchambuzi wa jean chess haou nikiugo wa namna gan
@samponews1689
@samponews1689 Месяц назад
Ni mwendo wa kujaza bando tu😂soccer data we leta uchambuz tu support utazkuta humu
@hoseanguvumojamiboki4827
@hoseanguvumojamiboki4827 Месяц назад
Nakukubali Sana upo on fire
@OmariTenga-e6q
@OmariTenga-e6q 14 часов назад
Nice
@saidkasonta3174
@saidkasonta3174 Месяц назад
Uko vizuri ndugu!
@ezrahtossitz2853
@ezrahtossitz2853 Месяц назад
❤❤❤unyama mwingi
@AllyiKulwa
@AllyiKulwa 20 дней назад
Simba anakutana nanani shilikisho ❤❤
@user-mz4ik1hx1q
@user-mz4ik1hx1q Месяц назад
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@Bashirusalum
@Bashirusalum Месяц назад
Napendaaga
@lwivaefeso4920
@lwivaefeso4920 Месяц назад
Nakukubali sana
@salehekayera
@salehekayera Месяц назад
kocha safi
@modekaisirili5850
@modekaisirili5850 Месяц назад
Huyu jamaa ajengewe sanam lake
@ayubumbogera8368
@ayubumbogera8368 Месяц назад
Tunausubili Hilo jiwe
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 Месяц назад
Kaka unajua nakukubare sana
@jacklinejb
@jacklinejb Месяц назад
Kocha ni mmoja tu Miguel gamond 😅
@Bashirusalum
@Bashirusalum Месяц назад
Ulete kaka nausuburi mno
@user-cf2jx1xp6x
@user-cf2jx1xp6x Месяц назад
Umetisha bro
@andreangweshemi7706
@andreangweshemi7706 Месяц назад
Sawasawa!
@salehekayera
@salehekayera Месяц назад
Kocha safi
@sailoo5722
@sailoo5722 Месяц назад
TAREHE NANE ITANYESHA TUJUE PANAPO VUJA
@BubuallyMwakipesile-br8dc
@BubuallyMwakipesile-br8dc Месяц назад
Kaka umechambua vyema
@SalmaChamy-tg4bo
@SalmaChamy-tg4bo Месяц назад
Wewe usimwage mchele weweee. Usitoe siri za kocha wetu tafadhali
@AnuwarFadhil
@AnuwarFadhil Месяц назад
😂😂😂. Simb. Nguv. Moj
@BenedictoMeakyeja
@BenedictoMeakyeja Месяц назад
naona bora aungane na mgunda
@nassoro9499
@nassoro9499 Месяц назад
Unatixha kaka
@sophyodago5062
@sophyodago5062 Месяц назад
Matangazo mengi mnaboa
@robertsongola6034
@robertsongola6034 Месяц назад
Naomba kujua udhaifu wa falsafa mseto
@MasudShabani
@MasudShabani Месяц назад
Wapi nipo apa
@justinefelis2071
@justinefelis2071 Месяц назад
NAONA UNATUJAZA BR.
@israelmunuo7938
@israelmunuo7938 Месяц назад
Falsafa mseto😂😂😂😂 💪🦁
@SoccerData.
@SoccerData. Месяц назад
Ewaaaaa
@salehekayera
@salehekayera Месяц назад
kocha safi
@salehekayera
@salehekayera Месяц назад
kocha safi
Далее
The most dangerous prisons in the world
41:07
Просмотров 15 млн
'SIMBA HATARI' INAKUJA; LAKINI BADO VITU 6 KIUFUNDI...
14:28
KWA MBINU HIZI 4: SIMBA YA FADLU ITAKUWA BALAA...
11:16