Тёмный

KWA MBINU HIZI 4: SIMBA YA FADLU ITAKUWA BALAA... 

SoccerData
Подписаться 196 тыс.
Просмотров 62 тыс.
50% 1

#MbinuZaFadlu #KochaSimba #KikosiSchaSimba
Kwenye soka la kisasa, Kocha ni mbinu, mbinu ndizo huibeba Falsafa ya Timu. KOcha asiye na mbinu nyingi na zilizoimara hujikuta akiangukia Pua kila mechi. Kocha wa simba Fadlu Davids amejipambanua kuwa Ni kocha wa Mbinu.
Kiufundi anazo Nyingi lakini leo nakuletea mbinu zake kuu 4; hivi ndio Vitu anavyofundisha kule nchini Misri; Taswira ya mwisho iliyopo kichwani mwake ni kuona Timu nzima inazi master mbinu hizi lakini pia inazi apply kwenye dakika 90 Uwanjani.
SImba ikiwa kamili kimbinu; basi uhakika wa matokeo ni Mkubwa kwa kila mechi; itakuwa timu tishio na bora barani Afrika. Kiufundi Mbinu zake ni Mbinu Bora na zinatumiwa na makocha wakubwa kutengeneza Timu tishio.
Je ni mbinu gani hizo?
------------------------------------------------------------------------------------------------------
TUMEDHAMINIWA NA PELEGRINO SANITARIUM CLINIC
Hawa ni mabingwa wa kutibu Magonjwa Sugu kama; Kisukari, Kansa, Ukimwi, Presha, Tezi Dume na magonjwa yote Yanayokusumbua..
Kwa mawasiliano zaidi piga simu Namba...
0747 805 550.
------------------------------------------------------------------------------------------------------
JE UNAZIFAHAMU VIDEO ZANGU BORA ZAIDI? TAZAMA HIZI HAPA..
1. Yanga Baada ya Usajili: Kikosi chake cha Kwanza Hatari zaidi. • BAADA YA USAJILI: "KIK...
2. Baada ya Usajili: Huu ndio Usajili Bora zaidi kwa Simba. • KIUFUNDI: USAJILI BORA...
3. Kabla ya Pre - Season: Simba wanatakiwa Kufanya Jambo hili Muhimu. • KABLA YA PRE-SEASON: S...
4. UKWELI: KUHUSU KIWANGO HALISI CHA STEVEN MUKWALA | MSHAMBULIAJI MPYA SIMBA. • UKWELI: KUHUSU KIWANGO...
5. USAJILI WA CHAMA YANGA: UNA 'MAANA KUU 7' | TAZAMA KWA UMAKINI VIDEO HII. • USAJILI WA CHAMA YANGA...
6. KIUFUNDI: MAENEO 8 YA USAJILI SIMBA | MO AMEAMUA...
• KIUFUNDI: MAENEO 8 YA ...
------------------------------------------------------------------------------------------------------
JE UNGEPENDA KUTANGAZA BIASHARA YAKO SOCCERDATA KWA BEI NAFUU? KUWA SEHEMU YA WADHAMINI WETU TUKUTANGAZIE BIASHARA YAKO NA IWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
(MAWASILIANO)
0710 679 388
0627 532 401
Email: soccerdata01@gmail.com
------------------------------------------------------------------------------------------------------
KAMA MDAU, TUNAKUOMBA UCHANGIE UNUNUZI WA VIFAA VYA UZALISHAJI.
Saidia Ununuzi wa Vifaa vya Uzalishaji vitakavyorahisisha Kazi na kuongeza Ubora wa Uchambuzi.
SoccerData inahitaji Vifaa VITATU vya kuanzia Vinavyogharimu Shilingi 4.7 M ambavyo Ni;
1. Video Camera
2. Computer
3. Condenser Microphone.
Changia Kiasi chochote Ulichonacho kupitia;
TIGOPESA: 0710 679 388
HALOPESA: 0627 532 401
(Jina : Sekwao Mwendi)
BANK ACCOUNT.
CRDB BANK.
SEKWAO MOHAMEDI MWENDI
0152235925700
Lakini pia kwa Mawasiliano zaidi, Wapigie SoccerData kwa Namba hizo.
------------------------------------------------------------------------------------------------------
KARIBU KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII;
FACEBOOK: / soccerdata
INSTAGRAM: / soccerdata_tz
JE UNGEPENDA KUWA SEHEMU HALISI YA SOCCERDATA? JISAJILI KAMA MEMBERSHIP LEO UPATE ZIADA YA UCHAMBUZI...
/ @soccerdata.
SOCCERDATA KARIBUNI SANA...

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@DaliusSimfukwe
@DaliusSimfukwe 13 дней назад
Mumgu akulinde fadlu
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Месяц назад
Simba mpya inaundwa lkn tusisahau ndugu zetu utopolo nao bado wapo vizuri
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv Месяц назад
Very professional soka data
@user-vv6ox9xh9k
@user-vv6ox9xh9k Месяц назад
Asante naiona ileee Kwa Raha zaidi, lakini hili linataka uongozi uwe imara zaidi ❤❤
@MethodJulius-fu9hf
@MethodJulius-fu9hf Месяц назад
Ubaya ubwela tunabalance kilakitu msimu huu wakiloga tunabalance kichawi pia. Wakihonga marefa tunabalance. Wakihonga wachezaj tunabalanc
@tenendeabdallah2755
@tenendeabdallah2755 Месяц назад
Hakika
@DeusPaschal-g5q
@DeusPaschal-g5q Месяц назад
Tunasubiri vitendo
@petermsabaha1215
@petermsabaha1215 Месяц назад
Kaka naomba link ya kupata taarifa za kimichezo
@ALONMWAMPAMBA
@ALONMWAMPAMBA Месяц назад
Ewaaaaa
@LifMmorf
@LifMmorf Месяц назад
Ngoja tone
@gatsonmatiko8000
@gatsonmatiko8000 Месяц назад
Poa Mr nimekwerewa
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 Месяц назад
🎉🎉🎉🎉
@johnjoseph9596
@johnjoseph9596 Месяц назад
Asante kwa uchambuzi mzuri brother, vipi unaiona wapi simba msimu ujao?????
@user-ox1tt3on3i
@user-ox1tt3on3i Месяц назад
Good
@CalvinMgonja
@CalvinMgonja Месяц назад
Atleast uwe kocha 😊
@Bashirusalum
@Bashirusalum Месяц назад
Napendaaga
@Joelnoel-z5r
@Joelnoel-z5r Месяц назад
Kwel Kama mbinu ipo hv tutaenjoy mno na simba yetu
@PatriceSiyame
@PatriceSiyame Месяц назад
Hakika tunasubiri vitendo zaid
@abdallahsaidi5933
@abdallahsaidi5933 Месяц назад
Dua
@masanjamasangu3914
@masanjamasangu3914 Месяц назад
Siku zote mchambuzi hawez kuwa kocha ukimpa team ni hovyooooo
@SoccerData.
@SoccerData. Месяц назад
Unajua ni kwanini?!
@shaushientertainment5460
@shaushientertainment5460 Месяц назад
Acha tuanze
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 Месяц назад
Ligi iliyopita SHABALALA NA CHE MALON WALIPOTEZA PASI NYINGI ZA NYUMA
@Andrewleonard-zu1lb
@Andrewleonard-zu1lb Месяц назад
Soka datar kwann usiwe kocha
@jaycodestz1304
@jaycodestz1304 Месяц назад
Kabsa kak
@MathewConstantine
@MathewConstantine Месяц назад
Jamaa anajua
@user-jj9sg9in5q
@user-jj9sg9in5q Месяц назад
Kuwa kocha niiahu nyingine na kuchambua nikitu kingine kaka
@SalmaChamy-tg4bo
@SalmaChamy-tg4bo Месяц назад
Itakua simba ya kutisha na magoal mengi
@ServacCnda
@ServacCnda Месяц назад
Upovizuri
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide Месяц назад
UCHAMBUZI MZURI SANA> Swali je ATa,chezaje akiwa na yanga coz ni kama itafanana kila kitu nimeona yanga wakikabia sana juu
@SoccerData.
@SoccerData. Месяц назад
Kwenye simba usiitaje yanga,,,🎈
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide Месяц назад
@@SoccerData. 😀😂😂
@robertchazya2351
@robertchazya2351 Месяц назад
@@SoccerData.Wewe ni Kolo ndo maana
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 Месяц назад
@@robertchazya2351 Chura au nyuma mwiko
@saidmansoor8528
@saidmansoor8528 Месяц назад
Amekuja mabegi!!!???😅😅😅
@johnjoseph9596
@johnjoseph9596 Месяц назад
Asante kwa uchambuzi mzuri brother, vipi unaiona wapi simba msimu ujao?????
Далее
'SIMBA HATARI' INAKUJA; LAKINI BADO VITU 6 KIUFUNDI...
14:28
Аушев, Путин, «пощечина»
00:56
Просмотров 803 тыс.
Новый уровень твоей сосиски
00:33
REKODI ZA KOCHA  WA SIMBA: HUJAWAHI ZISIKIA POPOTE...
16:21
Simba SC 2-0 APR FC | Highlights | Simba Day 03/08/2024
10:47
USAJILI WA ATEBA: SIMBA IMEPIGWA? UKWELI UPO HIVI...
9:59