Тёмный
No video :(

Familia yataka uchunguzi kifo cha ndugu aliyeuawa na kunyofolewa viungo 

UTV Tanzania
Подписаться 74 тыс.
Просмотров 49
50% 1

Familia ya Mzee Kuminya Sambo (63), Mkazi wa Kijiji Cha Nambinzo Wilaya ya Mbozi, Songwe aliyepotea Julai 9 usiku na kisha mwili wake kupatikana Julai 11 ukiwa umetupwa kandokando ya barabara imeliomba Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi ili kubaini sababu za kifo cha ndugu yao
Mwili wa Sambo ulikutwa ukiwa hauna baadhi ya viungo vya mwili ikiwemo mkono na mguu.
@official_jennifersumi
#azamnewsupdates

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Bilasizmi?
00:12
Просмотров 422 тыс.
Standout lines from 2024 DNC speeches
17:36
Просмотров 383 тыс.