Тёмный
No video :(

FEISAL AZUA UGOMVI SIMBA NA WACHAMBUZI/ AHMED ALLY AMVAA FARHAN 

Maximum Tv Online
Подписаться 448 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Опубликовано:

 

5 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 Месяц назад
Hata mimi nipo tayari kuchangia fei toto asajiliwe simba bila kukosa
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d Месяц назад
Hata jamsini natoa
@SuluG
@SuluG Месяц назад
Mimi nipo tayari
@user-rf9vn7lz1n
@user-rf9vn7lz1n Месяц назад
Basi watuchangish sis tutachangia mashabik ambao tunauchung na timu yetu
@WaziriSelemani
@WaziriSelemani Месяц назад
Nko tayali hata mmi pia maaana tumeumia sana miaka minne
@AllyHussein-qc3vm
@AllyHussein-qc3vm Месяц назад
Usajili mmefanya lkn feisal bado anahitajika kuongeza nguvu simba acheni upimbi changisheni arambee tutatoa2
@Martingwau
@Martingwau Месяц назад
Ata me pia natamani iwe ivo ntachangia
@adamgwila3395
@adamgwila3395 Месяц назад
Tupo tayari kwa hali na mali Fei atue simba
@manyerejacobkapongo9663
@manyerejacobkapongo9663 Месяц назад
Waweke Mkeka tu tupo Tayari
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 Месяц назад
Nipo tayari❤❤❤❤
@EmmanuelSaimonmulaga
@EmmanuelSaimonmulaga Месяц назад
Semaji la cuf tunamwihitaji Feitoto tupo tayari kuchangia hamjuii namna tunavyo umia tunavyo fanya vibaya pia kufungwa na mtani.
@kassimntara6901
@kassimntara6901 Месяц назад
Tupo tàyari kuchanga na apewe mkataba mrefu wa miaka mitatu,huu ndio utakuwavusajili mkubwa na Bora kwa wanasimbavna Tanzania kwa jumla
@swigamwandumusya6499
@swigamwandumusya6499 Месяц назад
Kama tunahitaji kweli msimu huu kufanya vizuri swala la fei toto kuja simba ni muhimu sana SI Kwa ajili ya kucheza tu, hata ikiingia Kwa mawazo ya wapinzani ni mojawapo ya mapambano ya kuijenga timu, wekeni mkeka tumwage maji tumpate.
@EmmanuelSaimonmulaga
@EmmanuelSaimonmulaga Месяц назад
Mo Dewiji be serious tunamwihitaji Feitoto tupo tayari kuchangia .msikilize pia mawazo ya mashabiki tukimkosa Feitoto mtakuwa mmetuumiza sana mashabiki wa simba. Mara nyingi semaji la cuf unatupa moyo kwenye issue muhimu afu mambo yanakwenda kombo
@AllyMakata
@AllyMakata Месяц назад
Atamm nko tayari kuchngia
@user-qw9zu3ly8m
@user-qw9zu3ly8m Месяц назад
Ata mimi nipo tayari kuchangia jamani SIMBA NGUNGU MOJA
@user-de5ph3rs6p
@user-de5ph3rs6p Месяц назад
Ww unadhani kila mshabiki WA simba na wapenda simba wakiweka elfu moja tu kati ya watu milioni 20 mpaka hapo ni shingi ngapi misitwambie habari hizo mtatukwaza sana
@WilliamKaponya
@WilliamKaponya Месяц назад
ata mimi nipo tayali hata saiv
@josephinesolomoni4150
@josephinesolomoni4150 Месяц назад
Nipo tayari kutoa laki mbili
@manyerejacobkapongo9663
@manyerejacobkapongo9663 Месяц назад
Ahmed Ally siyo kutugombanisha kweli fei tunamhitaji kuchangia mashabiki siyo dhambi hata Manzoki tulimkosa hivi hivi. Tupo Tayari kwa hiyari
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh Месяц назад
Simba tuosheshe Ukubwa wetu Kwa kumleta Fei toto
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh Месяц назад
Tuko tiari kuchangia Ili fei aje Simba
@WilliamKaponya
@WilliamKaponya Месяц назад
tuchange tu nipo tayali 6:28
@LukindoMathias
@LukindoMathias Месяц назад
Jaman wanasimba watuambie tuchange 2 fei toto aje simba jamaan nyie viongozi fanyeni kweli tuchange
@barakakiyalo3900
@barakakiyalo3900 Месяц назад
Watupe utaratibu tuweke munga hapo tunamtaka feii
@SuluG
@SuluG Месяц назад
Tukoteari
@saidikumbi8420
@saidikumbi8420 Месяц назад
Pamoja nakua tunawachezaji wanje lakini kiukweli feisal nimuhimu sana kwani atakua mchezaji kiongizi tupeni Namba tuchangie Yuko tayari
@furika7931
@furika7931 Месяц назад
Hata mimi nitachangia huo usajili wa Feisal
@BADAWY575
@BADAWY575 Месяц назад
Mimi ni Yanga damu damu .ukweli Fei toto ni wakati wake na ni muhimu kwa taifa na yeye mwenyewe kuweka maisha yake bora .napendelea acheze simba kwa mafanikio yake na historia ya mpira Tanzania nitafurahi lakini Fei mwenyewe tahira hajui kujiuza zumbukuku kama simba wenyewe mazumbukuku
@MohamediSaidi-hm1hl
@MohamediSaidi-hm1hl Месяц назад
Namimi nipo tayali
@PatrickGeraldi-wd1er
@PatrickGeraldi-wd1er Месяц назад
Wafanye haraka kutoa utaratibu tukachange.
@ManyandaMisomado
@ManyandaMisomado Месяц назад
Tukotayali kuchagia
@Vitasafari-hr6ub
@Vitasafari-hr6ub Месяц назад
Kwanza tusicheleweshane tupeni no ya Hela hewani
@eliashagai7920
@eliashagai7920 Месяц назад
Wekeni namba ya malipo tuanze asajiliwe Simba
@jumanamwasa-iw2zn
@jumanamwasa-iw2zn Месяц назад
Tupo tyar tuchange
@JosephmwitaJosephmwita
@JosephmwitaJosephmwita Месяц назад
Tupo tayari kuchangia
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 Месяц назад
Tuchange tumchukue,,
@AllyMakata
@AllyMakata Месяц назад
Mbn wana tuchelwesha toa namba
@nassorseif404
@nassorseif404 Месяц назад
Tupo tayari, tupeni account number tuchangie ili Fei toto aje simba
@kolosii4351
@kolosii4351 Месяц назад
Hiyo ni mihemuko tu. Mtachangia miezi mingapi??
@athumanmnguruta338
@athumanmnguruta338 Месяц назад
KRAMO ABAKI TUONE UWEZO WAKE
@teddysanga1840
@teddysanga1840 Месяц назад
simba wanaota ndoto wajinga tu hawana hela fei hamuwezi kumpata wamesema 13 bilioni
@AllyMakata
@AllyMakata Месяц назад
Ndio tuko tayari mkeka uanze
@Khalidniya380
@Khalidniya380 Месяц назад
Tuchange bwana lazima Fei Toto akuje Simba
@SuluG
@SuluG Месяц назад
Tukoteari
@kassimntara6901
@kassimntara6901 Месяц назад
Viongozi hususani mo mmesajili wachezaji wazuri kweli lkn kumbukeni akina okwa na okra,pia onana je tubahakika Hawa wataingia wengi kwenye timu na kuwa Bora kama walikotoka? Fei anaijua ligi yetu na timu kwa jumla Hana shida ya kuingia kwenye timu.kwa sasa pale mbele kweli kiongozi awe Kibu? Simbezi ila Fei anaweza kuwa mfalme wa timu tukawasahau chama na Luis mara Moja bila kusubiri
@Farida-vg5ry
@Farida-vg5ry Месяц назад
Wekeni namba kwa haraka basi watu tuko tayari kuchangia
Далее
ВОДЯНОЙ ПИСТОЛЕТ ЗА 1$ VS 10$ VS 100$!
19:09
I Built a Trampoline Park in My House!
29:50
Просмотров 11 млн