Тёмный

WAKILI MADELEKA “POLISI KUKAMATA VIONGOZI WA UPINZANI NI MATUMIZI MABAYA YA AKILI WAJITAFAKARI 

KUSAGA TV
Подписаться 180 тыс.
Просмотров 113 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 516   
@nmatuja2191
@nmatuja2191 2 месяца назад
Katika nchi hii mawakili ambao nawakubali ni pamoja na msomi madeleka.big up sana.Mwenyezi Mungu akubariki na akulinde.
@SilasKanunga
@SilasKanunga 2 месяца назад
Kusaga Acha kuzingua subiri tupate elimi,uliza swali subiri majibu yatolewe yote Acha kumkatisha m beba maono? KAMA watu wakubwa wanafanyiwa hivo sisi wadogo je,,Acha tujifunze bhna..ila hongera pia bwana kusaga kazi zako ni nzuri
@AlphonceGridius-v2b
@AlphonceGridius-v2b 2 месяца назад
Ubalikiwe sana wakili tunawapenda sana mawakili
@BeatusMichael
@BeatusMichael Месяц назад
Baba Madeleka Mungu akuongoze zaidi Hata Nabii Musa alipewa Kazi ya kumgoa Farao Baada ya kuonekana kwamba yeye ni mtetezi wa kweli Mungu akuongezee zaidi
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola 2 месяца назад
Mungu akubariki sana wakili madeleka Kwa kuwa consistent
@isayagilson5710
@isayagilson5710 2 месяца назад
Nibora wewe unaye muogopa Mungu kuliko hao wanao waogopa wanadam hakika kazi unayoifanya ni ibada tosha tunakuomba maisha marefu hapa duniani .
@BundalaIlagila
@BundalaIlagila 2 месяца назад
You are very very right wakili msomi Madeleka waleta fujo nchi hii ni ccm na polisi wao!!
@jacobsevetu8622
@jacobsevetu8622 2 месяца назад
Baada ya mwabukusi kumaliza muda wake madereka atafuata hongera wakili msomi
@MonicaTimotheo
@MonicaTimotheo 2 месяца назад
Hongera sana madeleka uko honest sana ni zaidi ya wakili in-out you are very honest bro
@JaphetMulungu
@JaphetMulungu 2 месяца назад
Pia nakupongeza kuacha hiyo kazi maana ungekua unajitia aibu.
@ViolethMazengo-nd8cy
@ViolethMazengo-nd8cy 2 месяца назад
Wakili safi wapelekeni ndo watajifunza tena msichelewe ndo wajue wakienda kupata mafunzo yao wazingaie sheria wanatumika kisiasa sana hao polisi hawana huruma hata ya kimungu
@arafamohamed2819
@arafamohamed2819 2 месяца назад
Mungu akuweke miaka1000
@bonifaceswila8516
@bonifaceswila8516 2 месяца назад
Asante sana Madeleka,mambo ya kisheria wengi hatuyajui na maana hiyo wanainchi wengi tunapoteza haki zetu nyingi sana.
@onesmohmasuka3720
@onesmohmasuka3720 2 месяца назад
Mathayo 5 10 Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola 2 месяца назад
Aisee! Madeleka Kwa kweli hoja zako ni kisheria sana
@joshuarose6756
@joshuarose6756 2 месяца назад
Huy noma san
@usafiaps318
@usafiaps318 2 месяца назад
Peter Wapeleke Kwa Mahakamani Kwa Majina Yao Br.Tukomesheni Jamani Dhuluma Na Uonevu Huu.
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 2 месяца назад
Petar mwanasheria uliojaa hofu yamungu nahaki zautu wabinadam hongera sana kwaelim unayotupatia
@kudrasogoti3796
@kudrasogoti3796 2 месяца назад
Huyu alikuwa askari mwenye cheo cha ukaguzi
@georgepondelo7163
@georgepondelo7163 2 месяца назад
You're so genius
@CostansiaKimaro
@CostansiaKimaro 2 месяца назад
Wakili Mungu akupe maisha marefu uendelie kutetea na kutoa haki Kwa Kila mtu
@giovannir.restone182
@giovannir.restone182 2 месяца назад
Hapo kwenye hilo neno ambalo mwandishi alitaka kulikwepesha ..eti kulawiti.. Hongera sana Wakili msomi kwa kuliweka wazi zaidi .na ukafanya reference kwenye maandiko.. kwamba sio kulawiti.. 😂😂😂😂 wote tumesikia.. Hongera sana Wakili msomi.
@MymarhaNikolaus
@MymarhaNikolaus 2 месяца назад
❤kabisa unasema ukweli kabisa hii nci nwajinga niweng
@thabitimadabali1726
@thabitimadabali1726 2 месяца назад
Kaka madereka mungu Akulinde nakukubari sana❤❤❤
@ChristinaKilianNyoni-xb7lk
@ChristinaKilianNyoni-xb7lk 2 месяца назад
Wasikifananishe na ujinga 😂😂😂😂😂nimeipenda hiyo 😂😂😂
@GodwinHugo-q8n
@GodwinHugo-q8n Месяц назад
Hii na mimi nimeielewa sana
@DandasiKundi
@DandasiKundi 2 месяца назад
Asante sana wapelekwe mahakamani sisi wananchi tutakuja kusikiliza kesi
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 месяца назад
Mwamba ricpect sana muzalendo wa taifa letu mungu akubaliki sana
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 месяца назад
Polisi ya hapa Inchi ni CCM pia sisi wanainchi tunawahamu kuwa ni wanaccm tena wakubwa tena wanahatarisha haki ya wanainchi. Mungu ametuumba ili tuwe huru. Hao wahuni kwa nini mnatesa wanainchi.
@officialfaraji
@officialfaraji 2 месяца назад
Daah hapo kwenye kufira😂😂😂 tuko na pareto mkuu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Месяц назад
😂😂😂😂😂 nacheka kama mazuri
@stevensteven4513
@stevensteven4513 Месяц назад
🤣🤣🤣🤣
@MelisaMerdad
@MelisaMerdad Месяц назад
Asante tumejifunza
@dillonfoya
@dillonfoya 2 месяца назад
Wakili Msomi Madeleka Toka mwanzo unatufundisha jinsi ambavyo KATIBA MPYA inavyohitajika Leo kuliko Jana kwa vile matendo ya uvunjifu wa katibu
@gellangi9694
@gellangi9694 2 месяца назад
Katiba.
@JaphetMulungu
@JaphetMulungu 2 месяца назад
Huo ni ushuja onge4a sana.kwa kweri msiruda nyuma mungu awatagulie watu wapumue
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
Wakati huo wewe unaangalia tu kwa mbali uone mwisho wake
@paitomsuva3817
@paitomsuva3817 2 месяца назад
Madeleka Mungu akubariki
@Anton-t5c2w
@Anton-t5c2w 2 месяца назад
Amina isa
@oltetiangaroya8489
@oltetiangaroya8489 2 месяца назад
Perfect
@AshuraEnock
@AshuraEnock Месяц назад
Mugu akulinde
@KivumuKivumu
@KivumuKivumu Месяц назад
Madeleka wewe ni mteule wa mungu mungu akutangulie unajua unachokifanya Cha kuelimisha jamiii
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 2 месяца назад
❤❤❤❤❤
@AshuraEnock
@AshuraEnock Месяц назад
Sema kaka
@TajirMtoto-i5s
@TajirMtoto-i5s 23 дня назад
Honger san kak mungu azid kukup upeo zaid
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 Месяц назад
❤❤❤very good
@gloryleonard1563
@gloryleonard1563 Месяц назад
Kusaga wewe ni mwandishi mmoja mzuri sana una uelewa mzuri sana ila tu unawahi kuuliza swali kabla huyo msomi wetu hajamaliza kutoa maelezo, Mungu akulinde na kukutetea wakili wetu msomi.
@JuniorTarimo-e6s
@JuniorTarimo-e6s 26 дней назад
Hongera kiongozi mungu akulinde
@SaidBuliba
@SaidBuliba Месяц назад
Lispect sana wakili una k2 mungu akutangulie katk kazi yako❤❤
@masoudchegeka9752
@masoudchegeka9752 Месяц назад
Madeleka 🙌🙌
@PherollanceErnest
@PherollanceErnest 2 месяца назад
Very comprehensive,go go go
@MeripaMusa-b1q
@MeripaMusa-b1q Месяц назад
Shukrani sana wakili peter Haki inatakiwa kutendeka na si matakwa ya baathi ya viongozi kuamua na kutenda isivyopaswa God blessed u
@timotimo5501
@timotimo5501 28 дней назад
Wakili Mwenyezi Mungu akutunze🙏🏿
@FrankMwakalinga-k9y
@FrankMwakalinga-k9y 27 дней назад
Mungu akubariki sana
@MarryCharles-rc6ei
@MarryCharles-rc6ei 2 месяца назад
Mtangazaj kasome kwanza ndo urudi kumhoji wakili hapo, uwezo wa kuuliza maswali tactical ni mdogo sana afu una mkatisha sana
@DandasiKundi
@DandasiKundi 2 месяца назад
Mwenyezi mungu akutangulie akulinde
@AmonElia-k3s
@AmonElia-k3s 24 дня назад
Hongera
@zawadjose5440
@zawadjose5440 Месяц назад
Good job🎉
@MnyamaTolu-kd5ct
@MnyamaTolu-kd5ct Месяц назад
Umebarikiwa sana madereka
@AshuraEnock
@AshuraEnock Месяц назад
Kaka sema umefanya nilie sana unachosema
@HaryPoter-zw7vr
@HaryPoter-zw7vr Месяц назад
PETER MADELEKA All the best brother.big Up
@AidaRaphael
@AidaRaphael Месяц назад
❤❤❤ MUNGU Akulinde,,Akuepushe na hola za waovu
@kibwetere1418
@kibwetere1418 2 месяца назад
Ila madereka jamani 😂😂😂😂😂mbavu zangu mie hakuna kupunguza ukali wa maneno😅😅😅😅pyeèeee
@edwardkasubi5135
@edwardkasubi5135 2 месяца назад
Ukali wa maneno apunguzwe na Wakili Madeleka kwa nini sasa ilhal msahafu na Biblia viko wazi KABISA
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 месяца назад
​@@edwardkasubi5135Hakuna ukali wa maneno hapo, lugha ngumu inaruhusiwa kulingana na kosa lililofanyika
@immamunisi1312
@immamunisi1312 Месяц назад
Asante sana wakili madeleka
@JotoKali
@JotoKali 2 месяца назад
Mungu akutunze kaka P, M
@MussaToba
@MussaToba Месяц назад
Hongera sana mzalendo wakweli Mungu akulinde
@AndrewMasaga
@AndrewMasaga 2 месяца назад
Asante sana
@mbarakaKihwele
@mbarakaKihwele 2 месяца назад
Halo Mr kusaga nashukuru Kwa maswali yako mazuri na pia nashukuru wakili msomi Madereka kujibu Kwa ufasaha nawashukuru sana
@MwafyongoMwamani-j4k
@MwafyongoMwamani-j4k Месяц назад
Mungu akulinde.
@FestoLalata
@FestoLalata Месяц назад
Ubarikiwe wakili
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya Месяц назад
Mungu awalinde watetezi wa haki za binadamu. Wakili Madereka Mungu akusimamie. Asante sana Kwa kazi njema.
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 Месяц назад
Aamin..❤️❤️🙏
@AshuraEnock
@AshuraEnock Месяц назад
Kweri baba nena
@LeonardMbela
@LeonardMbela 2 месяца назад
Uko good sana bro!
@allyamri5028
@allyamri5028 Месяц назад
Mi nakuelewa sana Mr mdlka
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 2 месяца назад
Safi sana wakili jasili usie ogopa chochote MUNGU akupe uzima tele
@camilomassao8971
@camilomassao8971 2 месяца назад
Genius
@KishaKisha-ux4ul
@KishaKisha-ux4ul 2 месяца назад
Umeongea ukweli Mh Madereka Chukua maua Yako. 🌹 🌹 🌹 🌹 🌹 🌹 🌹
@ramadhanizuberi-dj8pn
@ramadhanizuberi-dj8pn Месяц назад
Mungu akure maisha marefu sana wakili
@TanganyikaChakupewa
@TanganyikaChakupewa 2 месяца назад
Hapo nime like kwa wew
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 2 месяца назад
Kumbe tuna viongozi ila katiba ndo inazuia isingekuwa katiba we madeleka tungependekeza uwe wazilimkuu na mwabukusi awe lais mpina wazili wa fedha polepole makam wlibodisilaa jajimkuu nk yani ccm wangekoma na maisha ya watanganyika yangependeza sana ila sio sasa
@gellangi9694
@gellangi9694 2 месяца назад
Siyo sasa?
@mohdchuma78
@mohdchuma78 Месяц назад
Watz tumekuw tukisahau mapem matendo ya viongoz walio pt
@aminielyusufu4351
@aminielyusufu4351 2 месяца назад
Uko vizuri Sana. Nashukuru Sana unaelewa
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola 2 месяца назад
Mwandishi una mtu mwenye ufahamu mkubwa sana tumia muda huo kuuliza maswali ya msingi
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 2 месяца назад
Chalomhola nikupongeze kwa kumshauri mwandishi wa habari anajizungusha hajui anahojiana na mtu mwenye akili sana na ufahamu wa kutosha.
@ramadhanimtozeni8030
@ramadhanimtozeni8030 2 месяца назад
Peter Madeleka, wewe ni shule ya sheria inayotembea, "Mobile law school." Mungu akupe maisha marefu, learned counsel.
@OmmyMataula
@OmmyMataula Месяц назад
Mobile low school Nime ipenda brother
@nestanesta5704
@nestanesta5704 2 месяца назад
Peter madeleka big brain, I appreciate you,
@claudsaprapasen9068
@claudsaprapasen9068 Месяц назад
Hongera!
@MatoboGachori
@MatoboGachori 2 месяца назад
Mungu akusaidie siku moja uwe rais wa tz ili wanadamu wa mungu tukomboleke
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 2 месяца назад
Madeleka Mungu akulinde daima
@FalesJustinian
@FalesJustinian Месяц назад
Mzee umesemaaa❤❤
@JumaKamasa-kl6pz
@JumaKamasa-kl6pz Месяц назад
Mungu akulinde kaka
@MelisaMerdad
@MelisaMerdad Месяц назад
Nimependa sana
@AnnaMwitega
@AnnaMwitega 2 месяца назад
Asante sana wakili Madereka kwa kutufunza mambo ya kisheria
@HusnaKassi
@HusnaKassi Месяц назад
Hongera kaka etu madeleka mungu akuweke uje uwe rais
@EliasLunyuzi-g3e
@EliasLunyuzi-g3e 3 дня назад
Mungu akutie nguvu na ujasiri
@evaristosanga471
@evaristosanga471 2 месяца назад
Big brain
@sostenesbarnabas776
@sostenesbarnabas776 2 месяца назад
Tungepata watu wa aina hiii nchi hiii kama 600 hakika tungefaid matunda ya nchi yetu maaana tunaopotea ni sisi tu wanyonge na miaka hiiii ndio speeed ya aya matukio inaongezeka
@GalganoNgoja
@GalganoNgoja 2 месяца назад
Hongera sana wakili wetu mpenda haki
@eunicemacha8497
@eunicemacha8497 2 месяца назад
Umesomeka Kaka mkubwa
@MusaHassan-me2im
@MusaHassan-me2im 2 месяца назад
Huyu jamaa kweli yoko vizuri katika kazi yake na sidhan kama anaweza akapindisha panapotakiwa kunyooka na mfananisha na kiongoz wawamaasai ngorongoro hotuba aliotoa 22/8/2024 - saf sana tunahitaji watu wenye ukakamavu na upana wamawazo
@TumainieliMamuya
@TumainieliMamuya 2 месяца назад
Ubarikiwe kaka kwakiongeya ukweli wanao elewa watakuelewa manyumbu awawezi kukuelewa
@josephnemgosi8804
@josephnemgosi8804 2 месяца назад
Nakupa bg up
@mosesdavid-vm5hk
@mosesdavid-vm5hk Месяц назад
💪🔥🔥🔥🔥🙌
@DanosiImani
@DanosiImani 2 месяца назад
Mungu akuzidishie kunena ukweli kuhusu sheria nawapenda sana mawakili wanaojitambua kidogo mnatupatia mwanga sasa tunaona vizuri movie zinavyo chezwa;
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 Месяц назад
Kazi kweli kweli
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Месяц назад
Huyu kijana anauwezo mkubwa kisheria .Yupo vizuri sana.
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 11 дней назад
Vyana visiwepooo. Kabisa. MAANA SIII MAUWAJIII HAYAA NOOOOO
@MatokeoJoseph.Fonkol
@MatokeoJoseph.Fonkol 29 дней назад
Mungu akupe afya teree uweze kutimiza majukuum yko
@AlbertoSanga
@AlbertoSanga Месяц назад
My country Tanzania!!!!!!!!
@azariansemwa9466
@azariansemwa9466 2 месяца назад
Mungu Mbariki Peter Madereka’
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 2 месяца назад
Nimeipenda hiyo Ni matumizi mabaya ya akili
Далее