Тёмный
No video :(

Fix You: Pesa zako nyingi za kwanza usizitumie kujenga, wekeza kwanza, usione aibu kupanga 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 73   
@maryjames7948
@maryjames7948 Год назад
unaweza kujenga ukapangisha,{kujenga nyumba za kupanga} ni moja ya uwekezaji ambao hauna stress sana pale utakapomaliza, kama una hela na ukicalculate unaweza kujenga na ukafika mahali pazur sanaaaaaaaaa aaaaah aseeee JENGA, ata kesho ukitangulia mbele ya haki ukawaachia watoto nyumba za kupanga wanaweza kutumia vyumba kadhaa kuishi na vingine kupangisha na kuzisimamia na wakaweza kuendeleza maisha lakini ukiwaachia biashara tu na huku hawana pa kuishi wanalipa kodi kuna mawili waweze kuisimamia biashara ikue ama washindwe IFE wakose vyote,
@RoswitaMaarifa
@RoswitaMaarifa Год назад
¹¹
@knowledgetv5594
@knowledgetv5594 Год назад
Hii page inanifaa maana baada tu ya kumleta Dr Makirita Amani, nimeanza kuifuatilia na nimegundua ni ukurasa bora mno, unaojenga, kuhamasisha, na kuelimisha zaidi. Hongereni kwa kutuletea watu wenye hekima zaidi. Huyu ndugu nimemuelewa mno.
@kassiannyamba805
@kassiannyamba805 16 дней назад
Sio lazima kujenga Dream house, unaweza jenga nyumba ya kawaida tu nje ya mji ya hela ya kawaida achana na hizo za 100million. Then kiasi kingine ukaendelea kuwekeza kama ukikwama kwenye biashara zako unarudi kujificha kwenye kakibanda kako.
@abdulrahmanhassan5998
@abdulrahmanhassan5998 Год назад
Kuna watu wamezaliwa tayari wameshajengewa na kunawatu wamezaliwa wapo kwenye nyumba za kupanga kwahivyo mpaka hapo wapo tofauti. Maisha ni nyumba wanaosema usijenge kwanza wekeza wao wameshajenga au wameshajengewa. Sikiliza ushauri wao ila changanya na zako
@Mpakauseme
@Mpakauseme 10 месяцев назад
Huyo yupo sawa mfano ni mimi nilipita katika njia yako na mwisho nipongundua mambo iliniumiza sana lakini sasa naendelea kipambana
@robertmanyerere7660
@robertmanyerere7660 Месяц назад
Great Interview! Very interesting
@vitymteysemere4777
@vitymteysemere4777 Год назад
Asante sana sns
@neemamushi598
@neemamushi598 Год назад
Wisdom 💯
@mwenendoassani9127
@mwenendoassani9127 Год назад
A Santé sana kbs kwa Emilimu ya leo
@edinambwambo4847
@edinambwambo4847 Год назад
Baba ana madini huyu🙌🏼
@pierrebigirindavyi4378
@pierrebigirindavyi4378 Год назад
This man is soooo wise! Thank you so much for the wisdom!
@DinaJuma-fc6dm
@DinaJuma-fc6dm Год назад
Vijana kujenga kwanza
@salomekadendula2878
@salomekadendula2878 Год назад
Best interview🙏🙏🙏
@Moteswa
@Moteswa 7 месяцев назад
Very good wisdom
@lilasuliman552
@lilasuliman552 Год назад
Tunakusubiri na hicho kitabu kimpya
@mussafoum6562
@mussafoum6562 Год назад
Nice one 💯💯💯💯
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Год назад
Dada mtangazaji kutoa ile rangi kwenye nywele kapendeza zaidi
@barakabahati6600
@barakabahati6600 Год назад
Good topic ❤
@dhinatsimbano8854
@dhinatsimbano8854 Год назад
Naomba hilo swala la familia lipewe kipindi chake maalum.
@irenekamugisha
@irenekamugisha Год назад
Tutalifanyia kazi
@salimawishenga7588
@salimawishenga7588 Год назад
Nami pia naomba Hilo na azidi kuchanua chanua kiundani Ana mambo mazuri akipewa muda mashaa Allah
@user-mf8lu9hp6w
@user-mf8lu9hp6w 6 месяцев назад
Naunga mkono ombi
@mtazamodox
@mtazamodox Год назад
Kabisa
@miriambethuel8892
@miriambethuel8892 Год назад
Contentfull👌
@georgemoshi
@georgemoshi Год назад
thank
@safinanyiwala386
@safinanyiwala386 Год назад
Haya madini 🙌Arudi tena
@dn.n4983
@dn.n4983 Год назад
Same t wazazi alitukataze na watoto jirani nakweli kwa ksbisa
@Moteswa
@Moteswa 7 месяцев назад
Madini ya nguvu Kaka
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Hapo ktk uwekezaji inabidi atupe somo la uwekezaji in and out...maana kusema ukweli ni idara ambayo ni kama pata potea.
@avelinamgasa
@avelinamgasa 6 месяцев назад
Nimefurahi hapo kwenye kuzimiwa mike
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Год назад
Nyumba kwanzaa vıjana asıkudanganye mtu Kuısh kwako n raha sqba kuluko kwa mtu ukıwa ktk ndoa half uko kwako hata ukıla mlenda maisha utayaona kama pepon vıleee!!!!
@mwajumamussa3988
@mwajumamussa3988 Год назад
unaweza wekeza ,bado usiyafikie malengo ,mimi naona aliyejenga hajapoteza .
@salehemganga1081
@salehemganga1081 Год назад
Dunia inaenda kasi sana, kujitambulisha mke wangu ni mwanamke?😭
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Год назад
Crazy..
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 Год назад
It was so unnecessary, ni kama amepromote homosexuality. Tanzania hatuna ndoa hizo,japo wapo watu wana hayo mahusiano pia hawayawekagi wazi.
@ireneassey2022
@ireneassey2022 Год назад
Ujui kuna wasagaj unawez kuwa mwanamke na akaw na mke wake au mwanaume na mwanaume mwenzie 😂
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 Год назад
Aaawapi bora nijenge tu nyumba za kupanga zina kero uwii
@albassammusaalbassam7487
@albassammusaalbassam7487 Год назад
Anamaanisha unajenga afu mtaji unakata lkn ukiwekeza vzr hiyo hela unawez kuja jenga nyumba Zaid y hiyo na ukawa una biashara nzuri yenye msingi mzuri
@sharmilaoman6389
@sharmilaoman6389 Год назад
Yaan nyumba ya kupanga asee nilihenya kama mika minne eeh mungu asetee ila kuna ukweli kujenga na huna mtaji hii so nzuri
@konshazikonsha6180
@konshazikonsha6180 Год назад
​@@albassammusaalbassam7487 biashara ina pande 2,Sasa je ikitokea umepata hasara na pesa zotee zikaendaa hapo vipiii?
@albassammusaalbassam7487
@albassammusaalbassam7487 Год назад
@@konshazikonsha6180 ndo Mana unatakiwa ufanye biashara ambayo una experience nayo ili uweze kuimeneji napia unapowekeza kwenye biashara lazima ujue hii biashara inafaida hata km Kuna hasar lakn kwafaida inayopatikana siwez yumba Sana .
@albassammusaalbassam7487
@albassammusaalbassam7487 Год назад
@@konshazikonsha6180 tunashuhudia watu wengi wamepata hela wakakimbilia kuchenga lakn maisha yamekuwa magum wamekimbia nyumba wameenda vijijin lazm unapojenga uweze kuacha balance ambayo itaendeleza biashara yako ili faida inapoingia ndo inakamilisha ujenz siyo unajenga nyumba na hela yote,,, pia km huna idea na biashara we jenga tu kwasbb huwez biashara.
@kisarejoshua3282
@kisarejoshua3282 Год назад
Napataje hicho kitabu cha huyo mwalimu? Tafadhali.
@richardsaidi2448
@richardsaidi2448 Год назад
ata Mimi nilianzishaa biashara ikafel,
@abdulrahmanhassan5998
@abdulrahmanhassan5998 Год назад
Aliporudi kutoka nchi za nje, alipofika kwao akashauriwa na mzazi wake kwamba asijenge awekeze, kumbuka aliporudi kwao manana yake tayari alikuwa na kwao yaani nyumba ilikuwepo. Sasa nitofauti na Yule mtu ambae hawana nyumba yao wapo kwenye nyumba za kupanga na Kisha amepata milioni 40, wewe unaye angalia hii video sio kila ushauri unakufaa jaribu kuangalia mazingira uliopo wewe nasio sio yule unaye msikiliza ...
@LacksonTungaraza
@LacksonTungaraza Год назад
Haujaelewa, rudia tena kusikiliza
@abdulrahmanhassan5998
@abdulrahmanhassan5998 Год назад
@@LacksonTungaraza huwaga sikimbilii Ku comments bila kusikiliza mpaka mwisho na kuelewa.
@rehemasamwel9978
@rehemasamwel9978 Год назад
Umeongeya kwa hisiya sana 😂😂 inaonekana uliwapa walimu shida sana
@abdulrahmanhassan5998
@abdulrahmanhassan5998 Год назад
@@rehemasamwel9978 hahaha 🤣🤣🤣 wanasema za kuambiwa tuchanganye na zakwetu
@abelasilas8302
@abelasilas8302 Год назад
Sasa nimeelewa ile maana halisi ya ukioa mwanamke anamuona MUNGU kupitia MUMEWE kupitia YESU KRISTO
@tthehuntermedia1679
@tthehuntermedia1679 Год назад
Naomba namba za huyu dada ninaswali
@irenekamugisha
@irenekamugisha Год назад
Liweke hapa
@justineemanuel127
@justineemanuel127 7 месяцев назад
@@irenekamugishaamekuelewa kwa hisia zake juu yako. Sema mzunguko tu
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
Kila nimefatilia kipindi napata kitu
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Год назад
Sasa hiyo nyumba ya kupanga kama huyo alyejenga angesema nıwekwze kwanza ww ungepanga wapi
@hekimatalk704
@hekimatalk704 Год назад
point ni kuwa unajenga lini nyumba yako ya kuishi 'dream house', kama ya kupangisha jenga maana huo ni uwekezaji
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Год назад
Huwa naimagine kama kila mtu angekuwa kajiajiri humu duniani ingekuwaje..🙄
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
😂
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 Год назад
Kuwekeza huku huku au kwingine kilicho nikuta 2018 sijasahu hadi leo naumwa 😂😂😂😂😭😂😂🥹🥹😭😭😭😭
@irenekamugisha
@irenekamugisha Год назад
Uliwekwza wapi?
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 Год назад
@@irenekamugisha Manzese kwenye nafaka 🥹🥹🥹
@selemanimsofe7321
@selemanimsofe7321 Год назад
@@ilakozasembumende1975 pole sana
@judithgodfrey6503
@judithgodfrey6503 Год назад
Kwani siwezi kujenga na pesa zangu za kwanza Kama sehemu ya uwekezaji? Au nyie mnawaza kila jengo au nyumba ni lazima uishi wewe? Kuna uwekezaji wa majengo. Shida ni kwamba mnatumia mitandao Kama mnaongea na watu wadiojua kitu kumbe watu wanajua vitu vingi kuliko nyie. Muwe mnaomba ushauri kwanza
@khaijakadija2082
@khaijakadija2082 Год назад
😂😂😂dah eti muwe mnaomba ushauri Ukipata pesa jenga wallah maana unaeza kujilaumu badae pesa zikisha
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Ukijenga nyumba kuwekeza ni bora kuliko ya kuishi tu maana ya kuishi wewe mwenyewe haizalishi
@Mhandisi2008
@Mhandisi2008 11 месяцев назад
Huyu anamaanisha ujenzi wa nyumba binafsi ya kuishi, lakini ukijenga nyumba ya biashara kama apartment au lodge ni sahihi.
@elpidiusezekiel2729
@elpidiusezekiel2729 Год назад
nachukia kupanga nasitamshaur mwanangu ujinga
@hekimatalk704
@hekimatalk704 Год назад
mkuu usipojipanga utapangwa tu, sikiliza ujumbe mzima uone kuwa hatujasema usijenge ila ni namna gani unajipanga kabla ya kujenga usiishie njiani
Далее
AMUA UNACHOTAKA LEO - JOEL NANAUKA
17:14
Просмотров 100 тыс.
لدي بط عالق في أذني😰🐤👂
00:17
Просмотров 3,7 млн
MILLION JAMOASI 2024 4K
2:17:51
Просмотров 12 млн
NJIA RAHISI YA KUPANGA BAJETI - JOEL NANAUKA
5:52
Просмотров 15 тыс.
Elimu ya fedha ambayo hautoipata darasani.
54:16
Просмотров 8 тыс.
لدي بط عالق في أذني😰🐤👂
00:17
Просмотров 3,7 млн