Тёмный

FREEMAN MBOWE ANGURUMA AKITOKEA MAHABUSU AWEKA MISIMAMO MIKALI,LEMA AANZA MAANDAMANO KWENYE NDEGE 

Chadema Media TV
Подписаться 210 тыс.
Просмотров 4,7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@andrewmushi8274
@andrewmushi8274 12 минут назад
Pole sana Mh Rais Freeman Mbowe kiongozi ujasiri muongoza njia Mungu akutunze kiongoz usirudi nyuma safari ya ukombozi wa hili taifa imeanza Kwa speed kubwa na tutafika Salama 🎉🎉🎉🎉🎉
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 2 часа назад
Pamoja na kuzii maandamano lakini mmewajambisha vya kutosha na gharama za kuzuia maadamano si wangejenga hata vituo viwili vya afya tunaongozwa na vihiyoo na mamuma wa kutupwa
@NellyDibaling
@NellyDibaling 3 часа назад
Mbowe Ni zaidi ya kiongozi
@DeusdeditMichael
@DeusdeditMichael 2 часа назад
Mwandishi, kichwa cha habari "misimamo mikali" hakiendani na ustaarabu alionao Mbowe katika maongezi yake. Maana "misimamo mikali" maana yake ni kuziba masikio yako, ili usisikie hoja mbadala bali yako tuu. Jambo ambalo silioni kuwepo kwa Mbowe.
@hawaali8371
@hawaali8371 Час назад
Yaani Chademe Nyiye Ni Komesha😂😂😂❤❤
@ruthdavie1175
@ruthdavie1175 3 часа назад
Sura ya mwenyekiti ina mengi😢
@NellyDibaling
@NellyDibaling 3 часа назад
Bongo akili ndogo inaongoza akili kubwa daah😂😂
@clotildatarimo7847
@clotildatarimo7847 Час назад
Askari 10, vip, chadema mko juu sanaaa
@matukutajuma156
@matukutajuma156 3 часа назад
MBOWE AMEFANIKIWA KUJIONGEZEA UMAARUFU KISIASA BILA SABABU ZA MSINGI!
@dottokaduma3954
@dottokaduma3954 56 минут назад
Badala ya police kujipanga kuzuia maandamano, walitakiwa wajipange kuhakikisha maandamano yanakuwa ya amani. Chuki iliyomo kwa baadhi ya waTZ inazidi kujijenga ndani kwa ndani, ipo siku italipuka .. it's a matter of time.
@hawaali8371
@hawaali8371 Час назад
Muheshimiwa Lema. Umeanzia Maandamano Kwenye Ndege😂😂😂
@michaelwilson679
@michaelwilson679 2 часа назад
Kwann Mh. Mbowe na Lissu msipeleke mahakana ya Rufaa ya haki za binadamu ya Dunia? Maana mahakama za tz ni za kichawa tu
@malkavoice2570
@malkavoice2570 3 часа назад
Huyu Kikeke ni Mwajiri na mwajiriwa pia kwenye media yake wazeeiy
@AkilinyoMussanyo
@AkilinyoMussanyo 2 часа назад
Ngoma ikivuma sana ipo siku itapasuka
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 часов назад
✌️👍👊.
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 3 часа назад
Religious leader tuacha akili ndogo ktk taifa soon after all political leader relise we don't get help from any national to put our national and tanzania people saif chadema you have responsibility anounciment country wide protesting agest deeth of politician political figure lost of political figure on the police hand anounciment of protesting country wide will be lock gavment activities to reach dimand of free team organization of election on locel gavment election religious leader this nation out saif is our responsibility if the res any religious leader this dimand if political leader is the chadema Rong thinking tuiteshe nchi nzima maandamano mikoa. Yote. Ya daresalama wambieni wa kuu wa chadema wa mikoa kuwajenga kisaycolojia wanachama wote wa chadema na saport tuungane kutafuta tume huru ya uchaguzi tuanzie hapa kabla ya uchaguzi Dunia ipo inaona tusiweke skill daresalama tuu mikoa yote ya nchi mabishano yakiea makubwa yutapata tune huru uchaguzi watahaisha tuende sawa vinginevyo uwizi wa kura upo pale pale
@PaschalShija-j8h
@PaschalShija-j8h 4 часа назад
Dah hivi Tanzania hii inaenfa WAP??
@dorafrank523
@dorafrank523 Час назад
Maandamano kwenye ndege aibu nasikia mimi
@gladnessfinda7534
@gladnessfinda7534 Час назад
😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@barakanatus5676
@barakanatus5676 3 часа назад
Uwe Mwenyekiti wa milele unastahil upinzan lzm mwenye nguvu.
@DeusdeditMichael
@DeusdeditMichael 2 часа назад
Acha kufuru.
@kelvinmwombeki763
@kelvinmwombeki763 4 часа назад
Pole sana
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 2 часа назад
Niwashauri achaneni na siasa hii nchi niyawengi hamtaumia peke yenu sasa angalia mnavyozalilika mmeahidi kuandamana mmeishia kwenye mikono ya polisi sasa nani mnyonge acheni tubak na chama kimoja mbona hamsikii
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 2 часа назад
Ingekua hivo unavyo waza hata yesu hasinge kuja
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Час назад
Huna akili kula unachopata siku ukikosa utapata akili
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq Час назад
Msenge ww nani hana k ww ndo pilimbira na unafirwa
@muhamedswaleh
@muhamedswaleh 4 часа назад
Watanzania nawasihi, hii njia mnayoipitie si nzuri kwa mstakabali wa nchi. Kenya imepitia njia hiyo hiyo, lakini mpaka sasa hakuna faida yeyote isipokua, maandamano Kila kukicha. Tanzania inasifika sana kwa uelewano na undugu, mwasifika sana. Mazungumzo ni muhimu baina yenu na tamaa ya utawale Haina faida yeyote. Msipoteze undugu wenu kwa fitina na tamaa ndogo ndogo. Naipenda Tanzania sana sana.
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 4 часа назад
Toa likoment lako hapa usiejielewa wewe
@barakanatus5676
@barakanatus5676 3 часа назад
Jinga wew unadhan bila haya SGR ungeiona? Lzm wawe watu ambao wanapinga yasiyo faa.
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 3 часа назад
@@muhamedswaleh kwa akili zako unadhani bila upinzani kungekuwa na maendeleo.
@edwinamos9734
@edwinamos9734 3 часа назад
Mbwa wewe umezaliwa na vichaaa
Далее
БЕЛКА РОЖАЕТ#cat
00:19
Просмотров 864 тыс.
TURKEY | A Muslim Superpower?
13:52
Просмотров 81 тыс.
Short Story of a Long Pipeline | Cairn Oil and Gas
22:18