Тёмный

MIMI ALIYENITEKA NAMKUMBUKA | NIMEMUONA KWENYE MAANDAMANO | KIJANA CHADEMA AONGEA 

GACHI TV Online
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 67   
@MasudSalum-o4o
@MasudSalum-o4o 4 часа назад
Huyu ndio awe kiongozi wa vijana taifa anajiamini
@OyaMike
@OyaMike 2 часа назад
Nisawa kabisa ndugu yangu sisi tulio mbali tunashangaa mambo yamekua kama hizi nchi tunazo ishi south Africa like tz
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 4 часа назад
Iv hao police wote mngefanya msako kwa watekaji na wauwaji si ingekuwa vizuri sana
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 3 часа назад
Hiki ni chama mbadala wa CCM polisiCCM hiki chama ndiyo kitakacholeta machafuko na vita nchini
@wanguwangu34
@wanguwangu34 4 часа назад
Mimi ni mwanachama halali wa CCM lkn inaanza kunipa mashaka kwamba je uwepo wetu na haki yetu ya kutawala iko chini ya Police?, maana kuna mambo ya msingi ambayo niya kawaida sana tunayotakiwa kuyashughulikia kama mauaji na kupotea kwa Raia lkn badala yake tunawapa chadema credit kwa kuwalinda na mitutu ya bunduki kama kwamba ni majambazi na kuacha majambazi yanayoshusha watu kwenye mabasi na kuwaua, Damu ya mtu huongea hivyo tuwe makini, tuachaneni na chadema wafanye maandamano yao, kama kuna viashiria vya uvunjifu wa amani na kushughulika na mmoja mmjoa kwa ushahidi, kazi ya police siyo utabili kwa yale yatakayotokea.
@MaswiJuliasjoseph
@MaswiJuliasjoseph 4 часа назад
Hongera sana kwa ujumbe mzuri CCM wanatumia nguvu kwa vitu vidogo ,, hiyo nguvu wangeitumia awali hayo matukio yote ya mauaji na utekaji yasingekuwepo
@NaftaryMgoye
@NaftaryMgoye 50 минут назад
Mbowe must go
@MohamedKitenge-o9j
@MohamedKitenge-o9j 5 часов назад
Maua yako kamanda hao ndio wazalendo
@neemanziku5403
@neemanziku5403 4 часа назад
Huyu kk apewe mdahalo na msigwa
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 4 часа назад
BIG BRAIN KAMANDA ❤
@emanuelyngailo6807
@emanuelyngailo6807 4 часа назад
Ongera brother
@Gachi_TV
@Gachi_TV 4 часа назад
Asante brother
@FosterBwalya-rh9lh
@FosterBwalya-rh9lh 2 часа назад
Anajitambua huyu kijana big ap
@MofatiMbembela-m3d
@MofatiMbembela-m3d 3 часа назад
Safi
@HafidhAli-b6e
@HafidhAli-b6e Час назад
Nakushauri tafuta kazi ufanye, maandamano hayatabadilisha maisha yako,hata hao chadema wakiingia Madarakani usidhani kutapatikana uafadhali wowote tena hao chadema ni wabaya zaidi
@anthonywilliam6510
@anthonywilliam6510 Час назад
Awandamani kutafuta maisha au KAZI wanaandama kupinga utekaji elewa Hilo alijakukuta
@ChuziKassim
@ChuziKassim Час назад
jamaa huko sawa ww bogaz uwezi kumwelewa
@FridayMwassa
@FridayMwassa 32 минуты назад
Jina lako tu linaonyesa ulivyo kilaza
@ombenikazimoto8326
@ombenikazimoto8326 4 минуты назад
Kweli we ni kilaza
@irenebarakeli
@irenebarakeli 3 часа назад
Big up my son
@jonasiisaka
@jonasiisaka 2 часа назад
CCM na CHADEMA ukweli mnaujua acheni kutumia nguvu ya Huma kufichia mahovu yenu fanyeni yote Ila mtambue wanaichi tunaona na tunajua kwa mna wasama wakisiasa acheni kuchezea uwayi wa watu ukweli mnaujua watu waliopotea wako wapi mtuambie ukweli
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 28 минут назад
Honger sana kaka wew ni mpenda haki na mzalendo wa kweli
@malackedson7706
@malackedson7706 4 часа назад
Sawa.
@AloyceSiwingwa
@AloyceSiwingwa 54 минуты назад
Msiba Kwa jirani uchungu wake si wamoyoni,Bali yakija kukufika ndo utajua jirani alikuwa na uchungu kiasi Gani, Watanzania wengi ni machawa wa viongizi yote hayo ni njaa na shida tulizonazo.
@Mudyneymudyney
@Mudyneymudyney 32 минуты назад
Kifupi kula zitaongea kama wataiba is ok mungu atafanya wepes ktk jambohili😢
@juliuszakayo6771
@juliuszakayo6771 4 часа назад
Polisi wa tanzania waoga na hawajawahi kukutana na uma wangewauliza polisi wa kenya siku sii nyingi mtajua watu,,
@juliuszakayo6771
@juliuszakayo6771 4 часа назад
Hamna polisi tanzania wapo mavuvuzela na sifa za kike
@paulojohn9608
@paulojohn9608 3 часа назад
safi sana umeongea ukweli
@eliasmakoye3939
@eliasmakoye3939 17 минут назад
Kijana usitumike vibaya ingekuwa hakuna amani usingebwabwaja hapo kwa kujiamini elewa usalama upo na hao Police wasingekuwepo usingekuwa na muda wa kutoa kauli chafu
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 4 часа назад
👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@LitoDossani
@LitoDossani Час назад
Paulo john kk ataukinyamaza tutaendelea kutekwa bola tuongee labda inaweza kupunguza hayo matukio
@paulojohn9608
@paulojohn9608 3 часа назад
acha ninyamaze
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko 4 часа назад
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️💐💐💐💐
@mindicarrashid3131
@mindicarrashid3131 10 минут назад
Huyu ndio kamanda og wa chadema
@ChristerKoku
@ChristerKoku 4 часа назад
Kawafundishe hiyo plan
@chihoma-m4f
@chihoma-m4f 3 часа назад
sw ww unakili sn
@mindicarrashid3131
@mindicarrashid3131 9 минут назад
Chadema wanakamanda moja tu tz nzima
@gaudencekondo3794
@gaudencekondo3794 4 часа назад
Tatizo lenu mnaongea sana bila plan yoyote
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 4 часа назад
Kawafundishe pulan..tatizo wtz erimu atuna mandamano ni haki watu wanauriwa mnashadadia kwakua ajauriwa ndgu yako
@wahurumasibale6155
@wahurumasibale6155 3 часа назад
Plan ipi unayoizungunzia ambayo kikatiba inatakiwa kuliko hizo wanazotumia kwa sasa?
@DStarTz-if2ko
@DStarTz-if2ko 4 часа назад
Wengne usalama ao hta kma wamevaa chadema
@ngotosilasi2099
@ngotosilasi2099 21 минуту назад
Vijana amkeni hasa wasomi ili mpate ajira mpaka muamke
@JescaMalisa-v1w
@JescaMalisa-v1w 5 часов назад
Kwl 2mechok
@hashimmkongo3352
@hashimmkongo3352 5 часов назад
Kama umechoka andamana mama
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 4 часа назад
Kukamatwa na Police ni kutekwa!!!! Acheni utapeli.
@michaelmhina3613
@michaelmhina3613 3 часа назад
Acha ufala we kima wa pori
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 3 часа назад
@@michaelmhina3613 fala wewe, nenda uvnjwe miguu kama utamwona hata wakuleta uji. Na jela utaenda, ukirudi huko umeshapata ukimwi, wanao wamekuwa machokoraa na mkeo keshaole nawengine. Jinga sana wewe.
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 4 часа назад
Wenzenu wanamilikiiii polisiiii na jeshiiii
@FridayMwassa
@FridayMwassa 30 минут назад
Police ni ya umma siyo mali ya ccm
@brytonmnyama6562
@brytonmnyama6562 Час назад
kipindi cha maguful mulitulia kenge nyinyi
@athumanbalozi9748
@athumanbalozi9748 2 часа назад
Ccm haijawah kuandamana
@leokamil6284
@leokamil6284 Час назад
Tuseme hufanya mikusanyiko
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 59 минут назад
Pamoja kaka
@JescaMalisa-v1w
@JescaMalisa-v1w 5 часов назад
Unaongea sana
@DayanatzDayanatzgambe
@DayanatzDayanatzgambe 5 часов назад
Ulitaka aje aongelee matakoni kwako mbwa wew
@neemanziku5403
@neemanziku5403 4 часа назад
We ulitakaje?
@JumaNjiku-df1fd
@JumaNjiku-df1fd 3 часа назад
Wewe hujitambui, ni kondoo kipofu, akili yako umeikabidhi watawala. Kuna siku watakuambia usilale na mumeo/ usitongozwe kama huna mume. Akili za namna hii ni kichefuchefu!
@DormanDorman-jm3dz
@DormanDorman-jm3dz 2 часа назад
KIZIMKAZI NI MATAMASHA NA SIO MAANDAMANO ..WACHA POROJO ZA KIBAGUZI ..
@jamesmasome359
@jamesmasome359 4 часа назад
Zero brain.... kafanye kazi😂😂😂 Acha kutumika na wanasiasa nyambafu.
@Saidi-x4h
@Saidi-x4h 4 часа назад
Amesha wai kukuomba msaada?
@DeboraMkwama
@DeboraMkwama 4 часа назад
Inaelekea wewe una Raha sana ktk hii nchi Mungu ukusamehe
@wahurumasibale6155
@wahurumasibale6155 3 часа назад
Hata yeye ni mwanasiasa.
@KuchumaAlfredMakesi
@KuchumaAlfredMakesi 3 часа назад
Wewe ndo zero brain
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 3 часа назад
Wewe ni kibaraka mla mavi
Далее
skibidi toilet 77 (part 3)
04:51
Просмотров 13 млн
У БЕЛКИ ПОЯВИЛИСЬ КОТЯТА#cat
00:20
PROFESA MBELE AWASHANGAA WASHAURI WA RAIS
6:41
Просмотров 1,6 тыс.