Elie Mpanzu AS Vita wanaotaka USD 250,000 Simba haipaswi kumuacha huyu mwamba. Simba tuzingatie kuwa Yanga pamoja na ubora wao wamesajili zaidi. Tukitaka kuwa na musuli wa kupambana na Yanga hatupaswi kiwaacha Kramo na Mpanzu. Mimi nashauri tuwasajili wote wawili. Onana hafai X 1000000
Kiukweli viongozi wa simba ujinga ndio unao watawala saidoo ndio chanzo chakualoga wenzake kamfundisha na kibu mpeni kramo nafasi acheni izo tabia zenu