Тёмный

FULL MATCH HIGHLIGHTS SIMBA 0-3 RAJA CA I CAF CHAMPIONS LEAGUE 

TV3 TANZANIA
Подписаться 292 тыс.
Просмотров 338 тыс.
50% 1

Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
►SUBSCRIBE: / @tv3tanzania
►Instagram / tv3tz
►TikTok / tv3tz
►Facebook / tv3tanzania
►Twitter / tv3tanzania
#Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha @startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)
RATIBA ZA VIPINDI VYETU
DIMBANI JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1 KAMILI ASUBUHI
KIJIWE JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 USIKU
BENCHI LAUFUNDI JUMATATU HADI IJUMAA SAA 12 JIONI
TOBOA JUMATATU KUANZIA SAA TATU KAMILI USIKU
#Tv3Tanzania #GameOn
#Tv3Tanzania #GameOn #cafchampionsleague #simbavsrajacasablanca

Спорт

Опубликовано:

 

17 фев 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 135   
@munamuna4621
@munamuna4621 Год назад
Kama umefurahi simba kufungwa nipe like 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 😆 😄
@janethjustin2041
@janethjustin2041 Год назад
Usitukane mamba kabla hujavuka mto hata ukifurahi haikusaidii Simba ni ileile na kamwe hamtawahi kufikia levo ya Simba nyie ni utopolo tu! Na mtabakia kuwa utopolo
@daniamos4172
@daniamos4172 Год назад
@@janethjustin2041 inakuuma hahahaha🤪😂
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Wazaramo watanzania wote ni chakula cha waarabu mmoja kaliwa tunisia mwengine kaliwa Tanzania wote chakula mmeliwa na waarabu.
@sarahadolf9722
@sarahadolf9722 Год назад
Yanga toka waingie kwenye mechi hizi wameingia na nuksi tu
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
@@sarahadolf9722 waarabu ndo habar ya mjini
@MFhmi-fd2yy
@MFhmi-fd2yy Год назад
Vive le public. Un grand respect pour le public tanzanien pour leur esprit sportif. Un public très discipliné et civilisé
@julianashani9408
@julianashani9408 Год назад
Leo Unga FC , Ngada FC, Paka FC, Madunduka FC, WALEVI FC, Zuwena FC, WAMELOUWAAAAA
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
Makolo
@robertmboya7842
@robertmboya7842 Год назад
🤣🤣🤣
@julianashani9408
@julianashani9408 Год назад
😆😆😆😆
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Год назад
Unawekwa...
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Год назад
Usimalize maneno
@RachidRachid-hp5qf
@RachidRachid-hp5qf Год назад
Bon courage et bonne continuation RCA
@renatusmatungwa2508
@renatusmatungwa2508 Год назад
Dah 🙆‍♂️
@lifeingreenrca4521
@lifeingreenrca4521 Год назад
Hard Luck Sima Dima RAJA
@Targa24
@Targa24 Год назад
رغم الخسارة يجب أن نصفق للجمهور راءع جدا 👍👍
@mohamedymwaim4284
@mohamedymwaim4284 Год назад
Marehemu alikuw na kihere here sana
@omaribazanga7967
@omaribazanga7967 Год назад
Chama vipi hakuwemo 😂😂
@Lawrence0207
@Lawrence0207 Год назад
This match would have favoured Simba if it was played in the afternoon, because North Africans are weak in the hour sun, however, better luck next time to Simba. Fan from Ghana🇬🇭🇬🇭🇬🇭
@Yuba014AtlasLion2014
@Yuba014AtlasLion2014 Год назад
he he
@stanley3367
@stanley3367 Год назад
14:00 [Luanda] Wac 3-1 Petroleos vu ✓
@noureddinetaybi6481
@noureddinetaybi6481 Год назад
My friend we can play any time we played world cup in Qatar most of the matches were played in the Sun i think you don't know Moroccan players 🤣 what are u talking about
@majiddeladj9749
@majiddeladj9749 Год назад
I don't like this african mentality
@noureddinetaybi6481
@noureddinetaybi6481 Год назад
And by the way this season is the hotest saenson in Tz pole Ghana 🤣 from Morocco 🇲🇦
@najmahhassanmossy7020
@najmahhassanmossy7020 Год назад
Manura kiwango chake kimeshuka sana inabidi uwongozi usajili mwingine Kipa
@elishajuma836
@elishajuma836 Год назад
Sio kweli,manula Yuko pw we angalia hayo magoli yametokea wapi sio kila mpira anaweza kuudaka but ONYANGO kachangia kupoteza mech
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Nyie wazaramo mnachekana wakati wote vyakula vya waarabu tu mzaramo mmoja kaliwa tunisia mwengine kaliwa Tanzania wazaramo wabongo midomo mpira hamjui.
@hasnunokassim
@hasnunokassim Год назад
Na hata uyo beki wao jezi namba 16 w Simba (Onyango) hamna kitu na waanze kumtafutia mkabala wake.
@hasnunokassim
@hasnunokassim Год назад
@@elishajuma836 Kweli Brother, uyo beki w kati w Simba (Onyango) hamna kitu na leo hii magoli 2 na yeye amefanya uzembe na kwanza kimtazamo ni mchezaji mzito na ni mwenye maamuzi mabovu na hasa leo alikua hayuko kimakini. Na kama awo Simba uyo beki ndo wanamuona anaupiga mwingi hapo hamna kitu na ni jina kubwa but ki uwezo bado sana. Na timu nzima ya Simba mwenye uwezo mkubwa ni Chama pekee yake kw kua uyo mchezaji kw Bara hili la African anauwezo w kuchezea Clubs yoyote ila sijui kw upande w umri.
@bembeleza9561
@bembeleza9561 Год назад
Kama unakubaliana na mm Bora mgunda kuliko mzungu nipe like
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 Год назад
SAFI SANAA WAACHE KUKARIRI ETI KWAMKAPA HATOKI MTU NDO MACHINJIO YA SIMBA
@hasnunokassim
@hasnunokassim Год назад
Kesho zamu ya nani Wananchi na wao wajitayarishe na kichapo ila sio kama cha watani wao hii leo.. Na matokeo ya kesho ni kama ifuatavyo,, Wananchi (Yanga) 1 na TP Mazembe 2,, sio mchezo..🤔🙄🥺😴😂🤣🔥🔥🤸💪
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 Год назад
@@hasnunokassim Kesho gani tena🤣
@kanyanga0852
@kanyanga0852 Год назад
Sakho naona ameupiga mwingi kama Babu defao 😀😀😀
@rayannasibu8621
@rayannasibu8621 Год назад
wakina baleke uezo mdogo sajilin quàlity player achen siasa maviii
@Enjoy-the.
@Enjoy-the. Год назад
Raja 💚
@munamuna4621
@munamuna4621 Год назад
Simba kilichowaponza waliigia na matokeo wakijua watafunga tu mwisho wa siku wakafumuliwa
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Hii mechi manula alicheza chini ya kiwango sana
@sokisigrace6836
@sokisigrace6836 Год назад
😃😃😃😃😃😃😃 mmepigwa na kitu kizito
@youssefRCA-zq1zj
@youssefRCA-zq1zj Год назад
Raja 🦅💚 boca d'Afriqua
@jalilvj1149
@jalilvj1149 Год назад
💚💚🇲🇦⚽⚽
@janeemmanuel3615
@janeemmanuel3615 Год назад
Tunatumia Nguvu kama ngiri, wakati mpira akili na Nguvu, Ngiri Fc
@cellestinelucas165
@cellestinelucas165 Год назад
viongozi wa simba acheni utapeli sajiri wachezaji
@oneluffy2.0
@oneluffy2.0 Год назад
🇲🇦❤️🇹🇿
@sokisigrace6836
@sokisigrace6836 Год назад
💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
@barakahoja
@barakahoja Год назад
Bbl
@barakahoja
@barakahoja Год назад
Dfg
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide Год назад
Goli la pili marking mbovu ya beki za simba huku manula akiwa kwenye timing mbovu kuliko daaah pole yetu kwa mkapa hatoki mtu
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Tim maneno mengi kama watoto wakike au wazaramo nyie ? waarabu hao hawana maneno wamewanyoosha wamewaacha wazaramo na mdomo wenu karibu Ahmed Ali upige domo
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Hao ndio waarabu sio wazaramo wa dar hao waarabu baba ake
@evancejohn8726
@evancejohn8726 Год назад
Onyango hutufai kabisa
@janeemmanuel3615
@janeemmanuel3615 Год назад
Acheni kutafuna huku mnacheza nihatari na utoto
@brydenkalus1346
@brydenkalus1346 Год назад
Nashindwa kuona kosa la kimaro,kwaani utawezaje kuongeza speed,ikiwa huoni speed ya mwenzako?
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Год назад
Hakuna move tamu kama hiyo ya babu UNYANGO , Jamaa kamuwekea palee, babu UNYANGO kacheza na Mwili...!..🤣🤣🤣
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 Год назад
Haya Ni mateso makali kwa makolo
@maryjkiosa3380
@maryjkiosa3380 Год назад
Manula Hana kiwago kizuri kwa Sasa,,kwa hali hii kwao tutakula 10
@anawa4326
@anawa4326 Год назад
unfortunately it was not their day Simba
@ezekielsaid9536
@ezekielsaid9536 Год назад
Kinyume nyume fc mmetuzalilisha kinomaaa
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Wazaramo wa Tanzania punguzeni mdomo hamjui kazi yenu ngoma ya mdundiko na vigodoro waarabu mnowashobokea hamuwawezi mmoja kaliwa tunisia mwengine kaliwa Tanzania mwarabu atawauaaaa
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Niliwahi kuwaambia simba kiungo mkabaji atakua mguu mmoja kama siwa dogo ?
@africaendlesscruising
@africaendlesscruising Год назад
Mbona defenders wa Simba wamesimama tu mfungaji wa goli la pili akipokea pasi na kufunga akiwa peke yake..?!
@jeremiahkileo6641
@jeremiahkileo6641 Год назад
daaah ilo goli la pili Manula angeweza isaidia timu, sema ndo ivo tena
@alexandermalima610
@alexandermalima610 Год назад
Mimi ni mpenzi wa simba lakini hata kabla ya mechi nilisema mpira siyo siasa,onyango kazeeka na boko kiwango kimeisha
@hasnunokassim
@hasnunokassim Год назад
Brother, mm naweza kidogo kukuunga mkono kw suala lako kuusu uyo Beki w kati w Simba (Unyango) kweli amezeeka na hapo hamna kitu na akikutana na vijana wenye umri mdogo na machachari atakua ni njia sana. Na kuusu Bocco na yeye kishakua hamna kitu na waanze kutafuta vijana wadogo kwenye izo nafas..
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 Год назад
Yamewakuta kweli kelele akuna leo
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Siwa dogo mmemtoa wapi mrudisheni na msilete tena mchezaji mguu mmoja hayo ndy ya bwalya
@corneliusshija5983
@corneliusshija5983 Год назад
Simba wachezaji wanachoka maana ni walewale
@Shijajohn5084
@Shijajohn5084 Год назад
Hata kama tumefungwa ndo highlight ya dakika 12 mhh. Na cku tukishinda muweke fupi hvohvo.
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
Ata siamini haya . Simba wamekosa wapi jamani?. Nimetumia sana.
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 Год назад
😁😁😁😁😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂
@odenlwila8390
@odenlwila8390 Год назад
Hili limanula likae bench limpishe kakolanya tu limesha choka magoli ya kipumbavu kila siku
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Год назад
Hili lionyango linapenda kuvuta hilo🤣🤣🤣
@babiddi8620
@babiddi8620 Год назад
Hahgdahha kesho utaambiwa kocha hafai
@johnsonsway6515
@johnsonsway6515 Год назад
Haha
@gaudencehyera1475
@gaudencehyera1475 Год назад
HAKUNA HAJA YA KUTUMIA NGUVU KUBWA KUWALAUMU WACHEZAJI; WALA VIONGOZI RAJA NI SAYARI YA JUU
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 Год назад
Tena sana
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 Год назад
Sio kweli bro technique tu
@robertsmwinyi4515
@robertsmwinyi4515 Год назад
@@geraldlaurent6750 , Simba haiwezi kuifunga Rajah Casablanca, kiwango na mbinu za mchezo Simba ipo chini sana.
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 Год назад
Timu zetu zote mbinu ndogo Ila wanajua kucheza
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Al ahli mbona alikufa na yuko juu wale wasauz mbona walikufa hatuna tim bhana akina shomar kapombe onyango zimbwe hawa ni wakucheza na mbeya cty tim yetu yakawaida sana wala haina sifa ya kuitwa simba
@mirajishentembo4962
@mirajishentembo4962 Год назад
wachawi fc ynga fc kigalula fc ngada madunduka fc wamenyanduliwa
@nefesmoses2026
@nefesmoses2026 Год назад
😂😂😂😂 amekuwa vibaya
@Yuba014AtlasLion2014
@Yuba014AtlasLion2014 Год назад
Raja won despite shameful and catastrophic arbitration
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Sasa hilo babu onyango bado linapata namba hadi leo hamuoni kua nyinyi hamna tim onyango na wawa si sawa sawa wanaweza kuwazuia watoto walotiwa ndim wakiarabu wazaramo mnachekesha na tim zenu za dar
@sullehtz9327
@sullehtz9327 Год назад
Wanetu waliyakanyaga😂
@odenlwila8390
@odenlwila8390 Год назад
Wewe manula mpira wakupiga kwa mguu unataka udake
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Wazaramo wafupi waarabu wataua hao shauriyenu
@rayannasibu8621
@rayannasibu8621 Год назад
lionyaongo deile penat linasababishaa,🤣🤣🤣
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 Год назад
Goli la pili ni uzembe wao
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 Год назад
Na ndio mpira,mpira ni mchezo wa makosa
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Wazaramo wa Tanzania ni vyakula vya waarabu mmoja kaliwa tunisia mwengine kaliwa dar chezea mwarabu wewe mzaramo
@hasnunokassim
@hasnunokassim Год назад
Simba leo w kumlaumu uyo Beki wao w kati (Onyango) coz kimtazamo goli la 2 na 3 ni uzembe wake mwenyew but ki uwezo uyo Onyango ni beki w kawaida sana na hana uwezo mkubwa w kuhimili mikiki ama vishindo nya wachezaji vijana na wenye umri mdogo. Na upande mwengin kimtazamo Simba hawakuzidiwa sana kimpira ila tatizo wachezaji walikua walikua wakicheza njee ya uwezo wao na walijawa na hofu nyingi hasa baadhi ya wachezaji na sijui kw nini.? Na kw matokeo ya leo timu nzima ya Simba ndo wenyew wakulaumiwa ama kujilaumu kuanzia Uongozi, Benchi la Ufundi, Wachezaji na sio kumpa lawama kocha pekee tu..🤔🙄🥺😴👀
@lawrencephotographyandsafa5955
Onyango angepumzishwa kwanza ili Wilson apewe nafasi beki Ile nzuri kuliko onyango tena onyango asinhesajiliwa maana ameicost timu kila mechi hatufai kabisa
@abdulazizmwipi9295
@abdulazizmwipi9295 Год назад
Nafuu watara
@julianashani9408
@julianashani9408 Год назад
😆😆😆😆
@jumamsukwa6244
@jumamsukwa6244 Год назад
Mpla nidakika 90 siyo majigambo
@obedimwakagali7755
@obedimwakagali7755 Год назад
Yaan wachezaji wa Simba wanene wanatembea ka wakike ila raja wanadunda kibotozi alieona naomba like
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule Год назад
Kwa mkapa hatoki mtu😂
@kajinjirashid5590
@kajinjirashid5590 Год назад
Eti babu onyango..majaluo yao kurusha mawe tu..c kucheza mpira..ulizeni kenya hapa harambee stars ilojaa waluo hufika wapi..tena ni team ya taifa hyo c club.. 😂😂😂
@ilovejesus666
@ilovejesus666 Год назад
Alafu msitupangie cha kufanya mbwa nyie 🤣🤣🤣
@evancejohn8726
@evancejohn8726 Год назад
Onyango tuachie timu yetu nenda ka
@josephinejoseph3919
@josephinejoseph3919 Год назад
Lete mzungu chali 😂
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Год назад
Hapa hili kundi simba ana shinda kulingana najinsi kundi lime kaa
@fatmahussein6085
@fatmahussein6085 Год назад
Sema hawa waarabu wanaupiga sana🙌🏾🙌🏾🙌🏾hata kama ingekua yanga wasingetoboaa
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 Год назад
Wana simba mxeme tu ukweli manula ameshakuwa mbovu et ilo amlioni wala amsemi.... semeni basi Yan mnasubili itokee penalti manula apangue ndo mshangilie
@awenaalifonce
@awenaalifonce Год назад
GIDI
@aminahanzuruni5173
@aminahanzuruni5173 Год назад
Simba mbona mpo kimya hamuongei Tena jmn kusemasem kumeenda WAP mmekong'otwa kwer
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 Год назад
Waet waongee labda waseme awamtaki boco mzee
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Wazaramo watanzania wote ni chakula cha waarabu mmoja kaliwa tunisia mwengine kaliwa Tanzania maneno mengi wazaramo.
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 Год назад
Noma sana lkn ajawah kutoka mtu
@ilovejesus666
@ilovejesus666 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@abdilahjuma2493
@abdilahjuma2493 Год назад
Kwa mkapa hatoki mtu mbwa nyie
Далее
МНЕ ИСПОРТИЛИ МАШИНУ #shorts
00:30
Просмотров 713 тыс.
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Просмотров 15 млн
Ronaldo Vs Other Players ☠️
0:42
Просмотров 12 млн