Тёмный
No video :(

KAMBI YA SIMBA MISRI | Kocha Fadlu, mratibu wa timu, wachezaji wazungumzia kambi 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 75 тыс.
50% 1

Tazama mkusanyiko wa matukio katika kambi ya Simba SC, ambayo hadi leo imetimiza wiki moja tangu waanze kujifua jijini Ismailia nchini Misri.
Kocha wa timu hiyo Fadlu Davids, Mratibu wa timu, daktari wa timu na wachezaji watoa neno kuhusu maendeleo ya kambi na mtazamo wao kuelekea msimu ujao.
#KambiYaSimba #Preseason #SimbaSC

Опубликовано:

 

13 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 101   
@patrickkimamba7124
@patrickkimamba7124 Месяц назад
safi sana che malone kwa kututia nguvu
@user-gz2or2ui9n
@user-gz2or2ui9n 27 дней назад
Allah awape nguvu wanajeshi wetu
@abdallahally842
@abdallahally842 Месяц назад
All the best simba nguvu moja
@YustaFrank
@YustaFrank Месяц назад
Naipenda simba tuwaombee tu wachezaji wetu🤝🤝
@allygoodboytzsdoneintanzan3970
@allygoodboytzsdoneintanzan3970 Месяц назад
Boss karudi simbaaaaaa nguvu mojaaa
@mussaismail1285
@mussaismail1285 Месяц назад
Alie muelewa chemlon kama mm aseme nguvu moja
@IbraMwakipesile
@IbraMwakipesile Месяц назад
Nguvu moja
@RashidKindezi
@RashidKindezi Месяц назад
Simba dam dam
@RashidKindezi
@RashidKindezi Месяц назад
Simba nguvu mojaaa
@RashidKindezi
@RashidKindezi Месяц назад
Unyama mwingi
@RashidKindezi
@RashidKindezi Месяц назад
Mwaka uuu mbona wata koma watan
@mussangalawa2403
@mussangalawa2403 Месяц назад
Kabla ya simba day wachezaji wakirudi wafikie pahara isomwe dua ya Abaldili kwa yeyote atakaeifanyia ubaya club kuanzia kwa wachezaji wasio waaminifu mpka viongozi wale yamini ya umoja wa kuipigania club na kwa walio nje ya club ambao wanadhamila mbaya dhidi yetu na wachezaji wetu waangamie kama jua lizamavyo.
@emmanueldaudi3797
@emmanueldaudi3797 29 дней назад
Hakuna ubaya wowote ni kuwa na quality tu msijidanganye Wala hakuna kurogwa Wala Nini
@shabanimzalla7108
@shabanimzalla7108 Месяц назад
Simba sc nguvu Moja 🇹🇿, Raha sana
@shevbran7390
@shevbran7390 Месяц назад
Nguvu moja 💪🏻we will conquer 🫶
@RoseAbdul-m7w
@RoseAbdul-m7w 28 дней назад
Nice
@user-bc4cz7vo1x
@user-bc4cz7vo1x Месяц назад
Allah walinde na wachawi wote mue na afya njema inshallah Amiin inshallah Amiin
@peacerichard8970
@peacerichard8970 Месяц назад
Wizard fc wanawaza uchaw tu, wizard wa Africa
@user-be9zz3yg1f
@user-be9zz3yg1f Месяц назад
Mbele za mungu hakun uchawi wameaza na Bismillah wamemaliza na alihamdullilah
@user-zh1fd8zv1x
@user-zh1fd8zv1x Месяц назад
Asanteni sana wana jeshiwetu mbambaneni msimu huu mutoondolee ahibu
@IssaRamadhani-f2h
@IssaRamadhani-f2h Месяц назад
Simbaaa nguvuu mojaa
@SalimRamsei-ok9el
@SalimRamsei-ok9el Месяц назад
Nomaa sanaa
@lastbornofficialtz
@lastbornofficialtz Месяц назад
I love you Simba ❤❤❤
@EsauDidiye-qs3ej
@EsauDidiye-qs3ej Месяц назад
💯💯💯💯💯💯 nguvu moja
@MrBm-369
@MrBm-369 Месяц назад
We love you Simba
@BakariHamisi-ke6zv
@BakariHamisi-ke6zv Месяц назад
safi Sana Yani mwaka huu tuta wapima umri mana tizi limekolea
@emmanueldaudi3797
@emmanueldaudi3797 29 дней назад
Jidanganye
@godfreymbevi2879
@godfreymbevi2879 Месяц назад
I congratulate Che Malone Fondoh for your brilliant briefing regarding the training going on in EGYPT for Simba sports club. But my question is that, your club will be playing in pitches with a lot of challenges, for more than two seasons you have been going to the same location without bringing the new chapter in our premier league. So what new results the fans should expect from you with the same training ground, same weather and ambition?
@essaumabala6277
@essaumabala6277 Месяц назад
your question is so brilliant
@elbarrey3305
@elbarrey3305 Месяц назад
Huyu kapombe na zimbwe basi tena inatosha🙏🙏🙏
@flova7022
@flova7022 Месяц назад
You know nothing ..
@OmarmakameHaji
@OmarmakameHaji Месяц назад
Basi ww
@shukranionesphoro7744
@shukranionesphoro7744 Месяц назад
Good language from chemalon
@amanlenatus9067
@amanlenatus9067 Месяц назад
Sipendi kusema Mimi wa kwanza , nishazivuka hizo level
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u Месяц назад
Kila laher yakambi hapo misri muwe naafya njema wote kwaujumla tunawapenda
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp Месяц назад
Simba nguvumoja
@soniimedia2440
@soniimedia2440 Месяц назад
Simba nguvu mojaaa😮
@alexlipili9343
@alexlipili9343 Месяц назад
Kikubwa Dua tuuu Yani,,
@SamsonSaruni-s3g
@SamsonSaruni-s3g Месяц назад
🦁🦁🦁♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@nbwchannel4997
@nbwchannel4997 Месяц назад
Dah!! Utopoloo wachawii
@CikeTanzania
@CikeTanzania Месяц назад
Zetu dua tuu.
@CleophaceLisakafu
@CleophaceLisakafu Месяц назад
Nguvu moja viva lunyasi
@Tobejr
@Tobejr Месяц назад
Nguvu moyaaaa💪💪
@salehsultan8887
@salehsultan8887 Месяц назад
My Team
@brunoh_bx
@brunoh_bx Месяц назад
Utopolo wametulia wanasubiri kuwaroga tu😂😂
@joviniproches8238
@joviniproches8238 Месяц назад
😅😅😅
@baracknyerembe2192
@baracknyerembe2192 Месяц назад
😂😂😂
@KijaJohn
@KijaJohn Месяц назад
😂
@laurentwilson-db4ir
@laurentwilson-db4ir Месяц назад
Msimu ujao uto nawaloga pia wandelee na upuuzi wanaume wanafanya Kazi wao Kazi kuloga
@lutiak7618
@lutiak7618 Месяц назад
Kwa kweli wamejichimbia wanawanga mwaka huu kila mtu na lmani yake
@NdayishimiyeDjuma-is8gg
@NdayishimiyeDjuma-is8gg Месяц назад
Chemalone deserve to be a Captain
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Месяц назад
I second this
@HalmaAlly-up9pq
@HalmaAlly-up9pq Месяц назад
Dua nyingi
@AminaRashid-wl8fe
@AminaRashid-wl8fe Месяц назад
Simuoni mkandaji
@OmaryJafary-vu6en
@OmaryJafary-vu6en Месяц назад
❤❤
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide Месяц назад
KOCHA NI FADLU SIO DADLU
@JohnEugeni-f8m
@JohnEugeni-f8m Месяц назад
Tuandae timu Ila tusisahau utopolo Wanga huwa wanawafunga wachezaji Hilo tulifanyie kaz
@barakaonlinetv1318
@barakaonlinetv1318 Месяц назад
Mwamedy shabalala usije mpiga mbao yule mbadala wako bhana tunataka msaidiane mtupe raha,usije mvunja mguu km boko alivyomfanyia kramo,plz plz,tunaumia mashabiki
@SaidThomas-x3q
@SaidThomas-x3q 27 дней назад
Utopolo hatari nikua makini
@LucianaWilson-z2i
@LucianaWilson-z2i Месяц назад
Nguvu moja
@MarcoMasabo-nd2wp
@MarcoMasabo-nd2wp Месяц назад
Malone suppose to be a captain
@Jastus100
@Jastus100 Месяц назад
Na tshabalala?
@nanjiTv
@nanjiTv Месяц назад
Sureee ,
@MusaHamis-oz2rg
@MusaHamis-oz2rg Месяц назад
Mbona matola tena
@longlive_k10
@longlive_k10 Месяц назад
Che Malone kama amesifia basi naamini kweli wanapikwa ,... jamaa haongei uongo hana siasa
@user-vw2ux5sh4x
@user-vw2ux5sh4x Месяц назад
Malon huna baya kabisa
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Месяц назад
Utopolo michawi ,mfano kramo katupiwa majini hata mechi moja hajacheza
@jeofreymsomba7200
@jeofreymsomba7200 Месяц назад
Wanganga wapo avic😅😅😅
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba Месяц назад
Hakuna timu inayo Ogopewa kwa uchawi barani afrika kama kolo fc ukitaka kuthibitisha hili waulize Olando ya south afrika.
@hastatz
@hastatz Месяц назад
Sawa
@gwakisamwaseje7849
@gwakisamwaseje7849 Месяц назад
Mpira ni science na sio uchawi kaka
@Gisakijamaduda
@Gisakijamaduda Месяц назад
Ngogwe fc hamjui manara alimaanisha wajomba zake kwa kizaramo,lakini utopwax wanafikiri ni jina baya!!!!!! hamna akili kabisaaaaaaaaaaa utopwax weeeeeeee
@eliashagai7920
@eliashagai7920 Месяц назад
Na wewe mchawi
@storytime1204
@storytime1204 Месяц назад
Ndio maana na nyie mnanyeshwa supu za vibudu😂😂😂
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 Месяц назад
Misimu huuu tusirogane bori litembeeeee
@StafordNoery
@StafordNoery Месяц назад
😅😅😅
@edgarcruzee5223
@edgarcruzee5223 Месяц назад
Matora atufao anatenga wachezaji na mra Rushwa ajui chochote ni fitina tu
@eliashagai7920
@eliashagai7920 Месяц назад
Plz Kam Simba unaona vipi hama ,Kipindi hiki sio Cha kulaumiana au kumnyoshea kidole mtu,Matola ni mzalendo Sana kaa nae karibu au uliza wachezaji wakwambie
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv Месяц назад
Hii ni kweli kabisa Matola hafai Huwa anachukua rushwa hasa Kwa wachezaji wazawa hii ni taarifa kutoka Kwa mchezaji aliye kuwa anachezea Simba Simba ilikula Tano nayeye alikuwepo
@AlifaHamis
@AlifaHamis 29 дней назад
Mbona kibu haonekani au Asha Anza kuji sikia na yeye
@samwelnyaulasmaiko9968
@samwelnyaulasmaiko9968 29 дней назад
Aondoke Hana msaada yule anakimbia tu kama ngiri
@officialdana5114
@officialdana5114 Месяц назад
Onana simuoni
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk Месяц назад
Onana thank you😅
@frankmalema5350
@frankmalema5350 Месяц назад
Mafaniko yajayo utasikia wenzenu walikuwa wanafanya zoezi misri nyie mlikuwa wapi naiona simba inabeba shirikisho
@jumaali9243
@jumaali9243 Месяц назад
Mara hii wazee wameamka ubaya ubwela
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig Месяц назад
Ubaya ubwela utopolo kwisha abli yao
@user-wh5zz5dk2g
@user-wh5zz5dk2g Месяц назад
Uto tunaomba msiwaloge mwaka huu jamn
@Richardjulius-g3y
@Richardjulius-g3y Месяц назад
Simba Nguvu 1
@muuh_barber8578
@muuh_barber8578 Месяц назад
Isra mwenda na Kibu vipi ?
@user-ys4zk3hx4f
@user-ys4zk3hx4f Месяц назад
Kibu sinuon😂
@Regina-hb5mi
@Regina-hb5mi Месяц назад
Viongoz mlitudanganya eti kibu Alienda misili
@user-in4kg3kj8x
@user-in4kg3kj8x Месяц назад
Zimbwe hajui kuongea bhn 😅😅
@phaustinemrema2293
@phaustinemrema2293 Месяц назад
Sauti haina
@Regina-hb5mi
@Regina-hb5mi Месяц назад
Kibu yuwap
@user-ti3bi2ip8s
@user-ti3bi2ip8s Месяц назад
Acheni wivu mtabaki hahapa mkawasidiewavuvi kuvua samaki feli,chula wakijani nyie
@juniorjunior6639
@juniorjunior6639 Месяц назад
Nguvu moja
@maulidkamundi1700
@maulidkamundi1700 Месяц назад
Acheni uboya msije mkatoa siri za kambi kwa bosi wenu.
Далее
INSIDE TRAINING ||  07.8.2024
2:12
Просмотров 136
ТАЙНЫ И ЗАГАДКИ ИНТЕРНЕТА 2
41:37
KISS MY PAIN 1:IRENE UWOYA /HEMED PHD
53:23
Просмотров 891 тыс.