Awe makini tu na wa Nigeria ni washenzi,wasije kumfanya kiroba chakusafirishia madawa yakulavya.Maana Dada zetu warembo maranyingi wanakwamia hapo kwenye uzungu,na wanapotea kabisa
Hongera sana ‘ ila kuna mambo mawili nakuasa kama mtu wa pembeni; 1- kwamba umejiridhisha si muuza MADAWA wala MJANJAMJANJA fulani’ isije ikakukosti..! 2-hili la leo ni mwanzo tu’ Shughuli kubwa iliyo mbele yako ni kutunza MAISHA ya ndoa..!...baada ya kusema Hayo karibu kwenye MJI wetu wa AJABU’ Mji wenye mambo Matamu ambayo tunayafanya na kumalizia ndani ya mipaka ya MJI wetu bila MAJIRANI wa nje ya Mipaka yetu kusikia...!
@@fatumaally3444 Hao wote wawili kila mmoja ana mipango yake kwa mwenzie , kila mtu anacheza movie hapo . Mnigeria longolongo , Posh queen ana lake moyoni , ngoma droo 😂🤣😂🤣😁😘
@@mugishalahay6050kusema kweli mi niliona picha zake za mwanzoni hana hips ni wa kawaida kabisa tena black, Haya maisha tuyaache tu yalivyo na hii dunia.