Тёмный

GAMONDI AKIANDAA DOZI NDANI YA AVIC TOWN AKIWA NA KIKOSI CHAKE | TAZAMA HAPA ILIVYOKUWA 

Yanga TV
Подписаться 645 тыс.
Просмотров 129 тыс.
50% 1

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Спорт

Опубликовано:

 

11 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 174   
@patridabernard9148
@patridabernard9148 24 дня назад
Yaan nawaombea kwa Mungu awalinde mweze kufanya mazoezi yenu mwanzo mwisho bila kupata shida yoyote
@amaniomar1755
@amaniomar1755 24 дня назад
Ameen
@anonziatamrema
@anonziatamrema 24 дня назад
Amina
@user-ei6zg3us5s
@user-ei6zg3us5s 24 дня назад
Ameen
@malietamaliet
@malietamaliet 24 дня назад
Amina
@AmonChanguo84-gq1zq
@AmonChanguo84-gq1zq 23 дня назад
Amen!
@ramadhanimzonge8217
@ramadhanimzonge8217 24 дня назад
Mwenyezi mungu awaongoze kwakila jambo wt 2seme Aminiiiiii
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t 24 дня назад
Mungu awe pamoja nanyi nyote katika maandalizi yenu yakapate kuzaa matunda mazuri msim utakapoanza tukafanikiwe zaid ya msim uliopita🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤
@user-vo4lb5ik8h
@user-vo4lb5ik8h 24 дня назад
Amina kubwa
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 24 дня назад
Aminaaaaaaa!
@levislwamba5695
@levislwamba5695 24 дня назад
Amen
@IsabelaConstantino-ns7kx
@IsabelaConstantino-ns7kx 24 дня назад
Aminaaaa kubwaa
@sumahilibitomwa7649
@sumahilibitomwa7649 24 дня назад
Amina
@hafidhkikocho9161
@hafidhkikocho9161 24 дня назад
kwa mtazamo Wang mm naona kocha anafundisha kila mchezaji ajuae kukaba nampa big up Gamond ni bonge la kocha.
@levislwamba5695
@levislwamba5695 24 дня назад
My team yanga afrika Mungu awalinde ktk mazoezi nakufanya vzr zaidi
@user-iu2cm5um6e
@user-iu2cm5um6e 24 дня назад
Ee mora muumba mbingu na ardhi, twakukabidi wachezaji wote pamoja na makocha wote,viongozi wetu wote mkononi mwako, uwapatie ulinzi wako mzazi mtakatifu, popote pale walipo, uwaongoze makocha wetu,viongozi wetu, uwasisimamie katika majukumu yawo, kawapangie kira kitu wafayacho, uyafanikishe ww YESU, ww ndo temegezi na tumaini letu la mwisho katika mipango yetu yote aminaaaaaaaaa
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 25 дней назад
Allah awaepushie husda
@user-fj8un6mc9m
@user-fj8un6mc9m 24 дня назад
Jamani mimi naomba tarehe nane ifike nimemisi kuiona yanga inatoa dozi yatano na kuendelea 💚💚💚💚💚💛💛
@Muck_tz
@Muck_tz 24 дня назад
Waloona chemistry nzuri ya Aziz ki na chama like hapa za kutosha
@johnyurra-eb8yo
@johnyurra-eb8yo 24 дня назад
M nmeona biology
@adamsaad3005
@adamsaad3005 25 дней назад
Mungu atuongoze msimu uwe wenye matunda
@Adrianolaurian
@Adrianolaurian 25 дней назад
Wakwanza nipeni like zangu🎉
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 25 дней назад
Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉🎉
@amaniomar1755
@amaniomar1755 24 дня назад
Safi sana wanajeshi wetu Daima mbele nyuma mwiko pambaneni tuko nanyi kwa maombi
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 25 дней назад
Kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
@user-ib5qd9hu8j
@user-ib5qd9hu8j 23 дня назад
Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa afya njema, hekima na busara katika kila hatua ili tuweze kufanya vizuri tunawategemea saana mashujaa wetu mtupe furaha tena club bingwa tubebe kombe ili tuzidi kujiwekea heahima zaid
@user-kp7em6zt1g
@user-kp7em6zt1g 22 дня назад
Chama pole na mazoezi ya yanga utayazoea tu mdogo mdogo 💚💛💛💛💛💛💛💛🙏🙏🙏🙏
@AnithaStanley-t9q
@AnithaStanley-t9q 25 дней назад
Mungu awatie nguvu vija n
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 22 дня назад
Ukawe msimu bora insha'Allah 🙏👏🔰💚💚
@IsrahMachota
@IsrahMachota 25 дней назад
Look the way our players doing nice physical exercises
@LinuslusianLinuslusian
@LinuslusianLinuslusian 24 дня назад
Gamondi amempenda sana Chama
@ShafiiHungo
@ShafiiHungo 24 дня назад
Ukiwa na nia na kitu basi jitihada lazima nausihofie msimamo wako Mungu akupeni afia njema amin
@user-fv1vd8xt1g
@user-fv1vd8xt1g 25 дней назад
Forza Yanga
@spkaprotas
@spkaprotas 25 дней назад
Yanga ya nguvu yaani force Yanga or physical Yanga
@minazsaid2470
@minazsaid2470 24 дня назад
Allah awalinde wachezaji wetu na hasadi 🙏
@NwakaMwangajapho-p3h
@NwakaMwangajapho-p3h 24 дня назад
kazi kazi wazee amna kuremba
@user-xe5mc3gt4g
@user-xe5mc3gt4g 24 дня назад
Aina kupoa hy nakubal master "GAMOND" daima mbele nyuma mwiko one love✌️
@erickpaschal1639
@erickpaschal1639 24 дня назад
Kocha Msahidizi nae hayupo na Daktari wa timu pia namuona mmoja tu. Viongozi Mpambane Timu yote iwepo kwa ajili ya maandalizi ya Msimu hujao
@mbagochallange3882
@mbagochallange3882 24 дня назад
Chama ameanza kufundishwa jinsi ya ku_press. 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@ShabanPaschal
@ShabanPaschal 24 дня назад
Allah waepushe na majeruhi🙏🏼🙏🏼
@maulidimgawe6823
@maulidimgawe6823 24 дня назад
Yanga blood
@law93king
@law93king 24 дня назад
wazee wa kazi💚
@AhazyStanley
@AhazyStanley 24 дня назад
Mashallah 💚💛🇹🇿
@ntakakasendebayi9992
@ntakakasendebayi9992 24 дня назад
Yanga 💚💚💚💛💛💛🔰
@UssinisualeChomar
@UssinisualeChomar 25 дней назад
wakwaza nipeni laik zangu
@HusseinJumahussein-lf1xk
@HusseinJumahussein-lf1xk 24 дня назад
Mda wa🔋💚🔋💪
@ALCADOJAMES
@ALCADOJAMES 24 дня назад
Huu uwanja kama huna d mbili huwezi just hapo wanakabiliana na viwanja vyovyote especially isamuhyo stadium au wanayanga wenzangu mmejizima mkongo wa taifa😅😅😅😅
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 25 дней назад
Chama kazoea mfumo wa yanga tayari🎉🎉 na boka, pia na wenginewe
@AmashaMchelemi-bq9yv
@AmashaMchelemi-bq9yv 25 дней назад
Namba moja oyoo
@CheruVitus
@CheruVitus 23 дня назад
Napatwa na ugwadu jamani me na yanga yangu niacheni
@NdevuKamdini
@NdevuKamdini 24 дня назад
Mungu awape nguvu
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 21 день назад
Inshaallah tutashinda kila mchezo na inshaallah ubingwa tutachukuwa
@HappySaid-n7b
@HappySaid-n7b 25 дней назад
Mm wakwanza naomben lake zang
@SalimKulwa
@SalimKulwa 25 дней назад
Wakwanza meme jamani 😅
@ZainabuHassani-fe8ur
@ZainabuHassani-fe8ur 24 дня назад
Tupo pamoja sana ❤❤❤
@eliadausen3025
@eliadausen3025 24 дня назад
Swap ina like yangaaaa
@cosmasdominic9129
@cosmasdominic9129 25 дней назад
Wa kwanza ku comment leo😅😅
@KarrimAlly
@KarrimAlly 25 дней назад
Mi wa kwnza leoooo
@user-tb5gp4wi4e
@user-tb5gp4wi4e 25 дней назад
Chama la wana
@rogersiddy
@rogersiddy 24 дня назад
Kila nikiangalia Musonda simuoni kabisa sijui ndo washamuuza dah jamaa mshambuliaji lakini anajua kusaidia timu inaposhambuliwa nikikumbuka mechi mbili na MAMELODI alijua kumpa shughuli MUDAU
@Dopa5115
@Dopa5115 24 дня назад
Kila atua dua wachezaji wetu🙏🙏🙏
@yassinsaid-p4l
@yassinsaid-p4l 24 дня назад
Kwel mbarikiwe san
@EDWADYKAPINGA
@EDWADYKAPINGA 25 дней назад
❤ yanga naipenda kupindukia❤
@EDWADYKAPINGA
@EDWADYKAPINGA 25 дней назад
Timu ya msimu huu sijui kama atakula kumi
@RichardAmosi-hz3nm
@RichardAmosi-hz3nm 24 дня назад
Chama chama baba weee
@BarakakimarioEvance
@BarakakimarioEvance 24 дня назад
Hongereni wacjesßs red to
@AshaMwamba
@AshaMwamba 24 дня назад
Miguu ya aziziii imekomaaaaaaaaaa😅😅😅 vigimbi
@barakadalba8732
@barakadalba8732 25 дней назад
No. 1
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 24 дня назад
❤❤❤❤kika la kheri kwenyewe mandalizi ya msimu ujao ❤
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj 24 дня назад
Mungu awalinde amiin
@aishabakari8040
@aishabakari8040 24 дня назад
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO 🎉🎉🎉🎉
@GASHFALIVINGSTONE-yy4zc
@GASHFALIVINGSTONE-yy4zc 25 дней назад
Yanga bingwa
@raymondswed7358
@raymondswed7358 24 дня назад
Mungu bariki chama la wana hili😅😂😂
@Cuteeeee477
@Cuteeeee477 25 дней назад
Debora FC msilete team uwanjani mtalia 😂😂😂😂😂
@LembrisTikoini
@LembrisTikoini 24 дня назад
Eti Aziz Ananda Simba hiyo ninani
@mkoladavid9095
@mkoladavid9095 24 дня назад
💚💚💛💛
@EliudVicenti
@EliudVicenti 25 дней назад
Chama mwenyewe anashangaa mbona Simba tulikwa hatufanyi ivi jamani!!!!
@ismailkiwawas5982
@ismailkiwawas5982 25 дней назад
😂😂
@JamesmalesaMavere
@JamesmalesaMavere 25 дней назад
Uwanja wa mazoezi siyo rafiki kwa afya ya wachezaji hukuna nyasi
@erickmbise1063
@erickmbise1063 25 дней назад
Hii yanga inatufanya tuwe youtube kila saa saaa 😂😂
@vicentsagudasheyi564
@vicentsagudasheyi564 24 дня назад
Yanga Bingwa Tena
@othumanjambia9698
@othumanjambia9698 24 дня назад
Mmmm hapa wataisha
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 24 дня назад
Mboni chama mvivu wa kukaba apo
@SelemanFeisal
@SelemanFeisal 25 дней назад
@user-tp2lq4bd7o
@user-tp2lq4bd7o 24 дня назад
Mliosema chama hajui mpila wa kukimbizana Sasa ananolewa kazi mnayo
@LightMeck
@LightMeck 22 дня назад
Huyu gamond na chama ni kama kuna kitu
@blairmangani2341
@blairmangani2341 24 дня назад
MUNGU naomba wabaliki hawa vijana,waepushe na majeraha
@raymlowe6309
@raymlowe6309 25 дней назад
🔥🔥🔥🔥
@MustafaKiwelu
@MustafaKiwelu 24 дня назад
Me cjaelewa why DUKE ABUYA wakati tuna namba 10 wanne why tusisajili mawinga kwamba mwaka huu hakuna mfumo wa kutumia mawinga apo napingana napo 😮
@Elizakindole
@Elizakindole 24 дня назад
Wazee baba yako
@AnnaJayden-k4m
@AnnaJayden-k4m 24 дня назад
Kazeni misuri mmlegea sana sijui ndo uzee😂yanga yetu imekuwa ya wazee Angalieni mfano kwa majiran zetu
@MohamedMalik-g6d
@MohamedMalik-g6d 25 дней назад
Anaandaliwa mtu goli 10 mara hii
@Awadhiahmady
@Awadhiahmady 24 дня назад
Aucho wp
@Edsonmutalemwa
@Edsonmutalemwa 25 дней назад
Wa kwanzq mie
@emanuelijabu
@emanuelijabu 24 дня назад
🔰
@user-wz2rx2qy5u
@user-wz2rx2qy5u 24 дня назад
Mazoezi ya ku press na jinsi ya kuzuia mpira usiingie kwa mpinzani na jinsi ya kuvunja ukuta wa mpinzani yaani penetration pass🙌🙌
@davidmassawe9288
@davidmassawe9288 24 дня назад
Uwanja tope dadekii😅😅
@samnyambabe2529
@samnyambabe2529 24 дня назад
Kwani musonda kaachwa msimu huu
@BasuleBasule
@BasuleBasule 24 дня назад
Kama Ndoto Kumuona Chama Yupo Yanga Jaman Rais Kapambana Sana Nasi Tulipe Ada Kwa Wakat
@safiaothman7506
@safiaothman7506 25 дней назад
❤🎉🎉❤
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 24 дня назад
Mbna uwanja umechakaa sana hawa wamiliki walikua wanafanya kazi gani wakat wa ligi kuisha
@AshaAli-px3ln
@AshaAli-px3ln 24 дня назад
Allah afanye muwe waislam nyote
@Elizakindole
@Elizakindole 24 дня назад
Tinawayakia heri
@felixmoris8501
@felixmoris8501 25 дней назад
❤❤❤❤
@MTUMZIMADAWA
@MTUMZIMADAWA 24 дня назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@abuuswabr1781
@abuuswabr1781 24 дня назад
💚💚💚
@nseyantemi
@nseyantemi 24 дня назад
Tunapiga watu kama watoto
@user-qm5un9yc8r
@user-qm5un9yc8r 24 дня назад
Nice
@user-fk2ul5ux1c
@user-fk2ul5ux1c 24 дня назад
Unaweka nn kelele mingi xn xo badilika kk japo nami ni mwananchi kelele xo pw
@husseinomary4466
@husseinomary4466 25 дней назад
Naona Kuna timu inakufa hamsini msimu huu
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 24 дня назад
Baka lile goli alilofunga Michael Kublan hatutaki tena ulijiangusha kizembe hata eli capitano Mwamnyeto hakuwa makini na shap kuzuia shut
@HusseinKoja-ww7gi
@HusseinKoja-ww7gi 24 дня назад
Hapo hakuna cha anaoanao ukicheza hivyo huingii kwenye mfumo wa gamond mbao inakuhusu
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 25 дней назад
Mamàaa.....naogopa
@lazaronaata2249
@lazaronaata2249 24 дня назад
🎉🎉🎉
Далее
Symmetrical face⁉️🤔 #beauty
00:15
Просмотров 3,1 млн
СМОТРИМ YOUTUBE В МАЙНКРАФТЕ
00:34
Просмотров 895 тыс.
YANGA UYU MTU WENU VIPI?🤣🤣🤣🙌🙌🙌
1:21
Punished for insolence! #mma
0:28
Просмотров 6 млн
Punished for insolence! #mma
0:28
Просмотров 6 млн