Тёмный

GARI aliyozawadiwa DULLA PLANET yamtoa MACHOZI, "Miaka 12 Nafanya Hii Kazi" 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 48 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@mbandedenis575
@mbandedenis575 4 года назад
Kuna mijitu ina wivu humu..hongera sana d. Kama una mkubali d Gonga like
@thomasbutingo17
@thomasbutingo17 4 года назад
Hongera xn dulla nakubal kaz yako Mungu akupe maisha marefu bro
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 4 года назад
hongera sana dullah 🔥🔥 kweli hamna anayefahamu kesho yake 💥💥💥
@mdathirumagayane688
@mdathirumagayane688 4 года назад
Nimependa sana Dulla ni kweli unastahili hiki ulichofanyiwa ,nakukubali sana
@shaphyvuai6805
@shaphyvuai6805 4 года назад
Apo kwenye despeline 100% namkubali sana Dullah Planet jamaaa yupo very humble
@johnsonpaul2883
@johnsonpaul2883 4 года назад
Safi Sana eat keep it up ni ngumu Sana kwa mwajili kuthamini kazi ya mfanyakazi Wake . Eatv mmeushinda mtihani huo
@salehejuma4155
@salehejuma4155 4 года назад
Angefanya Simba wangesema anatafuta kiki ongeeni na hapo yani kupewa zawadi ni jambo zuri hongera
@jericojacobo3342
@jericojacobo3342 4 года назад
Wabongo kwakuchangany mambo xaxa ximba amekujaje hp
@mwananchipress3569
@mwananchipress3569 4 года назад
Hii ndo mfumuko wa Wasafi FM na EFM inafanya media nyingi kuthamini staffs kama dullah
@mashakatwalondaga5026
@mashakatwalondaga5026 4 года назад
Ahsante kwa kwa zawdi hiyo na kampuni zingine ziige mfano huo na mungu awabariki ila awee na tahadhari tu mana hua vyakupewa vina masimango pande zote mbili kwanzia wenzie wafanya kazi na hao hao cku mkitofautiana ndo wanaanza kejeli na vijembe so pokea bt kwa tahadhari pia mana matajiri hua hawaeleweki
@kadyuwegeyetv5310
@kadyuwegeyetv5310 4 года назад
True unatufundisha tusiwe na tamaa unatufundisha
@RamahhabibuHanss
@RamahhabibuHanss Год назад
unaachana na watu kw sherehe safi sana aisee yakikushinda unarudi
@kijangwazay7711
@kijangwazay7711 4 года назад
Maa sha Allah Mabrooq bro
@rashidmziray6532
@rashidmziray6532 4 года назад
kweli wakongwe wasiokata tamaa wawe wanakumbukwa hivi inaleta hamasa kwa wengine pia...
@aminajohn5472
@aminajohn5472 4 года назад
Hongera sana kaka,unastahili
@godfreyrobertriganya3159
@godfreyrobertriganya3159 4 года назад
Kingsmash kama hajapenda mwezie kupewa gari
@MasanjaMasanja-ry6wl
@MasanjaMasanja-ry6wl 13 дней назад
nice remakable
@jobaisyrainer711
@jobaisyrainer711 4 года назад
kuna mzaramo mmoja anaboa kwa shobo jmn
@kevinmadinda3576
@kevinmadinda3576 4 года назад
Ila Dulla mtangazaji bora na mvumilivu hasa heshma ya bongofreva
@EmmanuelMahiya
@EmmanuelMahiya 4 года назад
Hongera sana dogo
@activestudios.
@activestudios. 4 года назад
Bongo panafurahisha sana
@dullykiftu6382
@dullykiftu6382 4 года назад
Hongera xn dulla
@gideonkalumbu2603
@gideonkalumbu2603 4 года назад
Hongera sana mkubwa....
@dativapaschal1290
@dativapaschal1290 4 года назад
Nakupenda sana aunaga kiki za ajabu enyamaaeeeeeee acha nikusanue mwanangu
@faridaessa7844
@faridaessa7844 4 года назад
Hongera sana Kaka dulla
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 4 года назад
*Kiukweli Dulla anastahili kabisa zawadi hii* . *Ni MTU anayejituma sana anaifanya kazi yake kwa mapenzi na hakukata tamaa kwa mda wote*
@hadijahmwajombe9588
@hadijahmwajombe9588 4 года назад
hongera dall
@chachamwita6535
@chachamwita6535 4 года назад
Anastahiri Dulla m2 mbya xna
@denisimateru4709
@denisimateru4709 4 года назад
Og Sana Dulla plenty bong
@azizayusufu5158
@azizayusufu5158 4 года назад
Nic
@johncavishe353
@johncavishe353 4 года назад
Usiame eatv nakuelewaga sana dulla upo og
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 4 года назад
Uyo ni danga lake nini?
@gftdaniel2198
@gftdaniel2198 4 года назад
😁😁😁😁
@salumramadhani9281
@salumramadhani9281 4 года назад
bro anastahiri
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 4 года назад
Ni zawadi ya nini? Ya kufikisha miaka 12 east africa TV/Radio ?
@hallin9561
@hallin9561 4 года назад
Mercedez Benz, I'm in love with this ride
@mbarakaiddi8209
@mbarakaiddi8209 4 года назад
Mm niliacha kufuatlia planet bongo 2014 ila jamaa nilikuwa nakelewa sana
@mafiosoismail7475
@mafiosoismail7475 3 года назад
Kwa nn uliacha blood 😂😂😂
@emmanuelluiso4872
@emmanuelluiso4872 4 года назад
Kikubwa kupambana tu hakuna kukata tamaa
@khassankhalifa6523
@khassankhalifa6523 4 года назад
Kadi mbona hatuzioni.
@thomasbutingo17
@thomasbutingo17 4 года назад
hla mwanza mbna east africa radio inasikika ovyo yan hata siwaelew wakat ukiend wilaya ya butihama mkoa wa mara inasikika vzr adi raha sasa sielew kwa nn mmefanya ivo wakat mwanza ndo jiji kubwa butihama ni kamji kadogo na sehem kubwa ni pori yan nlienda kule nkashangaa radio inasikika vzr porin kusikokua na watu lkn jiji kubwa mwanza haisikik duuuu aya bana
@elvistv7601
@elvistv7601 4 года назад
Kasikilize radio za kwenu uko
@thomasbutingo17
@thomasbutingo17 4 года назад
@@elvistv7601 kwan ww ndo mhusika wa EA radio ? Me natoa maoni kama shabiki na mpenz wa EA radio sasa ww unavojibu skuelew hata kidogo
@denicejoseph8632
@denicejoseph8632 4 года назад
Usisubiri kupewa pambn kweny maish yak
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 года назад
Dulaaa
@SamuelCharles-111
@SamuelCharles-111 4 года назад
Anastahili hichi huyu mwambaa
@esterdoriye4304
@esterdoriye4304 4 года назад
Eti na mi nalia
@12322879
@12322879 4 года назад
Inamaana hapo wewe ni noma kuliko Salama Jabir
@rckkajuna2144
@rckkajuna2144 4 года назад
Jambo la kher jmn
@rashidyahya99
@rashidyahya99 4 года назад
KIKI ZA BONGO BHANA..... ! mna boa!!!
@12322879
@12322879 4 года назад
Unaelewa kumbe
@hollymore4904
@hollymore4904 4 года назад
wasafi tulkua tunamnyapia .... mmeona mumuhonge
@12322879
@12322879 4 года назад
Ndo maana viewers wachache...acheni bongo muvi
@nurumanyota416
@nurumanyota416 4 года назад
Hongera sana kaka dulla
Далее
Incredibox Sprunki in geometry dash
00:19
Просмотров 1,2 млн
DUNIA (Ep 13)
20:45
Просмотров 70 тыс.
NATAKA GARI LANGU
8:04
Просмотров 411 тыс.