Тёмный

GARI DOGO INAYOTUMIA ATM CARD ''SHULE HAWAFUNDISHI HII VITU, WATU WANANITISHA KUWA NITAFUGWA'' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 236 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 536   
@patrickKitambo
@patrickKitambo 4 года назад
nchi zilizoendelea kitechnologia ziliwatumia watu kama hawa, serikali isimuache huyu kijana ni tunu kwa taifa, hongereni ayo tv kwa kazi kubwa
@davidgadau4717
@davidgadau4717 4 года назад
Respect mr Patrick hata kijana huyo amesema ubunifu unaanzia chini, kwa keli kijana ana akili ya KIOAJI KIKUBWA SNA , WIZARA YA KAZ SAYANSI NA ELIMU Sasa NI wakati wa kukaa pamoja kushauri serikali ngazi ya juu KUANZISHA SHULE YA VIPAJI kwa WATOTO Kama Hawa, naamini tuna wataalam wengi Sana wamekosa support, na Kuna wanaokatisha tamaa Kam hao dogo anasema wanamshusha moyo
@ramadhanshaban7989
@ramadhanshaban7989 4 года назад
Kwel
@jayjay4313
@jayjay4313 4 года назад
Nimekaa chini na mafundi wenzangu wa magari nchini Sweden, tunamsikiliza huyo mtaalamu. Mtundu sana bro, na ukizingatia udogo wa hilo gari. Bravo big up all the way 2u. 👍🏽💪
@justiningonyani1017
@justiningonyani1017 2 года назад
karibu songea, mahana nashida na namba ya miladi ayo ili aje songea aone utaalu
@iddyathman5504
@iddyathman5504 4 года назад
Nimesikiliza interview yako mdogo wangu kwa umakini saaana kiukweli umeeleza vizuri sana. Pia uko vizuri ninavyokuona miaka 8 ijayo utakuwa mbali saaaana kimaendeleo na kifedha coz una hadhina kubwa kichwani mwako. Mungu aendelee kukuweka na uwe mzima wa afya na ushangaze wapumbavu wasio ishiwa majungu kama mtoto mdogo asivyoishiwa kamasi puani. Nakupenda mdogo wangu. Piga kazi
@festongoy8654
@festongoy8654 4 года назад
Sasa kumbe ma injinia tunao kwani serikalii inamuona au haimuonii.....?
@bhoken.nyantahe847
@bhoken.nyantahe847 4 года назад
Dogo genius,,,huyu anatakiwa apelekwe college za Mechanical Engineering sio VETA mtauwa kipaji.
@jennajenna4082
@jennajenna4082 4 года назад
Goodell kabisa wanauwa vipaji
@rajabubwamkuu6959
@rajabubwamkuu6959 4 года назад
Kabisa wanachokifanya wizara wanakosea sana....level yake dogo ni kubwa mno sio ya kumchelewesha hiv
@amouramour9712
@amouramour9712 4 года назад
h
@TheNdaki
@TheNdaki 4 года назад
Apelekwe Chuo cha Vipaji kama DIT
@gracegeorge6231
@gracegeorge6231 4 года назад
Wengine darasani hapaendeki mitihani inakwamisha ASA ya theory
@abdallahsaidi2047
@abdallahsaidi2047 4 года назад
Ma Sha Allah. This brother is should be supported by the government or anyone. Technically n physically in d wiring of cars( garage) much love from Uganda
@mosesnzau4053
@mosesnzau4053 4 года назад
He will be a great engineer in future.....tia bidii bana love from🇰🇪🇰🇪..I love 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 also
@alexchungu9505
@alexchungu9505 4 года назад
Huyo dogo ni zaidi ya mimi mwenye degree ya Mechanical engineering
@fatumaally3444
@fatumaally3444 4 года назад
Bora umejikubal na kumpa sifa yake😁😁😁
@hassanmugire1497
@hassanmugire1497 4 года назад
At least you agreee
@victormushi6641
@victormushi6641 4 года назад
Mpe sasa huyo dogo hiyo degree unakaa nayo ya nini
@gambajunior2275
@gambajunior2275 4 года назад
Bora umekua mkweli😅
@fatumaally3444
@fatumaally3444 4 года назад
@@victormushi6641 🤣🤣🤣🤣
@charlesambrose1708
@charlesambrose1708 4 года назад
Kigoma is Home of Talents Proud of Tanzania.
@zerzake
@zerzake 4 года назад
It's interesting how you can make a call without a simcard. I guess there's a loophole which exists in airtel line TZ. I'm going to test it if it will work here in Kenya. If possible please tell me which phone you used? If it works then It's gonna revolutionized our communication system. With technology, you are free to do what ever you want. As for the bank card, I don't think your card chip reader is capable of distingtively reading that ATM card. The mechanical part is amazing. Keep up the spirit. The owner of this channel should offer a helping hand to that guy from earnings from this video.
@taretv1177
@taretv1177 4 года назад
Hongera sana bro, sioni haya kukuita kaka maana kwa ujuzi huo wewe ni KONKI KONKI KONKI...!!!!! Mungu akusimamie usichoke kwenye hizo juhudi zako. Hongereni Milardayo Tv kwa kazi kubwa mnazofanya ila huyu bro kanitoa machozi kwa kweli maana nipo na degree zangu za fani tofauti ila kaka wewe ni zaidi ya hizi degree zangu. Aiseee it's amaizing!!!!!
@tammymhina5454
@tammymhina5454 3 года назад
Manshaallah serikali mtafutieni huyu kijana mwalimu mwengine tunahitaji watu kama hawa kwa maendeleo ya nchi
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 4 года назад
Kuna watu wana degree za electric engineering au machenical engineering hawawezi kufanya hiyo kitu
@kevoowasanya8675
@kevoowasanya8675 4 года назад
kweli kbisa
@tngmediake1905
@tngmediake1905 4 года назад
Dogo kama hawa washikwe mkono doh mi nimesare big up #Omache Tv
@wanjemulina3423
@wanjemulina3423 4 года назад
Education is not everything, African countries relies from Western countries language in academic, that guy don't speak English but he is a genius
@dabbizodabbz9382
@dabbizodabbz9382 4 года назад
From Kenya, I'm proud of this boy apelekwe shule ya maana, huyu ni future
@kingmasio8148
@kingmasio8148 4 года назад
Hakika dogo yupo vzr Sana serikali imwangilie kwa jicho la tofauti
@hamisishabani8864
@hamisishabani8864 2 года назад
Mungu anajua wap anakupeleka daima akusaidie ndugu yangu
@thelalas9204
@thelalas9204 4 года назад
Mashallah, Allah amfanyie wepesi awe kinara wa viwanda vya magari Tanzania Nzima.
@ms.priscar
@ms.priscar 4 года назад
Huyu kijana ana uwezo mkubwa wa kufikiri, unajua system huwa zinatengezwa kukuzuia kuwasiliana salio linapokuwa limeisha ila yeye ameweza ku'overrule hiyo kwa jinsi alivyounda mtambo, He really needs protection from the government. He is kinda hacking into telecommunication companies without knowing. Lakini akiendelezwa atakuwa msaada mkubwa kwa nchi, wanasayansi mashuhuri darasani hawakuwa wakielewa na waligundua vitu nje ya darasani na wengi walifukuzwa shule, Serikali imuangalie huyu kijana kwa jicho la umakini sana.
@hanceboy5989
@hanceboy5989 4 года назад
Hi prisca
@abbasboniphace5444
@abbasboniphace5444 4 года назад
Huyu dogo alindwe ingekuwa ulaya mpaka hapo anaweza kuendeaha Lamborghini Kwanza tu hapo kwenye ATM kardi anaweza kutoa pesa ATM yoyote na maisha yakawa matamu tu kwa hiyo likitokea jizi konki likawalinamtumia na likamwekea ulinzi atavuna mkwanja huyu.
@simoncords1173
@simoncords1173 4 года назад
Nilichopenda toka kwake anajua kujielezea sana!
@johnbrownkenya
@johnbrownkenya 3 года назад
amazing one kenya is watching big up yourself bro good job
@rajabubwamkuu6959
@rajabubwamkuu6959 4 года назад
Hahahaaaaa haya maisha bhana....kijana ana kipaji wizara inaacha kumfadhili kwa kumsomesha vyuo vyenye ujuzi zaidi hata nje ya nchi kwa manufaa ya taifa,wanamsomesha nusu nusu....hahahahaaaaaaaa Mwenyezimungu amsimamie huyu jamaaa
@isahbowy4388
@isahbowy4388 4 года назад
Tanzania inaenda kuwa super power.... Nipeni likes za Mombasa
@PetetIgnas
@PetetIgnas 4 года назад
Mamaeeee bongo bahati mbayaa😁😁😁😁😂😂😂😀😀🤔🤔😎😎
@bisengobubasha
@bisengobubasha 4 года назад
Truly brilliant, and so creative, Mungu akutangulie 🙏❤️❤️💪💪💪
@yohnamckonga7902
@yohnamckonga7902 4 года назад
Dogo karudia mara 5 neno la "napiga hela".. baada ya kuulizwa unapata kiasi gani akasema 500!..😞
@mathiasmassai5910
@mathiasmassai5910 4 года назад
😀😀😀
@reconcompanyltd2177
@reconcompanyltd2177 2 года назад
😂
@isunga1964
@isunga1964 4 года назад
Dah nimeishiwa cha kuongea hongera mdogo wangu mungu akubariki ufike mbali
@mahersaid258
@mahersaid258 4 года назад
Ameen 🙏
@jacksonkiganda9656
@jacksonkiganda9656 4 года назад
Mwenyezi mungu akufanyie wepesi katika kazi ya mikono yako
@yussufrehani5383
@yussufrehani5383 4 года назад
Kiukweli Watanzania tunaweza tutafika tuuuuu Hongera sana Kijana umetisha sana
@saidwest5601
@saidwest5601 4 года назад
Hongera sana Mungu ampe khery na raisi Magufuli ampe support
@qanciyeboss1287
@qanciyeboss1287 4 года назад
Mbunifu serikali ya Tanzania isimwache jamaa nyuma. FANS FROM KENYA
@puresapphiretz
@puresapphiretz 4 года назад
Dogo yuko vizuri sana Mungu amsaidie afike mbali sana
@janek9103
@janek9103 4 года назад
Africa tunangoja mzungu atuamulie vile tutafanya .feeling humbled for him from kenya
@rehemamaikotweve3188
@rehemamaikotweve3188 4 года назад
Waafrika tuna mambo mengi kichwani ila wajanja walituzidi kete wakatufanya sie wa mwisho .. big up piga mwendo kijana
@wanderaothumani4919
@wanderaothumani4919 4 года назад
NI BAHATI MBAYA SANA HII KITU NA HUYU GENIUS HAYATREND BALI STORY ZA UMBEA THIS LEVEL OF NEGLIGENCE SPEAKS VOLUMES ILA MTU AINVEST KWA HUYU JAMAA NA ANWEZA KUWA NA KIWANDA CHA AUTO MOBILE YA TZ NA YA BEI RAHISI KILA KITU NI DARING
@gambajunior2275
@gambajunior2275 4 года назад
Media zinapromoti udwanzi, wakati huyu dogo ni hazina kubwa
@deusmichael2290
@deusmichael2290 4 года назад
Nashauri serikali iwakusanye vijana wabunifu kama hawa iwaendeleze ikiwezekana hata wakasome nje ya nchi waongeze ubunifu na ujuzi zaidi...
@samsonabdallah6325
@samsonabdallah6325 4 года назад
Point sana hii
@jackgodgivenzihindula
@jackgodgivenzihindula 4 года назад
Hongera Sana, ndogo... 💯💯💯🇹🇿 Next time badili style ya ku tumia card ya bank siyo Bora. Kwanini uyu ndogo hasome na wanafunzi wengine?
@abdiramo8107
@abdiramo8107 4 года назад
Serekali haitaki wafaidike na wengine
@tuchekepamoja2993
@tuchekepamoja2993 4 года назад
Huyu chalii anapaswa aingie kwenye mifumo ya jeshi kwani ubunifu wake unaweza kusaidia hata kwa upande usalama.
@chrispinusmalala2409
@chrispinusmalala2409 4 года назад
Salute u ........ continue may God almighty opens alll the doors for u
@bilalymkuna6488
@bilalymkuna6488 4 года назад
Hongera sana. Tz kweli tunavipaji.
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 года назад
Masha Allah , Lahwa walakuwatah ilabilah . Allah hakubariki na kipaji chako.
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 4 года назад
watu wanapewa mabichwa kwenye mambo ya kipuuzi wakati watu wakupewa masifa wapo hapa wametulia,,, Tz what is our problem???
@sontv1751
@sontv1751 4 года назад
Duuuh? Dogo ur so creative sanaa,,
@janesarah6711
@janesarah6711 4 года назад
God please your work, na akuongeze maarifa zaidi
@mashimoyakisasa1987
@mashimoyakisasa1987 4 года назад
Komaa na hiyo line ya simu tuongee bure 😂😂😂😂
@kingyehoshafatitvbornerys2496
@kingyehoshafatitvbornerys2496 4 года назад
Hahahhaaaa🤣🤣🤣🤣
@charlesbeatus1229
@charlesbeatus1229 4 года назад
unapenda mtelezoooo Hhaahaaaa
@princeking7042
@princeking7042 4 года назад
Hahahahhahahahah
@sontv1751
@sontv1751 4 года назад
😂😂😂na MB za bure
@dennischarles8524
@dennischarles8524 4 года назад
God given talent
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 4 года назад
Mashaallah! Yaani naomba Raisi wa Tanzania achukue hii fursa ya kutengeneza hili gari lenye kutumia ATM card, ili Tanzania iwe ya kwanza kuvumbua gari la tofauti kbs. Hongera sana mdogo wangu. Utafika tu. I just love you.
@victorshirima9629
@victorshirima9629 4 года назад
Dah cjui uyu anawaza wap mpka anatngneza vitu ivi n zaidi ya genious dah mungu akujalie tu
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 4 года назад
GOD BLESS OUR INNOVATORS. THEY REALLY DESERVE SUPPORT FROM THE AUTHORIZED INSTITUTION 🙏🙏🙏🙏🙏
@paulomasaba819
@paulomasaba819 4 года назад
Dogo upo vzr sanaaaaaaa
@mosamossile9113
@mosamossile9113 4 года назад
Watu wanadegree 5 lakin Kichwan hamnazo bear +Ngono
@lusekelodaison8159
@lusekelodaison8159 4 года назад
😀😀😀😀😀😀😀😀✋
@voicejoachim1370
@voicejoachim1370 4 года назад
😂😂😂😂😂 sure:)
@lamisammediatv9849
@lamisammediatv9849 4 года назад
Aisee wewe dogo ni noma Sana Mungu akubariki
@thomasdamas4347
@thomasdamas4347 4 года назад
Jaman... Huyu mtu apewe support zaidi . Hiyo ni moja ya zawadi katika Taifa letu..... Wizara husika tumahike kijana huyo
@mukrimaly217
@mukrimaly217 4 года назад
Masha Allah mungu akuzidishie kipaji chako ,,mungu akubariki
@bobwanjala1401
@bobwanjala1401 4 года назад
This is why we need to teach our kids in our African languages. Kiswahili should be introduced in all African schools. Kiswahili oyeee! Tafadhali tujifunie kiswahili chetu. Hii lugha adimu ya kiswahili ni tamu sana.
@mamachris6811
@mamachris6811 4 года назад
Tunafeli wapi. !!!??? Wataalam wapo wengi,lakini wanaishia kwenye interview Wizara husika zìwakusanye Tumechoka na bidhaa za wachina Tutumie zetu Tz ya viwanda na UCHUMI WA KATI
@fatumaally3444
@fatumaally3444 4 года назад
Kabisa apa apa kwa interview ndo ataishia
@kaimuulongo6004
@kaimuulongo6004 4 года назад
Saw
@johngodwin8281
@johngodwin8281 4 года назад
Ngoja USA amuone utasikia wanamsponsa magu nakuomba umsaidie tuendeleze Tanzania ya viwanda
@UDOM_KIDS
@UDOM_KIDS 4 года назад
Ametisha sanaa dogoo! Sema kwa ushauli tuu!! Inabidi aiprove iyo gari iwe na mfumo wa limoti!! Atapga hela sanaa
@selector728
@selector728 4 года назад
Limoti n nn...sema remote
@flavianjunior9540
@flavianjunior9540 4 года назад
I wouldn't think this in a million years mind blowing frfr
@richardreginald1691
@richardreginald1691 3 года назад
Dogo yupp vizuri kiubunifu,serikali imnunulie vifaa atengeneze gari kubwa TZ TUANZE KUTUMIA MAGARI YALIYOTENGENEZWA HAPA NYUMBANI
@Any2226
@Any2226 4 года назад
Nice ...keep it up bro..
@juliusfbijimmy9725
@juliusfbijimmy9725 4 года назад
Is Good... uyo .. ina takiwa mmpe kazi ... kwenye campuni . Ya kuunda na kugundua... .. ita msaidia sana ku gundua zaidi.... mana ata kua .. yuko sehem ambayo. Ata pata....... izo marigafi anazo itaji.. kubuni na kuhunda .. ita msaidia
@saidhemedisaidhemed5997
@saidhemedisaidhemed5997 4 года назад
Mungu amuongoze afanye makubwa zaidi
@alibinali_
@alibinali_ 4 года назад
Masha’Allah insha’Allah utafika mbali sikate tamaa
@badigrandson1728
@badigrandson1728 4 года назад
Am a kenyan but nmekua impressed na uyu kinana mwenzangu waandishi wa habari nyinyi ndo nguvu ya pili ya taifa trendisheni ichi kitu mpaka uyu dogo afike bunge sio kina pierre mlevi na yuaingia bunge..badala uyu kijana atafute rizki kwa kuonesha hiki kitambo serikali imnunulie izo vifaa ametaja yuaeza ata kua ambasador wa kampuni yyte ya kuuza magari...namuombea afike mbali
@agneskimani1918
@agneskimani1918 4 года назад
Wampeleke kwa viwanda via kuunda Mangari,...watching from germany😉
@kiruimartin
@kiruimartin 4 года назад
Very creative good work
@pilykingo
@pilykingo 4 года назад
Hata "Benz" wa ujerumani alianza kama hivyo . Zidisha juhudi Dodo Allah سبحانه وتعالى atakusimamia vilivyo. Endelea kuwashukuru sana timu nzima ya Waziri na media pia. Hongera ndugu yetu. Mama amezaa chema hapo.
@abubakarmudir1147
@abubakarmudir1147 4 года назад
Duh Dogo itapendeza aendelezwe eidha kwa electronics au mechanics engineering
@charleswaraka821
@charleswaraka821 4 года назад
Unatisha sana mdg wangu hongeza bidiii usimame imara ili kuwakilisha tanzania kwa ubunifu wako
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 4 года назад
Dogo akili nyingi san talent ya hali ya juu hyu marekani wakimuona watamuiba watu km hawa muhimu san but kibongo bongo watamuangalia tu nakumkatisha tamaa
@rukundoibrahim807
@rukundoibrahim807 3 года назад
iko vizuri sana huyo kijana.
@SIMBADUDU2194
@SIMBADUDU2194 4 года назад
Huyo dogo anapoteza muda bure.Anatakiwa afundishwe 'self learning' kupitia mitandao, vitabu workshop. Sayansi inamisingi yake, bila kupita ktika njia zake unakuwa unapoteza muda.Lazima ajue chemistry,physics,mathematics hatabiology. Teknolojia ya sasa iko deep sana sio ya kuunga unga. Mi ningekuwa mwandushi ningemuuliza 'ndoto yako ni nini?" 1.Kuwa fundi 2.kuwa car designer 3.Kuwa mjasiliamali anaemiliki kiwada cha pikipiki au Gari. Dogo weka malengo,jiulize unataka uwe nani katika uwanja wa teknolojia.
@a.856
@a.856 4 года назад
Welldone bro👏
@lusekelodaison8159
@lusekelodaison8159 4 года назад
Daaah huyu mtu ni hatari sana, serikali isimuache huyu...ni lulu ya taifa zaid ya hizo Tanzanite,,,,, huyu anaweza akaleta faida kubwa mno org kwa Taifa
@maarufabdul128
@maarufabdul128 3 года назад
Mashaallah congrats
@kevohmiles2036
@kevohmiles2036 4 года назад
Welcome to KENYA🇰🇪🇰🇪
@michaelstephen3743
@michaelstephen3743 4 года назад
Safi Sana jombaaa kaza uzii watakuelewa anayekutisha na ww mtishe
@josephNdichu879
@josephNdichu879 4 года назад
Huyu ni genius
@hawahawa6915
@hawahawa6915 4 года назад
Mashaa Allah
@khalidkhalid7034
@khalidkhalid7034 4 года назад
Hangeraa!!!!!! Sana.............lkn kilicho si bora hpo ni card ya banki tu..............
@jimmymalle4478
@jimmymalle4478 4 года назад
Serikali inapaswa kuwachukua watu kama hawa waende nje kuongeza elimu then waje kulitumikia Taifa, watakuwa Na mchango Mkubwa sana, Na watu wenye vipaji hivi wapo wengi sana, tatizo ataishia kufanya kazi gereji huyu.
@janefrolakalinga5664
@janefrolakalinga5664 3 года назад
Honger pia
@ibrahimuturuku8072
@ibrahimuturuku8072 4 года назад
This is a real genius...Ufike mbali dogo tunakuombea
@ayoubucharles7136
@ayoubucharles7136 4 года назад
Very good
@middleplatnumz3629
@middleplatnumz3629 4 года назад
Dah huyu professional saana 💪💪🛠
@simulizitamutv4830
@simulizitamutv4830 4 года назад
This guy is genius bro ase siamini kwakweli duh hii ni akili kubwa sana mdogo wangu
@msemajaffar453
@msemajaffar453 4 года назад
Huyu kijana nikipaji ambacho hakitakiwi kupotezwa maana watu mithiliyake ktk dunia hii niwachache .serikali imshikelie imsapoti huyu atafanya makubwa sana
@hilarymachange7188
@hilarymachange7188 4 года назад
🚙🚙🚙 gud sana dogo
@masasuba1215
@masasuba1215 4 года назад
Nakubali mdogo wetu
@Moresa196
@Moresa196 4 года назад
Kigoma Huko Na Mm Nitaenda Wanakula Nn Hawa Majamaa. Wako Vizur kila angle ubunifu na sanaa
@sudysaidykamonongo7549
@sudysaidykamonongo7549 4 года назад
Karibu hom
@sudysaidykamonongo7549
@sudysaidykamonongo7549 4 года назад
Uku tunakula ugali wa muhogo sana,
@fatumaally3444
@fatumaally3444 4 года назад
Ety wanakula nn😁😁😁😁
@gervasjustn2842
@gervasjustn2842 4 года назад
Ila kweli Kigoma wako juu sana, Wasanii Kwa nchi nzima wakali wanatoka Kigoma.
@user-uk8ot2lx5v
@user-uk8ot2lx5v 4 года назад
mawese na migebuka ugali wamuhogo karibu
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 года назад
Duuuh noma kwel huyo jamaa anakpaj cha aina yake 👊
@losttribe007
@losttribe007 4 года назад
Dogo anahitaji big support... Safi sana
@nurannashir8324
@nurannashir8324 4 года назад
Daaah nimeipenda sana
@ericrichard9113
@ericrichard9113 4 года назад
Big up Sana Kaka.
@dodo-mixskillstz9917
@dodo-mixskillstz9917 4 года назад
Huyu dogo yupo vizuri Sana sana sababu waswahili tunafahamu nyota njema huonekani alfajiri,asivunjike Moyo maana hata mbuyu ulianza kama mchicha tunamatarajio mazuri na makubwa kakwe sisi watanzani
@zabronmwogha9935
@zabronmwogha9935 4 года назад
Saf yuko vzur,viongoz wa wizara husika iwaangalie awa wabunifu na kuwaendeleza
@eyumededu2948
@eyumededu2948 4 года назад
Huwa nawaza siku zikiyokea fursa kwa watu wenye vipaji watatoka watu ambao hatukuzania wapo katika Tanzania ama Africa kwa ujumla Mungu aendelee kutuonekania
@ommynakata8967
@ommynakata8967 4 года назад
Noma
@yahayatemu1858
@yahayatemu1858 4 года назад
Dogo upo vizuri sana.
@mukikibati3519
@mukikibati3519 4 года назад
Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe hasa vijana asilia kama huyu
@nyamkamawanjara29
@nyamkamawanjara29 4 года назад
Tanzania naiona mbali sana itakuwa kama Egypt,,wanajitengenezea wenyewe vitu vyao
@stevenmkisi2189
@stevenmkisi2189 4 года назад
Daaah!! Bora unyimwe pesa ila sio maarifa... Big up 💪xana bro ✊
Далее
Самое неинтересное видео
00:32
HUMAN BODY vs NUCLEAR EXPLOSION simulation
6:02
Просмотров 7 млн
VIDEO: UKIINGIA DUBAI HIZI NDIZO SEHEMU ZA KUANZA NAZO
3:20