Тёмный

MTANZANIA ALIEBUNI UMEME WAKE "HAUJAKATIKA MIAKA MINNE, NILIISHIA LA SABA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 628 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

1 авг 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1 тыс.   
@depsmilindi8424
@depsmilindi8424 4 года назад
Watanzania nawapenda sana.... Napenda vile mnavyo ishi, na ubunifu wenu. Natamani sisi Wakongo na nyinyi watanzania tuwe inchi mbili zinazo weza kutumika pamoja myaka za usoni.... Nyinyi mnatufaa kabisa kuwa inchi jirani, hamuna mambo ya vurugu, ni maendeleo na kazi kwenda mbele... Strong 🇨🇩💪🇹🇿
@g-abbastechnology1818
@g-abbastechnology1818 Год назад
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 14 дней назад
pamoja sana
@bahathmuro7145
@bahathmuro7145 День назад
❤🙏🙏🙏
@irenekato411
@irenekato411 5 лет назад
You don't need to be a university graduate to be smart, Tz needs more people like him. So proud of him
@jonaskabonda741
@jonaskabonda741 5 лет назад
Exactly
@meshacktimoth1370
@meshacktimoth1370 5 лет назад
This is very good , the problem was government to support these talent people . After opening the door now people are innovative. We have to create special program to certify these people .
@eddimalon6051
@eddimalon6051 5 лет назад
You need to be university and graduate to be professional, thats why when you sick you have to meet Doctor, and to get good leader. Without good education is too many problems.
@emmanuelkurwa3096
@emmanuelkurwa3096 5 лет назад
Irene Kato sasa kwann umetumia Kingereza
@routhawad2150
@routhawad2150 5 лет назад
Exactly
@aminamfaume4244
@aminamfaume4244 5 лет назад
Tusipokupa hongera itakuwa wachawi.hongera kk ..hongera kk Allah akubariki sana
@ashreymapinda5321
@ashreymapinda5321 5 лет назад
Kakaa umeowaa
@aminamfaume4244
@aminamfaume4244 5 лет назад
@@ashreymapinda5321 watafuta mchumba Dada afauyo
@ashreymapinda5321
@ashreymapinda5321 5 лет назад
Hapana nimeuliza tu kwani kapoteza muda na pesa nyingi kwa muda mlefu na maisha ya sasa tz hapa ndio maana nikauluza na sio kama mamtaka no 🔕 nilitaka kujua tu amina mfaume
@witomwidisi1214
@witomwidisi1214 5 лет назад
Nice
@nasethmadale6251
@nasethmadale6251 5 лет назад
Asante kaka natamani kujiunga na ubunifu huoo laaa mungu akubariki hata bill get alianza hivi hivi lakin amini siku moja utafika malengo yako niliwahi kusikia radioni nadhani kama sitakosea redio free kama miaka miwili au mitatu iliopita ila ahimidiwe mungu barikiwa sana @milladi ayo nashukuru hata kumwona live !!!!!!!!!! Amen
@aby21111
@aby21111 5 лет назад
This guy must be supported and tanzania must be proud of such talent .
@aynatjoe5756
@aynatjoe5756 4 года назад
Omg Tanzania my country I love u...we got talents.. Mashaallah Farouk Allahu bariq...Hon JPM keep a eye on this talents...
@mommary2424
@mommary2424 5 лет назад
Hongera Sana na Mungu azidi kukuinua ukafanikuwe lengo lako.wabongo tumezoea kuoneanaga wivu badala ya kusaidiana,lakini ifiki hatua watu kama hawa serikali iwasaidie watafika mbali na watawasaidia wengine.siyo mzaha kabisa huyu Kaka basi tu sina uwezo ningemwezesha kazi nzuri sana bro.big up💪
@freebeguronu5948
@freebeguronu5948 4 года назад
Kijana hongera
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 лет назад
Hongera sana Farooq Mungu akuwezeshe Zaidi,In Shaa Allah.
@maarifahub5066
@maarifahub5066 5 лет назад
Ayo Tv endeleeni kutambulisha vipaji nchini
@gracesimba9571
@gracesimba9571 5 лет назад
Kijanampambanaji apewesaport yakutosha iliafikembalizaidi
@d.a.t3383
@d.a.t3383 5 лет назад
Ayo TV Specialize in Articles of development and Encouragement to young ones ACHANA NA HAO VITEGA UCHUMI VYA KIMALAYA
@mayaally2512
@mayaally2512 5 лет назад
wana habari hizi ndio habari za kutuonyesha sio za mastaa wa kibongo na wanasiasa tu
@kelvinkamnde3363
@kelvinkamnde3363 5 лет назад
Ningeweza ku like comment yako zaidi ya mara moja ninge like million times.
@melangongo2829
@melangongo2829 5 лет назад
Kweli kabisaaaaa
@victorernest7702
@victorernest7702 5 лет назад
Maya Ally so habar za musiba sipirian cjui mwanaharakat hur
@pascalmsechu6874
@pascalmsechu6874 5 лет назад
Kabisa kaka
@kalelaonlinetv
@kalelaonlinetv 5 лет назад
ماشاءاللہ
@miriamabinery5695
@miriamabinery5695 5 лет назад
Safi sana ,Mungu akurinde ili wazimishaji wa vipaji wasindwe kabisa
@OnlyRuky
@OnlyRuky 5 лет назад
Wawooo video ipo ki professional haswaaaa 💯💯💯💯✋Millard utabaki kileleni
@rajabngunga9530
@rajabngunga9530 5 лет назад
Hongera kk kwa ubunifu allah atakufikisha unapo taka kama una mkubali huyu jamaa weka like yako hap
@keagleeagle821
@keagleeagle821 5 лет назад
Hapa kutaingia mambo ya enviromental impact assessment. Na mambo mengine mengine Huyu ana akili kubwa sana. Ataendelea sana
@hatibuathumani7059
@hatibuathumani7059 4 года назад
Safi sana
@jonesmedia4120
@jonesmedia4120 5 лет назад
No need of being employed to become rich but creativity is highly required
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 4 года назад
@Hugine VEVO indeed no one has ever been rich through employment means
@abdulaziz703
@abdulaziz703 5 лет назад
Maa Sha Allah, huyu jamaa ni genius. Watu wa namna hii ni vyema sana kuwaweka karibu na watoto/vijana wetu ili wapate kujifunza kutoka kwake.
@worldlyricssongs6141
@worldlyricssongs6141 5 лет назад
Jamaniii Mungu anakusudi jamaniii...darasa la saba bila chuo anafanya mambo makubwa kama haya. Iv angesoma c Angekua genius 🙄😘😘 hongera brother
@ahluljazira2259
@ahluljazira2259 5 лет назад
C kila MTU ana akili ya darasani wengine vipaji Tu vinatosha
@thelalas9204
@thelalas9204 5 лет назад
Angesoma angeajiriwa kwisha
@shukuranikibona5893
@shukuranikibona5893 5 лет назад
Angesoma sana asingefAnya hayo akili Yake ingedorola kwa kusubiri ajira tuu..!
@akutiboysolomon9418
@akutiboysolomon9418 5 лет назад
Angesoma asingeweza kufanya hivyo kwani ingemlazimu kufuata na kukariri anachofundishwa kwa lugha ya kikoloni ambayo haieleweki , asingefuata ubunifu wake na ukitaka kufanya vizuri shuleni ukubali kuoshwa ubongo kisha ukaririshwe mawazo ya wengine
@bakarihatibu4587
@bakarihatibu4587 5 лет назад
Majibizano wa hizi comments pia, ni mafunzo tosha kwa mwenye kufuatilia na kuzingatia
@patrickmngongo6767
@patrickmngongo6767 5 лет назад
Kama unamkubali huyooo jamaa kwa kipachiii gonga like
@leonardvitalisi7007
@leonardvitalisi7007 5 лет назад
Shwari sana
@diananjerengo6953
@diananjerengo6953 5 лет назад
Barikiwa sana
@mgambowaghetohayupo1039
@mgambowaghetohayupo1039 5 лет назад
Big up my brother go on ..hope every thing will accepted pambana kaka
@nassirkhatibjuma6625
@nassirkhatibjuma6625 4 года назад
Safi bro
@lizernest7852
@lizernest7852 5 лет назад
Now this is the type of innovation we need in this country...
@nasrahsihaba3522
@nasrahsihaba3522 5 лет назад
😀😀sisi ndo watanzania bwana bg up kaka milad kwakutuletea habari za watanzania mwenzetu wanaojituma kama hao gd job
@saidsabco5786
@saidsabco5786 4 года назад
ayo100%
@pettermollel2531
@pettermollel2531 5 лет назад
Hongera kaka .. ni ubunifu nzurii .... Nimetamani niwe karibu na mkoa wako ningekuja unipe huo ujuzi na me nitengeneze umeme wangu ....
@ramadhanimzamilo2077
@ramadhanimzamilo2077 5 лет назад
Wana vyuo mpooooo, haya nyie hangaikeni2 na mavyeti mtakula vyet🏃🏃
@deusmauka9626
@deusmauka9626 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂
@jumajembe3570
@jumajembe3570 5 лет назад
Hao wa vyuoni watasubiri sanaa na badoooo!!!
@shairanadam1443
@shairanadam1443 5 лет назад
Ramadhani Mzamilo 😂😂😂😂😂😂😂😂
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 лет назад
Hahahaaaaaaa,nimecheka,alafu watajigamba wana digrii nakazi wanachagua
@purryselestine4000
@purryselestine4000 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂kwa kweli
@missmunyao1609
@missmunyao1609 5 лет назад
This man is a genius.I hope 🇹🇿 will take him seriously.
@bressfabians4537
@bressfabians4537 5 лет назад
ETI NA WEWE MWANA CHUO UNALINGA UNA DEGREE. 😂😃😄😅😂😁😀
@florarwegasila9484
@florarwegasila9484 4 года назад
Ulitaka tulinge tuna nn?
@japhetelius712
@japhetelius712 4 года назад
Flora Rwegasila we nae vp wamekutaja jina ulieshindw kubun ata mende 😂😂😂
@raphaellyfrank4932
@raphaellyfrank4932 4 года назад
Haaaa😂😂😂😂 kumbe hata elimu ilikuepo zamani2 ko high level hazina maaana
@fadiajunjuwithmyfamily580
@fadiajunjuwithmyfamily580 3 года назад
@@japhetelius712 shikamoooo🤣🤣🤣🤣
@catherinerobert1759
@catherinerobert1759 5 лет назад
Waoooh it's amazing. Unbelievable man 🤝
@carlosndyetabula656
@carlosndyetabula656 5 лет назад
Huyu kaka angepelekwa akafundisha watu vyuoni na shuleni ili nchi iwe na watu wengi wenye uwezo kama huu innovations hasa ndilo suala la dunia ya leo
@marysdiosa8764
@marysdiosa8764 2 года назад
wewe ndo umeongea point
@samludo5435
@samludo5435 Год назад
@@marysdiosa8764 akat wenzenu wanataka wafundshwe na maprofesa wasioweza kutengeneza ata pin
@imagepower3641
@imagepower3641 5 лет назад
tanesco mnasubiri nini mpeni sapoti mzalendo huyu
@saeedmugandja4187
@saeedmugandja4187 5 лет назад
Good idea
@othumanmaulid7406
@othumanmaulid7406 5 лет назад
Wampe sapoti gani. Wata mhalibiatu wabongo siunawajua
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 5 лет назад
Aaah kwa Tanzania watu walivyo na roho mbaya wanaweza kumuua aisee
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 4 года назад
Serikali itakuja kumdai huyu...
@YusufAli-ib6xu
@YusufAli-ib6xu 5 лет назад
Millard ayo May god bless you always you are great 👍🏻
@danieljefwa2071
@danieljefwa2071 5 лет назад
From kenya hongera brother.keep it up
@mauldinchembera5772
@mauldinchembera5772 5 лет назад
the guy is a LIVING PROVE of go hard on your dreams
@khamisshee5131
@khamisshee5131 4 года назад
bro Millard una roho nzuri sana binaadamu kama ww wako wachache sana Allah akuzidishia AMIN mm niko kenya lkn nakuangalia sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu
@sadiaabed6687
@sadiaabed6687 5 лет назад
Ww usimuulize kiasi anachokipata utafanya mahasidi wamvamie kwanyumba
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 лет назад
Kabisa maana wabaya wanatega maskio tu.Mungu amlinde na mabaya yote nakumuinua zaidi
@janejohn1083
@janejohn1083 5 лет назад
hongerakaka nikipajiulichozaliwa nayomweshimiwa Raisiwetu tunakuomba umuwezeshe kakayetu.
@mwanaidyibrahimu3207
@mwanaidyibrahimu3207 5 лет назад
@@m.mmarckus6298 Ammyn in shaa Allah
@dianaketo2676
@dianaketo2676 5 лет назад
Very very bright! Hapo kuna watu roho zinawafurukuta kutaka kumvamia mkaka wa watu na maswala ya mapato.
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 4 года назад
Proud of you Brother! Africa ll change na watu kama wewe! ✊🏾🇧🇮
@g-abbastechnology1818
@g-abbastechnology1818 Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@dn.n4983
@dn.n4983 5 лет назад
Umefuhisha sana uchizi umekamilika no yako ngapi nikiwezeshe mkombozi wa vijana ndio tanzania viwanda vijana tufanye kazi vizuri baadaye utajiri utakamilika ndio watakushangia sana weka no yako
@geminassenga5303
@geminassenga5303 5 лет назад
Big up San kk
@cyrusmuchiri6834
@cyrusmuchiri6834 4 года назад
Huyu mjasiriamali ana juhudi sana. Kiwango cha ubunifu wake ni cha hali ya juu. Ingelikuwa mimi nisingewaendea hao wafadhali wote na taasisi zote zile, si eti kwamba niko na hela mbali ningekuwa nishachoshwa nao. Hongera!!
@blackwarrior-animations593
@blackwarrior-animations593 5 лет назад
Kama Umeiona Drone imekatiza kwa nyuma Gonga like :-D
@BARAKABLESSING
@BARAKABLESSING 5 лет назад
10:47
@gemasablo3341
@gemasablo3341 5 лет назад
Hongera baba
@ismailmohamedhamed8182
@ismailmohamedhamed8182 5 лет назад
Nimeiona 😂😂😂
@hamisilaizer9094
@hamisilaizer9094 4 года назад
peleka elimu yako uko
@smtv517
@smtv517 4 года назад
Phantom 4 pro kama sijakosea
@victorrobert1701
@victorrobert1701 5 лет назад
Oyo tv bando langu mmelitendea haki
@josephkinyanjui4826
@josephkinyanjui4826 4 года назад
Bro uko na Talanta Kali Sana ,may God bless you congrats.
@kimkayndo
@kimkayndo 5 лет назад
Hongera sana Mjomba. Alhamdulilah
@Mbugokilonda
@Mbugokilonda 5 лет назад
Hii ndiyo Turiani ya vipaji njooni mjionee vipaji vipo vingi tu halafu watu hawajaenda sikuli (School) saloot kwako Mtu wangu jilani yangu, pongezi sana Faroock
@madamloveness7274
@madamloveness7274 5 лет назад
wazungu ukigundua kitu wanakuendeleza ili uwe imara zaid ila bongo utazimwa kama umeme wa luku
@aggreykayoka6710
@aggreykayoka6710 5 лет назад
Umeona eeee watu wanaishia kugundua tu
@rebethboniphace2686
@rebethboniphace2686 5 лет назад
Hapo hajagundua kitu hyoo elimu ipo na inajulikana dunia nzima
@jonaskabonda741
@jonaskabonda741 5 лет назад
Kwa Rais wetu wa sasa Dk.John pombe Magufuli Huyu jamaa hatazimwa ataendelezwa
@askahanyona1590
@askahanyona1590 5 лет назад
@Ali Ali bidhaa zako herbal?Kenya naweza pataje nizijaribu
@azharmamyummyazhar4715
@azharmamyummyazhar4715 5 лет назад
yaaaan hurumaaa
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 5 лет назад
Nabkubwa Wacha wakuone chizi lkn sisi tunakuona Genius
@jonaskabonda741
@jonaskabonda741 5 лет назад
Kweli kabisa Huyu ni Genius
@jordanmpande5349
@jordanmpande5349 5 лет назад
Bonge kipaji
@adamidrisa9232
@adamidrisa9232 5 лет назад
Kweli aisee huyu ni genius
@ngaritotv4784
@ngaritotv4784 5 лет назад
Kaka hongera sana uko vizuri talented
@aisharamadhaniothumani2071
@aisharamadhaniothumani2071 5 лет назад
Masha Allah allah akuzidishie kipaji chako kaka angu
@tobakamota2553
@tobakamota2553 5 лет назад
Ongera Sana kaka
@richardmnkande1130
@richardmnkande1130 5 лет назад
Hii akili ikitumika vizuri italeta ukombozi Mkubwa sana kwenye jamii ya watu wa tuliani, Serikali inahaja ya kufikiria kuhusu MTU Kwa Mkubwa wote unaostahili
@jamesphilemon5339
@jamesphilemon5339 5 лет назад
Nakukubali sana milard kwa taarifs zako
@drukundo4276
@drukundo4276 4 года назад
Brother from USA keep it up men thats great job ....Africans we need to own our things
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 5 лет назад
Uchizi ume kamilika hahaha safii bro kaz kaz upo sahihi sanaa vyema
@kimutattoo4067
@kimutattoo4067 5 лет назад
Congratulations and Cerebrations to you brother 100%
@askahanyona1590
@askahanyona1590 5 лет назад
Utaenda far aisee!hongera kwa ubunifu na Mungu akuzidishie hekma.I enjoyed watching this video n learnt alot.
@Smartboy-wt1es
@Smartboy-wt1es 5 лет назад
Hv hao walo dislike ni wa2 kweli au mizim? Kweli kuna mijitu ina roho mbaya kupitiliza!!
@sospetermathias4253
@sospetermathias4253 5 лет назад
Jamaa uongo mbaya kunawatu hawajui maana ya like na dislike wanabonyezatu ilimladi liende
@MrKadaboy1
@MrKadaboy1 4 года назад
Walio dislike hii video ni wapumbavu tu
@bahatibunzali15
@bahatibunzali15 4 года назад
Hawajui wanaona yote sawa
@joshuasamson4174
@joshuasamson4174 5 лет назад
rais wetu mpemdwa nampenda sana rais John pembe magufuli amekusikia atakupa msaada mungu ibarki tanzania mungu mbariki rais wetu kwa jina la yesu
@YusufAli-ib6xu
@YusufAli-ib6xu 5 лет назад
Rais magufuli huyo mwingine mtaalamu ambae hajapata support yoyote
@silvasiame9861
@silvasiame9861 5 лет назад
If you've a strong intellect, no need of university intelligence( where human being have turned into intelligent robots,they feed with you informations,materials of no Use). Super Brother, good work
@solomonikanichi6285
@solomonikanichi6285 5 лет назад
Solomon kanichi Uyo jamaa ni darasa lasaba je nyie mnao soma vyuo vikuu hassa vya umeme mnawezs
@musapaul2830
@musapaul2830 5 лет назад
Nimeshindwa hata kusema hongera nikihisi haitoshi kwa Mr. Hassan F. Maana ubunifu huu mpaka sasa Mimi najiona zero kabisa. Ila cha Msingi Mungu ambariki sana MTU Huyu na ikiwezekana aweze kuanza kuibua vijana wengine ili kuwa na wabunifu wengi zaidi nchini.
@bosspeter6259
@bosspeter6259 4 года назад
kaka Mungu awe nawe hii nikipawa toka kwa Mungu sio lasima university kwa Mungu akuongesee ujusi sana na sana
@fadhilplatnumz6209
@fadhilplatnumz6209 5 лет назад
Gd- sanaa" Jamani huyujamaa sio Chizi ila nimtafutaji na anaidia kubwa Og Mkalii
@emmanuelmwakipesile5149
@emmanuelmwakipesile5149 5 лет назад
Nikweli ukishakua na mawazo tofauti na jamii inayokuzunguka basi watu wanakuchukulia tofauti
@isunga1964
@isunga1964 5 лет назад
😆😆😆😆wanaume wa Dar wachache sana mwenye mambo haya hongera kaka huku wnaangaika kuongeza nguvu za kiume tu
@mohamedgilala8423
@mohamedgilala8423 5 лет назад
Ha!ha! umenichekeshaa cct
@bbynai9206
@bbynai9206 5 лет назад
Umenichekesha sama Tena nimecheka kwa mguvuno
@isunga1964
@isunga1964 5 лет назад
@@mohamedgilala8423 maana wahatari sana kuongeza nguvu 😆😆😆😆
@isunga1964
@isunga1964 5 лет назад
@@bbynai9206 😆😆😆hatari sana mpendwa wanaongeza nguvu mpaka vizazi wanagusa
@khamishassan1436
@khamishassan1436 5 лет назад
wanaume wa Dar chips kuku na mziki sio kazi za kiume kama hizi
@festoottosimkwayi5597
@festoottosimkwayi5597 4 года назад
Very good. May God bless the guy.
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
Mashallah hongera sana Brother, uyu ndio aina ya mume ninaemuhitaji, anajituma sana, nimependa sana jitihada zako bro, Allah akusimamie katika kazi zako na akutimizie ndoto zako kila cku zijazo 🙏
@alexchungu9505
@alexchungu9505 5 лет назад
Hawa ndio wanafaa kuwa ma engineer..
@solobenny6291
@solobenny6291 5 лет назад
huyu ni talented ila hawez kuwa engineer, engineering inanzia kwenye paper ndo field lakin wabalikiwa wanaanzia field, kuna utufauti mkubwa sana na failure ni nyingi mno hata yy amekili kuwa kaangaika sana mpaka hapo alipo fika, lkn angekuwa n ujuz wa kihandisi asingesota kama alivyosota. All in all ni hongera kwake asikate tamaa atafikia malengo
@alexchungu9505
@alexchungu9505 5 лет назад
SOLO BENNY , colonia legacy ni mbaya sana.. imekuja kuharibu kila , hasa kwenye mifumo ya elimu..
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 4 года назад
Hivi Magu rais hujamwona Huyu jamaa anafaa kuendelezwa ana ubunifu wa aina nyingi sana ni kichwa angepewa sapoti aisee
@alijeilani6969
@alijeilani6969 5 лет назад
Mimi naweza kukusaidia lakini ni mkenya na naishi America yawezekana niishi Tz
@Ambagaye
@Ambagaye 5 лет назад
Kijana smart sana huyo! Ila hapo Turiani inaonekana kama kuna wabunifu wengi sana. Nilipokuwa hapo kwenye project yangu ya sukari miaka ya nyuma nikishirkiana na Mtibwa nilikutana na watu wengi sana wabunifu wa aina aina. Kulikuwa na mmoja aliyebuni na kutengeneza mashine zake za kupasua na kuranda mbao, mwingine alikuwa amebuni na kutengeza mashine yake ya kuvuna miwa shambani. Tuniani si pa kuchezea kwani kuna watu wenye bongo kali.
@pujimontanapachino4958
@pujimontanapachino4958 4 года назад
Ata me nishaitwa sana chizi b4 nilikua nikiimba mziki huku Germany kwakutumia kiswahili nikiwa kazini au Park waafrica wengi walikua wananiona mimi walikua wanajua nishaanza kudata au chizi lakini now kilaweek napiga shoo kwenye Hotel kubwa na nimeajili watu kwenye bend yangu na kila mwezi naingiza sio chini ya eur 2000 mbali na kazizangu nyengine ninampango wakufungua shule ya mziki kwa kwa kujifunza kiswahili.
@mrmhenipm
@mrmhenipm 5 лет назад
Mpaka fedha zote hizo,,,kwa nini hao watu wa Bodi wasitumie gharama zao za kwenye bajeti?duuuu Tz bhana!
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 5 лет назад
Mambo yapo mazuri mengi yanafanyika Ila watu Hawaoni zaidi ya kutawaliwa na mambo ya uwya, mambo ya bongo movie Blh Blh
@parma786
@parma786 5 лет назад
Brother hongera sana juhudi safi very good, Lakin hapo kama mto uta over floor yani maji mengi kupita kiasi chake je mitambo yako ipo imara kwa hilo Au ni vipi unadhani
@AliJabir-xi4em
@AliJabir-xi4em 5 лет назад
Ww jamaa Mungu akujaalie sana naona nia njema kbs Kwa vijana wenzio Mungu akupe zaidi
@darweshk7342
@darweshk7342 5 лет назад
very talented bro highly appreciated Kaka uko vizur
@rashidfentu5542
@rashidfentu5542 5 лет назад
Ayo tarifa zako nazikubali sn huna tarifa za kimbea kama media zingine kaz kaz zao zari diamond ndo zao big up sn
@abasijuma5055
@abasijuma5055 5 лет назад
Kwa tuliosomea electrical engineering .......huwezi anzisha power generation bila ya kua na knowledge hata devices to implant huwezi oteshwa tu ukaziweka some skills is needed .....msipotoshe watu eti kaishia lasaba bila ya knowledge akafanya
@abdulrisassy2488
@abdulrisassy2488 5 лет назад
Safi sana braza farooq proud kukufahamu na kma wewe ni mwana turiani na unamfahamu farooq au unafahamu eneo lake hilo lilipo mto mbulumi LIKE hpa ku show appreciation kwake👍👍✌✌#WE ARE PROUD OF BROTHER
@brianlaurent4806
@brianlaurent4806 4 года назад
vijana wengi wanafanya kazi nzuri ila hawakupata elimu ya darasani "formal education" . Itabid sasa tubadili mfumo wa elimu yetu maana tuna wasomi Ila sio wataalamu, maana matunda ya kusoma kanuni na principles zote bado hatuyaoni. Mfumo wa elimu tuliorithi toka kwa wakoloni inaua ubunifu wetu. MUDA WA SISI KUAMKA NDIO HUU na tumeanza
@herimwijonge954
@herimwijonge954 5 лет назад
Very big talent!! Tatizo tanzania vibali vingi sana (BUREAUCRACY) 🤦‍♂️
@bakarihatibu4587
@bakarihatibu4587 5 лет назад
Ni kweli aiseh,,
@hawashamasi9115
@hawashamasi9115 2 года назад
Snaaa
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 5 лет назад
wao wanakuona huna akili ila wewe ni genius kweli
@denismakweba3870
@denismakweba3870 5 лет назад
Hizo hela za tuzo kalipie upate kibari😘💖 ufanye vitu bila tabu💖hongera sna kka👏👏👏👏
@isaackitogo5043
@isaackitogo5043 5 лет назад
Kuna mtu/watu hawajafanya kazi yao au wameshindwa kwenda na kasi ya Mh Rais. Siku Mh Rais alipokutana na wabunifu pale Ikulu maafisa watendaji wakuu wa Tanesco waliondoka siku iliyofuatia kwenda Njombe kukagua miradi ya wabunifu wale. Inastikitisha sana Tanesco wamepuuzia au kutolipa umuhimu mradi wa Farouk Hassan ambao pamoja na mambo mengine una manufaa makubwa sana kwa jamii inayomzunguka. Huyu kijana ni tajiri lakini taasisi za serikali zimeshindwa kumshika mkono ili afaidi utajiri wake. Labda tumuombe Mh Rais atoe maelekezo kwenye hili pia.
@OnlyRuky
@OnlyRuky 5 лет назад
Usikubali kuwapa deep siri yako serekali haswa ya awamu hii watakumaliza nakukuzima hutoamini we jifanye kumsifia chuma😲. broo keep it up ungelikuwa ulaya ungesha kuwa siyo mwenzetu kwanza wangekusaidia kuwa kisasa na kukuza. Baada ya hii zideo utasikia ndiyo wanakutafuta km vile umeanza jn aibu kweli😩
@TheSalma1999
@TheSalma1999 5 лет назад
Jamaa kichwa huyu ana akili sana wow magufuri makonda msaidieni huyu kijana
@midundotechtz6843
@midundotechtz6843 5 лет назад
Daah kitambo sana nimeishi mitaa hiyo thanks sana milard
@joachimlevi7202
@joachimlevi7202 5 лет назад
Aise kumbe Tz tuna vichwa vinavyofikiria!!! Hongera Farough kwa kazi nzuri. Enyi viongozi mlio na nafasi mwangalieni mbunifu huyu kwa jicho la pekee
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 5 лет назад
Elimu ni kukabiliana na changamoto na mazingira yanayokuzunguka. Huyu ndio msomi alieelimika sasa.Darasa la saba lakn anafanya mambo makubwa
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 Год назад
Mashaaallah hongera sana Farouk Allah Akulinde na Mabaya na Akuzidishie kipato zaidi
@amanijampion3045
@amanijampion3045 5 лет назад
Pia kwa ushauri ndugu mtangazaji; usikose kuweka mawasiliano ya watu unaowahoji IPI kuwa promote. Watu wengi wanahitaji Huduma za wabunifu wetu na hii itakuwa kama support ya watz kwa shughuli za watz. Makala nyingi za kiubunifu tunazishuhudia ila tunakosa connection hivyo kukosa proximity na wabunifu wetu
@dn.n4983
@dn.n4983 5 лет назад
Mfanye fast fast akuna kulala hapa msaidiane watu wa tanesco msisubiri mpaka rais haje ndio mnamsaidia
@levocatusgatu4295
@levocatusgatu4295 5 лет назад
Swaliiii kwa Maprofesaa wa Tz wamesha wahiii kubuni vituganiii:::;?!!!!!hongelasana mzebabaaaa yani hongelasana sana kigoma michikichi kibao lakin hakunakiwandaaa cha kukamulia maweseeeee daaaah God bless U::;;!!!!
@yusuphwaitara8340
@yusuphwaitara8340 Год назад
The man who harnessed the wind and water
@abrahamsingano5372
@abrahamsingano5372 5 лет назад
you are a wonderful guy Mr Ayo keep it up
@lornakaleveratsisaga953
@lornakaleveratsisaga953 5 лет назад
Congratulations boss.... May the good Lord see you through all your endeavours.
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 5 лет назад
HII CLIP IANGALIEN MPAKA MWISHO VIJANA WENZANGU MTAJIFUNZA
@stellahmosha9517
@stellahmosha9517 4 года назад
Wanachuo wanaosubiri 2021 ili waajiriwee gonga like situnasonga na maubunifuu tuu, hongera kaka tena sana zaid na zaid
@stellahmosha9517
@stellahmosha9517 4 года назад
2026 wanasubiri waajiriwe
@fatumatandika5849
@fatumatandika5849 2 года назад
Hongera sana mdogo wangu Farouq Hassan Khalifa Mungu anaona kazi ya mikono yako nina imani iko siku nawe utatoboa,kaza moyo.
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 5 лет назад
Hongera Millard Ayo,kwa hakika kiasi uwe juu..Na mungu akujaalize uzidi kuwa juu na ufanikiwe kwa kila jitihada,kwa hakika unajitahid juu ya kazi yako na unaitendea haki itakiwavyo,uko juu kikazi,kuongea,kuhoji na kufwatilia kila habari au jambo,big up sana na mungu azidi kukuongoza na mafanikio zaidii
@josephatchristopher9686
@josephatchristopher9686 5 лет назад
Safi Sana mtanzania
@hilaliuxalex3168
@hilaliuxalex3168 5 лет назад
Ayo tv for my bandle
@wazirisukari5178
@wazirisukari5178 5 лет назад
Kama kuna alieona drone inazunguka hapo tu like pamoja
@shadrackmutokaa3742
@shadrackmutokaa3742 3 года назад
Mm n mkenya.. Napajua hapa... Nimeona mwenyewe katika ziara zangu mandizini turiani... Hongera mhesh.
@hadijapazia684
@hadijapazia684 5 лет назад
Utaambiwa ulipe kodi sasa iv.
@na0m1fes51
@na0m1fes51 4 года назад
HADIJA PAZIA 😂😂😂
@costantinejovine6026
@costantinejovine6026 5 лет назад
💯💯💯💯 Bro Big Up
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 Год назад
Bismillah maashaaAllah Farouk...Allah azid kukuongoza njia....hakika si kwa uwezo wako tuu bali Allah kachangia pakubwa...hongera sana
@yohanalaiser2667
@yohanalaiser2667 4 года назад
Hongera sana Faruk....hongera sana Ayo TV.....watanzania wote tujifunze mfano huu....huyu kaka ni engineer kabisa
@georgemathias1848
@georgemathias1848 5 лет назад
dah! jamaa yuko vzur wacwac wangu n mafurko yakja
@yusufismail3116
@yusufismail3116 5 лет назад
Kila mwaka mto huo unafurika na maji ila hiyo target ya jamaa iko vzuri mafuriko hayana athari hapo.
@isaiahmichael8369
@isaiahmichael8369 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂
@aristidestibaijuka3428
@aristidestibaijuka3428 5 лет назад
Ongera sanaaa kaka Mungu akubariki
@husnatgamaah1335
@husnatgamaah1335 5 лет назад
Mungu amnusuru - Aamin
@nyotaben2870
@nyotaben2870 4 года назад
Yakija mafuliko umeme unaongezeka
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 5 лет назад
Huyu jamaa ana akili,tatizo la wabongo wabunifu wanaonekana km vichaa Ila atafanikiwa
Далее
지민 (Jimin) 'Who' Official MV
03:28
Просмотров 13 млн
HII NDIYO HELIKOPTA ILIYOUNDWA ZANZIBAR
10:50
Просмотров 818 тыс.