Тёмный
No video :(

Gari jipya la Simba SC lilivyoingia Airport 

Mwananchi Digital
Подписаться 991 тыс.
Просмотров 88 тыс.
50% 1

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Опубликовано:

 

9 апр 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@agaiadam5099
@agaiadam5099 3 года назад
Xafiiii🦁🦁🦁🦁🦁❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@davidnkana194
@davidnkana194 3 года назад
Sio basi zuri kwa kiwango Cha Simba
@ahmedjuma3602
@ahmedjuma3602 3 года назад
Alie kwambia hadhi ya team ni bus nani
@mirajiabdalla6014
@mirajiabdalla6014 3 года назад
TATA nzuri sana,ila ingekuwa ya dabo lingi ingependeza san
@vedastoakyoo6131
@vedastoakyoo6131 3 года назад
Daaah mungu ibariki simba yangu naipenda sana from my heart
@danielimaikogeradimaiko7989
@danielimaikogeradimaiko7989 2 года назад
Mungu ibaliki yangu
@silasilimbunkani6054
@silasilimbunkani6054 3 года назад
Nizul kwel
@kennethkennedy717
@kennethkennedy717 3 года назад
Safi hayo nimoja ya mafanikio ya Clab ya Simba Sc Nguvu Mmoja
@pcpoint1224
@pcpoint1224 2 года назад
Sasa kopo utafananisha na LA yanga
@wifajoonlinetv9081
@wifajoonlinetv9081 3 года назад
Hamna kitu hapo,ulishawahi ona wapi timu kubwa inanunua tata,si Costa tu hiyo,Bora lile la zamani lisiuzwe
@izdorynganguli5764
@izdorynganguli5764 3 года назад
Wawoo
@stanslauslupelele5726
@stanslauslupelele5726 3 года назад
Roho zinaumaaa utopolo
@christapapollo5737
@christapapollo5737 3 года назад
TATA😂😂😂
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 3 года назад
Simba ni timu kubwa lkn tata imetufanya tuonekane ni wadogo kama kagera sugar tata!! are we serious?umeona wapi
@mahmoudallah1081
@mahmoudallah1081 3 года назад
Mmmmh do you know about its tributaries?
@emmanuelmhagama2384
@emmanuelmhagama2384 3 года назад
𝑀𝑎𝑚𝑏𝑜 𝑛𝑖 𝑚𝑜𝑡𝑜𝑜𝑜𝑜𝑜
@mwambietv7614
@mwambietv7614 3 года назад
Ama kweli Simba baba lao, Sasa sisi wa Utopolo fc aka wizarani fc haya mambo tutayapata lini jamani nasikia manji wetu karudi ni kweli?? Lakin manji atamuweza Mo?? Jibu hapana khaa acha tubaki na kilo 800 wetu 😂
@tmtarima2011
@tmtarima2011 3 года назад
Mbona kuna sport pesa
@danielleonard3259
@danielleonard3259 3 года назад
Kwani kamahajaelewana stika zinabanduliwa Kaka vip ww
@kazumaryussuph1641
@kazumaryussuph1641 3 года назад
😁😁😁😁😁😂😂😂 kumbe n tata
@ahmedsadikimlugu3095
@ahmedsadikimlugu3095 3 года назад
La yanga liko wapi?
@ayoubsuleiman2581
@ayoubsuleiman2581 3 года назад
Hahahaaaa hapa simba tumeingia mkenge kabisa sasa tunatofauti gn na kagera sasa maana la utopolo bado linaonekana zuri na jipya kulko hili halina muonekano hili gari kwakwl
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 3 года назад
SIMBA - SCANIA ☑️☑️☑️☑️☑️ tazama inavo march Sio SIMBA - TATA ❌❌❌❌❌ TATA haya mabus ya HADHI ya akina UTOPOLO , Gwambina , Ndanda
@kassimukipingu5343
@kassimukipingu5343 3 года назад
Mimi simba tata hamna kitu
@emmanuelmkeba7901
@emmanuelmkeba7901 3 года назад
Mlishaambiwa ninyi utopolo wote mtahamia Simba mshaanza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@usajiliusajili6511
@usajiliusajili6511 3 года назад
Hahaaaa Utopolo jamani
@kassimukipingu5343
@kassimukipingu5343 3 года назад
Kwenye coment huwezi ukajua nani simba halali wala nani utopolo binafsi hio gali sio level ya simba utoke kwenye yutong ungie kwenye tata huo ni ushamba
@sidrasaidi5855
@sidrasaidi5855 3 года назад
Hongera sana uongozi wa clan ya simba hakika ni hatua kubwa naijoi nikiwa simba www je?
@faisalyahya7186
@faisalyahya7186 3 года назад
UTOPOLO MNALIFAHAMU TATA LAKINI AU MNA COMMENTS UGORO HAPA
@mussammanga7791
@mussammanga7791 3 года назад
Tata ni aina ya gari asili yke ni India.
@mussakongakonga6416
@mussakongakonga6416 3 года назад
Ujinga mtupu gali Hilo hata nikilikuta mbezi Luis sipand kabisaa siwez safili na mtata
@farajaholota4950
@farajaholota4950 3 года назад
𝗬𝗲𝗮𝗵 𝗵𝗶𝗶 𝗻𝗱𝘆 𝗱𝗵𝗮𝗻𝗮 𝘆𝗮 𝘁𝗲𝗮𝗺 𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 3 года назад
Hilo bus ni UTOPOLO mitupu ! Mihela inayopiga SIMBASCTZ leo WACHEZAJI unawanunulia BUS lenye HADHI ya UTOPOLONI !!! Subirini sasa UTOPOLO watakavyoo jibu mapigo kama hawajalialika chapa SCANIA au BENZ.! enjinia Hersi ka namuona na misifa yake !!! Bwanyenye wetu me namuona MSANII tuuu ka WASANII wengine !!!
@hassansalum5362
@hassansalum5362 3 года назад
Kwani bus ndoo lilocheza mpira halafu haya matata yako kila aina kuna ya milion 40 mengine milion.90
@muchumissingo1675
@muchumissingo1675 3 года назад
Hivii Mo kakosa Macopolo ya Maana hadi atese wachezaji humoo 😂😂
@wolfugangtesha5724
@wolfugangtesha5724 3 года назад
Bora umejicheka kwa utumbo ulioandika hapo
@amoselead4029
@amoselead4029 3 года назад
Kwani bays hiyo nzuri tu
@joshuamchiwa861
@joshuamchiwa861 3 года назад
Tatizo letu wabongo huwa tunafanya utani mpaka kwenye vitu serious. Mnaobeza TATA lini umewahi ona SIMBA team inasafiri umbali mrefu kwa basi? Badala ya kuiga au kufanya zaidi ya hapo mnakalia maneno mengi tuu. Hebu tuwe sirias na mabadiliko. Hatuwezi kuikwamua YANGA yetu kwa kuwabeza simba, kwa kifupi Simba ya sasa siyo ya kubezwa. If you cant fight them join them. Tatizo wanayanga tumekuwa na maneno maneno sana vitendo hakuna. Tuache majungu. Big up SIMBA, Big up MO Dewji.MUNGU ibariki YANGA yetu.
Далее
ВОДЯНОЙ ПИСТОЛЕТ ЗА 1$ VS 10$ VS 100$!
19:09
RISALA YA MCH. KANTATE, IMEJAA MEMA ALIYOYAFANYA
8:41
Просмотров 4,7 тыс.
Simba SC ilivyoichapa Nkana FC goli 3-1
6:24
Просмотров 10 млн
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Просмотров 6 млн