Тёмный

HASHEEM IBWE: SIMBA SIO MPINZANI WETU / ATUMA SALAMU KWA PYRAMID KLABU BINGWA / HATUTOWASAHAU YANGA 

Crown Media
Подписаться 172 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@johannmaloda6027
@johannmaloda6027 2 месяца назад
Good boy ibwe👍
@omarymtotela3751
@omarymtotela3751 2 месяца назад
Nakubali sana
@HamisiMwazikeni
@HamisiMwazikeni 2 месяца назад
Nomaa
@RidhioneMdoe
@RidhioneMdoe 2 месяца назад
Kashabiki ka yanga haka nakajua tangia kanatangaza mpira
@johnmsabaha7399
@johnmsabaha7399 2 месяца назад
Mbona hujawahi kusema kama zakazakolo ni kolofc?😂
@sirpaza8513
@sirpaza8513 2 месяца назад
Ni simba huyo
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 2 месяца назад
🔥🔥
@alphalungele-479
@alphalungele-479 2 месяца назад
Team ambayo ina team haiwezi kushindana na team ambayo inatengeneza team Kweli nakubali ubaya ubwela.
@SamweliMango
@SamweliMango 2 месяца назад
Ibwe aimbe wimbo
@elishacharlesjr3611
@elishacharlesjr3611 2 месяца назад
Ibwe ongea fact achana na siasa
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 месяца назад
Hashimu Imbwe hamna msemaji hapo anoekana ni wale watu wa upi......e
@morrisabdon7881
@morrisabdon7881 2 месяца назад
Mbwa anaebweka sana Hana madhara.
@abthaqb2711
@abthaqb2711 2 месяца назад
Uyo ajielew anachosema Kwan Simba kasema yeye mpizan wake sima mpizan wake yanga ila Azam analazimisha kuita mzizima dab Leo anajikanyaga sio mpizan wake ndio acha kujiongelesha brother
@Mra_brandvevo
@Mra_brandvevo 2 месяца назад
Ukumbuke maneno yako mana timu yako ni mbovu sana
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 месяца назад
Imbwe hamna mtu apo badala ya kuichambua Azam anaisifia Yanga . Achana na Simba Azam hamna timu hapo
@issakwisamwakisambwe4080
@issakwisamwakisambwe4080 2 месяца назад
Mbona tuliwaloweka 3 wamechuchumaa leo anatudhalau mbwa huyo akwende
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx 2 месяца назад
Hashim 😂😂😂😂😂😂
@NassirAbdala
@NassirAbdala 2 месяца назад
Mimi nashangaa huyu jamaa anaisema sana simba kuliko yanga hata afungwe 6 na yanga lakini ataisema simba
@mussatulio7632
@mussatulio7632 2 месяца назад
Kweli kanazingua haka kajamaa yeye hawezi kukaa kuisema Yanga pumbavu
@eddechriss2664
@eddechriss2664 2 месяца назад
Yani toka yanga watupige 4 alafu ibwe ukaja na msemo eti we don care, yani kwa sasa sina Iman na kauli zako bro
@IsmailKatala
@IsmailKatala 2 месяца назад
Alitakiwa kusemaje?
@dalalfundikila507
@dalalfundikila507 2 месяца назад
Ako ni UTOPOLO uwenda kanaihujum hata Azam ifungwe na utopolo wanzie
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 2 месяца назад
Anaihujumu Azam yeye kocha?? Acheni umbea na simba inapigwa nani anaihujumu ? Acha hizo.
@khalidhamka9567
@khalidhamka9567 2 месяца назад
Kwann ww ulikubar kuhijumu team yako tukaishenyeta tano 5
@User92.invisible
@User92.invisible 2 месяца назад
We ndo ulihujumu kolo ikapigwa mkono
Далее
МЭЙБИ БЭЙБИ - Hit Em Up (DISS)
02:48
Просмотров 287 тыс.
GB 64 KWA HASIRA AMVAA MCHOME, ANASEMA SINA AKILI?
20:24