Тёмный

GB 64 APAGAWA NA USAJILI STRIKER MPYA Simba MPANZU DILI LIMEGOMA GENK Kurudi Simba? FRED OUT 

SANGA TV
Подписаться 128 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@BonyLiony
@BonyLiony 23 дня назад
❤❤gb64 nakukubali sana ila suala la mpanzu endelea kukazia ili dirisha dogo aanze kazi apa msimbazi 💕
@juliusmbikilwa6928
@juliusmbikilwa6928 26 дней назад
Gb 64 una akili pana sana hongera zako mwanaume,mimi Mbikilwa kutoka Misungwi nakukubali mno.
@lonesomekabora5547
@lonesomekabora5547 26 дней назад
Yanga ndio wanakelele sana na Simba kuliko wana Simba wenyewe Simba tumerudhika na usajili wetu
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh 26 дней назад
Hongera kaka GB64 tuko nyuma yako
@NagunwaShumbi
@NagunwaShumbi 26 дней назад
Mambo yatakaa sawa tuu.
@AbdallahKarata
@AbdallahKarata 26 дней назад
Unyamaaaaa
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 26 дней назад
Dah kweli Daby ni mechi ya kichawi
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 26 дней назад
Wewe unapagawa na usajili baada ya kupiga kelele kuhusu GSM KUDHAMINI TIMU ZAIDI YA SITA LIGI MOJA?WENZENU WANAZO POINTS ZA BURE ZAIDI YA 30?
@sautikuu212
@sautikuu212 26 дней назад
Hilo ameshalipigia kelele zaidi labda wewe hufuatilii
@neemamwijage
@neemamwijage 26 дней назад
Ameshaongea sana kuhusu hilo hata ww unaweza kupost vidio ukiwa unalilamikia suala hilo itapendeza sana
@KareemMdoe-u8r
@KareemMdoe-u8r 26 дней назад
Azam analipa fazira kwa yanga
@RamadhanJuma-x1z
@RamadhanJuma-x1z 26 дней назад
Hili ndo semaj la mashabiki wa Simba
@Mosesndela24
@Mosesndela24 26 дней назад
kaka unajua ni kweli
@BakariSalum-l1x
@BakariSalum-l1x 26 дней назад
Tff na gsm wanaharibu soka ,kwa kumuacha muuza magodoro kuzamini vilabu 6 ni hatari😮
@JonathanShangali-eo1gv
@JonathanShangali-eo1gv 26 дней назад
😂😂😂 huyu GB 2 sio 64 maana anasema guede kafunga timu ndogo kwaio simba na yenyewe ndo si ndio😂😂
@GeofreyMwaipopo-gl8up
@GeofreyMwaipopo-gl8up 26 дней назад
Umbea tu kuoga aaah!
@user-wp4hl1mu9p
@user-wp4hl1mu9p 26 дней назад
Uko sawa kak@
@SadikiMohamed-d9f
@SadikiMohamed-d9f 26 дней назад
We ni mak
@lonesomekabora5547
@lonesomekabora5547 26 дней назад
Wametufunga goli 1 Ngao, simba tumeshangilia performance ya wachezaji wetu wao povu linawatoka sasa wasubirie siku wakipata kipigo cha Simba watakua mabubu
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 26 дней назад
Hawawez kuwa mabubu wanataendelea kulalamika
@namfukamaismailna8203
@namfukamaismailna8203 26 дней назад
Acha ndoto za alinacha wewe kolo. Umfunge nani
@julianajeremiah4353
@julianajeremiah4353 26 дней назад
😂vsafii
@GeofreyMwaipopo-gl8up
@GeofreyMwaipopo-gl8up 26 дней назад
Kila team kwenu ni ngumu coz team yenu mbovu kenge ww
@MwinyikondoNassor
@MwinyikondoNassor 26 дней назад
Usitukane
Далее
Sigma Girl Pizza #funny #memes #comedy
00:14
Просмотров 1,7 млн