Тёмный
No video :(

GENIUS JINI: NILITEKWA NA ALSHABAB, NILIZAMIA NCHI ZA WATU BILA PASSPORT, USHIRIKINA NA UCHAWI 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 3 тыс.
50% 1

GENIUS JINI: NILITEKWA NA ALSHABAB, NILIZAMIA NCHI ZA WATU BILA PASSPORT, USHIRIKINA NA UCHAWI

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@kaditokenya6873
@kaditokenya6873 Месяц назад
Kisauni hoyee huyu ni mwanangu sanaaa mkumbusheni anamkumbuka gwengweleee street boy
@ImaniMadiba-yu7wn
@ImaniMadiba-yu7wn Месяц назад
Genius jini ni CHAMPION HASWAAA 🏆💪
@iam_sami
@iam_sami Месяц назад
Kwa stairi iyo kwann ucseme uislam ni ugaidi … poor guy pole sna jini 💪🏽
@BablayEagle
@BablayEagle Месяц назад
Uislam sio ugaidi watu ndo magaidi
@iam_sami
@iam_sami Месяц назад
@@BablayEagle wanaua kwa ajir ya nan… ???
@BablayEagle
@BablayEagle Месяц назад
@@iam_sami kwaajili yao wenyewe na wala uislam auhusian na uhalifu
@iam_sami
@iam_sami Месяц назад
@@BablayEagle lete fact acha bra bra kwann awajawauwa aowaliofunga akamuua dereva don’t be a follower be a free thinker
@BablayEagle
@BablayEagle Месяц назад
@@iam_sami kumbe we mwenyew kilaza asa dereva kauliwa na nani kilichomuua ni kilevi chake istoshe hao ni watu sio dini na mtu anaweza kufanya uhalifu kwa njia yeyote ile mfano kuna kesi nyingi za wachungaji, mapadri waumini wa dini ya kikisto kubaka kutembea na wake za watu wengine kufanya mauwaji je ndivyo biblia ilivyofundisha?
@salimbilali5174
@salimbilali5174 Месяц назад
Kisauni...WAKALI KWANZA
@chizylove9290
@chizylove9290 Месяц назад
Muislam gani unavaa msalaba halafu usituaribie dini hzi Kiki tu muongo sana huyu
@afiahsalmin7508
@afiahsalmin7508 Месяц назад
Chaos Bamburi kisauni apa
@user-nb2jw4km6f
@user-nb2jw4km6f Месяц назад
Duu! Nchi za watu tubaki bongo kwetu
@Swahilimovie-h5p
@Swahilimovie-h5p Месяц назад
Mmmh ❤😂🎉😢😂😂
@Mina.15
@Mina.15 Месяц назад
Muongo makende
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Месяц назад
Alshabab anawajua kweli!???
@user-cg2zu1wm7r
@user-cg2zu1wm7r Месяц назад
😂 kubalii tu anachosema
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Месяц назад
@@user-cg2zu1wm7r dah kweli..
Далее