Тёмный
No video :(

GET OUT 1 /BATULI/SHAMSA FORD/STEVE NYERERE/HASHIM KAMBI 

Halisi tv
Подписаться 213 тыс.
Просмотров 121 тыс.
50% 1

GET OUT 1/BATULI/SHAMSA FORD/STEVE NYERERE/HASHIM KAMBI

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 6 месяцев назад
Bongo movie kwann mlinzi lazima awe mtu mwenye hana akili vizuri jamani 😢😢😢😢
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 6 месяцев назад
Movie za kibongo bhana shida sana yaani watu hawajavaa muhusika kabisaa, issue kama hizo ilitakiwa wawe wadada flan wabishi wamepinda na wapo serious haswa sio nyie hapo mnarukaruka tuu hamna maajabu😢😢😢
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 6 месяцев назад
Sema tz mnapenda vya watu
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 6 месяцев назад
Nmecheka apo mnarukaruka2😂😂😂😂
@sadihashimu4664
@sadihashimu4664 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂ila bongo movie cjui lini watabadilika yan wadada wanafanya biashara haramu lkn wapo wapo tu kama vituko
@user-ku3ud4qb7c
@user-ku3ud4qb7c 6 месяцев назад
Ndo maana tuna hamia Nigeria😅😅sikuiz
@alisalim2145
@alisalim2145 6 месяцев назад
Kumbuka iyi movie niazaman sio yakisasa kabi
@nelsonandanyi
@nelsonandanyi 6 месяцев назад
Top selection all you are favorites kazi safi sana
@malyajmpondompondo381
@malyajmpondompondo381 3 месяца назад
Nawapenda sana wadada Hawa wako vzr kwenye mov zao
@niyorHamiss-yv4rm
@niyorHamiss-yv4rm 6 месяцев назад
Tunawape ndasana❤❤🇰🇪🇰🇪
@user-tg1qs9zy7p
@user-tg1qs9zy7p 5 месяцев назад
Hv jmn wapenz tuwekane saw hp Kwan mlinzi lzm awe mwehu jmn hii imezid wanabore San 😢😢😢😢
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 6 месяцев назад
Good job guys ❤❤
@user-kq9je6zf3v
@user-kq9je6zf3v 6 месяцев назад
Nangojea said 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ancillahmanyeso8079
@ancillahmanyeso8079 6 месяцев назад
Nice movie 🎉🎉
@DorothyKabwe-nx3om
@DorothyKabwe-nx3om 6 месяцев назад
Ivi uyu kalulu ni mlinzi kweli ao yeye njo analindwa? Eti majambazi 😅😂😂
@omanruwi5501
@omanruwi5501 6 месяцев назад
Masha Allah love you 🎉🎉🎉❤❤
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 6 месяцев назад
Kwa nini wakogwe mnaboa sana watanzania wanafurahishwa na wanaangalia sana kina mokojani,chumvi nyingi, na madebe lidai wakongwe ziwekeni movie zenu hasa kwenye uasilia wa maisha ya mtanzania kama wanavyo fanya wao halafu mtaona
@liylahahmed829
@liylahahmed829 6 месяцев назад
Kitamboo sanaa😂😂
@KwizerJackson-is7fh
@KwizerJackson-is7fh 6 месяцев назад
Me from Zambia love you somuch Tanzanie kanumba Today iam the finst one asking for your likes
@pili4758
@pili4758 6 месяцев назад
Hata mm nashangaa na hawa walinzi bana
@cocotz1892
@cocotz1892 6 месяцев назад
Batuli ni mrembo sana
@hamisisalim
@hamisisalim 6 месяцев назад
Hii movie MashaAllah iko sawa sana
@hhmmmm6523
@hhmmmm6523 6 месяцев назад
Nzur san
@amanchuphichuphi4725
@amanchuphichuphi4725 6 месяцев назад
Safi sana
@nasrahassan2260
@nasrahassan2260 6 месяцев назад
Nzuri
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq 4 месяца назад
Me nime kubali kazi
@RizikiZiki
@RizikiZiki 6 месяцев назад
Jamani mi nataka kujuwa shemsa amesha kifungua au kwaamana siku zinaisha alikua mja mzito ebu nifahamisheni tafadhali
@reymtemi2875
@reymtemi2875 6 месяцев назад
Kitambo sana ashaa shusha
@HappyKibure-iz9xk
@HappyKibure-iz9xk 6 месяцев назад
Amejifugua
@RizikiZiki
@RizikiZiki 6 месяцев назад
Asanteni kunijuza
@user-bq6tg1bj9s
@user-bq6tg1bj9s 6 месяцев назад
Safi ❤❤❤🎉🎉🎉
@IlAMPAYELUCAS-jz1mm
@IlAMPAYELUCAS-jz1mm 6 месяцев назад
Good
@deborahmidiburo3541
@deborahmidiburo3541 6 месяцев назад
Nawakubali sana 🇨🇩💪🇨🇩💪
@user-vq1qx1dr4e
@user-vq1qx1dr4e 6 месяцев назад
Yani kalulu eti tulienda kulala wote pamoja😂😂😂😂😂😂😂😂
@pili4758
@pili4758 6 месяцев назад
Huyu kalulu naye mshamba😂😂😂😂
@saum9697
@saum9697 6 месяцев назад
Pat2 pls
@mishiabdul2834
@mishiabdul2834 6 месяцев назад
Next plzz ya 2
@Nahdiya-nr3de
@Nahdiya-nr3de 6 месяцев назад
Watto wabadilishwe majina xahii 😂😂😂😂😂😂😂😂
@saum9697
@saum9697 6 месяцев назад
I'm writing🎉😊
@roswitaexavery3378
@roswitaexavery3378 6 месяцев назад
Zamani ndoilikuwahivo sio kwasasa
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 6 месяцев назад
Kalulu 😂😂😂😂
@kiya0910
@kiya0910 6 месяцев назад
Huyu Steve cjuwi welu alimpendea nn
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 6 месяцев назад
Yaani mi mwenyewe hapa ndio nilikuwa najiuliza swali hilo hilo labda ndio ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu 😂
@user-vx1pw5dq7k
@user-vx1pw5dq7k 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 6 месяцев назад
Kwanini walinzi wa kwenye mvi wote vichaa nikudhalilisha walinzi
@user-kq7zp2he2p
@user-kq7zp2he2p 6 месяцев назад
Apo ni kweli kwa nini ?????
@DianaMlongwa-oq5vt
@DianaMlongwa-oq5vt 6 месяцев назад
Mi wananikera
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 6 месяцев назад
Yani sijui nani aliwaambia bongo movie kuwa walinzi lazima awe mtu asiye na utimamu mweee wanaboa sana
@surusuru1994
@surusuru1994 6 месяцев назад
😂🤣🤣🤣🤣🤩🤩🤩
@user-fp7pl5rs1m
@user-fp7pl5rs1m 6 месяцев назад
Waao
@salmarajabu4890
@salmarajabu4890 6 месяцев назад
Tuekee basilisa jmn
@official_neemamlay180tz
@official_neemamlay180tz 6 месяцев назад
@khaledoman8266
@khaledoman8266 6 месяцев назад
❤❤❤
@AdejaAhmad-uq4wj
@AdejaAhmad-uq4wj 6 месяцев назад
Nzuri
Далее
ALICE1A -IRENE PAUL/PATCHO MWAMBA/FARIDA SABU
35:35
Просмотров 77 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
Просмотров 142 тыс.
NDOTO YANGU FAINAL
18:37
Просмотров 1,8 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [33]
24:26
Просмотров 93 тыс.
14 DAYS (SIKU 14) Part 1 Official Bongo Movie
1:00:21
Просмотров 70 тыс.
MKE BORA-RIYAMA ALLY/NICE MOHAMED
58:01
Просмотров 49 тыс.
JIKE DUME 1A
33:25
Просмотров 145 тыс.