Move nzuri ila tunashangaa Kwa kumuona majuto 😮ebu tuambie mli act kabla ajafarik ama mana Iko vzr sana na tumeipenda kama na wew unataka kujua kama mm tujuane Kwa ❤❤
Yani vichwa vyote vyashindwa kufikiria mwashindana kuulizana movie ya lini alaaa c muangalie hao watu vyenye wako ndio mjue n y kitambo jamani,lkn kwa yote movie nzuri mzee majuto mungu akurehemu bado tuna furahi kwa kazi zako ❤❤❤❤❤
Nikionaga Mzee majuto naanzaga 🤣🤣🤣🤣kuchela kabla hata ya ku watch yote , so naombeni niwaulize huyu boss jina lake anaitwaga nani ???? Nampendaga huyu baba wallah anachezaga movie poa ♥️♥️♥️