Тёмный

MAMA MTOTO wa STEVE NYERERE AFUNGUKA ''Ndoa sio lazima"AKUNA ANAEJUA SABABU YA SISI KUACHANA. 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 242 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

20 апр 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 323   
@raniathebosslady7073
@raniathebosslady7073 2 года назад
I like the way she talks, they way she express her self, she is the woman with dignity, nampenda Sana'a
@raniathebosslady7073
@raniathebosslady7073 2 года назад
She is the best actress, number one in Tanzania, I admire her acts,she is amazing, wallah, huyu ndio actress mzur in Tanzania nampa 100% number one in Tanzania
@roseneema4020
@roseneema4020 2 года назад
She is so cute and she deserves better than Steve . Am praying for her for the best.
@neemakilango7445
@neemakilango7445 2 года назад
Huyu dada ni mzuri you deserve better my dear a
@salamaali4726
@salamaali4726 2 года назад
So cute nakupenda sana kweli mapenzi ni upofu kwan chongo huona kengeza.
@jacklinalberto3338
@jacklinalberto3338 2 года назад
She is beautfful achana nae Mw/Mungu atakupa mwingine ucjal
@juliasitibenda7160
@juliasitibenda7160 2 года назад
yaan huyu mwanamke nampenda sana toka enzi za movie yake ya matirida
@gloryqueen6296
@gloryqueen6296 2 года назад
Nakupenda sana Mungu akutie nguvu mwanamke mwezangu...
@gaspercharles2244
@gaspercharles2244 Год назад
Ninyi wote mnaojadili hapo kwani hamjajua kuwa yote hayo yanatokana na nn? Lazima mjue huo ni wivu wa mapenzi jamani Steve anampenda Sana lkn Welu Hana mpango na Steve hiyo ndio shida wanatunishiana misuli mm ningeshauri mazungumzo ya hivyo myafanye kwa kubalance msiongeze chuki ninyi Akina Dida mtavuna ajali wasanii wengi wanawake wa kibongo hawana heshima kwa waume zao kabisa kwa hiyo msichochee moto wa mabox.
@nduwimanadidjaaimee5964
@nduwimanadidjaaimee5964 2 года назад
Matilda mzuri Sana kbs napenda dass❤️❤️❤️❤️
@lovecutetz9668
@lovecutetz9668 2 года назад
Pole sn achana nae bhnaa riziki anagawa maanani
@jumahamisi5383
@jumahamisi5383 2 года назад
Actor mzuri sana wa bongo movie huyu Dem
@mantentonja1210
@mantentonja1210 2 года назад
Nakupenda Sana wellu Mungu atakutia nguvu achana nae Kwanza Ana roho mbaya
@EdokiaCostantine
@EdokiaCostantine Месяц назад
Nakupenda sana wewe dada na move zako nzuri
@chriacuschanga8730
@chriacuschanga8730 2 года назад
Sipendi bongo movie wala wasanii siwafatiliagi lkn huyu Dada nampenda sana sana She's smart inside and outside yan yupo vzuri balaa. MUNGU akutunze na akutunzie mwanao mwaya #lots of ❤
@kishakisha730
@kishakisha730 2 года назад
Steve Ana roho kubwa Sanaa. Ana roho Masikini Sanaa. Mtu ukizaa Nae sio umwekee bifu. Badirika Steve. Ana roho ya kichwawi. Badirika Steve unatia aibu. Unasali kweli Steve? Wala huna ofu ya mungu.
@babylontvonline2203
@babylontvonline2203 Год назад
Daaah welu sengo nampenda Sana anaigiza vizur Sana
@deborabrown2114
@deborabrown2114 2 года назад
Nakupenda sana welu unajua sana Mungu akusimamie
@nicoletanjau9875
@nicoletanjau9875 2 года назад
She's beautiful and intelligent woman 💝 but why this men's ware so wicked surely...
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 года назад
Nakupendaaaa bureeeeee welu I♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@theresiamartin3008
@theresiamartin3008 2 года назад
Huyu Dada nampenda jmn the way anavyo act
@zenakihondo5195
@zenakihondo5195 2 года назад
Rebeca
@barakakagere5479
@barakakagere5479 2 года назад
so cute
@naakabwe1595
@naakabwe1595 2 года назад
Dada aliebarikiwa utu na utulivu nakupenda sana unauzuri wa asili na haujishaui ata kdg Allah aibariki kaz yako
@zainabujuma4278
@zainabujuma4278 2 года назад
Huyu dada ni mzr jmn nampenda kweli.
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 года назад
Sanaa
@rajabually8659
@rajabually8659 2 года назад
Hata mimi nampenda sana
@mariamjuma9486
@mariamjuma9486 2 года назад
Ata mi nampenda sanaaaaaa 😍
@mustafasefu7214
@mustafasefu7214 2 года назад
Zyai juma wa gamba ww
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 2 года назад
Tena ni mzuri kwel mali🔥🔥
@gamgangweesechota3589
@gamgangweesechota3589 2 года назад
Dada mrembo mwenye utulivu wake yaani Nina list yangu ya wasanii nao waelewa na wewe umo
@benyavan5774
@benyavan5774 2 года назад
Hii tabia ya kusemana kwwnye mitandao mambo binafs haina afya muyaseme na kwenu hapo
@Resudahexiaomianbao
@Resudahexiaomianbao 2 года назад
Dada welu Hakuna kumsujudia mtu hata kama unakwama VP unayo pitia nikama yangu maisha nimejipambania nikafungua kajiduka ka nguo bwana kazuia mpaka ndugu zake kunisabahi na mtoto Wang wanaume wengin nishida tupu
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 года назад
Wengi wao wako ivyo Ila tuendelee kupiga kazi,na kumwomba mungu, 🙏🙏
@veronyanganda2166
@veronyanganda2166 2 года назад
Pole saana Dada hiyo Hali ilishanikta nilivyoacha namzazi mwenzangu alikua anazani hata nitoweke duniani pasipo kjali tumezaa kwakweli kna baadhi ya wanaume nimashetani kwenye hii dunia.
@moseskisingi7696
@moseskisingi7696 2 года назад
Ila wanawake kwakweli mmebarikiwa mioyo. Yaani kweli kabisa huyu dada aliamua kulala na Steve,kama haitoshi akaruhusu kutotumia kinga kiasi cha mbegu za Steve kuingia ndani yake? KWELI JAMANI? Mungu nisamehe, lakini ukweli ni kwamba Mama zetu,Binti zetu na Dada zetu kichwani wana mapungufu makubwa sana.
@mariamrobert9838
@mariamrobert9838 2 года назад
😁😁😁😁😁
@ritchiexanti9587
@ritchiexanti9587 2 года назад
I love her
@restbeshy3817
@restbeshy3817 2 года назад
Mungu akutie nguvu pamoja na washiriki wako wanaokisapot achana na huyo asiyejua maana ya mapambano. Mtitu na jb na wote wanaokushika mkono mungu awaongezee Mara dufu maana hawakusaidii wewe Bali wanampa maisha Bora mtoto
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Nimekuelewa vizuri *WELU* Ila kiukweli mimi sijawah kumkubali steve nyerere.
@laxmikhairah1503
@laxmikhairah1503 2 года назад
Ndyo mana bible inasemaga be careful to not marry your enemy pole Dada ndyo sehemu ya maish mola akusimamie
@veronyanganda2166
@veronyanganda2166 2 года назад
Hii kali imenigusa saana maana ilishanitokea kna mijanaume ina roho zakishetani kasoro mapembe yaani mpaka nashindwa kuelezea ila mungu ck zote nimwaminifu atutee saana wanawake haswa wale single mother tusimame imara maisha yaendelee kwawatoto wetu.
@hassanibanzi9322
@hassanibanzi9322 2 года назад
Ila welu she's pretty walah❤
@uledihassan6065
@uledihassan6065 2 года назад
Dah!! Mapenzi kweli ni kipofu yaani Steve nyerere kazaa na mrembo kama huyu?
@mustafasefu7214
@mustafasefu7214 2 года назад
Ata ww utapata kuliko uyo broo 😂
@thawabuunique8054
@thawabuunique8054 2 года назад
Mwanamke aliyefundwa akafundika huwezi Seema public mapungufu ya mzazi mwenzio hata kama unabifu nae, hiyo sio hekima ukiona hivo WW ndo mwenye shida,
@veronicasambagi9479
@veronicasambagi9479 2 года назад
Ww kuweza kuwa na lijitu kama steve
@mwakwelisaid3152
@mwakwelisaid3152 2 года назад
Lakni hajataja mapungufu bali Steve n kiziba rizk lakini kwa Mungu atamjalia
@josephlorri431
@josephlorri431 2 года назад
Huyu anatumiwa na wenye tofauti na steve. Nimeona Steve ana uvumilivu sana
@bellogregory7175
@bellogregory7175 2 года назад
@@veronicasambagi9479 🤣🤣🤣🤣🤣ya Nini mie ya Nini mie ( in tivu ake voice)
@ashamwalabu2998
@ashamwalabu2998 2 года назад
Kumb uyu dda kazaa nastvu 😘😘
@josephmaguza6413
@josephmaguza6413 2 года назад
Nampenda sana uyu mdada sijui nifanyaje
@ommarysaid7391
@ommarysaid7391 2 года назад
Mtafute Mbona Yupo kajaa Tele Wewe tu
@cathykan7572
@cathykan7572 11 месяцев назад
Mzuri Mashaallah! 😔😢❤️❤️
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 2 года назад
Juma mmbea jmn mpaka kiti kaona kibayaa mweee
@mariamjuma9486
@mariamjuma9486 2 года назад
😄🤣🤣🤣😅😅😅😅😅
@regansifael2833
@regansifael2833 2 года назад
ani anaona akikaa atoskiaa vizuriii
@fridaisrael2445
@fridaisrael2445 2 года назад
Hahahahahaha chezea Juma weweeee
@witneyjerry1293
@witneyjerry1293 2 года назад
Mzuriiiii
@mankamushi4588
@mankamushi4588 2 года назад
Mimi nampenda Sana huyu dada nataka Kaka yangu akupe.acha na stive ni mnafiki Hana lolote
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 Год назад
😂😂😂😂😂
@khadijamasoudmikidady1726
@khadijamasoudmikidady1726 2 года назад
💖💖💖
@user-hx2cu2id8p
@user-hx2cu2id8p 2 месяца назад
Mzuri mashallah❤️❤️
@zohrazohra1051
@zohrazohra1051 2 года назад
Nakupenda dada
@alfashine3643
@alfashine3643 2 года назад
I love you my sis wellu you deserve congratulations ❤️❤️❤️🥰🥰🥰🙏🙏
@RoseMbise-rw9sz
@RoseMbise-rw9sz 9 месяцев назад
Hongera
@sheilajuma8963
@sheilajuma8963 2 года назад
wallah dada umeongea points
@dorislionel8223
@dorislionel8223 2 года назад
Sia Anamke Zawadi Mrangu Mashala
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 2 года назад
Nice
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 2 года назад
Wanafiki na wambea hujionaga wao ni wasafi sana,,hii studio ya kipuuzi
@nasrahassanabioll6559
@nasrahassanabioll6559 2 года назад
😆😆😆
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 2 года назад
@@nasrahassanabioll6559 wanafiki sana hawa,wasafi studio
@neemamzava5891
@neemamzava5891 2 года назад
Namapozi yote hayo kweli steve kakuweza .wanaume shkamon
@maryandason1815
@maryandason1815 2 года назад
Anajickiag uy dada kujifanya mzngu Mara ajui English.afu piya hvi inawezekana je mtu n mume wke kuongelea masuala yenu kwenye midia??? Wakat mlipokuwa na furaha na rahaaa mlkuwa mnatunziana Siri zenu mm cpendi haya mambo jmn
@mhonokihita8203
@mhonokihita8203 2 года назад
Stv alivyo mfupi sipati picha alivyokuwa anapambana na huu mwili.
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 года назад
🤣🤣🤣😜🤣sana
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 года назад
@@mhonokihita8203 🤣🤣🤣🤣
@pendo8082
@pendo8082 Год назад
​@@mhonokihita8203 😂😂😂
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 года назад
Niseme ukweli midia sasahivi hazina balans ilimradi mtu yupo kwenye maic
@marthadaniel4904
@marthadaniel4904 2 года назад
Huy dada nampend mnoo, wanaume wa hv wapo weng sanaa 😭
@zulfaomar8185
@zulfaomar8185 2 года назад
Dada mzuri hivi unazaa na steve kweli
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 2 года назад
Huwezi jua kampendea nini
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 27 дней назад
Imagine😊 Hivi Steve SI mume wa mtu?
@user-ty2kc5jy7s
@user-ty2kc5jy7s 22 дня назад
Kwani tatizo liko wapi
@jenipherkavusha1661
@jenipherkavusha1661 2 года назад
Mary I love u so much
@edwardmalila5230
@edwardmalila5230 2 года назад
Mmmmm
@MariethaMpwizu-cl7qs
@MariethaMpwizu-cl7qs Год назад
Welluuuu
@kishakisha730
@kishakisha730 2 года назад
Wanaume wafupi Ni short kuliko umeme wa Tanesco. Dada mzuri alifata Nini kwa Mr short? Anataka asiganikiwe mungu ndio mtoa riziki. Steve anaa faika tuuu. Mtu umezaa nae ameshakuwa ndugu Yao. Kwa Nini unamwaribia malengo yake? Hiyo roho uliyokuwa nayo itaku cost Sana unakowlekea sio kuzuri. Change your attitude Steve.
@afualusigi923
@afualusigi923 2 года назад
Sila kizuri kina bahati
@hidayaamani7150
@hidayaamani7150 2 года назад
mh kweli wanaume wachache kweli
@ashuragonga5244
@ashuragonga5244 2 года назад
Welu sengo msanii wg ninaempenda, usijali mdogo wg jipange upya , kuteleza sio kuanguka, Cha muhimu afya hasa afya ya akili na we uko sawa, mfanye historia tu !
@aniphalookmoneylookmoney8881
@aniphalookmoneylookmoney8881 2 года назад
Ajipende na aendelee na busara zake Kuna mengi Mungu atamfungulia tu
@user-dq9bx1qf9e
@user-dq9bx1qf9e 2 года назад
Kuweni kama chuchu hapendi kuongelea mambo yake nampenda sana chuchu
@loulumony8519
@loulumony8519 2 года назад
Uyudada namupendag dida nakuag nakukubal😘😘
@fatumadugulu351
@fatumadugulu351 Год назад
Huku juma huku dida eewh buanaa,,nakupenda bure wellu sengo
@upepobeka6877
@upepobeka6877 27 дней назад
Huyu dada ana upendo sana yani alivyo mzr hivyo bado kazaa
@slywish4098
@slywish4098 2 года назад
Dah mapenzi bana yani dem mkal hv ety steve kala doh mcheleee😴😴😴
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 2 года назад
😆😆😆
@peterdani9740
@peterdani9740 2 года назад
Steven kumbe mshamba 2 mtoto kama huyo nilikuwg namkubari sn rakini Steven kumbe hmm k2
@modysultan6170
@modysultan6170 2 года назад
elimu unajua ukisoma kidogo hata lasaba b ushamba ushamba unakuwa huna
@mohammedalikhan5766
@mohammedalikhan5766 2 года назад
Mimi nasimama na msemo unaosema "HAKUNA MTU ALIEWAHI KUSHINDWA KWENYE KESI YA UPANDE MMOJA"
@maryandason1815
@maryandason1815 2 года назад
Kweli
@nurdinmasoud9953
@nurdinmasoud9953 2 года назад
Love u more c* welu sengo😍
@hazrathassan1134
@hazrathassan1134 2 года назад
Matildaaaa
@Rebekasteven-gp4ft
@Rebekasteven-gp4ft 19 дней назад
Rebeka❤
@highvoltages4169
@highvoltages4169 Год назад
Ili kubalance story inatakiwa mmuhoji na Steve Ukisikiliza upande mmoja tu huwezi kujua vya uvunguni zaidi, Nashauri muwakutanishe wote wawili kama mlivyofanya kwa Mkojani na Samofi
@renoxnmpinga576
@renoxnmpinga576 2 года назад
Mbn dada mstaarabu,mzuri,mpole
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 2 года назад
Huyu mdada sijui alifuata nn Kwa tivu hawajaendan hata kama n pesa mmmhhh..she is very cute
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 2 года назад
Welu sengo very young this one went one school with my youngest sister quit school and decided to pursue her career I love her❤️ beautiful girl
@user-pe9uo4ec6y
@user-pe9uo4ec6y 2 года назад
Exactly kasema Lord Baden na aliacha shule akiwa form two kwasababu ya matatizo ya familia yao
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 2 года назад
@@user-pe9uo4ec6y yes my sister told me so
@sekelamwangomo5458
@sekelamwangomo5458 2 года назад
@@user-pe9uo4ec6y so she might be young km wa 1995?
@sophiankwera9020
@sophiankwera9020 2 года назад
Huyu dada ni mzuri jomn
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 года назад
Maskn pole Lkn kawaida ya wanaumee Ukiwaacha tu shida unaipata Mungu akusaidie
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 года назад
Dada anajifanyaga anamapoz uyu navingereza vizivyo isha atimae duh kweli mapenz shikamo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣kuangukia kwa Steve mmmmmm hatar 🤣🤣ndomana waswahili wasema uchagua sn upata koroma nimeamin 🤣
@sweetie8861
@sweetie8861 2 года назад
🤣🤣🤣
@fatmaali4921
@fatmaali4921 2 года назад
wanaume hawa wapo mie baba watoto wangu pia mpk kuniroga nisisimame kimaisha na nimezaa nae wallah hawa wanaume wajinga sana kuacha sio tabu kuacha akuache yy vitiko akufanyie yy shida hii
@rehemamdoro5165
@rehemamdoro5165 2 года назад
Ila kweli mpenzi niupofu ukimwaona na Steve hawaendani kabisa
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 2 года назад
Kabisa mm nilijua atakuwa kazaa na kigogo furani
@sirielsamweli4751
@sirielsamweli4751 2 года назад
Ni kweliii hawafananiiii,,,
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 2 года назад
😹
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 2 года назад
Mmewaza km miee😂
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 2 года назад
Sijuhi tivu aliingia na gia no ngapi apa kwa kweli
@airinsumeno2490
@airinsumeno2490 2 года назад
Huyu Dada mzur jamn
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu Месяц назад
Halafu mlivyo wamb ea Sasa kutaka kuju a siri za watu na ma mbo ya watu Sasa mrihani
@sudymgeni701
@sudymgeni701 2 года назад
Kama kweli stevu unakosea sana mana uyu mmezaa wote kesho we umeishiwa mama anasomesha mtoto.wachana na izo mwanamke mzuri wacana nae
@christinepeter6872
@christinepeter6872 2 года назад
I was asking my self mbona welu n mrembo n she knows how to act but, kwann hatokei sna kwenye series.. Kumbe tivu akeee nd ttz... shame on him kwakwel Welu jus pull up🌹❤️
@fadhilimlingi7367
@fadhilimlingi7367 2 года назад
Dada onge toa sauti watu awawezi kukupenda kama unautulivu kwenye kuonge
@neemadevis883
@neemadevis883 2 года назад
kumbe huyu kazaa na Steve mdada nampenda huyu
@josephmaguza6413
@josephmaguza6413 2 года назад
Mdada uyu nampenda kuliko maelezo bola angezaa namimi
@maryammarjan4015
@maryammarjan4015 2 года назад
mmmmh
@maryandason1815
@maryandason1815 2 года назад
Cyo vizur wadada kuwasema waume zenu mitandaon cyo powa kbsaa at kma mmeachna? Aijalish kumbuka mmella kitanda kimoja mmesher mengi leo hi unamuona afai aisee wanawake wengi mbingun watapasikia
@chumayaoinvestment1647
@chumayaoinvestment1647 2 года назад
Nyoka Mdimuni,huyo..
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 2 года назад
Kupenda jamani khaa
@AishaKhamisy
@AishaKhamisy Год назад
Kwani Steve Ana nini jamani.mapenzi tuyaache tu jamani
@pigapesa1627
@pigapesa1627 2 года назад
Do!
@jannatissa5315
@jannatissa5315 2 года назад
Wapo wengi sana ila malipo dunian
@nashfatyjuma2495
@nashfatyjuma2495 2 года назад
Wapo weng sana wao wanaume wenye tabia hizo
@pascalcharles9807
@pascalcharles9807 Год назад
Cjui nimm pekeyangu huyu dada werusengo huwa namfananisha Christina shusho.
@stivenjohn7746
@stivenjohn7746 2 года назад
Akili ana uyo
@victaboy7273
@victaboy7273 Год назад
Stev, aliwezaje kupata goma kama hili jamani🤣🤣🤣🤣😂
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 2 года назад
Dada jihadhari na maswali ya hapo studio. Kuhusu Baba mtoto wako. Kumbuka Siri ya ukata aijuaye mtungi.🤫😊😁.. Nakutakia uvumilivu mwema.
@maryandason1815
@maryandason1815 2 года назад
Umeongea point jmn kwa nn? Mnaongelea mambo yenu uku mitandaon jmn kumbuka uyo n baba wa mtoto wko,tu.at iweje? Jmn Siri yko n yke why kuongelea mambo ynu kila mtu ajuee
@zarnaabraham7181
@zarnaabraham7181 2 года назад
@@maryandason1815 baba gni asie juwa majukum yake angekuwa baba asingemtelekezea mtoto
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 2 года назад
Nimekushangaa dada mzuri hv kulalwa na stivu nyerere mi yule hapana kwakweli hata ndoa
@eashaeasha9776
@eashaeasha9776 2 года назад
🤣🤣🤣
@roseashula1660
@roseashula1660 2 года назад
Napenda unavyo jibu maswali
@kishakisha730
@kishakisha730 2 года назад
Welu ulivyo mzuri uendani na Steve. Uendani na wanaume wafupi tofauti. Uliingia choo Cha kiume .j
@estherfidelisy5233
@estherfidelisy5233 2 года назад
Yaani hata kidogo ....mapenzi haya
@farhannahkulishwaburekunam5360
We juma lokole unasema nini wewe we ndo mnafiki unaharibu mahusiano ya watu wengi yacht mahusiano ya steve
Далее
Can We Save Goku In 5 SECONDS⁉️😰 #dbz #goku
00:15
Shilole alivyokuwa Muhudumu wa Hoteli na kumtongoza Ray
19:43
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
0:21
Просмотров 8 млн
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
0:21
Просмотров 8 млн