Тёмный
No video :(

Ghafla Tumepokea Taarifa hii mbaya kutoka CHADEMA na Kiongozi wao Aliyetekwa Mazito Yafichuliwa 

Gilly Bonny Tv
Подписаться 497 тыс.
Просмотров 29 тыс.
50% 1

Mwanaharakati Mdude Nyagali maarufu Mdude Chadema amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar- es Salaam ambapo amehusisha kutekwa kwake na masuala ya siasa.
CLICK SUBSCRIBE KISHA LIKE NA COMMENT ILI UWEZE KUPATA HABARI NYINGINE KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 дня назад
Pole sana mudude Mungu atakuwa pamoja na wewe. Mungu hawa watu Mungu uwashughulikie.
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 День назад
Pole sana 😮😮😮
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Месяц назад
Mungu akulinde mtoto eangu nakupenda sana mwanangu
@tunzokitisho5407
@tunzokitisho5407 22 дня назад
Pole
@tunzokitisho5407
@tunzokitisho5407 22 дня назад
Pole
@tunzokitisho5407
@tunzokitisho5407 22 дня назад
Mungu awaponye maumivu yote
@hassanjuma3114
@hassanjuma3114 5 лет назад
Pole mungu akupe wepesi ukulinde na watu wabaya
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 дня назад
Polisi wakuwa kama wahuni fulani. Pole sana mudude kwa sababu wachukuwa watu bila sababu. Hivi kesi ya uchochezi. Wao kukutesa wanadhani wao siyo Wanadamu jamani
@isakakyando8953
@isakakyando8953 5 лет назад
Mungu hana upendeleo ndo mana kakuponya!
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 5 лет назад
Daah Siku moja nchi itakua huru
@mselematiku187
@mselematiku187 5 лет назад
Songa mbele baba hakuna kukata tamaa
@andrew.gadimrinji1713
@andrew.gadimrinji1713 5 лет назад
Kila jambo jema linakuja na sacrifice...pambana usiogope...one things will be ok Mungu yupo na wapenda hski
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 21 день назад
Mama yk hatangolewa na yashangoka mbwa ww kumamayo
@eddynyaki5539
@eddynyaki5539 5 лет назад
Mmhh...
@josephnchunga3019
@josephnchunga3019 5 лет назад
Watu wa aina ya ukosoaji wa ninyi mnastahili kichapo tu, hakuna jambo jingine mmejishusha sana kisiasa mwenye akili anawatazama tu mnavyo hangaika mnatia kichefu chefu siasa zimewashinda mmekalia uchochezi wa kipuuzi hivi ninyi mnaabudu mashetani hamjui Mungu mbona mmekuwa kama vichaaa.
@pungopungo411
@pungopungo411 3 года назад
Kwani ulikosea nini. Inategemea kama ulivunja sheria utegemee hayo
@pungopungo411
@pungopungo411 3 года назад
Ni dunia yote ukivunja sheria unawajibishwa be care full
@mildredaruta9142
@mildredaruta9142 5 лет назад
Hakika we ni mpambanaji
@josephmajinge1650
@josephmajinge1650 5 лет назад
Hivi jamani kwa maelezo haya kuna ukweli kutekwa na chadema jmn mm huyo aliesema naliomba jeshi la polisi limkamate alisaidie upelelezi kujua aliemteka mdude
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey 2 месяца назад
TULIA WEWE UNATUMWA NA KAKUBALI USILALAMIKE SI ULISHALIPWA NA KUMBE UNAJUA UKWELI KUWA RAIS YUKO NA WEWE HUKUWA NA HESHIMA UMEFUNZWA ADABU HEBU CHUNGA HESHIMA YAKO MPUMBAVU WEWE
@paulj5653
@paulj5653 5 лет назад
Hii sio live tena
@frankjohn8570
@frankjohn8570 5 лет назад
kuna wasiojulikana, pia watu wabaya ,na kama watu
@herikayezu5467
@herikayezu5467 5 лет назад
Umevuliwa na mboye
@abdulazizharthy5627
@abdulazizharthy5627 5 лет назад
Tumieni kura zenu kuwatowa madarakani la sivyo mtazidi kudhalilishwa kwani mshajuwa makosa yapo wapi poleni sana watanzania udikteta umezidi tanganyika
@zakatiabdalah842
@zakatiabdalah842 5 лет назад
ifike mahali tujadili maemdeleo siyo kutengeneza matukio
@siubandani8925
@siubandani8925 5 лет назад
kaza buti mwanzo mwisho utafika 2 ww nimsemaji wa wanyonge
@josephnchunga3019
@josephnchunga3019 5 лет назад
Utulie utang,olewa meno ulemavu unakunyemelea ninyi hamna adabu mlizoea ukiongea uchafu wenu huo mnaitwa ikulu huyu ndio rais mchapa kazi na mwenye maamuzi, Tafadhali msiwe mnamhusisha na uhuni wenu huo
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 5 лет назад
Huyu Muongo ingekua kweli asingerudia kubwatuka kama tahira,usitudanganye.
@andrew.gadimrinji1713
@andrew.gadimrinji1713 5 лет назад
Wewe ni mtu mwenye roho mbaya ...na una ufahamu mdogo wa mambo ndo maana hata haujaelewa anachoongea Mdude...
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 5 лет назад
@@andrew.gadimrinji1713 huyo ni mtafuta kick tu, roho mbaya anayo yeye anaetuchafulia jesji kwa faida zake binafsi, bila jeshi maisha yangekuaje?
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 5 лет назад
@The White wewe tahira kama ukoo wako una akili matakoni hiyo ni wewe na sina haja ya kuyafahamu mapungufu ya ukoo wako get life idiot.
@emmanuelzephania989
@emmanuelzephania989 5 лет назад
pole sana bt mpunguze kiki tunataka mambo ya msngi jmn
@eng.mallya9532
@eng.mallya9532 5 лет назад
Uongo uko wapi hapo sasa
@wilsonjohn1919
@wilsonjohn1919 5 лет назад
Jipange utapotezwa wewe, usione wenzio wanaongea sana lao moja na serikali
@henryndosi3800
@henryndosi3800 5 лет назад
Wacha uongo wewe
@angelanather9640
@angelanather9640 5 лет назад
Wewe uliwaonaje wakiruka kichura ukiwa umefichwa ndani?
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 5 лет назад
Unadanganya
@kupashwachacha8120
@kupashwachacha8120 5 лет назад
Wewe uliwaonaje ukiwa umefichwa?Tuna amani.
@haurtyounis3966
@haurtyounis3966 Год назад
Serekali ndiochazo cha ugaid nandiomana hatahao panyarod niwatoto waliosoma ugaid kutoka kwenye vyombo vya dola wanatumianguvu kama serekali ilipotaka nchi
@hassangomai8884
@hassangomai8884 5 лет назад
wewe shoga tu uhonekane kama nani
@josephnchunga3019
@josephnchunga3019 5 лет назад
Utulie utang,olewa meno ulemavu unakunyemelea ninyi hamna adabu mlizoea ukiongea uchafu wenu huo mnaitwa ikulu huyu ndio rais mchapa kazi na mwenye maamuzi, Tafadhali msiwe mnamhusisha na uhuni wenu huo
Далее
Game Theory
1:07:08
Просмотров 417 тыс.
The Trump campaign, upended
27:44
Просмотров 10 тыс.
Nvidia's Surprising AI Origin Story
9:24
Просмотров 168 тыс.
Secret of Rumi's Tomb: Why Nobody Opened?
18:56
Просмотров 44 тыс.