Тёмный

GHARIB MZINGA APAGAWA NA KIWANGO CHA DUKE ABUYA,AMCHAMBUA NDIYE STAA MPYA YANGA,AZIZ ANDAMBWILE NOMA 

SPOGA ONLINE
Подписаться 140 тыс.
Просмотров 64 тыс.
50% 1

GHARIB MZINGA APAGAWA NA KIWANGO CHA DUKE ABUYA,AMCHAMBUA NDIYE STAA MPYA YANGA,AZIZ ANDAMBWILE NOMA

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@CastoJonas
@CastoJonas 2 месяца назад
super mtangaz Gharib mzing
@MAGEMEYOHANA
@MAGEMEYOHANA 2 месяца назад
Fantastic commentator Gharib mzinga
@Dopa7MC
@Dopa7MC 2 месяца назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@AllanAthuman
@AllanAthuman 2 месяца назад
Nakubal sana huyu jamaaa natama gem ya cmb na yng aweke maneno
@davidndungu8619
@davidndungu8619 2 месяца назад
yule ni fundi duke abuya
@saidisheha5366
@saidisheha5366 2 месяца назад
Hom boy unajua👍Abuya mtu
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 2 месяца назад
Mzinga nakubaliana na wewe! Review mechi ya Jana 8/8/2024 Simba vs Yanga jamaa tank lake limejaa mafuta, jamaa yuko Kila mahala!!!
@alexandernkwamah5905
@alexandernkwamah5905 2 месяца назад
Tamkeni Dyuuk. Sio duk. Dyuuk ni wafalme wadogo kule Uingereza. Ni kama Chief lakini ni zaidi ya Chief.
@denisotaru196
@denisotaru196 2 месяца назад
yeye mwenyewe anatamka duke tushike lipi mwenye jina lake au ww
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 2 месяца назад
Yaani kuhusu Azizi Andabwile itoshe kusema ni Victor Wanyama mtupu🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@BarakaPhilemon-mb2vu
@BarakaPhilemon-mb2vu 2 месяца назад
👊👊
@MAGEMEYOHANA
@MAGEMEYOHANA 2 месяца назад
Duke ni maliiiiiiii
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 2 месяца назад
Andambwille mtu sana
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 2 месяца назад
Mzinga bonge ya mtangazaji wa soka
@HajiJuma-oy1jy
@HajiJuma-oy1jy 2 месяца назад
Kisugu kichwa Yule kibaya anasema eti ni kibonde
@MayayaNjire
@MayayaNjire 2 месяца назад
Aya bhn
@vincentshekibula6670
@vincentshekibula6670 2 месяца назад
Huyu jamaa wakati mwingine anakuwaga muongo Sana 😮
@reonardchatanda6371
@reonardchatanda6371 2 месяца назад
Amedanganya Nini? Siku zote mashabiki walio wengi mmezoea uchambuzi wakudanganywa. Au taarifa zakudanganywa kama msemaji wa Simba Ahmed Ally. Ambae tangu anaingia kwenye kitengo Cha Habar Simba. Amekua akitoa taarifa za usajili za uongo Kila msimu. Anaesifia usajili na mashabiki wa wanshangilia alafu mwisho wa siku wanaokuja kuulalamikia uongozi. Kati ya wachambuzi siriasi ni pamoja na Gharibu mzinga
@ZarafiAlly
@ZarafiAlly 2 месяца назад
Uwongo wake nin
@ericmtawa2310
@ericmtawa2310 2 месяца назад
Aya hebu niambie ukweli wako wewe😮😮
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 2 месяца назад
Hajui mpira huyu, ni uongo gani aliouona yy, gharib yupo smart sn kiuchambuzi
Далее