Тёмный

GHARIB MZINGA; ELIE MPANZU ANATAMBULISHWA LEO SIMBA AS VITA IMEBANA RELEASE LETTER 

Tanfootball Channel TV
Подписаться 70 тыс.
Просмотров 44 тыс.
50% 1

#simbasc #ligikuu #usajilimpyayanga #usajilimpyayanga #mayele #cafcl #yangaleo #yanga #simba #yangatv

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Месяц назад
SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉❤❤❤❤
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp Месяц назад
Nakupata hapo mjengoni tuna msubili mpanzu kwa hamu dogo Yuko vizuri sana
@JudithMrosso-x1r
@JudithMrosso-x1r Месяц назад
Nenda kwenye point
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Месяц назад
GHARIBU MZINGA NENDA KWENYE POINTI CY MAELEZO MENGI.
@LenardKisambale
@LenardKisambale Месяц назад
muzinga nenda kwenye mada acha kupindisha
@shijamasunga204
@shijamasunga204 Месяц назад
Si amesema badluck 😅 hujajua kwamba ni mtoro kambini kwa As vita lakin badluck ........malizieni
@VailethJustine
@VailethJustine Месяц назад
Mimi naitwa mustapha kutoka kondoa gharibu mziñga nenda kwenye point bana kuhusu mpanzu
@SleepyDaisy-db4xv
@SleepyDaisy-db4xv Месяц назад
Jamani mnatuona wanasoma hatuna akili Joseph kabila na simba wap na wap
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d Месяц назад
Mpanzu kasajiliwa nje ya nchi jamani kaenda majalibio msijipe moyo wana simba
@Stephano722
@Stephano722 Месяц назад
Stephano mange wa ngudu kwimba mwanza simba viongozi wanini m
@GabrielAmma-jp1oo
@GabrielAmma-jp1oo Месяц назад
Kwani uliandika nini kichwa cha hii taarifa? Mbn tunakuamini sana alafu unatufelisha?
@tanfootballchanneltv
@tanfootballchanneltv Месяц назад
@@GabrielAmma-jp1oo sorry ni kijan wangu WA kazi ila mpanz anaenda ubeligiji na tayari ashasafiri yupo ubeligiji hatajiunga na Simba wamejitoa,, ANATAMBULISHWA huko ubeligiji
@NikoMkude
@NikoMkude Месяц назад
Wewe toa tamko mpanzu yuko wap acha stol
@MaulidMnyamisi
@MaulidMnyamisi Месяц назад
Good
@anthonysegereti9795
@anthonysegereti9795 Месяц назад
Mbona husemi point
@user-wv1oz1oo1n
@user-wv1oz1oo1n Месяц назад
Points
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx Месяц назад
Mpanzu kaenda ulaya
@onesmongenzi3471
@onesmongenzi3471 Месяц назад
Subiri Simba day. Hizo ni stori tu
@JudithMrosso-x1r
@JudithMrosso-x1r Месяц назад
Nenda kwenye pointi
@NalailaNalaila-v9i
@NalailaNalaila-v9i Месяц назад
Hivi mpanzu kweli anakuja msimbaz?
@gewamacca405
@gewamacca405 Месяц назад
Anaenda uberigiji
@AllyAmuchu
@AllyAmuchu Месяц назад
Gusa puent apo ya mpanz
@selemansaid6887
@selemansaid6887 Месяц назад
Ndo nn hayo
@KingSailor-ic8iz
@KingSailor-ic8iz Месяц назад
Sijakuelewa
@anastahiliutawala3879
@anastahiliutawala3879 Месяц назад
Waamuzi wanaitaji kupigwa
@WazugaMarimoti
@WazugaMarimoti Месяц назад
😮xMAEEZO MPAKA YANALETA KICHEFUCHEFU HATUJUI UNALENGA NINI JHUYO MTU AMESHAWASHINDA IMEBAKI BLAABLAA TUUTAFIKIRI TUKO KWENYE SIASA ZAVYAMA.
@joelmichael9752
@joelmichael9752 Месяц назад
HUNA UHAKIKA NA UNALOTAKA KUONGEA,KWANINI HUENDI KWENYE POINT NA UNAZUNGUKA TU..
@nzegulagkofficialaccount3496
@nzegulagkofficialaccount3496 Месяц назад
Wewe ni mpumbavu
Далее
when you have plan B 😂
00:11
Просмотров 24 млн
Первый день школы Катя vs Макс
19:37
Elie MPANZU, the CATALYST (skills, goals & more)
5:31
Просмотров 137 тыс.