Тёмный

GIGY MONEY, JACKLINE WOLPER WAFANYIWA MAOMBI MAZITO NA NABII MALISA 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 43 тыс.
50% 1

GIGY MONEY, JACKLINE WOLPER WAFANYIWA MAOMBI MAZITO NA NABII MALISA
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 109   
@bellazara6448
@bellazara6448 Год назад
Dada Jacky inaonekana tok kitambo anajuwa Mungu ❤❤❤❤
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 Год назад
I'm so excited 😢😢😢😢. Mungu bila ya wewe Mimi si kitu hapa duniani
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Год назад
Hongera jack. Kwa Mungu hakuna star ⭐️ wala Tajiri
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Год назад
Ooh giggy!!! Hapo umenimaliza walai!!!! Eeh umetafuta UFALME wa Mungu
@graciousisdory2666
@graciousisdory2666 Год назад
Gigy I'm so happy for you, you're too humble 💗
@omanoman2044
@omanoman2044 Год назад
Jack kavaa nguo nzur san maashaaallah
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
MADADA WA IMAANI😭😭😭tunatambua kila mnachokifanya na tunachokifanya ni njia ya utafutaji😭😭LAKINI TUNAE MUNGU ALIYE HAI😭😭😭na aendelee kumulika ndani mwenu na ndani ya nyumba zenu na awazidishie rizki ili mtunze viumbe vyake kwa uaminifu na uadilifu
@user-oh2lq5vs1x
@user-oh2lq5vs1x Год назад
Mungu ni mwema mvua yake hunyesha kwa wema na wabaya 🎉
@clouartmichael7296
@clouartmichael7296 9 месяцев назад
Mathayo 7:15 ...Roho Mtakatifu anafanya kazi sehemu safi ...manabii wa uongo Wanaombea mafanikio sio watu kuwapatia wokovu Kwa ajili ya Ufalme wa Mbinguni ..
@annamachaki3644
@annamachaki3644 Год назад
Mungu azidi kuwavuta kwake maana yy ndo kila kitu na mbarikiwe kwa kumjua Mungu ktk maisha yenu🙏
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Год назад
Kizazi na uzao wenu ni matunda mema ya Mola🙏🙏🙏yatunzeni kwa nguvu zenu zote na msiruhusu watu wa dunia wala wa mataifa wavitende ubaya🙏🙏🙏mkawe wamama bora na fimbo na funzo kwa wengine
@sharommiriam2674
@sharommiriam2674 Год назад
Amina kwao🙏🙏🙏
@DamawaMwamba-kj8kg
@DamawaMwamba-kj8kg Год назад
MUNGU Awasimamie mahisha ni mwenu❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Год назад
Giggy money Hongera sana
@eliamwakimage5389
@eliamwakimage5389 8 месяцев назад
Hakuna Mungu hapo ni Dramas tu hapo. Major churches ni tatizo kubwa sana DUNIANI watu hawafuati Mungu wanafuata mtu na kuji show off tu. Tusubiri siku ya huku ya mwisho. Mungu tusaidie kwenye kizazi hiki cha Zinaa.
@fatimahants1526
@fatimahants1526 Год назад
Mungu akawainuwe daima
@hawaomary8486
@hawaomary8486 Год назад
Gigi umejuwa unaenda kabisa kwa nn uvae nguwo ambayo hupovhuru nayo
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 Год назад
Ameeeen Mungu ni mwema kwa kila jambo
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 10 месяцев назад
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen I receive
@fettyomary2364
@fettyomary2364 Год назад
Mungu awe na gigy naona amevaa nguo ya heshima kwa nnavomjua mmmh kapendeza na kaenda mbele y mung
@user-zh1iz9dx6z
@user-zh1iz9dx6z 10 месяцев назад
Mungu asant kwa yot
@user-tu5yz3ii6f
@user-tu5yz3ii6f Год назад
mungu awasimamiye maishani mwenu mmefanya kitu kizuri sana
@angelaminde1247
@angelaminde1247 Год назад
❤❤❤❤Mungu wa rehema awalindee na kututunza soote
@bellazara6448
@bellazara6448 Год назад
Mungu bariko gigy kujitolea ninehema kwamungu patamu gigy
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 9 месяцев назад
I receive
@user-pj1lj5hw8p
@user-pj1lj5hw8p 9 месяцев назад
Ameen hakika nimebarikiwa sana
@seiphmbulyanga2580
@seiphmbulyanga2580 Год назад
Hongereni sana apo ni mahali sahihi mmechagua sehemu sahihi kabsa
@AnnavivianKagemuro
@AnnavivianKagemuro Год назад
Am so proud of u Jacky and gift
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 Год назад
Amen mungu awabariki
@RizickNzemya-vt2ry
@RizickNzemya-vt2ry Год назад
Nawapenda sana
@jannethjohn5879
@jannethjohn5879 Год назад
Mubarikiwe sana hawa wadada nawapendaga sana
@sulwajackson6906
@sulwajackson6906 Год назад
Amina Baba
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Год назад
Mungu awabariki sana
@happyyohana9881
@happyyohana9881 Год назад
Ameen 🙏
@sanetag2173
@sanetag2173 Год назад
Gigy karibu kwa yesu Kuna uzima wa milele
@user-od5eg6ty1d
@user-od5eg6ty1d Год назад
Khaaa tuasali sana na tumuombe mungu kwenye roho na kweli, Gigy gigy gigy kanisani??????
@Makenashukrani
@Makenashukrani Год назад
Watoto wa Mungu😍😍
@SibomanaAdeline-zs2ng
@SibomanaAdeline-zs2ng Год назад
Amen
@WANAZI-cb6rq
@WANAZI-cb6rq Год назад
Yan maisha ya usanii ni maisha ya maigizo tu
@pulikisia7963
@pulikisia7963 Год назад
We waombee tu Kaka.
@toshaelias7138
@toshaelias7138 Год назад
Ongereni sana
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 Год назад
Amina ❤❤❤❤🇹🇿
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows Год назад
Nguruwe ni wengi sana saivi, wanazidi kula na kunenepeana kwa kuzidi kuwa na mavumbi mengi maana wapo wengi ila sio muda kondoo watazidi kuongezeka zaidi. 💯
@RizickNzemya-vt2ry
@RizickNzemya-vt2ry Год назад
Nice
@esthercharo827
@esthercharo827 Год назад
Mungu hubadilisha kila mmoja ju yeye ndie alie tuumba
@janethjonas1700
@janethjonas1700 Год назад
Ameen
@vickystephano224
@vickystephano224 Год назад
Mbalikiwe mnoooo dada zaguuu Nataman Niwaone mkiend church kilsiku
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 Год назад
NAMIMI NATABIRI TENA GIGY AKI ENDELEA HIVYO ATAOLEWA NA MWAMAUME MWENYE PESA.
@user-mz2wx5dt9v
@user-mz2wx5dt9v 5 месяцев назад
Hawa wote ni member wa freemason ko sishangai
@saidanassoro7885
@saidanassoro7885 Год назад
Yani gigy .uko church n win princess uko nayo kifuani bado watangaza kamare
@augustinemainde
@augustinemainde 21 день назад
Fight money tena😂
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 Год назад
Wamelipwa au mbona sielewi nikama wanaigiza tu mungu tusamehe tu maana hatujuwi tulitendalo
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 Год назад
Mchungaji kaweka angle za jux daaah 🤣🤣
@Rosefrances-bx4wo
@Rosefrances-bx4wo Год назад
Gigy uliniliza asubuhi unaistoria ngumu kipenzi ila nizidi kukusihi usimwache Mungu
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Год назад
Hao wako hapo wanawaza pipe kama hujui wakitoka hapo kesho mitandaoni wanachezea pipe😂😂😂
@happynesnyanda8208
@happynesnyanda8208 Год назад
Wokovu hauji moja kw moja akipata mafunzo Kila mara akahuzuria na Ibada atakuwa vizur
@mullestv2680
@mullestv2680 Год назад
YANI MAKAFIRI WANA TATIZO LA MENTAL HEALTHY KWELI WAPO NYUMBA YA IBADA NA MANYWELE BANDIA NGUO ZINAZOENESHA MAUMBO IHESHINUNI DINI YENU NYUMBA YA IBADA HUENDI TU NA NGUO UNAZO ZITAKA
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. Год назад
Tatizo wewe unaitazama DINI, Mtazame Mungu na ujione ikiwa ata ww unastahili Mbele zake? Alafu ndio utajua km ni sawa kuwaita wenzio majina ya siyofaa.. Na kuhusu mavazi jifunze zaidi
@vernongoodvibes99
@vernongoodvibes99 Год назад
😂😂😂
@evamlay8997
@evamlay8997 Год назад
Kafiri ni Mama Yako Na Baba yako walio kunyima Akili
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. Год назад
@@evamlay8997 mjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake asije akajiona mwenye Hekima machoni pake, usimjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake usije ukafanana naye
@wintrudabikal8152
@wintrudabikal8152 Год назад
Jiheahimuno jmn unaeza kuta ww ni mchafu kuliko yy bora ufunge bakul ilo
@user-uw7yf9dr4h
@user-uw7yf9dr4h Год назад
Ila dada kavaaa ki,,,,,😂
@happyfaniabatromeo8010
@happyfaniabatromeo8010 Год назад
Sawa 😂😂😂 Kwahiyo gigy money hatakuwa Kama zamani kimuonekano hasa Yale mavazi ya uchi au???
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 Год назад
Usikute gg hapo anataka kukata mauno akijua yuko shoo😂😂
@omaryjuma8002
@omaryjuma8002 Год назад
Hi nchi stal sana😂😂😂
@ramadhaniabasi6780
@ramadhaniabasi6780 11 месяцев назад
Tapeli
@YamunguMuha
@YamunguMuha Год назад
Nabii mwenye amepaka super black hatari 😢😢😢😅😅
@thomasnachenga795
@thomasnachenga795 Год назад
Mbona ushangai nabii kuvaa suti? Maana yangu ni kwamba zama zinabadilika kuwepa superblack ni utanashati tu haimaanishi mtumishi wa mungu awe RAFU
@kapingalucy2707
@kapingalucy2707 Год назад
​@@thomasnachenga795mmmh !kwaiyo akiumbacho MUNGU ndio urafu ??
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Год назад
NABII MALISA ananyoa anazingatia angle 🤣
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Год назад
Si kiki hii jamani😂 😅
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Kabisa 🤣
@FelisterMunissy
@FelisterMunissy 10 месяцев назад
Pimeni hzo roho si kila nabii ni mtu wamungu tizameni sana
@abrahmanifarouckissa5662
@abrahmanifarouckissa5662 Год назад
HIZI DINI NYENGINE JAMANI TUZINDUKEE BIBILIA HAIJAFUNDISHA HIVOO😢😢😢 KWENYE IBADA MPO UCHI HAMJAFUNIKA NYWELE UKWELI UNAUMA LKN JAMANI NDUGU ZANGU HIO DINI SIO YA HAKI MIMI NAWAOMBEA KWA MUNGU MUNGU AWAONGOWE ILI MUJUE UKWELI HIO NI DINI YA BIASHARAA
@user-ny5jm5xg3c
@user-ny5jm5xg3c Год назад
Acha kukashfu dini za watu, kama wewe na dini yako mko sahihi mbele za Mungu basi acha kukashifu wengine, 😏😏 pia kumbuka dini haimpelek mtu mbinguni so take care 😠🤨 fakeyou
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 Год назад
Sasa wafunike nywele kwaajili ya nini we nae kakojoe ulale
@wintrudabikal8152
@wintrudabikal8152 Год назад
Inauma nini wwnani alisema dini ni mavazi wangap wachafu tunawajua bora unyamaze dini sio mavazi kijana
@KHAMIS_SHILINGI
@KHAMIS_SHILINGI Год назад
Basi mtembee uchi kabisa kama dini sio mavaz 😁😁😁😏
@judyngowi391
@judyngowi391 Год назад
@@KHAMIS_SHILINGI kwani ukifunika kichwa ndio umejisitiri, nyie mnafunikwa vichwa lakini ni mashetani wakubwa
@kelvinimunishi3334
@kelvinimunishi3334 Год назад
Gigy ni kiki😂
@modycombo7421
@modycombo7421 Год назад
😂😂😂😂makubwa haya
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Год назад
Kma Namuona Shetan Uko Aliko Hana Mbavu Kwa Kucheka Anajisemea Ata Uyuu Pia 😂😂
@salumungassa9217
@salumungassa9217 Год назад
😂😂😂
@badymedia9648
@badymedia9648 Год назад
😂😂😂😂
@ChachaDeus
@ChachaDeus Год назад
Huyo Gigy aje nimuoe sasa atulie
@DijaMriri-wc4qd
@DijaMriri-wc4qd Год назад
😂😂😂😂😂😂sijui ata nacheka nini
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Год назад
Ni usanii mpaka kanisani.
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Hiyi movie inaitwaje??😂😂
@GodfreysamwelGodfreysamw-zk2rj
Msijione nyie ndo mko sahi apa duniani Dini zililetwa
@akimzeli5030
@akimzeli5030 Год назад
Hawa washavuta mtonyo. Hamna lolote hapo.
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Год назад
kumbe gigy ni mzur namna hii ila ikivaa yake matakataka yake anakua mshenz mshenz
@GodfreysamwelGodfreysamw-zk2rj
Mbona nyie ndo mnajionaga mpo sahi katika mambo ya dini ?????
@Imanibroadcast24
@Imanibroadcast24 Год назад
Wapigajiiii 😂
@abbassalum6824
@abbassalum6824 Год назад
Kanisa likowapi hili namim nije kusali mbon zuli ivyo
@fabiosoudtz
@fabiosoudtz Год назад
Nabii wa enzi gani na manabii ni 25 t walotajwa kwenye Qur an
@succeedgifted9355
@succeedgifted9355 Год назад
Quran sio kitabu pekee cha dii duniani
@Daniel_ivan.
@Daniel_ivan. Год назад
Publicity stunt
@judyngowi391
@judyngowi391 Год назад
Mtaweza kuacha pombe nyie wadsda?
@AnnavivianKagemuro
@AnnavivianKagemuro Год назад
Usiseme hivyo wokovu ni processing
@DamawaMwamba-kj8kg
@DamawaMwamba-kj8kg Год назад
MUNGU Awasimamie mahisha ni mwenu❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 Год назад
Amen
Далее
MR.RIGHT APATA WAKATI MGUMU/AFANYA MAAMUZI HAYA
7:46
Просмотров 437 тыс.
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
Kuvikwa Nyuso Zenye Kibali -  Prophet Clear Malisa
25:09