We ni mafi sana,hatukatai kuna masnicher githu lkny ogea kitu unajua n ukisnitch sana utasudwa Sa unabonga kuhusu uo mse ako n kofia ya yellow n ujui unamaccuse bure,hio n public place ni place ya kila raia so uogee kitu unajua
Hizi daraja zimefanya idlrs wamekuwa mob huko na wahalifu ndio hupenda kubangaiza pale wakingojea watu wakuibia wakishuka kwa gari ama wale wanaotembea. Kwanza usiku ndio kubaya sana!
Good job...but you need to do more on all the areas wher it's a hub for phone snatchers and at the same time ,they need to be apprehended asap...inspite of law enforcement officers knowing about this menace, Why is it that the police only act after the press highlighting these kind of robberies and why can't the police do their job without being reminded coz am sure they have plenty of complaints about this and they have been reluctant to apprehend those thugs.
Hapa nayo Kuna mathegi SI ati nini kuweni rada hapa ni either unyanganywe simu ama utokwe Dooh wanakukujia group ya watu kama watatu wanadai simu ama kaa uko na Dooh na bado unaweza tokwa both Kwanza hii stage ya gari za kwenda ruiru take care hii ni message ya msee anapitia hizi comments nyinyi mmetupima juu mwenye ameiba simu ata ni mwenye mlikuwa mnadai ndo target mid video