Тёмный
No video :(

Goodluck Msuya - Nimemuona Bwana (official Live recording Video) 

Goodluck Msuya
Подписаться 8 тыс.
Просмотров 108 тыс.
50% 1

Song:" NIMEMUONA BWANA"
Wimbo ni wimbo wa kukiri uweza wa Mungu na kuutukuza pamoja kuuelezea ukuu wa Mungu kwenye maisha yetu.
Unapoenda kuusikiliza wimbo Huu baraka Za Mungu na uweza wake vikakuguse ukamuone Bwana na nguvu zake katika Maisha
yako katika jina la Yesu. Amen.
ARTIST :GOODLUCK MSUYA
Video directed by syberpic (DIRECTOR SYLVESTER
Audio Captured by Choosen records international (SAM MBOYA)
Lights by NYAKALO (DAVID SENGATI)
.
Music Director Mitchell Mike Jr
Song Written: Goodluck Msuya
Song Arrangements: Jonathan Shemsanga
Vocal Arrangements : Christian Mgana
Main Keys : Victor Danielz
Organ / Leads: Jonathan Paul
Aux /Synths : Kephar Mndeme
Pads /Strings: Elisha Mubila
Lead Guitarist: Hagai Makuzo
Drummer :Mitchell Mike Jr
Bassist: Samuel Modest
1.RONNY SWAI -TENOR
2.JONAS MOSHI - TENOR
3.JENNIFER MBASA - ALTO
4.FRANCIS RICHARD-TENOR
5.SCHOLA MUSHI-SOPRANO
6.JULIETH KIMEI- ALTO
7.MAGDALENE RICHARD- ALTO
8.FRIDA DENIS - Alto
9.DIANA KISOMA - SOPRANO
10. IRENE SAMWEL -SOPRANO
11.TINA MTEI- Soprano
12. AnnaMary Steven -Soprano (Overdubs)

Опубликовано:

 

11 сен 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 151   
@gitongakaranja6050
@gitongakaranja6050 2 года назад
Jamani ndugu zetu wa Tanzania, moto mlionao wa kumpa mungu ibada naomba muuwashe kwetu nasi pia Wakenya tumpe mungu ibada kama hiyo iliyo safi. Representing from Kenya
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 2 года назад
Nimemwona Bwana🙌🙌🙌🙌🙌
@goodluckmsuya8994
@goodluckmsuya8994 2 года назад
Asante sana mtumishi na Dada yangu Rehema
@HappyMsuya-og7ok
@HappyMsuya-og7ok 2 месяца назад
Ameen nyimbo nzuri inaongeza imani
@francisdaudi7085
@francisdaudi7085 2 года назад
Nimemwona BWANA
@angelshabani223
@angelshabani223 Год назад
Halleluyah hakika nimemwona Bwana akitenda makuu kila cku
@hansonlz
@hansonlz 5 месяцев назад
My song🎉
@_.brianrevy
@_.brianrevy 2 года назад
This song brother_ haijawai isha maskioni mwangu_
@susannduku243
@susannduku243 2 года назад
Good worship
@MeryMichael-mg2zc
@MeryMichael-mg2zc Год назад
Amen ❤ Haleluya barikiwa mtumishi
@richardmwanga2104
@richardmwanga2104 2 года назад
Hongera sana Goodluck.Barikiwa.
@cleriakiyeyeu1098
@cleriakiyeyeu1098 2 года назад
Kabisa
@johnmvile3176
@johnmvile3176 2 года назад
Napenda sana bro venyewe ujiinui yesu akuinue zaid na zaid Ulikuja mbeya na #paulmwangosi pia kwa #dripyana
@cliffkingi
@cliffkingi 2 года назад
Bro yuko vzrrrr saaaana
@EliMsuya
@EliMsuya Год назад
SAFI SANA WIMBO MZURI
@rosekapufi2124
@rosekapufi2124 2 года назад
Barikiwa sana
@dorcahogeto1544
@dorcahogeto1544 2 года назад
Waimbaji kutoka Tanzania huwa hawadissapoint, siri ni, kuwa Chini ya Neno
@alfasaidiofficial5800
@alfasaidiofficial5800 2 года назад
Wowh Song nzuri saaana
@dianakisoma5290
@dianakisoma5290 2 года назад
🙌🙌🙌🙌🙌
@mishomsuya5647
@mishomsuya5647 2 года назад
Nakuona katika viwango vya juu sana, Mungu azidi kukuinua mtumishi @GoodluckMsuya
@goodluckmsuya8994
@goodluckmsuya8994 2 года назад
Asante ndugu yangu
@jacobmic2751
@jacobmic2751 2 года назад
Goodluck, "Umeugusa moyo wa BWANA".. Mungu atakuinua sana
@janethmollel406
@janethmollel406 Год назад
Nimemuona Bwana🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@StellaEmmanuel
@StellaEmmanuel 2 года назад
Ubarikiwe sana Gudluck, nimemuona Bwana katika wimbo huu 🙏
@goodluckmsuya8994
@goodluckmsuya8994 2 года назад
Utukufu kwa Yesu
@yunasiulisajaissah8998
@yunasiulisajaissah8998 2 года назад
Kwa kweli, Ubarikiwe sana sana Gudo
@janethmlewa231
@janethmlewa231 2 года назад
God bless youuuuuuuuu my brother
@carolinemntambo5950
@carolinemntambo5950 2 года назад
Amen! Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu🙏
@user-fl3kx1pf4i
@user-fl3kx1pf4i Месяц назад
Amen amen
@dr_tullo
@dr_tullo 2 года назад
🙌🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭 Bwana unaweza, unaweza milele (speaking in tongues)..... 🙌🙌🙌🙌
@nicemashele7747
@nicemashele7747 2 года назад
Yesu aendelee kukupaka mafuta mabichi kwa ajili ya kazi yake #NIMEMWONABWANA ni baraka kubwa mno.. @minister goodluck msuya
@user-kc5xk1gw7m
@user-kc5xk1gw7m Год назад
You are blessed Sir,go higher in Jesus name
@khaldsaid4741
@khaldsaid4741 2 года назад
Nice
@ushindileonard3525
@ushindileonard3525 2 года назад
Hallelujah...BWANA Anaweza milele🙌🙌🙌
@goodluckmsuya8994
@goodluckmsuya8994 2 года назад
Ndugu yangu asante Sana sana
@ministermossesmungure
@ministermossesmungure 2 года назад
Woooow Hakika tumemwona Bwana Kaka Goodluck Msuya. Mungu akubariki Mno. Maana Kama si Bwana aliyetufikisha hapa Israel na Aseme Sasa. Mungu akuinue Milele zaidi katika Roho na katika Mwili umwone yeye zaidi.🔥🔥🔥🔥
@goodluckmsuya8994
@goodluckmsuya8994 2 года назад
Ameen amen
@solomonmichael9735
@solomonmichael9735 2 года назад
Kwa Neno lake aliumba mbingu na nchi, Neno akafanyika mwili akaja kwetu nasi tu mashuhuda wa utukufu na uwezo wake. Yesu anaweza milele.
@fridadenis
@fridadenis 2 года назад
Hongera sana kaka kweli nimemwona Bwana anaweza milele
@mrgiftjonathan8703
@mrgiftjonathan8703 2 года назад
Bwana Unaweza milele na milele yoote. Zidi kudumu mtumishi wa Mungu katika njia hiyo naBwana ataendelea kukutumia kwanamna yaajabu na yakushangaza@G Msuya
@samuelmboya1011
@samuelmboya1011 2 года назад
🔥 it’s out 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@atukuzwemahenge616
@atukuzwemahenge616 2 года назад
Hakika Yesu ni mzuri🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️ pokea sifa hizi Uliyejuu sana
@meidandemo1153
@meidandemo1153 2 года назад
🙌🙌🙌 Mungu akuinue kwa viwango vingine Mtumishi
@peacemarkpandisha5984
@peacemarkpandisha5984 2 года назад
Ushuhuda mkubwa sana,,Mungu azidi kukuinua mtumishi
@TheKapungala
@TheKapungala 2 года назад
Been watching him from doing BGV for Paul Mwangosi, Dr. Ipyana and now doing the lead. Kweli Yesu anaweza milele. #NimemuonaBwana #NextLevel Love from Nairobi.
@goodluckmsuya8994
@goodluckmsuya8994 2 года назад
Amen hajawah kushindwa kwakwel
@ibrahimmaxmillan1430
@ibrahimmaxmillan1430 2 года назад
@@goodluckmsuya8994 Kaka ubarikiwe sana..great worship song!! binafsi nimefurahi sana..nimemuona Bwana
@Philipoyassiry
@Philipoyassiry 2 года назад
Nime mwona bwana
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 2 года назад
this is awesome kaka
@stannygeorgesp1479
@stannygeorgesp1479 2 года назад
Ubarikiwe sana kaka angu Mungu azidi kukuinua kila leo
@venaszablon5764
@venaszablon5764 2 года назад
Ndugu ubalikiwe sana,,kalibu Sana mwanza
@ruthtondi9559
@ruthtondi9559 2 года назад
Wewe Ni mwimbaji mwenye kipaji kikubwa, Mungu akuinue
@Josh_1194
@Josh_1194 2 года назад
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa hii ibada
@RmwanashaMbeteRMM
@RmwanashaMbeteRMM 2 года назад
Amen
@elizabethcharles4712
@elizabethcharles4712 2 года назад
HAKUNA GUMU KWAKO YESU UNAWEZA MILELE
@CHUGA_DESIGNER
@CHUGA_DESIGNER 2 года назад
feeling blessed kumtumikia mungu katika umri wa ujana unaweza sana fanya usichoke.
@philemonkageleja3858
@philemonkageleja3858 2 года назад
Hapa 🇹🇿 tunawatumishi wazuri sana!.. MUNGU akubariki kijana!..
@johnwainaina6542
@johnwainaina6542 2 года назад
Wimbo huu unanibariki., Hakika nimemwona Bwana
@johnsonjoseph1262
@johnsonjoseph1262 2 года назад
Brother ubarikiwe sana hakika tumemuona Bwana anaweza milele
@CeciliaOkeke
@CeciliaOkeke 2 года назад
💛💛💛ftom 🇳🇬
@goodluckmsuya8994
@goodluckmsuya8994 2 года назад
Thanks women of God
@mtindoelias8888
@mtindoelias8888 2 года назад
Blessed my brother 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
@joshbebe
@joshbebe 2 года назад
Ubarikiwe
@rulebudodo2301
@rulebudodo2301 2 года назад
Nauona ule upako wa kutembea na Mwalimu Christopher Mwakasege. Be blessed so much Godluck
@lauralkinyaha
@lauralkinyaha 2 года назад
Kweli nimeuona na ninazidi kumuona Bwana🙏🙏🙏🙏
@gospelextravibes
@gospelextravibes 2 года назад
Tanzania Gospel Music to the world 🔥🔥
@alphabee5130
@alphabee5130 2 года назад
Nimemuona Bwana Nimemuona Yesu Anaweza Milele. Amen.. Listening to this song 24/7
@cliffkingi
@cliffkingi 2 года назад
Hakika nimemwona Bwanaaaa Kaka Mungu akubariki
@nechalauwo
@nechalauwo 2 года назад
Mungu akubariki sana Brother Msuya
@phiniaskombe8953
@phiniaskombe8953 2 года назад
🙏Amen
@upendomsigwa6064
@upendomsigwa6064 2 года назад
Keep on.. Moving.. u wll do wonders in Chrst name
@joanbosire9063
@joanbosire9063 2 года назад
wow where has this song been? wonderful music
@erickcharles2513
@erickcharles2513 2 года назад
Big up sana Full of appriciation
@joannajohn919
@joannajohn919 2 года назад
Nimekuona bwana anaweza sikuzote za milele💖💖
@joannajohn919
@joannajohn919 2 года назад
Mungu akuinue
@joymdemeka4036
@joymdemeka4036 2 года назад
Nimemwona Bwana
@marianjawa284
@marianjawa284 2 года назад
This song is forrr me nimemuona Bwana I’m so many things in my life and i keep seeing him🙌🙌
@goodluckmsuya8994
@goodluckmsuya8994 2 года назад
Endelea kumwona
@gisellekavira8966
@gisellekavira8966 2 года назад
Kweli yesu anaweza. Mungu akubariki ndugu.🙏
@joshuanziku5736
@joshuanziku5736 2 года назад
Blessing song. I love it in Jesus name
@suzanaemanuel3621
@suzanaemanuel3621 2 года назад
Wooooooow ubarikiwe mtumishiiiii
@mariannendunge8049
@mariannendunge8049 2 года назад
Relaying mode Because it's spirit-felt Nimemuona Mungu
@goodluckmsuya8994
@goodluckmsuya8994 2 года назад
Amen amen
@dinnahsamwel9607
@dinnahsamwel9607 2 года назад
💃🏿💃🏿💕💗💝💞 Hata nilipodharauliwa nilikuona BWANA 😊🙌🙌🙏
@goodluckmsuya8994
@goodluckmsuya8994 2 года назад
Amen kwa jina la Yesu aendelee kukuheshimisha
@essaumkuye5024
@essaumkuye5024 2 года назад
Leo nimekuwa wa 3
@edrickmushale1420
@edrickmushale1420 2 года назад
That is powerful message jamani be blessed in Jesus name 🙏🙏🙏🙏🙏
@johnshedrack5746
@johnshedrack5746 2 года назад
Powerful song, nikawa naisubiri sana hii nyimbo Yangu, kazi ubarikiwe sana
@jeremyikayo8762
@jeremyikayo8762 2 года назад
nimemwona Yesu anaweza maishani mwangu,,,,,what a powerful song
@neemamkunte3127
@neemamkunte3127 2 года назад
Mungu akubariki na kukuinua zaidi na zaidi 🙏🙏🙏
@berthakisoma6549
@berthakisoma6549 2 года назад
GOD bless you
@samuelmboya1011
@samuelmboya1011 2 года назад
Waiting 🔥 🎚
@stellamrema5303
@stellamrema5303 2 года назад
Mungu Azidi kukutunza mtumishi naikumbuka hiii siku nilikuwepo Pale Ubungo
@esthergesogwe8036
@esthergesogwe8036 Год назад
It's new year, once again I bow down and worship you my Lord for healing and blessing me. He surely is sufficient 🙏
@shedrackmhehe
@shedrackmhehe 2 года назад
Groly
@victoronyisa2273
@victoronyisa2273 Год назад
glory glory hallelujah....Bwana unaweza milele❤‍🩹💥
@heavensent2526
@heavensent2526 2 года назад
Bwana Yesu azidi kukuinua Mtumishi!!
@philimonanthony6214
@philimonanthony6214 2 года назад
Hakika Bwana wetu anaweza milele.
@essaumkuye5024
@essaumkuye5024 2 года назад
The power is upon this song aseh be blessed mtumishi
@hellenmajala715
@hellenmajala715 2 года назад
AMEN 🙏🙏🙏🙏 Bwana YESU anaweza milele 🙌🙌🙌🙌,,
@tinahmtei9183
@tinahmtei9183 2 года назад
Nimemwona Bwana anaweza milele 😭😭😭Barikiwa sana mdogo wangu Good luck, Umeugusa moyo wa MUNGU hatanyamaza
@watumishimusik5162
@watumishimusik5162 2 года назад
Be blessed man of God
@victorianapiya5759
@victorianapiya5759 2 года назад
My fav song ubarikiwe MOG
@officialjamhurizachariagos2797
@officialjamhurizachariagos2797 2 года назад
Kazi ni njema sana kaka
@noahmisholi1080
@noahmisholi1080 2 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@julynchaila8818
@julynchaila8818 2 года назад
Hakika nimemuona Bwana katika maisha yangu kupitia wimbo huu
@SamuelErnest
@SamuelErnest 2 года назад
Anaweza Milele
@shirupeshm7363
@shirupeshm7363 2 года назад
AMEN AMEN hallelujah powerful
@shaluamagandi2184
@shaluamagandi2184 2 года назад
Amen. Mungu unaweza milele. Wimbo wa ushindi . God bless you
@edwinndegwa9734
@edwinndegwa9734 2 года назад
This is great. Glory to Jehovah. Pia nami nimemuona Bwana na nimejua kwa hakika anaweza milele. More grace more anointing.
@nikekifyoga1027
@nikekifyoga1027 2 года назад
Amina
@bensonkimaro8892
@bensonkimaro8892 2 года назад
Barikiwa sana kaka Hakika tunamuona Bwana kupitia wewe🙏🙏
@paldinaraymond7107
@paldinaraymond7107 2 года назад
Powerful 🙌
@holytrinity4499
@holytrinity4499 2 года назад
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🔥🔥🔥
Далее
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Просмотров 57 млн
Gelik yoki Velik?
00:20
Просмотров 644 тыс.
GOODLUCK MSUYA - NIMEMUONA BWANA  [OFFICIAL VIDEO]
4:17
Agape Gospel Band - Wazee 24 ( Official Music Video )
11:00
Unaweza Bwana - Nyasha Ngoloma Feat. Dr. Ipyana
15:10
Просмотров 220 тыс.
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Просмотров 24 млн